Napende sana unavojiamini na uwezo wako wakufanya unachofanya unajua unachofanya heshima kwako mfalme game itachagamka naona hip hop ya bongo myaka kumi mbele itafunika inchi nyingi sana pande zote za dunia
Sema cholo unakosea kitu, ww unachana style ya new era ambayo tuseme unju ndo MTU muhim sana ktk kizaz kipya cha style hii, kiufupi unachana kama unju, alafu unajikutaga umevurugwa hata kuonesha respect nakuonesha itikeri kwamsela coz tunajua unju ni beast to ever touch the mic, alaf ww unataka akuzingatie kama unavotaka wew, ww ndo tukulize unakilanga??? Hauko real unju is pure, hamwez enda sawa, unachana ila huna itikeri, unamchuklia unju simple sana huku yeye ndo amekuinspire, unatuzingua hata sisi mashabiki wakweli ambao tunaelewa
we una uhakika kama simuheshim mtu alie ni inspire? au unauhakika kama mi na nikki tuna ugomvi?we unajua kwa siku naongea na nikki mara ngapi? tujifunze kwanza mzee nimetoa wimbo unaitwa darasa huru,nafkiri utakupatia kitu.blessing fam ✌🏻
@@cholobrighter104 all in all mm ningekuwa na uwezo kama wako, ningejiongeza usiku namchana kusoma kwanza kila kinachostahili kusomwa ili kuongeza ubunifu zaidi nakufanya vitu vikubwa zaidi coz ww ni mkali to be honest, unaweza kufanya chochote
Sanaaa mwanangu home boi CEO wa Mboka balozi wetu nembo ya mwinyi
Laini sana, na usirudie kumtaja Unju..
Napende sana unavojiamini na uwezo wako wakufanya unachofanya unajua unachofanya heshima kwako mfalme game itachagamka naona hip hop ya bongo myaka kumi mbele itafunika inchi nyingi sana pande zote za dunia
Umetisha mwanangu
😂😂😂😂 walisema unalalamika sana saiv wanalalamika wao
WAKAZI anakibarua kizito sana hapa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ka mdiss wakazi na nick mbishi?
Ww mwanang Utengwe Tu ni mmbaya sana Brother HIPHOP ICON naheshim sana unachokifanya
Mbona anaangaika sana kutfta jina uyu alaf ajui anazid kujipoteza mwenyewe Ohooo
Safi tuweke bango hata Dar pale Kati ya Jiji walione jembe letu la Tabora
Yeaaaaaaahhhh hiii Kali Sana Arbaaaab, umeua🔥🔥💥💥
Real bro After Dizasta kwa battle Beat Mwamba we nongwa
Mwanang watakuelewa2 big up
Makaa ya mawe kweli kweli 🔥🔥🔥 naqbli bro ⚓⚓⚓
Cholo unajua sana kucheza na maneno. #WORDSPLAY
Mwamba umetishaaaaa 🔥🔥🔥🔥🙌 kaza mzee mziki unakudai
Huyu Jombaa.....Anajuwa xnaa Daah hatariii xnaa
Mchane huyo dada wakazi, mshamba sana jamaa
Umeuwaaa mwamba
Mzee umenyoosha sana yani big up
Noma sana kvmmk
Aya ndo maneno sasa
Umetisha kinyama sana
Haaahaaaaaaa qumanina zanguuuuuu 🤣🤣 umewanawa
Wakazi pitia huku usijifanye huskiii😅😅😅
Sio poaaaa kbbkeee 🔥🔥🔥🔥🔥
wote boko kama john au sio😁😁
Ukinkuta jela ujue ninakesi ya kubaka nimeipenda kaka, nakudm instagrama soon
Hip hop tunapimana kwenye beet
😀😀😀🙌🏻 Hapa Wakazi Kayakanyaga
Sema cholo unakosea kitu, ww unachana style ya new era ambayo tuseme unju ndo MTU muhim sana ktk kizaz kipya cha style hii, kiufupi unachana kama unju, alafu unajikutaga umevurugwa hata kuonesha respect nakuonesha itikeri kwamsela coz tunajua unju ni beast to ever touch the mic, alaf ww unataka akuzingatie kama unavotaka wew, ww ndo tukulize unakilanga??? Hauko real unju is pure, hamwez enda sawa, unachana ila huna itikeri, unamchuklia unju simple sana huku yeye ndo amekuinspire, unatuzingua hata sisi mashabiki wakweli ambao tunaelewa
we una uhakika kama simuheshim mtu alie ni inspire? au unauhakika kama mi na nikki tuna ugomvi?we unajua kwa siku naongea na nikki mara ngapi? tujifunze kwanza mzee nimetoa wimbo unaitwa darasa huru,nafkiri utakupatia kitu.blessing fam ✌🏻
@@cholobrighter104 all in all mm ningekuwa na uwezo kama wako, ningejiongeza usiku namchana kusoma kwanza kila kinachostahili kusomwa ili kuongeza ubunifu zaidi nakufanya vitu vikubwa zaidi coz ww ni mkali to be honest, unaweza kufanya chochote
Huyu njaa nyingi
cholo alishasemaga kabisa kwamba style ya nikki ilisha muathiri
Nakubali wamemchokoza mwehu...
This is HIP HOP sisi hatuongei mitandaoni tunaongea na mic safi sana cholo
Nice, from 254
😀😀 Kwere mwanangu!! 🔥
Dingii umeupiga mwingi kwenye hii mbupu💣💥
Budah ume mention ad dingi ako Unju kwa io diss kwa wakaz
🔥🔥🔥🔥 respect kwako mzeee Cholo short but clear
Changamsha gemu mzee
This is art..You know what you're doing keep it up Brother
Na kiwakeeeee🔥🔥🔥🔥
Bro wee nii mkali nakubalii sana hp hp una shukaa ukali na beaty 🤗🤗😍😍
Noma sana 🔥🔥🔥👏👏👏
Hii ni Diss kwa Wakazi au
Yah man
Poaaa
nakubali mpemba
Naaaam tolonto boy shabiki yako kutoka DOM TOWN
ujumbe umeshiba
Unyama.sanaaaa💪💪💪
huyu jamaa ni nyoko
Hii dis ni ya nani?
Wakazi mpk Leo hajajibu
Unyama sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hamza wa flow ✊🏼
Noooma Mzee 🔥🔥
MDADA WAKAZI anapata tabu sana uko
Oyaaaaa😂🔥🔥🔥🔥🔥
Hamna kitu umbwaaaaa
Ya moto sana
Hii ni noma angalia hii true story hiphop
th-cam.com/video/XPufc7Gvy3k/w-d-xo.html
Nice hip hop
am proud of u kijana wang
Dope
Ile collabo ndo ishakamilika tatizo verse za webiro ziko pale IG hazijaingia kwenye beat
Sana man
Love from kenya🇰🇪
Bro🙌
Beki 3 yaani binti wakazi
Toronto boiiiiiiiiiiiii
Many rappers of this era had the same type of rhyme scheme and flow from nikki mbish .............
wanagezana tu wote😰
Makofi kidogo
😂😂😂Hahah...Si Ndiooo🏃♂️
Nomaaaaaaaaaaa
Unyama n mwing
Kuna siku watatuelewa tu kuwa tunawazidi kila kitu mpka uwezo wa kifikira mpaka kubuni vitu.
That's Cholo
Naaam 🔥🔥🔥
Daah Salute
We jamaaa ni hatari sana,
Ila IG ulini block naomba ukani unblock, punguza hasira bro
balaaaa kubwaaaaaa
Tolonto boi i see you
That's Hip hop
Cholo brighter ⛽🚬🍁
Sasa hao ambao hata hawakujui wakianza kukushambulia nadhani wanakua wanaonesha uoga
Vina maana 27
Kaliii
Kudadekkk💥💥💪
We jamaa bado nakudifine maana definition yako ngumu kushika
Hip hop
Tuvute uradi sio bangi
Asanteee hahaha
Emineeeeeem Tzzzzzzzzzzzzz
Bars
👏
That is hiphop
Nomaa 🔥🔥🔥
Wee jamaa unaweza lakin umeniudhi ulivo mgusa nikki unju sababu nazani ndio idol wako unamkopi uandishi mpk flows
🔥🔥🔥
ᴘʀᴏᴍᴏsᴍ 😕
yaap kivyako
Messege sent
Kaka unajua ila agalia uximshike shalubuu simba unju baba ako aipingi yan
Cholobrighter the big thinker