Odemba, unafanya vyema sana kuandaa midahalo. Tatizo lako KUBWA una-MILIKI mdahalo. Wewe kazi yako ni Kuongoza mazungumzo kea kuuliza swali. Jibu linalotolewa na Mshiriki si jibu lako, ni jibu kwa wasikilizaji(Audience). Na ndiyo wanaomjudge huyo Respondent wako. Wewe ni channel tu! We Sawa na hao wanaouliza maswali.
Vipi Mwamba amekuwa na majukumu mengi? uenyekiti nao siyo mchezo au kaanza tabia za wale wavaa kijani, uwa wazuri kwa kukimbia midahalo kama hii😂😂 uku kwa wakunja ngumi hatujazoea watu kula winga😂
Wanao sema kura kwa lisu naomba like zenu
Mdahalo mzuri.
❤❤❤😂❤ star tv
Chief 🎉 unafaa kuwa jaji mkuu wa tz
Odemba, unafanya vyema sana kuandaa midahalo.
Tatizo lako KUBWA una-MILIKI mdahalo. Wewe kazi yako ni Kuongoza mazungumzo kea kuuliza swali. Jibu linalotolewa na Mshiriki si jibu lako, ni jibu kwa wasikilizaji(Audience). Na ndiyo wanaomjudge huyo Respondent wako. Wewe ni channel tu! We Sawa na hao wanaouliza maswali.
Mbowe kaingia mitini
Vipi Mwamba amekuwa na majukumu mengi? uenyekiti nao siyo mchezo au kaanza tabia za wale wavaa kijani, uwa wazuri kwa kukimbia midahalo kama hii😂😂 uku kwa wakunja ngumi hatujazoea watu kula winga😂
Hawaii huu moto😂
Ila Odero eti kuaminiwa na mke na watoto wake ndio anastahili kuwa mwenyekiti
Huyu odemba ajifunze kuuliza maswali straight sio aah aaah aaah nyingi na kurudia rudia statement binafs zinatoa attention na zinaboa wala sio utaalam sana kivile
Wapi Mbowe?