Dogo awaliza kwa wimbo wa Aslay
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2019
- __
Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania.
Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young.
*******************************************
Share, Support, Subscribe!!!
Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
TH-cam: / hzbtv
Twitter: / harakatizabongo
Facebook: / harakatizabongo
Instagram: / harakatizabongo
Google Plus: plus.google.com/+harakatizabongo
Website: harakatibongo.com/
#Aslay #Mama #YamotoBand
Daah! nimempenda bule huyu dogo
duniani amna mtu kama mama nampenda sana mama yangu kipenzi R. I. P MAMA kama unampenda mama yako lije
Waaaaau barikiwa sana dogo mboso Fanya mpango huyo mtoto akawe msanii pia
Mashaallh .umeimba vzr mungu akutangulie ufikie ndoto zako
Hongera mtto mzr Mungu akutangulie
Inshalla mungu atakuwa nawe siku zote nakuombea uwe mstaarabu. Ameen
Mama angu hakuna anae fanana na we chini ya jua nakupenda Sana we ni nguzo kwangu Nakupenda sana mama
wimmbo huu hunianya nalia namkumbuka sana my mama
Hinanikumbusha mbali sana
R.I.p my mumy nmekukumbuka sana mama yangu I wish ungemuona mwajina wako synosure.
Nimempenda dogo mungu amkuze afike mahali pazuri kama ilivyo ndoto yake
Nimemkumbuka mama angu jmn.R.I.P mama.kama umetokwa machoz kwa wimbo huu weka like😭
Pole sana
R.I.P mama
Nimemkubali sana dogo
HZB asante
Yusuph ikaku amen
mungu hakulaze maala pema mama angu,naumia mm
Kama umemuona dogo mmoja kaja kuokota ela afu kaludi..tujuane
Ahahahaaaaa
Mtotp huyu ako vizuri sana aseee God bless him
Gonga like kama unajua huyu mtoto amebarikiwa na ataeda far
Daah yan uyu dogo amenkumbusha mama angu,na anakpaji kwel Mungu amjalie
Nice babangu mungu akukuze uje utimize ndoto zako
Nimemkumbuka mama yangu kipenzi,,,,, daima nitamkumbuka mama
Fella upo good Sana mzee Sema Hawa madogo wanaanza kiburi wakiwa wametoka Bila kusahau ww ndo umewatoa,, ccm tu hapo ndo sijapenda Maccm bhana
Safi fella jaman kaka yangu yupo alikuwa Ana kipaj paka kutunga nyimbo anajuwa
Wenye mama ongeren sana tusiye na mama R I P mamy
Pole happy
Usiwaze mungu akutangulie
Kaimba vizur Sana
Badaye atakuwa hatar sana Kwa kuimba mimi mwenyew nataka nisomee mziki
ivi uyu dogo angeenda bongo star tungemskia salama kasema ww katafute jembe ukalime 😁😁😁😁
Mungu mtunzee mama angu nakupend my mum
hongera😘
I love Tanzanian mother's mashallah
Nice music boy dogo
Mashaallah mwanangu
mama ndo kila kitu kwangu nakupenda mama
it remind of my mum whom i can't rem her face i wish angekuwepo mamaa
No one like mom nakupenda sana mama angu kuliko chochote
Hongera sana
Dogo 🔥🔥🔥🔥
hongera mwanangu adi nimelia
Uko sawa sana kijana
katisha Dogo noma sana I see
Saidi fella oyeee
Omidipo
Hongera
Dogo yupo vzur sana
R.I.p my mumy ulale pema pemoni always irember my mumy
Hongera toto
daaa nimelia hii nyimbo acha tu.ila inakela hawa bukubuku tu lo!🙆🙆
Wow!!
Safi fellaaaa
Nimeipenda sana
yuko vizuri
Safi sana
Dogo nomaaaa
anaimba kwa hisia
Rest in Peace my lovery mumy
Takukumbuka daima ulale pema mama angu
Mungu atakulinda dogo
nice
dogo yupo vizur, ila muheshimiwa uvaaji gani huo aisee, au ndo vileeeee tupo kitaani kwetu mbagala
Rajabu Sanani ndo uvaaji wake huo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Recho Mmbaga tatizo hiyo nyeupe inayochungulia hapo mbele ndio imezidi zingua
yupo good
Mashallah
Diamond Mpya.
I love you my mom
Huuu wimbo nikiusikia nalia wallah
Sophia Mose pole sana Sophia ok mzima lakin uko wapi naomba nicheki 0654596677
pole san
He can sing
Vizuri
safi sana dogo
siasa ya mziki kwel
🔥🔥
Dogo umetisha jitahid utafika tu
sisiem bwana naona mnatoa bukubuku tu mnamchomesha na jua dogo na huyo jamaa aloweka mfukoni mwa dogo atakuwa kaweka jero au mia
BABUKA hajawekaa kabisaaa
@@gracemwanjabala8073 Huyo dogo aangalie hii clip afu aende kwenye hio kata akamsake sio kufwata kamera aonekane akati kaweka kisude au kijiti
umejuaje
Hhhhhh htaree snaa
@@veronicamoses4607 kaweka tu mkono mfukoni kasepa
gifted
Good
daa we baba mola akujalie maana wengi wanazurura mitaani tu
Waittt that’s the guy from bongo star search 😭😭
dogo yuko makin na pesa anazo tuzya mpaka ana katakata maneno😀😀😀
Grace Gilbert 😂😂😂😂😂
ongera mtt mzuri
Mtt kaniliza jmn
Big up dogo
Mashaallah omg
Mkubwa Fela amchukue dogo yuko vizuri
Dogo hatali anaimba kwa hisiya
mkubwa felly ubarikiwe sana
Dogo kaniliza yaani maana nimemkumbuka mama
Love you
Dogo noma
ako sawa
Asante fela
Mama Mama mama mpo😭🇰🇪
Yaan hawa jamaa wanatoa bukubuku tu duuuu
Meshack Mganga babaayaoo kabanaa mkwNja
....kagamoj
ccm oyeeeeeeeeeeee
V
0
Thanks
dogo anajua kiukweli
Hakika mama ni mama
yuko vzr
mbona buku ndio nyinginyingi erufu kumi hamna wazee wa ccm
Ccm bana mbona bakhili toeni pesa jamn dogo kaimba.
Aaaa mabuku tu aise !
Gud
anavyoziangalia izo pesa zake apo chini😂😂
Hehehe333
Maxhaalah fera ujajitahidi
Jamani nimelia mtoto ameniliza
R.i.p. mama angu kipenzi
Dogo aimba kwa isia
Dogo aslai hakuwezi ww mpaka unaniliza manaunaimbakwauzuni
R,l,p my mamy
r.i.p mama
Uwezo binafs Dogo mleten wazaw Tz tumsain
Kipaji kikubwa sana ichi
Força miúdo
nimemuelewa kidogo ila akazane atamfikia asley maana sauti yake inakatakata
Kkkkkkk vc entendeu o que eu disse?
MUNGU akubaliki fela
ccm zimwageni hzo pesa huyo dogo wetu ndo rais wa bdae w chama cha ccm mnatoa bukubuk hata mshkak hupat
Dog anaweza lakin kasimama Kama gongo
Inaleta hisia kweli
Yani kaipatia Hadi machozi