Mambosasa Awataja Waliomteka Mo Dewji, Walinzi Wanashikiliwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @mussamzonge2657
    @mussamzonge2657 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu.. Atakupa mbinu zaidi ili we we na jeshi Lako Muweze Kumuokoa MO Dewji..

  • @mussamzonge2657
    @mussamzonge2657 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi.. Mungu atakusimamia.. MO Dewji.. Utakuwa salama..

  • @annaallex3996
    @annaallex3996 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mlinde mo wetu kama ulivyomponya lisu unajua alipo wewe ndie tunaekutegemea ameeeeeen

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 6 ปีที่แล้ว +8

    Mungu ibariki tz pls tumuombee Mo

    • @samiwharuna349
      @samiwharuna349 6 ปีที่แล้ว

      Atapatika kwa idhin ya Allah

  • @eliyalumala2984
    @eliyalumala2984 6 ปีที่แล้ว +1

    jamani nihurumaaa eee mungu mpiganie mo hata alejee uraiani tena amani mungu wetu tuembushie majanga haya

  • @jumaomar1454
    @jumaomar1454 6 ปีที่แล้ว +7

    Tatizo mumewazowesha vibaya watu wasiojulikana waovu wameona tz kufanya uhalifu ni rahisi kw kutumia vizuri kisingizio cha wasiojulikana halafu hawapatikani sasa ndio mujuwe mengi yatatokea

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 6 ปีที่แล้ว +4

    mungu amusaidie wasimuzuru, mo ni msaada kwa wtz

  • @mohamedwanaminyapi9070
    @mohamedwanaminyapi9070 6 ปีที่แล้ว

    jamani Tanzania hivi eneo linalo kusanya watu maarufu hakuna hata camera za ccttv?

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 6 ปีที่แล้ว +3

    Tuludisheni mo wetu jaman

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 6 ปีที่แล้ว +5

    Nyonga wote hao waliomteka mo pumbavu zao wataka tuharibia nchi yetu

  • @jumaomar1454
    @jumaomar1454 6 ปีที่แล้ว +7

    kumbe watu wasiojulikana ni wazungu

  • @wilbertcharles9129
    @wilbertcharles9129 6 ปีที่แล้ว +1

    NANI AJUAYE

  • @zakaliajuma2652
    @zakaliajuma2652 6 ปีที่แล้ว +1

    walio mteka mo wanyongwe hakuna msamaha

  • @salehsuleiman7856
    @salehsuleiman7856 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahha bongo bana TETESI KULIKo LIKUU ENGLAND Rejesheni mo

  • @fatmamasoud6243
    @fatmamasoud6243 6 ปีที่แล้ว +4

    mnanitindinganyaaaa makondaaa amesemaa amepatikanaaa Arpc unasemaa ajapatikanaaa mh Mtindinganyooo poleeesan familiayakeee

    • @zahararajabu4169
      @zahararajabu4169 6 ปีที่แล้ว +1

      We nawe usiniache nicheke jaman uwiiii eti mnanitinganyaaa😂😂😂 fatma weye

    • @tatukachingwe2290
      @tatukachingwe2290 6 ปีที่แล้ว +1

      Haaaaaaaaah ,nimecheka htr ,,aneyo ya lyamba ambi kweli vanimmona

  • @gidohaule1473
    @gidohaule1473 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna aman hapa

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 6 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi letu tukufu mpaka sasa hakuna abari yoyo kuhusu MO sitaki kuamini kama hao wanao itwa majambazi wamewazidi akili kweli hii Habari sio local tena imekuwa International jamani jitaidini mumpate please please Dunia anasubri kuona kazi yenu msituanguahe jamani

  • @arnoldalphonce6877
    @arnoldalphonce6877 6 ปีที่แล้ว +1

    Daah nishida

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 6 ปีที่แล้ว +3

    Sasa wanasema wamepata wamempatia wapi???

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 6 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hii bongo haya matukio yamezoa watu wanatekwa kiboya daah kweli bongo ya viwanda

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 6 ปีที่แล้ว +1

    Daa no huzuni kubwaaa

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 6 ปีที่แล้ว +1

    Hao wakikamatwa yaani ni wakatwe vichwa sio wapelekee kwenye vyombo vya sheria.

  • @emmanuelnyove8292
    @emmanuelnyove8292 6 ปีที่แล้ว +1

    Je!wakipatikana mtatuonyesha watekaji tuwajue maana tusha wachoka hao wanaolitesa jeshi la police sasa nivema tukawaona ili tuwajue na sisi RAIA.

  • @shekilashekilaabudulha5038
    @shekilashekilaabudulha5038 6 ปีที่แล้ว

    Juma Omar mbavu zangu mieeeeeeeee😆😃😃😃😃😃😃

  • @raphaelgitorobo5075
    @raphaelgitorobo5075 6 ปีที่แล้ว +1

    mkuu kama ni wazungu piga pini wazungu wote wajute make hawa watekaji wamezoa sisi watanzania utamaduni wetu ni kuwakarim wageni na kuwaheshimu sasa wageni wamekuwa makambale wanataka kutukoronga hata mm sikubali kuaibishwa

  • @kabaisamtotowamama5226
    @kabaisamtotowamama5226 6 ปีที่แล้ว +4

    Uzuri kwamba munawajuwa walio mteka tulizoweya watekaji niwale wasio julikana ila kumbe wazungu bas ndowalo mpiga risasi lisu ao

  • @danielmmbaga976
    @danielmmbaga976 6 ปีที่แล้ว +1

    amewataja wapi nyie mnaotuma habari huku hebu andikeni vichwa vya habari vinaoendana na kilichosemwa ndan ya habari,maana hapa umeandika mambosasa ataja waliomteka MO alafu sivyo.

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 ปีที่แล้ว +5

    Duuuu bongo ya viwanda

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 6 ปีที่แล้ว +2

    sasa weye unasema wanatafutwa na makonda anasema wamekamatwa sasa nani uongo kati yenu

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 6 ปีที่แล้ว +5

    Hiv jmn kuna askar mweume

    • @robertpeter4283
      @robertpeter4283 6 ปีที่แล้ว

      Wapo wengi tu

    • @robertpeter4283
      @robertpeter4283 6 ปีที่แล้ว

      Ni wengi lakini rangi kama hizo ni nyeupe ni sura ya kaz

  • @binissah2651
    @binissah2651 6 ปีที่แล้ว +3

    Makonda asema amepatikan sijajua kwa taarif hizo ni sahihi aula mwachangany maneno viongozi

  • @imanimayala8443
    @imanimayala8443 6 ปีที่แล้ว +3

    Tz hakuna amani tena..

  • @almacyokha4199
    @almacyokha4199 6 ปีที่แล้ว +1

    Serikali imesema mtulie

  • @abdulyusugh1559
    @abdulyusugh1559 6 ปีที่แล้ว +1

    Bora Ahamishie viwandavyake vyote Zambia

  • @saeed6811
    @saeed6811 6 ปีที่แล้ว

    Tajiri mzima weka gym nyumbani. Unatakia nini gym za uswahilini?

    • @benjaminmike9778
      @benjaminmike9778 6 ปีที่แล้ว

      Gym penye watu ndo raha! Yake, Nyumbn peke yako pagum, gym inahtaj moyo

    • @saeed6811
      @saeed6811 6 ปีที่แล้ว

      6ix 9ine unaweza alika watu wenye hadhi yako na marafiki wakaribu. Mimi niwe billionaire siwezi zunguka hovyo bongo uswahilini.
      Muda umefika serikali walazimishe Hotel’s and public areas ziwe na CCTV systems.

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 ปีที่แล้ว

    Tatizo mmezoea kukamata wanasiasa mnaacha kukamata waarifu nyie endelea kufua makucha mnaaribu sifa ya nchi

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 6 ปีที่แล้ว

    ?

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 6 ปีที่แล้ว

    moooo jmn ao watakuwa yanga

    • @thabitimgeni4413
      @thabitimgeni4413 6 ปีที่แล้ว

      MZEE ULOMBE MPENZI WA SIMBA ISHALLAH MUNGU YUPO N.A. ATALIFANYIA WEPESI N.A. NO ATAPATIKANA AMIN

    • @jumakije4471
      @jumakije4471 6 ปีที่แล้ว

      hebu hachen masihara katika hoja za msingi jmn,mambo ya yanga na simba zungumzeni kwenu sio ktk media na ishu mzito kama hizi, basi ww utasaidia jeshi la polis maana watekaj unawajua

  • @omanmuscat579
    @omanmuscat579 6 ปีที่แล้ว

    Ww Mjinga Una Akili Tena Mpumbavu Umeambiwa Ni Wazungu Yanga Kn Wazungu Km Mzungu Yupo Simba.Basi Ametekwa Na Manara Ameshirikiana Na Wenzio Ngutuwe Ww

    • @jumakije4471
      @jumakije4471 6 ปีที่แล้ว

      Oman Muscat nan analeta uyanga na usimba ktk hili #tumsokemezendani

  • @mohamedwanaminyapi9070
    @mohamedwanaminyapi9070 6 ปีที่แล้ว

    jamani Tanzania hivi eneo linalo kusanya watu maarufu hakuna hata camera za ccttv?

  • @mohamedwanaminyapi9070
    @mohamedwanaminyapi9070 6 ปีที่แล้ว

    jamani Tanzania hivi eneo linalo kusanya watu maarufu hakuna hata camera za ccttv?

  • @mohamedwanaminyapi9070
    @mohamedwanaminyapi9070 6 ปีที่แล้ว +1

    jamani Tanzania hivi eneo linalo kusanya watu maarufu hakuna hata camera za ccttv?

  • @mohamedwanaminyapi9070
    @mohamedwanaminyapi9070 6 ปีที่แล้ว

    jamani Tanzania hivi eneo linalo kusanya watu maarufu hakuna hata camera za ccttv?

    • @jumakije4471
      @jumakije4471 6 ปีที่แล้ว

      Mohamed Wanaminyapi wanasena cctv zilikua zinaonyesha chenga eti!!!? daah hii nchi ht hailewek inaelekea wapi jmn, #bring_back_our_modewj