KOFFI OLOMIDE ASHUSHWA STEJINI KENYA KISUMU PERFORMANCE MBOVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 156

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw วันที่ผ่านมา +12

    As my opinion ipo siku nchi zote za Africa zitachukia Kenya na kamwe Kenya itashindwa kabisa kupanda kimziki labda watu wenye busara zao waonbe msamaha. That is it❤❤❤❤❤

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา

      Organizers 😢😢wanachoma cv

    • @jamesnjiru5928
      @jamesnjiru5928 วันที่ผ่านมา

      Tutasikiza za kwetu.

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw วันที่ผ่านมา

      @@jamesnjiru5928 ok fine♥️♥️

    • @ledeajoasu3119
      @ledeajoasu3119 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      John kushidwa sio jina letu kenya inaenda kuinuka Africa mzima tukianzia na pesa zetu nakuombea hio siku ikupate ukiwa mzima wa afya tutaombea taifa letu akuna chochote kibaya kitasimama kwa anga ya Kenya juzi uliona Diamond.

    • @ledeajoasu3119
      @ledeajoasu3119 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kenya ni kipenzi cha mungu chuki aina nafasi kenya

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mkenya anaejuwa kuimba best singer ni otile na masauti
    Ndio best singer Kenya

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂hapo pa kuimba na kuji record was very funny aki😂😂😂

  • @KhafswaNgao-u6e
    @KhafswaNgao-u6e วันที่ผ่านมา +6

    Wenye wanaabudu miungu hawana makao Kenya .coz Kenya n nchi ambayo imetakaswa 🎉

    • @TesileaiaNestoly
      @TesileaiaNestoly 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mtakaswe na nani na roho zenu mbaya amtofanikiwa kimuziki kamwe ❤

    • @emmiemmi3861
      @emmiemmi3861 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kenya ni nchi ya mauaji

    • @ikram-x3m
      @ikram-x3m 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hivi unaongea au unaharisha hapo ulipo? Kenya imetakaswa wapi mmejawa na usenge,Ujuaji na Upumbavu.Mziki hamjui mmebakiwa na wivu na ujinga kwenye vichwa vyenu

    • @TesileaiaNestoly
      @TesileaiaNestoly 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@ikram-x3m sjui wame changanyikiwa

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 nchi inanuka pombe eti imetakaswa hahahhah

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakenya mna laana kwa kweli🥵🥵🥵🥵

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yesss hawataki wanawivu ssaaan Wa Kenya

  • @eddynaingasian2813
    @eddynaingasian2813 วันที่ผ่านมา +12

    Maombi yanafanya kazi...altars are being raised to restore our land kenya. Wageni wanafaidika ila wenyeji wamefanywa watumwa. God said "I will restore you again..." yeyote atakaye kuja na mambo ya sirini madhabahu yatamkataa. Watachanganyikiwa . Kenyans unity n love is being restored🎉❤

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw วันที่ผ่านมา +5

      Hata mwenyezi Mungu hapendi maombi ya hivo eti kuchukia wengine ndo tufanikiwe ila tukiweka juhudi na kuzidisha upendo Mwenyezi Mungu atasimama nasi ❤❤❤❤thanks

    • @PamelaHezron
      @PamelaHezron วันที่ผ่านมา +6

      Muziki ni hisia dear Kama unavyopenda mume au mke huchagui rangi au kabila huwezi sema nasaport vya nyumbani ili Hali hajapenda ndani ya moyo wake.

    • @kanoleausi4204
      @kanoleausi4204 วันที่ผ่านมา +4

      mawazo ya kijinga kabisa, labda kama una hoja nyingine 😂

    • @LLl-p4r3l
      @LLl-p4r3l วันที่ผ่านมา +1

      Nikweli ila Kuna watu hawaelewi hicho kitu juu Iko kiroho mungu anarudisha kilicho potea ❤❤❤

    • @tanzaniatouristsattraction1622
      @tanzaniatouristsattraction1622 วันที่ผ่านมา

      Ur verry stupid

  • @Stans_Tz
    @Stans_Tz 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyerere alishawahi kusema dhambi ya ubaguzi ni dhambi mbaya sana. Leo mnawachukia watu kutoka nje kunasiku watu wa nje wakiacha kuja Kenya mtaanza kubaguana ninyi kwa nyinyi.

  • @maduhualoyce5684
    @maduhualoyce5684 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe muongo change iko chini Kwa Sasa Kenya Ni 18 only

  • @deniswxyz
    @deniswxyz วันที่ผ่านมา +6

    Hii mambo ya voiceover Wakenya wamekataa. Diamond na Koffi ni bingwa wa lipsynching

    • @Mina.15
      @Mina.15 วันที่ผ่านมา

      We koma diamond live free rent in you guys head 😂 kaoshe mapumbu

    • @alisoncarol8504
      @alisoncarol8504 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Mina.15lakini ni ukweli. Wacha siasa,it's well documented, they lipsynch most concerts.
      Also diamond is diddys booty toy so there's that.

    • @alisoncarol8504
      @alisoncarol8504 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      True 👍🏾, halafu tiko 15k😮 , wawache jokes.

    • @mejjarsagent227
      @mejjarsagent227 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Without kenya diamond succeed in doing liposuction 😂

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo mbona hata kina Chris Brown Burna Boy na wengi tu wanaimba hivyo
      Kama hakuna instruments hapo ndani live itawezekanaje?

  • @JobConstantine
    @JobConstantine 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KENYAN UKABILA UMEOTA MAPEMBE UMEKOMAA SASA IMEKUWA UKA-Taifa

  • @loicekhanali-xd5xz
    @loicekhanali-xd5xz 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Very short and clear ❤❤

  • @Amira1977-y
    @Amira1977-y วันที่ผ่านมา +5

    KENYAN MUST TO THAT!!!!!! VURUGI BILA SABABU ONLY UJINGAAAAA!!!!!! STOPPPPPPP!!!!!!!! DAIMONG HAKUSHUKA KABISAAAAAA KWENYE GARIIIII!!!!!!! WILLY POLLY ALIPIGWA NA WAKENYA WENZAKEEEEED!!

    • @DaianaMakangai
      @DaianaMakangai วันที่ผ่านมา +3

      😂😂😂😂 mtajua hamjui 😂😂😂😂😂 Na bado hiyo n kionjo tuu😂😂

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา +2

      @@DaianaMakangai🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️

    • @DaianaMakangai
      @DaianaMakangai วันที่ผ่านมา

      @@kgchippy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🫣🫣🤸🤸🤸🛌

    • @Amira1977-y
      @Amira1977-y วันที่ผ่านมา

      @@kgchippySUMU NI KENYA NA WAKENYA!!!! AM KENYAN TOOOO

    • @marykamau1293
      @marykamau1293 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      U come for our money so give us quality is not we teach u a lesson u don't steal😢

  • @bonirodi6301
    @bonirodi6301 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kenyan we canot go international alone let stop this 😢

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Inatimia sasa it's end time mataifa yata pigana,watu watapigana ndugu watageukana so peleleza moyo wako maneno ya ooh kenya itachukiwa na wewe ni mkenya,linda imani yako yesu akirudi ujue utakuwa wapi

  • @LukeOtieno-j6t
    @LukeOtieno-j6t วันที่ผ่านมา +4

    Kwanza wakenya wapewe first preyority .

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 วันที่ผ่านมา

      Wakenya wapi?

    • @heritierikofo4522
      @heritierikofo4522 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndio waimbe nini

    • @johnsamweltz6597
      @johnsamweltz6597 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpewe first priority wakati hamjui kuimba?

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz วันที่ผ่านมา +3

    Nyimbo ya kiswahili iliimbia wap au utujie Nyimbo hio

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา

      Ft Diamond nd African Princes 😅

  • @shalynemadahahana
    @shalynemadahahana วันที่ผ่านมา +2

    Altars are being raised to restore our land ...Maombi yameanza KAZI

    • @Mina.15
      @Mina.15 วันที่ผ่านมา +1

      Restore unga and jobs

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@Mina.15 Pray for the dry land 😇🙏🏾

  • @George-lg6hx
    @George-lg6hx 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wee hujui kilichotokea, koffie alikuja pekeyake bila waimbaji na dancers ilahali, watu wamelipa mamilioni ya pesa

    • @kgchippy
      @kgchippy  13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hao dancers ndio wanakamilisha “band” ndio nkasema hakupiga live band kama tulivyomzoea Koffie kwa shows zake🫢Jamani ulkua umepata pakureject taari🤣😂

  • @bossej1212
    @bossej1212 วันที่ผ่านมา +4

    Shida sio organisers. Wakenya wamekataa shetani. Wamekataa waabudu shetani kwa nchi yao. Kitu imebaki ni kuchoma tu shetani. Shetani atachomewa tu Kenya

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Naona shetani kamfanya mpaka ruto aseme uongo adanganye gramy kalipa mahela mingi😅😅

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mikundu nyie shetani ni nani

    • @ledeajoasu3119
      @ledeajoasu3119 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amen bossej Mungu akubariki Wachana na wanao kutusi kenya waabudu shetani washidwe by fire by force

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Watu mna support ndoa za jinsia 1 alafu ndio mseme hakuna uo ushetani 😅

    • @alisoncarol8504
      @alisoncarol8504 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@bakarikayugwa3295matusi ni ya nini

  • @Susan-po7ky
    @Susan-po7ky 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu ni mjombake Diamond😂😂

  • @selestinemakhungu1890
    @selestinemakhungu1890 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    God is working against demons in our land you will fear yah and owner Him in kenya

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Singer wangine ni kelele tuu

  • @emmakicham4664
    @emmakicham4664 วันที่ผ่านมา +3

    Hii chanel yako ni kuongelea tu mambo ya kenya 😂😂😂😂😂.. wueeh si mnajokes

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา

      🙆🏽‍♂️uko sure?😊

  • @daniellaelsie744
    @daniellaelsie744 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbona aimbe wimbo wa Diamond

    • @kgchippy
      @kgchippy  13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nadhani walkua na collaboration zaidi ya ngoma mbili

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fitna zenu kwa Diamond ni mibaraka mbele za Mungu. Na bado muta shuhudia success yake kwa macho yenu.

  • @Susan-po7ky
    @Susan-po7ky 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Christine shusho nxt 31st ukileta upuuze tunakupeana kwa Stevo simple akushughulikie na hatucheki

  • @TesileaiaNestoly
    @TesileaiaNestoly 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tanzania tunapokea wageni wengi kutoka nnje ya nchi kuja kufanya show na tunawapenda na kuwa karimu atuwazi mbona uyu kapokelewa vizuri mgeni lazima ukarimu sababu aupo nae siku zote ndomana mziki wetu unakuwa nyie bakini na hizo roho zenu mtakachokuja vuna hamto amini

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wa Kenya wana wivu

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 วันที่ผ่านมา +2

    Kenya nchi ya watu wapumbavu sana sijawai ona hii mishetani

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา

      😢🥹😳

    • @oo-pd3xi
      @oo-pd3xi วันที่ผ่านมา

      Kwenda huko.

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa hivyo unataka nini wewe mjanja😂😂😂?

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Warudi nama pepo yake pamoja napididi kwao sahii kenya mungu dio ana pingana nama pepo kabsa juu huu mwaka waisha warudishe huko kwako kabsa kwajina layesu

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 วันที่ผ่านมา +1

    Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakenya wanaubaguzi wa hali ya juu, kumbukeni kuna ukabila bado they’re struggling to go through

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    NYOOSHA MAELEZO BANA. DIAMOND HAJAFUKUZWA JUKWAANI WAKENYA HUO MNAFANYA MAMBO YA KISHAMBA

    • @riosingingandmore8224
      @riosingingandmore8224 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🔥🔥📌

    • @mejjarsagent227
      @mejjarsagent227 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukiwa ni ushamba mbona diamond asi perform tanzania mbona aje tu kenya ila hali kuna inch mingi Africa mashariki

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapo sawa wakenya unatoa pesa afu wanaimba kwakujiskia

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ushaba umetawala kenya

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 วันที่ผ่านมา +2

    Dhambi ya ubaguzi itawatafuna sana wakenya na mjue hakuna mtu ata support wasanii wenu. Samaki huji kaanga na mafuta yake.

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ndo maana hawatambuliki sio kimuziki Wala kimpira

    • @mejjarsagent227
      @mejjarsagent227 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bila kenya wasani wa tz hawana lolote

  • @Wfidelis
    @Wfidelis วันที่ผ่านมา +2

    Wakenya wameanza kuchanuka sasa ata refugees hutuwataki kabisa wamehatibu kila kitu hapa kenya

    • @sammycosta-j6d
      @sammycosta-j6d 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uzuri tuna pesa Ile inakaribia sana kumaliza nguvu ya dollar naigeria Uganda Tanzania Congo wana beba zao kwa gunia ama wheelbarrow.marikani pia dollar aina nguvu Tena ndiyo maanake wamarikani wana kuja ku perform huko.😂😂😂😂

    • @Wfidelis
      @Wfidelis 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @sammycosta-j6d aki

  • @Niika870
    @Niika870 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakenya ni wabaguzi

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq วันที่ผ่านมา +4

    What was the conversion to Tz shillings in aid of? Kenyans please understand. Currency values are never as simple as that. I used to tie myself into knots deciding whether to buy say a shirt for USD 20 because it would mean a frightfully lot of money in my home currency. A Kenyan in Tanzania will change his currency for a ward of Tzs but that will not make a purchase in Tz any cheaper to him.

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา

      Facts 100% and because of large audience it’s not a crime to define the amount into Tzs though am sure the value doesn’t change whatsoever

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 วันที่ผ่านมา +3

      HUO SIYO UZALENDO NDUGU ZANGU, HUO NI USHAMBA NA UPUUZI. HUKU NI KUICHOMA CV YA KENYA KIMATAFA... HALI HII IKIENDELEA NINA WASIWASI NA HATMA YA KENYA KUTOBOA KIMZIKI NA HATA KIMAHUSIANO NA WAAFRIKA WENZAO KIMATAIFA HASA KUANZIA NDANI YA AFRIKA!! 😢

    • @christineamlinger5630
      @christineamlinger5630 วันที่ผ่านมา

      ​@rayisadesigns2646 I'm just going to give it to you straight, we don't care kwani mziki ni chakula, pia ngoja uone wenye kulipwa kama watakataa pesa watakuja Kenya kuperfom tu😂😂

  • @makambakoonlinetv7971
    @makambakoonlinetv7971 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubaguzi

  • @EuniceMrengi
    @EuniceMrengi 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kg si unipee no.yko kuna issue ntk tuongee sina nia mby lkn

  • @kitomondo
    @kitomondo 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapo nawaunga mkono wakenya. From Tz

    • @luendosabah2047
      @luendosabah2047 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wakati wa Diamond mbone haukusema.?

    • @kitomondo
      @kitomondo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@luendosabah2047 Ule ulikuwa ni ufala wa Willy Paul, there was no substance at all, pure rubbish on the Kenyan side. Ule ni uchawi, they were not short-changed.

    • @Niika870
      @Niika870 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe sio MTZ mbwa wewe

    • @kitomondo
      @kitomondo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Niika870 Hehe.... We kweli kipele. Yaani nilipe laki tatu halafu uje kuimba na maspika huku unajipiga selfie? No!

  • @RutiMasaryk
    @RutiMasaryk 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simlipe wasaani wengi kwan lazima muwalete

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 วันที่ผ่านมา +2

    Leo sina usemi😅😅

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา

      😊

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa wakenya wanaroho mbaya wauaji ukiona vurugu ondoka damu nje

  • @RutiMasaryk
    @RutiMasaryk 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Let make it clearer simba hakukataliwa Kenya , ni yeye mwenyewe aliondoka baada ya kuona muda wake wa kupanda juukwani uliisha,

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakenya watangukia pua things doesn’t work like that, shida ni kwamba ni ujinga wa watu wachache

  • @Mkurungwe
    @Mkurungwe วันที่ผ่านมา

    Jiepushe na mwafrika mlevi atakuja kukuletea kesi nyumbani kwako wakilewa ni madaimono wote
    😂😂😂😂😂

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂eti anaingia TikTok live huku anaimbia watu 😂😂😂😂what a nonsense ?😂😂😂😂 Kwangu Mimi sina idea langu ni tupendane tuache ubaguzi ndio pia biashara zitasonga na kwendelea tukiweka ukabila na mapendeleo tutafel africa 🌍 tungekuwa united Maisha yangekuwa simple and easy anyway Kenya fanyeni mnavyio taka am already tired of you guys 🙄

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา +3

      Ako tiktok live na anaimbia watu wamelipa ksh.15k KISUMU, he was playing with different community 😂😂

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 วันที่ผ่านมา +1

      @kgchippy 😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌 hiyo Kali sana

    • @EstherAchieng-m9d
      @EstherAchieng-m9d วันที่ผ่านมา

      Kenya sio inchi ya kuchukua pesa too..we need respect... because we love our africa..and also we love each others..mwenye atatu respect..na we are tired na maixa so.. so tukienda xerehe tukireduce stress....ukiona tumeingia ndani wanatuona mafala...so from now artist peyote mwenye hajapiga collabo na kenyàn artists tusiatendy show zao....

  • @estherochieng4848
    @estherochieng4848 วันที่ผ่านมา

    😂😂 ndiyo hiyo

  • @siti3197
    @siti3197 วันที่ผ่านมา

    Wange nipea mm hizo pesa mnk naon hwana kz nazo😅😂😢

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaroho mbaya.kam.sura zao

  • @Mkurungwe
    @Mkurungwe วันที่ผ่านมา

    Leteni wasanii walio na maadili maudhui na adabu si vikorogosi wanakuja kutukosea heshima nyumbani kwetu we don't do that away
    😂😂😂😂😂😂😂

  • @EstherAchieng-m9d
    @EstherAchieng-m9d วันที่ผ่านมา

    Ruto wakati wa siasa ukifika..utaona venyenye coffin na die made walivyo fanyywa hpa Kenya..

  • @LucyWambui-qr1pw
    @LucyWambui-qr1pw วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DicksonVisima
    @DicksonVisima วันที่ผ่านมา +1

    Sasa nibola mbaki na Kenya yenu

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 วันที่ผ่านมา

      Shida yenu ni kushughulikia na mambo ya kenya sanaa😂😂😂😂mind ur business

    • @mkarimuofficial9192
      @mkarimuofficial9192 วันที่ผ่านมา +2

      Kwani kenya hua nikama uarabuni?😂😂

    • @kgchippy
      @kgchippy  วันที่ผ่านมา

      @@mkarimuofficial9192😂

    • @Deecool274
      @Deecool274 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@mkarimuofficial9192 sio hivo ukweli ni kwamba huku watu skuizi Hawakubali kubebwa ufala ilianzia wanasiasa na hata kwa tamasha ukipromis divai kenya kamwe hutakubalika kupeana maji. Mopao tunampenda but haikufaa tuambiwe anakuja kuperform live na bendi tulipe 15k ndio tuchezewe flash disk instead aimbe ni kama uizi kwa upande wa organizers

  • @DaianaMakangai
    @DaianaMakangai 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 mnadhania hizo pesa tuna tunarokota Na hii hali yya presindent unaeza chezea pesa zao 😂😂😂😂😂😂 n kubaya , don't try Kenya 🤣🤣 na huwa hatupendi ujinga bana 😂😂

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kenya ni selfish sana, sasa wanasema Koffi anaringana na nani hapo kenya? Mpaka wafike hatua ya kumwambia kuwa haimbi vizuri. Msifikilie mko smart sana

  • @Mkurungwe
    @Mkurungwe วันที่ผ่านมา

    Hatutaki upus in Kenya kofi olomide kicked a woman infront of our eyes
    Pigwa teke
    😂😂😂😂😂
    who allowed him back if you want to perform in Kenya behave
    😂😂😂😂😂😂😂
    Chuom is there
    But bow down
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtafikia hatua mtawafukuza hata watumishi wa Mungu 😂😂😂

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wa Kenyan wana ujinga wa illuminated ,uchawi tu ndoo wanajuwa,namawuwaji.

    • @kgchippy
      @kgchippy  13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙆🏽‍♂️🥹🙆🏽‍♂️🥹

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 วันที่ผ่านมา

    Wakenya unamaliza miuzik kwani africa yote ina angaria haya ninayo unafanya poleni sana mziki wenu zitaisha hapo kenya tu si mataifa sasa

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa nimeshangaa mpaka Mchungaji fulani NAE anasisitiza eti wasanii wa nje wasialikqe Kenya,Amesahau Kuna wakenya wamesaidiwa na WATANZANIA NDIPO wakajulikana huko Kenya, ok Wacha inyeshe tujue panapovija!!

  • @fredrickobonyo2299
    @fredrickobonyo2299 วันที่ผ่านมา

    Huku atutakangi ujinga hata president ruto mwenyewe ataona wakati wa campaign yake

  • @Mina.15
    @Mina.15 วันที่ผ่านมา +1

    JEALOUS AND HATERS

  • @ototek8037
    @ototek8037 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani mnazani Ruto anashida? Ruto ni bonge la raisi tena anajielewa! Tatizo lipo kwa wakenya..hawana afya ya akili, vichaa ni wengi! Uchumi utaporomoka sana kenya, hakuna muwekezaji awekeze pesa yake kwenye nchi ambayo serikali yake inaamlishwa na wananchi

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WEWEEE DIAMONDPLATNUMZ HAKUSHUSHWA OFF STAGE MUONGOOO MKORAA WEWE ACHA UONGO STOP MISLEADING PEOPLE SHENZI PRESENTER

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    CHIPANDE THE LIAR LIAR YOUR PANTS ON FIRE 🔥

  • @bengang3265
    @bengang3265 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Reference zako ni za Tz mpuuzi wewe.iyo pesa yenu kubwa mkija huku mtanunua bithaa kwa kiwango kile kile almando

  • @MusaJuma-y6s
    @MusaJuma-y6s 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakenya kweli wajinga sana chuki haiwspeleki mbali