AY Masta Feat. Marioo - Yule Remix (Official Lyric Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @Manjalino
    @Manjalino 6 หลายเดือนก่อน +135

    Dah aisee nyimbo Kali sana wanangu wa kitambo like nyingi kwa legend AY MASTAAA❤

  • @neemarobert9999
    @neemarobert9999 6 หลายเดือนก่อน +17

    Marioo na Yanga much ❤❤❤❤❤❤ no1 Diarra Tunu hii ya Tanzania

  • @mdasaboi
    @mdasaboi 6 หลายเดือนก่อน +18

    ...Ay masta ❤ mavoko ilikuwaa mahalii pake kwenyee hii ngomaa

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 6 หลายเดือนก่อน +5

    dah ngoma yangu ya muda wote 🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 😊😊 number one Ayubu😊😊😊😊

    • @mizunoboy7033
      @mizunoboy7033 6 หลายเดือนก่อน

      dah mi ndo ngoma yangu namba mbili ya muda wote hii yaani naona kama ingeachwa tu isingeguswa

  • @danielphaustine1659
    @danielphaustine1659 6 หลายเดือนก่อน +16

    Marioo kauwa kinoma humu ndan🚀

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ay kazi na umri. Oji ya yule ni zuri na inaishi mpaka Leo. lakni hi sasai sauti yako tu changamoto

  • @mariustebuka1648
    @mariustebuka1648 6 หลายเดือนก่อน +4

    Original version bado ni kali zaidi ya hii kuanzia uandishi mpaka beat, OLD IS GOLD.

    • @alvinsamir2013
      @alvinsamir2013 6 หลายเดือนก่อน

      kaharibu sana kutaja taja ujinga wa namba na majina ya wachezaji angeleta ubunifu mwingne acngetaja majina ya wachezaji

    • @icahgracie1242
      @icahgracie1242 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@alvinsamir2013umbo lake pale yanga anavaa aucho,namba ngapi vile😂

  • @jumanneomaryomary8449
    @jumanneomaryomary8449 6 หลายเดือนก่อน +5

    SPEAKING OF MARIOO KWA SASA NI MOJA YA ARTIST WANAOK8MBIZA SANA, KIBONGO BONGO HUWEZI MUACHA KATIKA TOP FIVE HE IS SO TALENTED

  • @Jkone891
    @Jkone891 6 หลายเดือนก่อน +8

    Love from Kenya 🇰🇪 take us back 🔥🔥🔥🔥

    • @zenanzale6260
      @zenanzale6260 3 หลายเดือนก่อน

      I second you am from 254 to

  • @cadabraclassic4660
    @cadabraclassic4660 6 หลายเดือนก่อน +24

    HUYU MTOTO BAD🙌🙌🔥🔥🔥🔥ATENGENEZEWE SANAMU LAKE 🤣🤣🤣

  • @jimmysenioronetz9074
    @jimmysenioronetz9074 6 หลายเดือนก่อน +5

    Leo ndo nimejua kumbe pale alisema PATAMU HAPO 🔥🔥

    • @omarymohamedi-ex8mw
      @omarymohamedi-ex8mw 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mm pia nilikuwa naskiaga pata mambo kumbe ni patamu hapo😊

    • @amannkota2414
      @amannkota2414 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilijuaga anasema nampatia mapozi

    • @ramazan1628
      @ramazan1628 5 หลายเดือนก่อน

      Mm nilijua andaa makuu 😂😂

  • @KAZIPRODUCTION-cm1no
    @KAZIPRODUCTION-cm1no 6 หลายเดือนก่อน +9

    oyaaa hii ni massive wazee Marioo ft master like nyingi hapaaaaaaa

  • @Abmediasite8
    @Abmediasite8 6 หลายเดือนก่อน +6

    Much love Kigali Rwanda 🇷🇼 ❤

  • @eddytheblayze3810
    @eddytheblayze3810 6 หลายเดือนก่อน +6

    🔥Lakini kumwambia ndo siwezi "Mi" 🔥🔥 ningeumia kama ungeuacha huo mstari melody yake ulitisha sana ambwene

    • @JUHUDIMEDIA-nd6uu
      @JUHUDIMEDIA-nd6uu 6 หลายเดือนก่อน

      DAAAH KUMBE WW JAMAA UMEONA KAMA MIMI YANI HAPO NDO SEHEMU NARUDIA KINOMA KWENYE MZIKI MZIMA

  • @edwinrobert3507
    @edwinrobert3507 6 หลายเดือนก่อน +5

    Oyaaaa Wanangu wa Konde Gang FC tuseme tuu ukweli hii ngoma Kali bana

  • @EdwardPatrickEdward-i2q
    @EdwardPatrickEdward-i2q 29 วันที่ผ่านมา

    Nakubali San mm nataka nitoe remix

  • @trustmusa8170
    @trustmusa8170 6 หลายเดือนก่อน +15

    Mnikumbuke 2070 kusema nilikuepo hapa ku watch Yule,, 🔥 2024

  • @ebbyexaud4125
    @ebbyexaud4125 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nikiwekewa bastola na kuambiwa niimbe wimbo wowote word for word ndo nisiuliwe, the original Yule - AY ndiyo wimbo pekee utakaoniokoa!!!

  • @slimpirate6020
    @slimpirate6020 6 หลายเดือนก่อน +3

    I still play the original Yule🔥🙏 but on this one 🔥🔥🔥🔥👏👏…nice work #remix 🇰🇪 🇹🇿

  • @KelvinFrank-ru7yr
    @KelvinFrank-ru7yr 6 หลายเดือนก่อน +35

    Leo nais nimetisha nimekuwa wakwanza ku view na comment aloooh 😂🎉🎉🎉

  • @motive_8kenya
    @motive_8kenya 6 หลายเดือนก่อน +13

    Kwa ukubwa wa hii ngoma,@Marioo pokea salamu.

    • @MalaleDavid
      @MalaleDavid 6 หลายเดือนก่อน

      Kituuu kizitooo mzeee

    • @MalaleDavid
      @MalaleDavid 6 หลายเดือนก่อน

      Gomaaaa kal sanaa

    • @MalaleDavid
      @MalaleDavid 6 หลายเดือนก่อน

      Nomaaaa snaas

    • @MalaleDavid
      @MalaleDavid 6 หลายเดือนก่อน

      Nymb kal snaaa

    • @MalaleDavid
      @MalaleDavid 6 หลายเดือนก่อน

      Mnajuaaa sanaaaa nyieeee

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daah Aiseee Ngoma Kali Xana Hili KBs Congrats Bad Kwa Hili Goma❤🎉🎉

  • @abubakarabdallah9297
    @abubakarabdallah9297 6 หลายเดือนก่อน +131

    Wanayanga nataka kuona like nyingi kwenye hili goma letu

    • @Bobbrownjumbo
      @Bobbrownjumbo 6 หลายเดือนก่อน +4

      Marioo alishatoa siri namna anavyofanya featuring zake. Ukiona kwenye nyimbo kashirikishwa lakini yeye ndio kaimba verse ya kwanza basi ujue hiyo nyimbo aliiandika yeye then akamfata mtu anaeona yupo fresh akaamua kumbariki. So hii ngoma original version ni ya Ay ila hii remix ni ya Marioo. Unaweza kukuta Ay alikuwa hana habari, akashangaa mshkaji anamfata na goma lake limeshabakwa kinyama hadi mwenye goma akafall in love nalo.

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน

      Balaaaaaaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน

      Tishaaaa xanaaaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน

      ​@Whoisthismantanoumaa xanaalking

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน

      ​Htr xanaaaa

  • @ayoubaadil6385
    @ayoubaadil6385 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nlisubiri hii Remix ya yule miaka sasa Jiwe ndani ya mawe❤

  • @rashidally6642
    @rashidally6642 6 หลายเดือนก่อน +3

    I ngoma zamani nilikuwa naipenda ibwera tenaaaa😅😅patamu apo🎉

  • @danifordjonh5127
    @danifordjonh5127 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mmetisha saana kama nyimbo harisi ❤❤

  • @Sincerelykentrell038
    @Sincerelykentrell038 6 หลายเดือนก่อน +92

    Ukiona hii comment 2035 ujue tulkua hapa 2024😂

    • @aikaraphael9538
      @aikaraphael9538 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ahahahahaha balaàaa xanaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@aikaraphael9538badiiiiiii

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน

      Noumaaa xnaaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน

      Tishaaaaa

  • @eddierajab6933
    @eddierajab6933 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee wa commercial x Baddie.this is hit!🔥🔥🔥🔥

  • @gasperpatrick7023
    @gasperpatrick7023 6 หลายเดือนก่อน +3

    mmmhhhh hatar sana mzee wa commercial I like this chemisrty bonge la song

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 6 หลายเดือนก่อน +3

    Me ni yanga nawapenda mnooo❤🎉

  • @InnocentMakoba-yt8so
    @InnocentMakoba-yt8so 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mbwembwe kidogo unyama mwingi🙌

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 6 หลายเดือนก่อน +2

    🎉wow AY for ever na Marioo safi❤❤

  • @alimanana7564
    @alimanana7564 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mario hajawayi kuniangusha❤

    • @AroizKizinza
      @AroizKizinza 5 หลายเดือนก่อน

      M 0:00 0:00

  • @Foundmusiq
    @Foundmusiq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi apa napajua kwake😅😅😅
    Pioneer double coil and kenwood mid KillediT❤

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yule 🔥🔥🔥 mmetisha sana 💪

  • @scolasteven2041
    @scolasteven2041 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tisha sana legend AY Mario unajua kaka

  • @bashoramohamed8802
    @bashoramohamed8802 6 หลายเดือนก่อน +8

    Marioo kauwa, wapi maua yake 🎉

    • @RushKidd
      @RushKidd 6 หลายเดือนก่อน

      Nomaaa sanaa

  • @kiinamamargaret237
    @kiinamamargaret237 5 หลายเดือนก่อน

    💚🖤💛 proud young africans. Song I la nguvu❤

  • @scholbwoyclassic
    @scholbwoyclassic 6 หลายเดือนก่อน +10

    Mng,eka eka khaligraph Jones hapo katikakati ingekuwa tamu sana #Nice song iyo verse ya Marioo nimeikubali sana mob love from kenya

  • @AgnesJambo-me8qg
    @AgnesJambo-me8qg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huu mziki banaaa wabamba snaaaaa❤❤❤

  • @dominickntajinya1550
    @dominickntajinya1550 6 หลายเดือนก่อน +11

    Yuleeeeeeee! Nomaaaaaaaaa! Sanaaaaaaaa! %Usiache Kutabasamu

  • @daddymapesatv9878
    @daddymapesatv9878 6 หลายเดือนก่อน +2

    Am always supporting good music this song is still fire 🔥🔥🔥. respect A.Y🧑‍⚖️

  • @tariqmbonde1556
    @tariqmbonde1556 6 หลายเดือนก่อน +3

    Throwing back 17 years ago 💪

  • @youngkacha_tz
    @youngkacha_tz 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kali sana hii 🙌🏽 very Classic

  • @RichardNoah-fr5vq
    @RichardNoah-fr5vq 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ivi nyie mnamzigatia toto bad au mnachukulia poa...daaah hili dudee alivyoo lipangilia 🔥🔥🔥🤣

  • @SamwelAziz-pb4zz
    @SamwelAziz-pb4zz 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kenyans well represented ❤🇰🇪

  • @bahatihellen6296
    @bahatihellen6296 6 หลายเดือนก่อน +8

    Wale tumetumwa na the hottest couple in town here straight from Instagram tujuane jamaaani ❤hallooo❤👑

  • @angelnyange3403
    @angelnyange3403 6 หลายเดือนก่อน

    Kitu hicho jmn ❤❤❤❤mumeuwa sana humo ndani 🥰🥰😍♥️💕💕

  • @flinchclassic1531
    @flinchclassic1531 6 หลายเดือนก่อน +25

    Yule imekuja kivyengine huu Pepo wa marioo

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Marioo ww n nomaa

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Nomaaa hiii Ngoma

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Mzeeee umetisha sanaa

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Gomaaa lakwendaa hil

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Umetisha sanaa mzee

  • @nurdinmvellah4032
    @nurdinmvellah4032 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeisikiliza ni nyimbo isiyo na ubunifu, so haitadumu kwa vile imekaa kishabiki. Vitu vya kishabiki huwa vina zuka na kutoweka , wataalamu wa sanaa au wa lugha huita MISIMO au MISIMU

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan hii nyimbo ni ya leo mkuu hii ni remix na ngoma ina ishi hii

    • @RashidAlly-gw5jj
      @RashidAlly-gw5jj 6 หลายเดือนก่อน

      Haha​@@Lilmbunah

  • @RadjaboyKubita
    @RadjaboyKubita 6 หลายเดือนก่อน +10

    Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️

  • @moses_king12
    @moses_king12 6 หลายเดือนก่อน

    AY umenialibia nyimbo yangu pendwa sana,nyimbo ilikua imejaa hisia za upendo ila hii apana kwakweli😢😢😢😢

    • @idrisamangwala6470
      @idrisamangwala6470 6 หลายเดือนก่อน

      😅usilete siasa wewe utakuwa shabiki wa simba

  • @Chef_Angie
    @Chef_Angie 6 หลายเดือนก่อน +20

    Am here watching coz baddie send me heree❤❤❤❤❤❤

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂 badiiiiii

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน +1

      Balaaaaaaaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน +1

      tishaaaa xanaaaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน +1

      balaaaaa xanaaaaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 หลายเดือนก่อน +1

      Noumaaaa xanaaaa

  • @giftpaul2559
    @giftpaul2559 6 หลายเดือนก่อน +1

    Toto Bad nakuon mbaliii sana bad nation.....

  • @Vincent-q9d
    @Vincent-q9d 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nani ana namba yake oya apa Kuna ten limezagaa zagaa#aah toto bad🙌🙌🙌

  • @Black-sound24
    @Black-sound24 6 หลายเดือนก่อน +8

    Oyaaaa weeeeeeeh iiiih nyimbo myengweeee daaaah sio pouw 😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 umeishaa kinomaaa safiiiiiiiiiiiii 10like

  • @zenanzale6260
    @zenanzale6260 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ hii ngoma nikali sana

  • @pcoolmtetezi3195
    @pcoolmtetezi3195 6 หลายเดือนก่อน +3

    WA Kwanzaa 🇧🇮 like zanguuuuu

  • @RLEvents-qr4ib
    @RLEvents-qr4ib 6 หลายเดือนก่อน

    Tuandalieni Video Kalii... Remind Me Of My Old Days.. This Is A Hit💯💯

  • @ndakibaraka455
    @ndakibaraka455 6 หลายเดือนก่อน +4

    AY bana!!yule original bado inatusumbua anatuongea tena na hii

  • @nasriabdalla-id9qo
    @nasriabdalla-id9qo 6 หลายเดือนก่อน +4

    Vitoto vya 2000 hamuwezi Jua jinsi gani hili goma lilisumbua Miaka ya 2004/5

  • @westcijosh
    @westcijosh 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo imekua kali zaidi

  • @bernadethayamwaka1365
    @bernadethayamwaka1365 6 หลายเดือนก่อน +11

    Who notes that whozu entered the verse and voice in this Song🙌🏻

  • @MaryPhilbert-l8w
    @MaryPhilbert-l8w 5 หลายเดือนก่อน +1

    The beat is just amazing ❤

  • @Roijoy.enterprises.
    @Roijoy.enterprises. 6 หลายเดือนก่อน +9

    From 🇰🇪 mkiachana mtatukosea sana kumeinvest sana kuwa support Paula na marioo...

  • @Newsoundsworldwide
    @Newsoundsworldwide 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌#lyzee mkasikilizee na Mimi

  • @luvlynessy
    @luvlynessy 6 หลายเดือนก่อน +5

    Came from Marioo’s snap , wimbo 🔥

  • @AgnesJambo-me8qg
    @AgnesJambo-me8qg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Much ❤❤❤❤❤ 2 Mario I ❤ the song so much

  • @mr_.ranking91
    @mr_.ranking91 6 หลายเดือนก่อน +5

    Nyimbo moja ya baddie 🔥 ndo Album nzimaa ya jayMelody 😂

    • @ce-08
      @ce-08 6 หลายเดือนก่อน

      Jealous

    • @mr_.ranking91
      @mr_.ranking91 6 หลายเดือนก่อน

      @@ce-08 kwa wanao mfaananisha Marioo na Melody hii ndoo salaam zaoo

  • @brendapraise840
    @brendapraise840 5 หลายเดือนก่อน

    It was a dedication from my boyfriend this evening, that's y I'm here to under the lyrics ❤️ omg this is so perfect Love it

  • @kulwapeter5807
    @kulwapeter5807 6 หลายเดือนก่อน +14

    Kuna tapeli Kaweka kwake Yupo namba29 trend

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Mzk mkal sanaa

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Hatr snaaaa mzee

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Saf snaaa baba Paula

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Gomaaaa lakwendaa hil

    • @MjunguIshinae
      @MjunguIshinae 6 หลายเดือนก่อน

      Nomaaa sanaa mzee

  • @12345678938129
    @12345678938129 6 หลายเดือนก่อน

    Hatari fire fire fire . Super mega hit . Basi video iwe kali

  • @hamisianthony659
    @hamisianthony659 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe ni patam hapo😂😂ndo najua leo

    • @story4films96
      @story4films96 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mi mwenyewe najua leo bana nilijua anasemaga nitafanyaje mpaka awe wangu😂

    • @barakayesaya5000
      @barakayesaya5000 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nooo! AY alisema hata mapoz ila marioo kaja na msemo wa kisasa

    • @khadijanoor5671
      @khadijanoor5671 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @mizunoboy7033
      @mizunoboy7033 6 หลายเดือนก่อน +3

      @@barakayesaya5000 hapana alisema patamu hapo mimi original yake ndo wimbo wangu bora ukishika nafasi ya pili moyoni katika nyimbo zote duniani toka nizaliwe yaani naupenda na naujua wote

    • @tariqmbonde1556
      @tariqmbonde1556 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mm bro

  • @mattmax773
    @mattmax773 6 หลายเดือนก่อน +2

    Umeonesha Utofauti wa Mapozi Na Yule We Ni Bhaddie 😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼🔥🔥

  • @ShelayWamapozi
    @ShelayWamapozi 6 หลายเดือนก่อน +9

    Wimbo mzur ila wanasimba hautuuhusu mumeiimbia yanga😂😂😂😂😂😂😂

    • @frankkotte117
      @frankkotte117 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @remarkable_reene
    @remarkable_reene 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! BADDIE umeua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mr_.ranking91
    @mr_.ranking91 6 หลายเดือนก่อน +28

    001 we r here for baddie

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 6 หลายเดือนก่อน

    Nimependa huandishi hulio tumika apa sana Mario na brother AY masta

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 6 หลายเดือนก่อน +10

    Please keep liking my comment on here so I can always come back to this video.

  • @CarianeUwitahuyeCariane
    @CarianeUwitahuyeCariane 5 หลายเดือนก่อน

    Hiy ngom nzuli san❤❤

  • @sashashayo250
    @sashashayo250 6 หลายเดือนก่อน +58

    Ila harmonize 😂

  • @tariqmbonde1556
    @tariqmbonde1556 6 หลายเดือนก่อน

    Love the Melodie on chorus 💪

  • @AbgaelKitundu
    @AbgaelKitundu 5 หลายเดือนก่อน +1

    I love you marioo❤❤❤❤

    • @AbgaelKitundu
      @AbgaelKitundu 5 หลายเดือนก่อน

      Me pia nampenda xan

    • @AbgaelKitundu
      @AbgaelKitundu 5 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤

  • @festojoseph-mq6vu
    @festojoseph-mq6vu 6 หลายเดือนก่อน

    #soon will be no1 trending 💥💥💥🙌🙌🙌🙌

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hii nyimbo au chorus 😮😮😮😮😮

  • @VenerandaMwashiuya
    @VenerandaMwashiuya 6 หลายเดือนก่อน

    Bad nation your the best plus Ay this combination is on 🔥

  • @silvernayzer4107
    @silvernayzer4107 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmetutendea haki wananchi kolos Wataumia sana

  • @KedyTz
    @KedyTz 6 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥

  • @mastaafx
    @mastaafx 5 หลายเดือนก่อน

    Baby we ni motooo sana

  • @dailyworkoutforrealmen5663
    @dailyworkoutforrealmen5663 6 หลายเดือนก่อน

    umbo lake yanga anavaa aucho namba nane,somo yangu anakiwakisha 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KenRazy
    @KenRazy 5 หลายเดือนก่อน

    KALI HII .. it has done justice to the original

  • @trillionthamani
    @trillionthamani 6 หลายเดือนก่อน

    Ubaguzi tu, inamaana simba sisi hatuna anayevaa namba 8.ila haka kagoma noma

  • @simongeorge7061
    @simongeorge7061 6 หลายเดือนก่อน

    Such creation its oldnew 🔥🔥🔥

  • @sergigermain9507
    @sergigermain9507 6 หลายเดือนก่อน +1

    kusema ukweli mapozi haiwezii ngoma hii ile mapozi remix haifiki bei

  • @fredvikotta2095
    @fredvikotta2095 6 หลายเดือนก่อน +1

    Master umetisha sana

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 6 หลายเดือนก่อน +2

    Baaadi❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @hajimandisatz
    @hajimandisatz 6 หลายเดือนก่อน

    ngoma kali sanaaaa 🎧 imetisha sanaaaaaaaa

  • @flashmextv
    @flashmextv 6 หลายเดือนก่อน

    One of the best Track list for sammer festive

  • @nukaimaterial1159
    @nukaimaterial1159 6 หลายเดือนก่อน

    Mariooo ninae mjua leo kafanya mambo ya on fire

  • @jovinezekiel3652
    @jovinezekiel3652 6 หลายเดือนก่อน

    Ngoma nimeiludia mala nyingi xana but inanikumbusha gazeti la fema a,k,a simchezo nili ishika hii ngoma kupitia lile gazeti nomasaana ambweneeeee