Me naoba ukumbusho kwa vijana wanaomaliza F4 maana wapo wengi mtaani kwangu bila kazi. Natumai utanizingatia uncle. Piga kazi ucle hakuna kupumzika Mungu ashakuchagua.
Ila Kwenye Changamoto Unapo sema NI kama Break Mkuu Kuna Changamoto Zingine Aisee Sio hee We Acha Tuu Sisi Tunaitaga Hendbreak Yan Ukifunga Tu Biashara Imeishia Hapo Hapo😂😂😂😂😂
Ila mwalimu Kuna swali umeuliza maana ya brake ni nini hukutuliza kama gari halina brake mbona bado sijakuelewa vile Niko Jiji la Nairobi nielimisheni zaidi ama mnifunze kimombo kidogo labda huenda nikaelewa zaidi sana👉🙄🙄😡
Dhaah,sina chakukupatia kak lakin mwenyezi mungu azidi kukuweka na akuzidishiye busara,asante saana kk😇🙏
Zamani Salama sasa sio sawa sawa kuna haja ya kutafakari kwa niin
Mungu akupe maisha malefu❤❤❤ili tuendelee kujifunza kizazi nakizazi🙏
Ma sha allah asante yarabi mola akipe mengi
Amen
Amos , mwalimu nakukubali toka DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩...
Nakufata kila mara tangu 2018
Mungu Akupe umri Mrefu na Afya Professor
Nimejifunza busara kubwa sana kaka Amosi.
Asante sana
Kazi nzuri sana Mwalimu..Idea ya brake imenifungua macho
Ahsante Sana mwalimu,,, Kiongozi wangu,,Be blessed Sana sana
Amen
Yaani natamani uwe unatoa tu every end of the week maana da u make me happy
I appreciate you Mwalimu 💪🏾💪🏾🙏🏾
Thanks
Bravo bravo 💥💥😁... Mola akujalie kila jema 💥💥
Ww jamaa nakufatilia sana unajua sana, hongera sana kaka, nawaza sana km ungekua unapewa bajeti ya nchi uipange ww sijui ingekuaje 😅
Asante sana
Asingeweza kupanga bajeti maana kila kitu kina matlaba yake
Aiseeeee nimepata somo zuri.. ubarikiwe sana brother 🙏
Amen
Nakuelewa mjomba...unanielimisha sanaaa
Wow nice one. Now I know the reason why we have brake on the car.
i love your work amos
Me naoba ukumbusho kwa vijana wanaomaliza F4 maana wapo wengi mtaani kwangu bila kazi.
Natumai utanizingatia uncle.
Piga kazi ucle hakuna kupumzika Mungu ashakuchagua.
Imekaaa poaaa sana unafikiria sana kala
dibaji zako mjomba nakubali sana. 254 tuko pamoja
safi kaka naku bari
Kaz nzuri xan kk amosi
Mwal nko dodoma nawezaje kujuona kwa ushauli nmekuwa nikifatilia. Video zako sana
Merci beaucoup pour la vidéo 🤝🏽✊🏿✊🏿
Nakubari mwanang
mule mule mzeee ndan ya key umeua
Eeh bwana eh 👌💯
Wapi siku hizi kaka
Una make sense big up ma man.
Napenda unavyo fikiria mwalimu.
teacher 🙌🙌
Safi sana brother
🥱🥱🥱🥱umenitia moyo jamani
Ila Kwenye Changamoto Unapo sema NI kama Break Mkuu Kuna Changamoto Zingine Aisee Sio hee We Acha Tuu Sisi Tunaitaga Hendbreak Yan Ukifunga Tu Biashara Imeishia Hapo Hapo😂😂😂😂😂
Asante Mwalimu 🙏
unatisha sana
Nicee one 🙌
Mfano hai Ubarikiwe sana
Amen
Well said🙊
😄😄😄🙏🙏🙏 Ahsanti....!!!
Sitachoka kukufuatilia .Najifunza kila siku kupitia mafunzo yako yenye hekima na ufahamu.
wa kwanza🔥👏
unatishaaa bcc up
Maoni: vizuri ukifanya studio audio baada hapo video clip inapendeza zaid ya hivi unavyo fanya sasa .
Hakika
Hi, brother
Great thinker 💪
Haujakosea🇧🇮🇧🇮
Asante kwa elimu nzuri
Asante pia
Nmeelew na nmetambua najua umenielew kaka
respect brooo
Acha tuendeelee na changa moto zetu.
Pole sana kwa changamoto
@@AmosMwijonge asante Mwalim
Nimekuelewa
Kwakweli kabisa
Safi✅
Teacher Amos
Fact bro
One love
Fikiri kabla ya kufikiri
💣💣
Mtu na nusu
🤔
Ila mwalimu Kuna swali umeuliza maana ya brake ni nini hukutuliza kama gari halina brake mbona bado sijakuelewa vile Niko Jiji la Nairobi nielimisheni zaidi ama mnifunze kimombo kidogo labda huenda nikaelewa zaidi sana👉🙄🙄😡
P1
😂😆😆😆😆
Thanks bro
Leo hukuongea point .
Unavunja laws za physics .
Pia As Automobile engineer umetoa non sense example.
Pole sana Bw. Engineer
As Engineer It seems like you did not understand THE POINT.
Pole tena
Sikiliza zaid ya mara moja utaelewa. Mfano sahihi sana alioutoa.
Siio kosa lako. Kosa la Elimu yakoo