Univute Karibu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025
- Closer to Thee, my Father draw me.
Author: Anzentia Igene Perry Chapman
Key: G Major
Univute karibu, Baba, unikumbatie,
Unisogeze kifuani, nataka pumziko;
Univute karibu,
Kwa kamba za upendo;
Univute karibu nawe.
Univute Mwokozi wangu, na tusiachane,
Mikono yako juu yangu leo niione;
Univute kwa Roho yako, nifanane nawe,
Unioshe, unihuishe, niwe safi, huru;