Ila kiukwel hii timu ni mbovu sana wallah yani ukiangalia magoli yote ni papatu papatu... Lkn pia angalia goli la4 yani mpira unepigwa cross ukatoka nje kabisa lkn refa wa pemben kaminya Lkn vile vile bacca alimchezea faulo mbaya sana kwenye Box mchezaj wa Pamba ile ilipaswa kua penalty dhahiri kabisa
Alhamndulilah namshukuru sn M/Mungu kwakutujaalia Neema na mafanikio Kheir nyingi ziwaendee Viongozi wetu na banch la ufundi na wachezaji wetu Inshaallah
Siyo mnunue mechi halafu mseme mmeshinda tuko nyuma yenu chunga saana kabla ya kumalizika ligi vidhibiti vyote vitatolewa uchochoro umeanza kwa Pamba mtazitema points ziba masikio funga midomo mikono yenu itayasema madhambi ya GSM safari hii
Baleke uwe unaacha mtu anashangilia kwanza akifunga vyakutukimbiza kati kama ulivyokua unafanya ukoloni cjapenda😂😂😂😂 kama utaki kushangilia beba mpira tutakukuta kati🙌🙌
Dube hajabadilika bado unacheza mipira aliocheza Torres,Pamba wana timu nzuri ila wakae chini na wachezaji wao mpira ni akili sio nguvu, vile vile waondoe presha wanapokuta na timu hizi kubwa zina wachezaji wazuri kwenye kutengeneza makosa,mechi ilipaswa kuisha kwa magoli ma2/3 tu uzembe wa kufatilia mpira hadi mwisho unawa cost wanafungwa golila 4,
Mtakosaje kumfunga mengi si kwenye timu zinazothaminiwa na GSM mnanunua magoli na point mbona KMC mliambulia kamoja tumeanza kukuhesabu tutapeleka mashtaka kwenye board na mbele zaidi ya bodi bado coastal, namungo, Tabor, singida, na zinazofuatia safari hii ubingwa kwa kuchukuwa mchukuwe kwa halali
Alafu mashabiki wa yanga wte hamuna akil mnacheza na timu yingne mnaaza kuongelea timu nyingine mna akil Kuna lingne tunafanya nalo kaz ni yanga halina hat akil
Mie Nina Imani xana na Yanga na mungu alishaibaliki xana kwa sababu Yanga ndo Nchi hii ndo Tanzania hii kitambo xana Wana Yanga wenzangu
Jaman kama ww nimwana yanga 2muombee mshambuliaji wetu dube
Yanga bingwa🏆🏆🏆🏆🏆💪💪💪
Yanga siwezi kuiiacha kamwe iko kwenye damu
Wakati unapigwa 5G mzamini wako alijua nani😅😅😅😅😅😅😅😅?
Daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiii ✅✅✅🖤🖤🖤💛💛💛
Huyu Saleh Masoud aache mpira wa KIHUNI. Ameigharimu timu kwa rafu za kipuuzi utadhani yupo kwenye vita
Mimi namsikiliza sana baraka mpenja huwa unanichanganyaa sanaaaaa ayiseee wewe namba one dunia kwa kazi hiyo super
Ila kiukwel hii timu ni mbovu sana wallah yani ukiangalia magoli yote ni papatu papatu...
Lkn pia angalia goli la4 yani mpira unepigwa cross ukatoka nje kabisa lkn refa wa pemben kaminya
Lkn vile vile bacca alimchezea faulo mbaya sana kwenye Box mchezaj wa Pamba ile ilipaswa kua penalty dhahiri kabisa
Na magoli yenu ya offside kazi kuwahonga marefa....
..tukutane tareh 19
Toa kundu apa
Unakengeza wewe umeangalia kwani kutumika kitochi, rudia tena kuangalia mpira haukuvuka mstari kwenda nje
Hongeni na nyie kwani hakuna pesa sumbirieni taree 19 mhonge kwa marefarii harakamq kipigo kikoparepare kwa yanga WW huongopi😂😂😂
tunawapiga bao zingine tano mwezi huu uendelee kulialia mamawewe
Sasa zile nembo ndio zinacheza mpira?😅
Tumekubaliana bacca anabeba kiatu sasa 😅 let's go ⚽️
Wanasimba mliocomment humu usenge mmetoka marekani kwa....
Pididy😂😂😂😂😂😂 Kazi wanayoooooo
Eheeee nyekunduuuuuu😅😅eheeeee
Hao mashabiki wa simba watakuwa wametoka kwa didy
Alhamndulilah namshukuru sn M/Mungu kwakutujaalia Neema na mafanikio Kheir nyingi ziwaendee Viongozi wetu na banch la ufundi na wachezaji wetu Inshaallah
Yanga raha💥💥🔥🔥
Dube mungu akusaidie ufunge kaka
Hata hao makolo walisema walivyo pigwa 5 mechi imeuzwa😂
Hii yanga ya saa hii inaweza ikacharaza viboko Man utd
Tarehe 19 ndo mwisho wa mdomo wa makolo je ? Mtasema mmefadhiliwa na GSM
tumekosa magoli mengi sana jana jaman wananchiiii ila Mungu asante kwa hayo 🙏💚💛🔥
Siyo mnunue mechi halafu mseme mmeshinda tuko nyuma yenu chunga saana kabla ya kumalizika ligi vidhibiti vyote vitatolewa uchochoro umeanza kwa Pamba mtazitema points ziba masikio funga midomo mikono yenu itayasema madhambi ya GSM safari hii
😂😂
Mtasema sana😂😂
Ilooooooo lioneee😂😂😂😂😂
😊😅😅punguza makasiriko bc na nyie kwa dodoma mlinunuaa kapenalt
Mtafanyaje
Yanga african 💚💚💚💚💚💚
Huyu alie pewa kadi nyekundu nibhaki yake anacheza mpira kwa hasira zisizo kuwa na faida🍿
Akili hana yule jamaa ile foul ya pili yenyewe kam yenyew tu ni red card ya moj kw moja
@@issashabani-c7r Sio hasira ndigu,huu ni upuuzi uliopitiliza kiwango.Mchezaji lazima awe na nidhamu kubwa ya kudhibiti mihemuko
@@feisalibrahim892 Sahihi kabisa.Ilikua ni straight 'red card'
Haters hapo bado
Mpaka kieleweke
Sie ndo yangaaa
You know what....if you hate Yanga you just hurt yourself 😂😂😂😂😂
Na bado, let them go to hell!
Makolo nahisi ndo GSM ya yanga maana ndo alisuguliwa bao nyingi5+2+1 ngao ya jamii
Mahasd wa yanga humu mnataka nini
Sibirin 3 wiki mbili zijazo😊
Leo sureboy kapiga kaz🔥🔥🔥🔥
Jamaa Yuko vzr Sanaa Sema kocha ndio hamumini tu
Love you yang
Jamn yanga inanimate rahaa❤❤
Yanga bingwaa banaa tusifuni acheni roho mbaya😂🤗
Yanga A vs Yanga B
Bado amjasema 😂😂😂😂😂😂
Ww tulivyokufunga 5 ulikuwa yanga c
😂😂😂
Kweli mpira pesa kama makolo walivyopewa penat ya mchongo eti mhamed husein kafanyiwa faulo, aibu.
Mmeamua kumnunua mpenja kuwatangazia mechi zote za YANGA mhhhhh haya
Sisi tunataka mzinga atangaze mechi zetu wanayanga
Kocha Analia Wewe Unasema Anatafakali We Mpenja Veep..😂😂😂
Awa wazeee watatuelez tareh 19 kwnn wananunua gem.
Baleke uwe unaacha mtu anashangilia kwanza akifunga vyakutukimbiza kati kama ulivyokua unafanya ukoloni cjapenda😂😂😂😂 kama utaki kushangilia beba mpira tutakukuta kati🙌🙌
Baka siyo beki mzuri nimpaka afanye takoline .ila kwa kunyanganya mpira hawezi
😂😂😂😂😂 hujui at maana ya tackling ( tackling nikuchukua mpira Kwa mpinzani au kumbaribia lengo Kwa kuutoa miguuni mwake)
Dube hajabadilika bado unacheza mipira aliocheza Torres,Pamba wana timu nzuri ila wakae chini na wachezaji wao mpira ni akili sio nguvu, vile vile waondoe presha wanapokuta na timu hizi kubwa zina wachezaji wazuri kwenye kutengeneza makosa,mechi ilipaswa kuisha kwa magoli ma2/3 tu uzembe wa kufatilia mpira hadi mwisho unawa cost wanafungwa golila 4,
Fanyen camera ionekane vizuri wakubwa
YANGA inabebwa sana,RED card,penati na goli la nne .tunavunja Moyo timu chipukizi
mavi kwel
kaka max shkamoo
Hata hao Makolo warivopigwa na tanga 5 warifukuza manura na kocha eti raikini pamoja na hayo eanacharazwatuu mpaka sasa
pole broo i timu inkera
Wamepiga bomu mochwari bila kadi nyekundu wasingeshinda hizo refa kawaida pamba makusudi
Awee
Kwani alitumwa afanye madhambi
Foul aliyofanya inafanana na aliyocheza mchezaji wetu na refa hakutoa kadi yeyote hapo ndio kafanya kosa tu
Hilo goli la max kipa kazingua
❤❤❤
Pamba hatuna timu.
Baka duh i love you
Ilikuwa ni mechi ya GSM na YANGA
Mudi nae si anapesa muambieni naye awe mdhamini kama GSM😂😂😂😂😂😂makoloooooooooooooo
Hilo li saleh kumamake kama liko ulingon mbwa uyo bora lilivotoka
Kumbe na wew ni mbwa unaongea na mbwaa 😅😅😅
Magoli ya pamba hayo ndo anafungwa simba Tarhe 19
Mtakosaje kumfunga mengi si kwenye timu zinazothaminiwa na GSM mnanunua magoli na point mbona KMC mliambulia kamoja tumeanza kukuhesabu tutapeleka mashtaka kwenye board na mbele zaidi ya bodi bado coastal, namungo, Tabor, singida, na zinazofuatia safari hii ubingwa kwa kuchukuwa mchukuwe kwa halali
Mamaee we
Hata na nyie tulivowapiga zile 5 mlikuwa na nembo ya Gsm kwenye komwe😂😂😂
Unateseka mno kolokwinyo hadi akili yako imeruka. Mkisikia tu jina la Yanga mnaumia 😂😂😂😂😂 na bado tutaendelea kuwatesa wazee wa kono la nyani 🖐️😂😂😂
Mlikula Tano mkala 2 mkala 1 je na nyinyi mmenunuliwa?
Wewe subiri tarehe 19 mle kono la nyani
Ibrahim Bacca Koeman
Alafu mashabiki wa yanga wte hamuna akil mnacheza na timu yingne mnaaza kuongelea timu nyingine mna akil Kuna lingne tunafanya nalo kaz ni yanga halina hat akil
😂😂😂😂kwl naww huna akili Sasa mbn unaizngmzia yanga tena😊
Kumamaye zenu mlitumwa kutuumizia wachenzaji mbwa nyie
MPIRA UMETOKA
Yaani mambumbumbu yametok kweny agenda ya kimoko yamehamia kweny kununua mechi yaan mnahaha km mmemeza ugal wa moto
Wanaungishana wenyewe kwa wenyew
Ila gem jamaa wameachia dah ivo wanavokaba aisee sio powa
GSM vs GSM
jaman ile ya baka s penat nayo au refa alikuwa mbali ????😁😁😁😁😁😷😷😷
utasikia makosa ya kibinadamu. hapo mjadala utakuwa umeisha ila ikitokea kwa wengine utasikia wamebebwa au wamenunua mechi😁😁😁😁😁😷
Wamekutana chuma 4
Kweli mpira pesa😂😂
Acha upumbavu wewe. Kwani hujaona kama Yanga amecheza mpira mzuri?!😮
@@jamesmartin7026 kwenye pesa kila kitu uwa kizuri, umeshasahau goli lenu lililokataliwa kule South Africa
Yaani we kolo kwa akili yako ulitazamia pamba amfunge yanga?! Nyie na magoli yenu ya offside na penalty za michongo hamuoni?
@@dennissamora729 Kweli kikosi kipana wachezaji wa gharama mnatoka 1 - 0 na KenGold..!!!? Pamba kwa nni wasiwafunge😂😂😂
@@GeorgeElias-p5o sasa 1:0 ndio kufungwa? Mbona hoja yako haina mashiko!
Sasa ongeeeni Hilo bao la Nne hapo
😂😂😂😂😂😂ki vumbi tarehe 19
Kadi kama njugu😂😂😂😂
Wanacheza mpira wa fujo
SIJAONA goli lolote YOTE ni ya kununuliwa
Kafunge la kwako
Unateseka ukiwa Kijiji gani
Nanyie tutawanunua subiria kibunda sihuwa mnaamini hivyo😂
Na wewe njoo ununue
Goli la nne mpira ulitoka nyie mbwa
Nenda kalirudishe paka
Wanabebwa sana utopolo
@@mohammedkidody5618 achen wivu makolo mmeshaanza nyie mnasahau mbeleko zenu
Hilo lingine liliingia lituumizie boka wetu nahic lilitumwa
unyama
PT
GSM daby
Wana simba yanga siyo saizi yenu anaebisha antoka marekani kwa pppppp
Hii ni meche ya maelekezo hata Yona Amos huo sio uwezo wake kiwanjan
Nyinyi utopolo mnabebwa sana sasa goli la nne goli lile
Unabebeka,..!?
Sema boka 😂😂 bongo movie
Jamaa alikuwa anamuingia sana akaona bora amtengenezee mazingira ya kadi 😂😂😂
@@rayisadesigns2646 😂😂😂
Hahaha 😂
Aliyeona golikipa wakati wagoli la zengelii🤣😂😂🤣 tujuane hapa
Umeona pekeyakooo
@@saidymbagalla6622kolokwinyo hilo limerukwa na akili 😂😂😂
Mpira umetoka kbs mbona mtatia aibu CAF
Wako vizur kimpira
😂😂
Kilema huuo
Na wewe una foundation kwenye tako.
Tunawasumbiria Makolo taree19 watapingika kama yote
UTANIPA ILE KITU NAMESA MESA MWENSAKE?? 😂😂😂
😂😂😂mmoja ana GSM kwenye tumbo mwingine GSM kwenye titi mpira wa africa shughuli 😂
Mamelod sundowns timu ya rais wa caf
@@KhalidHashim-y4n pole sana Kwa maumivu unayoyapata
Tarehe 19 sio mbali sana @cngeze punguza mdomo😂😂😂
Alafu tena kingine
Kolo Unateseka ukiwa wapi😅
Love you yang