Bwana Mungu onekana kwetu kama wanao,,,shida zimekuwa nyingi kuliko miaka yetu,tokea tulitukuze jina lako,tenda jambo moja tu Shetani aende mafichoni.....Nyimbo hii inabariki moyo wangu...
Mungu tu pekee ndio anaweza kutetea katika yote.... maana yeye ni Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo la kumshinda....hakika aonekane kwangu ....kwetu...daima... mtetezi wangu..TENDA JAMBO litakalowafanya masikio yao yawashe shetani aaibike aonekane si kitu kwako Bwana wangu..barikiwa mtumishi wa Mungu alie hai.
Ee MUNGU fanya kitu kwangu uoneshe kuwa shetan si ki2 kwako tena kila atakae sikia au kuona kabisa akutukuze kwa ulilotenda,barikiwa sana EMMANUEL MGOGO naitwa paul simon toka katavi hakika unanikonga moyo mno ndugu IMA

I played this song on my way, from Dar es salam Tanzania to Lusaka Zambia. Wimbo Nzuri sana Mtumishi wa Mungu.
Onekana Yesu katika maisha yangu
Napona kwa nyimbo zako
Mungu akubariki sana Emmanuel mgogo hakika nyimbo zako zinagusa uhitaji wa watu wengi
Emmanuel mtumishi wa mungu akupe Neema zaidi kazi yako isonge mbele zaidi
Bwana Mungu onekana kwetu kama wanao,,,shida zimekuwa nyingi kuliko miaka yetu,tokea tulitukuze jina lako,tenda jambo moja tu Shetani aende mafichoni.....Nyimbo hii inabariki moyo wangu...
Amen sana hata mm huu wimbo unanguvu ya uwepo wa Mungu
Ubarikiwe sana Mungu aendeleye kukutiya guvu mtumishi nyimbo zako nazipendaka sana
Kazi nzuri Mungu azidi kukuinua kaka. barikiwa na Bwana......
Hallelujah..
Nataka uonekane maishani mwangu eee Bwana.
Ubarikiwe mtumishi kwa nyimbo zako nzuri
Onekana maishani mwangu BWANA.Jitukuze maisha mwangu BWANA..MUNGU azidi kukuinua kaka🇰🇪🇰🇪
Mungu tu pekee ndio anaweza kutetea katika yote.... maana yeye ni Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo la kumshinda....hakika aonekane kwangu ....kwetu...daima... mtetezi wangu..TENDA JAMBO litakalowafanya masikio yao yawashe shetani aaibike aonekane si kitu kwako Bwana wangu..barikiwa mtumishi wa Mungu alie hai.
Mgogo ubarikiwe san
Bwana nakutaka na nguvu zako, hima, nikuone Baba.
Amen,
Barikiwa sana ujumbe unanibariki sana
Barikiwa kwa wimbo mzuri
Mungu akubariki sana mtumishi na wajina wangu Emanuel mgogo kazi yako huwa naikubali Sana kaka
Hii ni nyimbo yangu bora katika maisha yangu yote
Asante Kaka kwa ujumbe, hakika Mungu wa Mbinguni aendelee kukutumia.nataman Mungu aonekane katika maisha yangu.😭🙏
Mungu akubariki San baba yangu Emanuel mgogo
Hakika, nataka nikuone Bwana, onekana na kwangu Mungu wangu!
Wimbo mzuri sana ndugu.
barikiwa sana.
Barikiwa
Barikiwa sana mtumishi.
Ameeeeen amen ubarkiwe Sanaa mwana wa Mungu
Nyimbo bora kabisa katika kipindi chote cha uimbaji wako video mpaka audio zimejaa uwepo wa mungu.asante
Asante mungu utukufu wako unaoneka 🙏🙏🙏🙏
Amen Mungu azidi kukupa ufunuwo wautunzi wanyimbo nzuli zaidi uwendere kutu bairiki.
Nice
Ee MUNGU fanya kitu kwangu uoneshe kuwa shetan si ki2 kwako tena kila atakae sikia au kuona kabisa akutukuze kwa ulilotenda,barikiwa sana EMMANUEL MGOGO naitwa paul simon toka katavi hakika unanikonga moyo mno ndugu IMA
Kaka Asante
Amen
nikuone Bwana