Jamani kila siku move yavutia aki hongera nyote jamani twawapenda nyote
Zuuu lazima aolewe iyo movie itazidi kuwa mzuriii sana zuuu anajielewa sanaaa
❤❤lazima bibi awe na hofu kwa tukio alilolifanya ila zuuu lazima ataolewa na boss wake tu
Mm naomba jaman ndoa ya kai na zuuu iwepo mzunguke vyote muwezavyo ili kunogesha movie lakin ndoa ya kai na zuu iwepo
Mm nashauli zuu aolewe na Kai na mpka wapate mtoto jamn ukiwa tofauti na hapo itakuwa hamu imeisha
Naomba to szoni 40
Naoma episode ya40
Naombeni ep inayofuata tusiwe tunacheleweshewa inatutoa kwenye mudi
Naomba sizoni 40
Fanyeni yote ila zuu aoleke na kai 🎉🎉❤ juu anajua mahaba zuu na kutunza mme iendeee had zuu awe na uzito wa kai plz
Yaani zuu wakutane na Kay Ana kwa anaa na baba Kay wakutane waote yaani Bibi zuu baba Kay yaani itanoga sana waulizana Kay amepona na zuu amepona umeamini Ila ni miti ya mwenyezi MUNGU
Hii movie haiendani na jina lililoekwa wallahi ilikua iende hadi zuu aolewe na kai ili candy ajue ni jinsi gani unapaswa kuishi na mume wakoakini haiwi hivi kabisa iko kando na haeding inakoelekea
Sijapenda kai kwenda pekeyake raha ilikuwa aende na baba ke na zuu pengenonga zuu alewe na kai itapendeza kwani itakuwa fuzo
Mim naomba zuu haolewe na Kai hila 🎉🎉🎉bibi naomba tu muzimu hizidi kumuonyesha kuwa zuu na Kai nimtu na mukewe
Hivi huyu dadaake zuuuuu mbona hamsapot hata zuu kila kitu anamkana malaika anawivu na. Zuuu
Malaika hana wivu na zuu ila anaamini kile anacho kisema bibi zuu
Kendi na kaka yake watakuwa pacha
Ndio maana kaka mtu karithi ubakaji na kendi tabia zake za ovyo
Anhaa inawezekana ikawa hivyo ngoja tutapata tu majibu 🙏 wazo Zuri 👍❤️✌️
C muachilie bc aaah
Mm naomba jaman ndoa ya kai na zuuu iwepo mzunguke vyote muwezavyo ili kunogesha movie lakin ndoa ya kai na zuu iwepo
Mm naomba jaman ndoa ya kai na zuuu iwepo mzunguke vyote muwezavyo ili kunogesha movie lakin ndoa ya kai na zuu iwepo
Kila kukicha mavuno yanavunywa na hayaishi . yaaan movie kila eposid iko moto kwa moto haiishi utamu🎉🎉
😂😂🙏❤️✌️