Zuchu ft Diamond Platnumz - Litawachoma Behind The Scene

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 331

  • @harunaiddy9433
    @harunaiddy9433 4 ปีที่แล้ว +3

    Ninaposikia sauti ya Zuchu hakina nahisi wa baridi kama ningelikuwa ninauwezo ningejitahid kila hali nimtafute na nimwambie naitaji kumuoa tena yaan nikimuona kwenye runinga machoz yananitoka
    I LOVE YOU TODAY AND FOREVER

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 4 ปีที่แล้ว +41

    Zuchu zuchu jamn dakika mbili comment 39 kwel buaana wcb n next level naskia umeweka record nyingne uko youtube, yu bon to win quee

  • @cndyplacate6682
    @cndyplacate6682 4 ปีที่แล้ว +44

    Kama unamkubali diamond platnumz
    Embu achia like apa chini

  • @doubleayussuf8869
    @doubleayussuf8869 4 ปีที่แล้ว +9

    "Chukua kabla ng'ombee hawajaishaa"by simbaaa 😍😍😘😘😘😍😍 nimependaaaaa reaality vision of environment

  • @selinamtazama6039
    @selinamtazama6039 4 ปีที่แล้ว +18

    Me napenda sana hehind the scene zuch weka na zanyimbo nyingine me shabiki yako nizidi enjoy plz.

  • @tanzaniteinzanzibar6655
    @tanzaniteinzanzibar6655 4 ปีที่แล้ว +7

    Zuchu ni mwanamuziki number one wakike Africa

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 4 ปีที่แล้ว +44

    Ohooooo,mr. Small anatoka kwenye Trending sasa😂😂😂😂😃

    • @aictz2138
      @aictz2138 4 ปีที่แล้ว +1

      Mzee small 🤣

    • @kingbashar4293
      @kingbashar4293 4 ปีที่แล้ว +1

      😂 😂 Bahati hana kabisa!! Huku Tiffah huku behind the scenes

  • @abdilahhamis620
    @abdilahhamis620 4 ปีที่แล้ว +3

    Zuchu I love you unaimba vizur pambana tuko pamoja naww!

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 ปีที่แล้ว +3

    Wamasaii kwa ufupii wameonaa maajabu ya dunia hadii watoto awajaenda shulee

  • @ray45king84
    @ray45king84 4 ปีที่แล้ว +5

    Artistry 101...shout out to wasafi....#zuchu#diamond#director kenny#lukamba#angelnyigu...hili ndio jumba la sanaa. Bringing art to reality.. real life💯

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimpenda huyu MTOTO sio siri kwakweli zuchu Hongera sana mwanangu

  • @jbspasha5387
    @jbspasha5387 4 ปีที่แล้ว +8

    Good job zuchu....you are going far dear

  • @daudkharun4798
    @daudkharun4798 4 ปีที่แล้ว +115

    Like za wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakeni hapa

  • @dianarobert3989
    @dianarobert3989 4 ปีที่แล้ว +15

    Daah wenyewe mnapataga tabu afu lina tokea Boya moja linasema video mbaya shuwain

  • @bijaesperance8359
    @bijaesperance8359 ปีที่แล้ว +2

    I loves zuchu ❤

  • @stellacyrus5571
    @stellacyrus5571 4 ปีที่แล้ว +4

    Haha pacha wake khadija kopa ....i love youuu zuchu. 🇰🇪

  • @mukaplatnumz2313
    @mukaplatnumz2313 4 ปีที่แล้ว +21

    Gonga like za zuchu jamani.
    👇👇 huyu dada namkubali sana.

  • @emmahjemoh9209
    @emmahjemoh9209 2 ปีที่แล้ว +4

    I love u guys

  • @texasviper2042
    @texasviper2042 4 ปีที่แล้ว +8

    The humble people behind the succes❤
    videographers,makeup artists,directors,producers
    gonga hapo
    👇👇

  • @ndayishimiyeraya8888
    @ndayishimiyeraya8888 4 ปีที่แล้ว +13

    Wow nakupenda zuchu ❤❤❤❤

    • @soniimedia2440
      @soniimedia2440 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/SH4F3k0Z5ZvrpIZoMKbOgA.html

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +5

    Zuchu wajiona sanaaaa...... Unawakera wenzako... Punguzaa😎😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      Zarii katiba sasa kapoa kama vile kanyeshewa mvua ya mawe

  • @rehemaogweno7013
    @rehemaogweno7013 4 ปีที่แล้ว +3

    Woow you really hustle to get money I salute you nothing is easy simba. The hustle is real. Nothing comes on a silver plate.

  • @pinchmbugua7281
    @pinchmbugua7281 3 ปีที่แล้ว +6

    Diamond's and Zuchu's settings are compactibale,i think in east Africa they make the best videos💪🏽💪🏽WCB for life 💜

  • @fridausissajohn2880
    @fridausissajohn2880 4 ปีที่แล้ว +17

    Cyokoze ni fresh kbx like za wanyarwanda 🇷🇼

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond nakunasihi ukiimba usikumbatie mwanamke yeyote kwaajili kumuekea heshma zari baba watto haileti picha nzuri hata watto wako wakiona wanaona picha sio nzuri dunia ijuwe mapito pesa utaziwacha dunia ni hadaa wewe now ni kijana. Usikumbatie wanawake nakunasihi shukran diamond mmungu atakuhidi amina

    • @princemichael3023
      @princemichael3023 4 ปีที่แล้ว

      Wewe akili hauna sawa kumkumbatia mtu kwenye kazi kanaharibu nini

    • @fatmahobah1042
      @fatmahobah1042 4 ปีที่แล้ว

      @@princemichael3023 tena hana hata kidogo, hyo zari anatombwa hovyo heshima anamuekea nan

  • @chido_wa_south2171
    @chido_wa_south2171 4 ปีที่แล้ว +7

    Zuchu,aka African Beyonce 😍😍😍

  • @khaomafeizun
    @khaomafeizun 4 ปีที่แล้ว +9

    Much love zuchu from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @diamondplatnumz9676
    @diamondplatnumz9676 4 ปีที่แล้ว +5

    Pambana zuchu wangu😍😍

  • @RUNWAYVIDEO
    @RUNWAYVIDEO 3 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations and Félicitations à toute l 'équipe from French reunion island, good job team work Diamond , Ilike this song Zuchu and Diamond the best Tanzania artists....God bless you , long life an d tks for your feelings and your music.... Origninalité et feeling black

  • @mohamedkanka8613
    @mohamedkanka8613 4 ปีที่แล้ว +2

    bonge moja la song,nimependa utulivu na mpangilio wa mashairi wa hawa watu asee

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe ni kazi mweee ndo maana wengine wanakopy waiiii

  • @winniehenry1507
    @winniehenry1507 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah tukiona hv tunajua rahic kumbe ni kazi ngumu aiseee

  • @adelaidehumay9409
    @adelaidehumay9409 4 ปีที่แล้ว +19

    The hustle is real

  • @johnsonkuli7975
    @johnsonkuli7975 4 ปีที่แล้ว +6

    Zuchuuuuu🔥🔥🔥🔥🔥nakubali kiwango kipo.

  • @sarehsebastian6562
    @sarehsebastian6562 2 ปีที่แล้ว +2

    I love zuchu and diamond 💙❤️ namipenda

  • @ghostelmendez7206
    @ghostelmendez7206 4 ปีที่แล้ว +15

    Mtoto zuhura love from TZ

  • @louisngugi
    @louisngugi ปีที่แล้ว

    eiish lets respect the crew weuuh they do alot especially camera man. its not easy at all, keep it up guys

  • @Vukasto
    @Vukasto 4 ปีที่แล้ว +45

    Who loves Zuchu?

  • @mbuni5technologies935
    @mbuni5technologies935 4 ปีที่แล้ว +9

    I think this will change people's idea of music as an escape route from poverty. It's a real hustle. Lots of resources needed to produce a good video. Hands up SIMBA for the efforts and Zuchu for the melodious voice.

    • @texasviper2042
      @texasviper2042 4 ปีที่แล้ว

      almost all proffesianal expertise needed during production,,,,i mean inaleta almost all professional personell to a common ground ,na aim ni moja

  • @farhadewji4864
    @farhadewji4864 3 ปีที่แล้ว +7

    Good job 👏 team work Diamond 💎 Platnumz. Beautiful Song Zuchu and Diamond 💎

  • @kefapopo1630
    @kefapopo1630 4 ปีที่แล้ว +5

    Diamond platnamuz unawanyoosha sana 🦁🦁💎

  • @ellyandmitchy
    @ellyandmitchy 4 ปีที่แล้ว +10

    That's my crash love from 254🇰🇪🇰🇪 nakujia collabo iwachome sana

    • @zoejepkorir8783
      @zoejepkorir8783 4 ปีที่แล้ว +1

      Same here for 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @oxygenlivemedia443
    @oxygenlivemedia443 4 ปีที่แล้ว +12

    U sing I listen..ur fan till my last breath

  • @saadienahod3609
    @saadienahod3609 4 ปีที่แล้ว +4

    Penda sana mamyyyyy♥️♥️♥️

  • @anenairene3050
    @anenairene3050 3 ปีที่แล้ว +3

    The only wish I make everyday of my life is to see or meet diamond if possible coz I love his life style, dressing styles, songs and everything about him lot's of love king of Music East Africa.#mob love from Uganda

  • @abdul_38
    @abdul_38 4 ปีที่แล้ว +32

    I love the hardwork put through by the crew members Thumb up.Zuchu allway.

    • @trinahntsuti8607
      @trinahntsuti8607 4 ปีที่แล้ว +2

      I am telling you! The creativity got me going gaga😎😍. The attention to detail though!👌💖 👏 Did you see the part where Diamond goes like..... hury up that shot, the cattle trail is ending! He said it in swahili though I don't know how to write swahili. Their work is so exciting.

    • @abdul_38
      @abdul_38 4 ปีที่แล้ว +1

      @@trinahntsuti8607 the show was lit

  • @agneskadzo9087
    @agneskadzo9087 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani ni Team nzima ..God bless U all vijanaa..

  • @MiMi-nh1gf
    @MiMi-nh1gf 4 ปีที่แล้ว +5

    Keep up zuchu bby girl 👍♥️♥️♥️

  • @natashagladys2444
    @natashagladys2444 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni kibarua... Dah!!! The crew is so devoted

  • @michaelmahatara6508
    @michaelmahatara6508 4 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri Sana wasafi

  • @deirahlaney9609
    @deirahlaney9609 4 ปีที่แล้ว +8

    Hey Zucht, Team Zari here, love you girl

  • @emmanuelanthony3496
    @emmanuelanthony3496 4 ปีที่แล้ว +15

    Sema mi wa 117 ila sitaki hata like ila ukinipea sikatai

  • @latifahjanja6679
    @latifahjanja6679 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh akuna kazi rahisi jmn alf video ikitoka watu wanaangalia kwenye kutoa kasoro tuu dadekiiiii wcb for life

  • @leonejamahl9768
    @leonejamahl9768 3 ปีที่แล้ว +6

    Zuchu has talent natural like her mother love her songs very much🔥❤

  • @jessalaisaac.a2599
    @jessalaisaac.a2599 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnachonifurahisha ckuizi mnatumia maeneo mazuri nayakuvutia ya nchi yetu TZ
    Cyo zamani mnaenda nje ya nchi ku shot kwenye ukumbi...
    Ilikuwa Ni ujinga...

  • @nyangejr3817
    @nyangejr3817 4 ปีที่แล้ว +3

    Love you so much this song

  • @abdulomar2750
    @abdulomar2750 4 ปีที่แล้ว +3

    love you zuchuuu mwaaaaah

  • @manleymuntanga5025
    @manleymuntanga5025 ปีที่แล้ว +1

    Well done

  • @margaretngigi3514
    @margaretngigi3514 2 ปีที่แล้ว

    Am a big fun of diamond I wish you well good and unmatched video best team you got there you delivers the best always
    Keep winning you deserve it

  • @ibrahimadiedhiou9308
    @ibrahimadiedhiou9308 4 ปีที่แล้ว +32

    I love this sound

    • @soniimedia2440
      @soniimedia2440 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/SH4F3k0Z5ZvrpIZoMKbOgA.html

    • @zuzukau7381
      @zuzukau7381 4 ปีที่แล้ว

      Me too

  • @osiiempiremedia5608
    @osiiempiremedia5608 4 ปีที่แล้ว +4

    Always team WASAFI from Kenya.

  • @kevoocoastboy9449
    @kevoocoastboy9449 4 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanza hapa zuchu kiboko yao

  • @sharonmudeizi5449
    @sharonmudeizi5449 4 ปีที่แล้ว +4

    Following from +254 we love you Zuchu ❤❤

  • @zaituniali4949
    @zaituniali4949 4 ปีที่แล้ว +2

    Like Zuchu hapa 🇺🇸 mrembo tu sana

  • @sephaniaayubu1877
    @sephaniaayubu1877 4 ปีที่แล้ว +3

    Your one only zuchuuuu

  • @francismoi1388
    @francismoi1388 4 ปีที่แล้ว +6

    Naipenda hii 🙏🙏🙏🙏

  • @vampirezombi1256
    @vampirezombi1256 4 ปีที่แล้ว +7

    Zuchureeee ❤️😍🇲🇿🚀🔥🦁💕

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +6

    the location with nature wind no fiction, amaizing

  • @kennedyomondi6109
    @kennedyomondi6109 4 ปีที่แล้ว +4

    If you ask , you'll be told that I'm a big supported for Simba

  • @auntienarobi8236
    @auntienarobi8236 4 ปีที่แล้ว +3

    I love your united you guys

  • @issayamakubi2606
    @issayamakubi2606 4 ปีที่แล้ว +3

    Ur the bext all times

  • @kingbashar4293
    @kingbashar4293 4 ปีที่แล้ว +26

    Zuchu: Mzee small Ame achia mziki
    Simba: we achia behind the scenes
    Trending : 1. Tiffah alivyo cheza jeje.... 2. Litawachoma behind the scenes
    Mzee small : huo Ni ushamba,

  • @madinamadina9138
    @madinamadina9138 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah zuchu nakupenda bule my dear

  • @tuaregsgeng6666
    @tuaregsgeng6666 3 ปีที่แล้ว +1

    Zuchu mkujie mtoto wako jameni.Mimi baba mtoto nateseka Kenya uku unastarehe wasafi TZ.Huyu mtoto tulimzaa 2018 tukiwa chuo.mama anakuita nyumbani akuone please. Mbona unamtupa mtoto wako???mkujie uishi naye uko inauma sana jameni😭mh sitaki usaidizi wako nangangana tu pekee yangu.lakini mtoto mkujie,Kenya,meru county. Mh babake bennito nakuomba,,zuchu uliniachia mtoto mamako hasijue

  • @omarykingoko1548
    @omarykingoko1548 4 ปีที่แล้ว +7

    Wakwanza kukomenti embu nipe like yk km unamkubal zuchu

  • @jeym8062
    @jeym8062 3 ปีที่แล้ว +7

    Zuchu ukona psyche 🥵🇰🇪

  • @serahkibunja6221
    @serahkibunja6221 4 ปีที่แล้ว +1

    Waaaa haya yote dio hufanyika kweli ni kazi

  • @hafsasaid7373
    @hafsasaid7373 4 ปีที่แล้ว +2

    I'm one of yr big fan diamond ,love you

  • @zuhuraabdi4636
    @zuhuraabdi4636 4 ปีที่แล้ว +2

    I love song for zuchu litawachoma

  • @brandonochido4459
    @brandonochido4459 3 ปีที่แล้ว +4

    Diamond is very supportive to his artists

  • @johngoma6934
    @johngoma6934 2 ปีที่แล้ว

    Wow I like zuchu and diamond songs

  • @serahkibunja6221
    @serahkibunja6221 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma inavuma tiktok kama asali wawaaaaa hongera dada

  • @starniceofficial5492
    @starniceofficial5492 4 ปีที่แล้ว +3

    So fire so hot

  • @jenniferjenni4713
    @jenniferjenni4713 4 ปีที่แล้ว +2

    Simba nimeipenda cott yako hiyo

  • @daughterofmosthigh8074
    @daughterofmosthigh8074 3 ปีที่แล้ว +2

    Sooo much work!!! The LOOKS!!!!! WOW!!!!!

  • @masukuedmond3508
    @masukuedmond3508 3 ปีที่แล้ว

    ZUCHU ANAWEZA KWAWANAWAKE WOTE WASANII YEYE NI VIMBO YAO

  • @alibell5246
    @alibell5246 4 ปีที่แล้ว +3

    Waaachaaa weee mrembo wanguuu

  • @josephalute5291
    @josephalute5291 4 ปีที่แล้ว +28

    Nimejitahidi kuwahi kukoment nakati shule nilikuwa nachelewa kila siku...
    Mimi ni nani?????

  • @jumakungala2525
    @jumakungala2525 4 ปีที่แล้ว +1

    Zuchu the best

  • @ramadhanyusuph5553
    @ramadhanyusuph5553 4 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana zuchu fire 🔥

  • @fikirijames5765
    @fikirijames5765 4 ปีที่แล้ว +5

    Chukua haraka kabla ng'ombe hawajaisha sauti ya platinum

  • @PurityMorris-l2j
    @PurityMorris-l2j 10 หลายเดือนก่อน

    Litawchoma sana

  • @victormwakenja8977
    @victormwakenja8977 4 ปีที่แล้ว +2

    Zuchure🔥🔥🔥

  • @charlspaschalbundala9061
    @charlspaschalbundala9061 4 ปีที่แล้ว

    Ukiwa kwa kwanza raha sana

  • @newchale
    @newchale 4 ปีที่แล้ว +3

    ONLY GOD knows🙏

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว

    Saaafiii sana diamond na zuuuuuchuuu pigen kazi

  • @kareemmlyon4758
    @kareemmlyon4758 4 ปีที่แล้ว +1

    Watu wameinvest🙌

  • @heriholder2937
    @heriholder2937 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah nimechelewa Jamani dah sijui ni wangapi? Zuchu 🔥🔥🔥

  • @twahabuiddy7751
    @twahabuiddy7751 4 ปีที่แล้ว +2

    Nalitawachoma saana🥰🥰🥰

  • @aictz2138
    @aictz2138 4 ปีที่แล้ว +5

    Nilikuwa nasubiri kwa hamu hizi behind the scenes😊, mume mnatuwekea zote please!