Asante Yesu naomba unizidishe! nimekusikia na kukuona kwenye clip za whatup nyingi nikashawishika nikutafute kwenye TH-cam hakika nimekuelewa tena na Tena tena hakika sisi ndio wale wanaopendelewa na Bwana Mungu akutumie na kukuzidisha kwa ajili ya utukufu wake Umenibariki sana na nimebarikiwa kwa maombi yako kuna mahali nimevuka
Asante sana kwa ibada ya leo mchungaji hakika imenijenga na kunipndisha sehemu ingine mungu akubariki sana mtumishi wa mungu na azidi kukupa maarifa ya kuitamgaza injili Amina kutokea kenya
We need people who will tell us the truth,hadi nimetafuta ilipo huduma kwenye google maps,hivi kuna matawi ya hii huduma?kongamano la wamama litakua wapi dsm
Pastor nimembarikiwa Sana mbarikiwa,,kutoka kenya
Asante Yesu naomba unizidishe! nimekusikia na kukuona kwenye clip za whatup nyingi nikashawishika nikutafute kwenye TH-cam hakika nimekuelewa tena na Tena tena hakika sisi ndio wale wanaopendelewa na Bwana Mungu akutumie na kukuzidisha kwa ajili ya utukufu wake Umenibariki sana na nimebarikiwa kwa maombi yako kuna mahali nimevuka
Ameni napenda sana mafundisho yako ❤
Ila kwa Mungu kuna rahaaa kwakweli
Ameen God answer my prayers
Amen unaponya mioyo yetu sana
Naomba kungaa mungu najua umenisikia
Ahsante mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huuu..jina la Bwana liinuliwe
Thanks a lot pastor my mentor I love your teachings watching from kenya❤❤❤❤❤
Pasta Tony Mungu aku bariki niko Congo DR napenda somo yako kutoka kwa Mungu
Asante sana kwa ibada ya leo mchungaji hakika imenijenga na kunipndisha sehemu ingine mungu akubariki sana mtumishi wa mungu na azidi kukupa maarifa ya kuitamgaza injili
Amina kutokea kenya
Mungu nizidishe kwenye kila eneo la maisha yangu, nifanye bora mara elfu kwa jina la Yesu
Thank you pastor
Ubarikiwe mtumishi Kwa huduma
Thanks for your divine inspiration be blessed may you multiply in the kingdom of God
Amina pastor
Amina naomb mung anasaidia San katik hili ninaomb nisaidie nijue na kifunga
Ameen barikiwa Sana mutumishi wa mungu kw kutufunza mengi❤🎉
Testimony.. I feel i am elevated and rstored. Thank you Jesus
Amen sana❤
Ur the best pastor,what a powerful inspirational 🙏.
Na ijulikane kwamba wewe ndie Mungu💪🏻🙏🏻
Barikiwa sana pastor umenifanya nigeuze maombi
Amen Yan MUNGU nirehemu nisaidie maana MTUMISH wako kila anachoongea ni funzo kwangu 🙏
Mungu naomba uizidishe biashara yangu
Kwa jina la Yesu
Amen. The key is multiplication
Man of God salute to this message
whatching to day 25th august tangu saa9 umebadilisha akili yangu MUNGU akubariki❤❤
Am blessed ❤ Bwana najua umenisikia na utanijibu❤
God multiply what you have...thanks pastor I'm so blessed
For the first time nakuskia niliona una kitu kikubwa pastor umenibadilisha kwenye vitu vingi thanks God for this gift
Ubarikiwe niko njombe makambako
Ameniiii❤❤❤
AMEN,,,thanks for teaching me,, God of multiplication
Naku bali mahubiri yako ila hata kama ninge kataa mataifa wange sikilizA tuu,wala hawange kengeuka...Barikiweni wafuasi wa Jehova
Asante namungu akubarik
For sure man of God you had really transformed my life sijutii kukufahama mungu aendele kukuzidishia natoka Kenya kilifi
Hakika nimebarikiwa san yan unanikuza mara mbil mungu akutunze
Amina mtumishi wa Mungu
Pasta Anthony kapolo
Ninabarikiwa postor na mahubiri yako kila siku yananitoa sehemu moja na kwenda nyingine
My spiritually dad
Leo nimemjuaa Mungu wangu
Sisi tunao saidiwa na Bwana tuna matokeo
Asnte sana nimebalikiwa niko 🇰🇼 Kuwait
Mtumishi wa Mungu,huwa unanibariki sana.nimejengeka Sana Kwa kufatilia mafundisho unayo ya funza ya Mungu.mimi natoka Kenya.Mungu akubariki
Nimebarikiwa sana na nmeongeza kitu
Thank you baba, timely word. MUNGU akatuzidishe
🙏🙏🙏Amina mtumishi wa mungu
Ameni
Mungu akubariki sana mtumishi.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa mafudisho Mazuri ya kutu jenga
Amen amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nakupata Mtumishi wa Mungu kutoka Mwanza Sengerema
Asante YESU kwakuniponya kupitia somo hili kwajina naitwa ESTHER CYPILIAN kutoka shy.ASANTE YESU Kwaujumbe mzr ulioponya kilakitu changu.
Somo Wangu hapa
Nabarikiwa sana from Kenya
Nafanya hvy pastor uwe mchungaji wang
Amen Mtumishi. Nimepokea baraka hizi all the way from EU.
Kama Kuna mafundisho matamu yananijenga ni pamoja na ya pastor Tonny
Asante kwa kuwa Baraka
Mungu nizidishe🙌🏻🙌🏻🙌🏻
🙏🙏
Mungu n mwema
mungu awe upande wako nimesikiza viziuri
Naponaaaa🙏
Yesu asante kwa huyu mtumishi wako
Asant mchungaji naangali kutoka mbinga mkoa wa ruvuma
Amen amen
🙏🙏ubarikiwe sana Man of God
Kweli BABA nisaidiee
Amen
We need people who will tell us the truth,hadi nimetafuta ilipo huduma kwenye google maps,hivi kuna matawi ya hii huduma?kongamano la wamama litakua wapi dsm
Ni ukweli sana
isayaa 60
👏👏👏🤝
Asant sana mtumishi kwa neno
Hawa ndio wachungaji wenye PhD zao...
Nakukubali Sana mchungaji...clips zako za Whatsapp zimenifanya nikutafute kwenye TH-cam big respect
Amen
Amen