Duuuuh Kwan uyo Mr D anakupa nn weee lissa Mbn jalufu Yuko pow na anakupenda san ety alafu Mbn mnaenandan San alaf uyo Suzy Mbn ana mpenda san uyo Mr D au ana mtaka ety ilakam una yapenda Mapenzi ya jalufu na lissa gonga like ata moja 2 me nawa penda san ety❤❤❤❤
Lissa leo kimekuramba haidanganyi hyo n Dalila ya mimba ya Mr D haya suzy yuwakudandanya utamwambiaje jarufu ww😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 nangojea majibu ya daktari yatasemaje
Wewe rafiki na loveness kwani wewe unashida gani, muache rafiki yako aende kwa mtu anahempenza ni Tamaha au, naweye tafuta wako Vp wewe acha ufala jinga we 😂❤ wanao kumbali loveness na Kelvi nipe like apo ata tatu ivi pls.
Wakwanza leo . Alofurahia maamuzi ya litha kubadilika na tayari kashachelewa maana dalili zinazoonyesha isijekuwa mimba ya Mr D na atamwambia nn jarufu na je atamwambia nn mama litha. Before I meet 💔😭
Love huy suzy Co rafik wa kwel ay hp unajisikia kutapik anakuambia katapikie nje han muda wa kudek matapish y mtu mzm 😢unaon hp nd ujue ht ukipat shida hp hawez kukusaidia
Jarufu n mshamba wa mapenzi sna....alafu pia muongo kusikizia kitu au mtu juu ya mapenz..lakin soon atakuja juta ...atakapo wafuma love n babake....ndio apo atqmkumbuka Kelvin..lakin n 2 late...atamtafuta na kumpigia cmu nisamehe nyingi... Apo ndio atapakwq n kevoo mpka basi 😅
Jamani tangu kuanagalia hii mov sijawahi kupta like naomb hat moj nawapendaaa san 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😂😂😂
❤
za nin sasa
Hiyo ndio nlikua nangoja sasa asanteni sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Wana @ DONTA TV woteee,,Wangapi wamefatilia hii drama Toka mwanzo adi sasa like hapa 🤲 tuwatambue
mimi hapa
@RashidKhanOmar hongera
Mm hapa
@JosephineMomanyi-jp8tv hongera
Mie hapa
Wangapi washaona mimba ya Mr D kwa Lissa😢😢😢
Yani Akomee 😂😂😂 mimba iyooo kuchamba kwingi
😂😂kasha yakamyagaaa tiariii Lisa 😂😂
Mbona hawawazi kam mimba ahh 😢😂😂😂
Io ni mimba direct 😂
Lisa.munatucosha.nyinyinasuzi.lisakambalinasuzi.suzi.anapewa.pesabul.nahuyuzeh
Kama unaamini lissa mjamzito na anamimba ya Mr D gonga like❤❤❤
Hamjambo wapenzi wangu nawapenda Sanaa niwatakie kheri ya mwaka mpya ❤❤❤
Na kwako pia
Kama unapenda Kelvin na loveness gonga like apa chini
👇
Jaruff😮huambiliki hata uvunje😮urafiki na Kelvin pole utafunzwa😮na ulimwengu kk
Jarufu anaupendo wadhati kwa Lisa ila ya tamkuta mambo namuunea huruma😂🎉🎉🎉🎉keep it up guys ❤
Waah suziii ww n mnoma Sanaa 😂😂😂😂 etii sisi mapopo kazi kazinii lazima
Duuuuh Kwan uyo Mr D anakupa nn weee lissa Mbn jalufu Yuko pow na anakupenda san ety alafu Mbn mnaenandan San alaf uyo Suzy Mbn ana mpenda san uyo Mr D au ana mtaka ety ilakam una yapenda Mapenzi ya jalufu na lissa gonga like ata moja 2 me nawa penda san ety❤❤❤❤
Anaamini kua Jiarufu ataumbuka gonga like apa
Amevuka mipaka na mibuzi😂😂😂😂
😂😂😂@@MariaSalim-u5z
Jiarifu kitamramba
Hajielewi
Mapema san😂😂
Mr. D amefanya ile kitu sasa tungoje ndugu ya jaerufu 😅😅😅
suzy wewe ni munafiki sana lisa utalilia chooni😢😢 lisa kwani unabebewa umbongo na suzy na thani lisa nimjamzito na ni mr D huyu 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Mr D😂😂😂😂
Lisa uchunge usiwe na mimba ya baba jarufu kitakuramba😅😅😅
Kuna leba ww nilegezex2 tu,nimeipenda hii❤❤❤❤❤❤
Ubaya wa jarufu haelewi😂😂😂daah!kwl mapenzi ni upofu
Wapi uwa🎉🎉🎉 langu jamani ❤❤❤
Ety jarufu amevuka mipaka na mibuzi😂😂😂😂😂
😂😂😂😂nimechekaa
Kipindi kinaendelea vizuri sana,coz wana update on time endeleeni hivyo hivyo 🎉🎉🎉🎉 from❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Love anasema isije ikiwa U.T.l😅😅😅😅😅hapo my love ni mimba jitayarishe kuumbuka sasa😂😂😂
Ewaaaa ndomaana nawapendaga vipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana next please 🎉🎉🎉🎉
Jarufu kimekuramba umeinga chakike😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Amina awali ya yote, hongera umependeza Leo na shoga Ako kijani ya ccm 🎉🎉😂 mashallah 😍
😂😂😂
Kazi nzuri sana mwendelezo jaman nimependa sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ila kusikiza rafiki yako sana kitakuramba kama vile kimewaramba love Kwa kumuamini amina
Lissa mimba itakuumbua hiyooo😂😂😂😂
Suzy ni my dear si mahi diha😢😢😢
Jarufu utakuja kuamini kelvin juu liza ako na mimba ya babayako
Wwe jarufu unacho kitafuta utakipata unambiwa uwambiliki nakuonea uruma kweli I'm from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪..like hapa jamani ❤❤❤❤
Amin leo umenichekesh ety unat utem karanga kwa Biggie ya kuonjeshw 😂😂😂
Lissa leo kimekuramba haidanganyi hyo n Dalila ya mimba ya Mr D haya suzy yuwakudandanya utamwambiaje jarufu ww😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 nangojea majibu ya daktari yatasemaje
Kama mimba ya mr d vile silipendi jamani ntalichukia mara mbili kwa hii movie
Hahaha😂 kama mm2
Tuko wengi😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂hatar sana
😂😂😂 itabidi umpende tu maana ndio baba kijacho😂😂
Jamani Lissa, hizo dalili za mimba kweli ,naisi ni ya babamkwe Mr D ,jarufu utakumbuka maneno ya juli
kweli kbsa nd hvyo
Jarufu analetewa mdgo ake
Hii movie naipenda sana🎉🎉❤❤❤
Wewe rafiki na loveness kwani wewe unashida gani, muache rafiki yako aende kwa mtu anahempenza ni Tamaha au, naweye tafuta wako Vp wewe acha ufala jinga we 😂❤ wanao kumbali loveness na Kelvi nipe like apo ata tatu ivi pls.
Jarufu ipo siku utalia tu 🤣😊
Congratulations Lisa mimba hiyo jarufu mdogo wako anakuja🤣🤣🤣like👍🏿 jamani tukisonga jarufu hapa ndio utajua urafik ni nin but mnafanya kazi poa 🙏🙏🙏
Jamn wamwisho tujuan ap😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Huyu Jarufu Nikama akili yake haipo sawa sijui yaana simuelewi ila one day utajua hujui❤❤❤🎉🎉😂
Jarufu watunza babako anatungu mimba wee huogopi 🤣🤣🤣🤣 wee endelea tu kuwa mshidani kitakuramba tu 🎉🎉❤❤
Mungu Awa barik nyinyiwote umu ndani❤❤🎉🎉🇧🇮🇧🇮
Wakwanza leo . Alofurahia maamuzi ya litha kubadilika na tayari kashachelewa maana dalili zinazoonyesha isijekuwa mimba ya Mr D na atamwambia nn jarufu na je atamwambia nn mama litha. Before I meet 💔😭
Jarufu asikiliki biote beko na mwambiya asikiye ata upoza wakati ata juwa ukweli 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Lisa keshachapikwa mimba 😂 Mr D amemkomaza 😅😅
Jarufu funguka macho waambiwa ukweli bt huamini bt ile day utakuja kujua ukweli sijui utafanyaje❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hongereni sana kwa kazi nzuri ❤❤❤
Love huy suzy Co rafik wa kwel ay hp unajisikia kutapik anakuambia katapikie nje han muda wa kudek matapish y mtu mzm 😢unaon hp nd ujue ht ukipat shida hp hawez kukusaidia
Jaman Suzy Yuko vizur kwa ashawishi😂😂
Lisa anapelekwa jaman na suzy maan duh rafiki tu hata siyo ndug
Movi ni njuri sana mpokea mauwa🎉🎉🎉🎉🎉r
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda wote ❤❤❤🎉🎉
Wa pili huyoooooooo naomba likes jamani 🏃🏃🏃
Lissa ni mimba iyo saka jibu lakumpa jarufu maana mzee kakupea mtoto sije akatoka na mvi😂😂😂😂
KELVEN hahahaaaaa etiii mipaka na mibuzii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉kazi safii kelvin na wenzako
Hila ninacho juwa mimi matapishi ya mimba haya zuilik labda ulambe ndim 😂😂😂 vp lisa mwenzetu unaweza kujizuia kutapika😂😂
Suzy peleka lissa hos Mr D n jaruffu wapatane ukouko😂😂😂 patamu apo🎉🎉🎉🎉🎉
Mimba tayari jamani mr D na jiarufu sasa ndo moves inanoga😂😂😂😂
😂😂😂😂😂kutema karanga kwa bigiji ya kuonjeshwa amechapiaaaa😅😅😅
Lisa mbona auchane na Amina 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 fanya byako we Lisa.😂😂
Amina we mpotoshaj tembea naye wew hyo Mzee
Suzy ni mnafiki sio rafiki mzuri
Jarufu Ana akili😂😂😂
Jarufu jiandae kulea mimba huyo ni mdogo Ako anazaliwa hukumwamini rafiki yako komaa sasa 😂😂
Iisa ako n mimba ya Mr d....alafu ndio jarufu hujawai pita nae peku....ata shangaa akisikia ako n mimba😅😅
Naba jaruf kashafanya yake kwa lissa
Kazi nzuri sana 🎉🎉
Mbona hii story pale pale haisongi ama mnarefusha movie
Haraka haina baraka 😅
Kazi nzuri🇹🇿
Safi huku mnaleta haraka vzr
🎉🎉🎉muache jarufu ajioneyake
Leo Lisa kaongea point sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jamni tunao fwatilia mv hii tujuane
Mambo
Jarufu n mshamba wa mapenzi sna....alafu pia muongo kusikizia kitu au mtu juu ya mapenz..lakin soon atakuja juta ...atakapo wafuma love n babake....ndio apo atqmkumbuka Kelvin..lakin n 2 late...atamtafuta na kumpigia cmu nisamehe nyingi...
Apo ndio atapakwq n kevoo mpka basi 😅
Lisa lisa Lisa nimekuita Mara ngapi, achana Na Susy sio rafiki mzuri
Jarufu majuto ni mjukuu,hebu mwamini kelvin.
Mr d Kash fanya lake😅😅😅🎉🎉🎉🎉❤❤Lissa utakoma namama Ako hakuachi salam
Wa kwanza Leo bro smith nipe like yangu
Lisa kanasa cjui sasa ya mr d au ya jaruf 😂😂😂😂
Suzy anaitaja vizuri hiyo neno mahidihaaa 😂😂😂😂
Ata mm nnaungana na jarufu we kevin unamtaka lisa c kwa wivu wa huo. Na mnajua n danga huyo lisa😂😂😂😂😂😂
Amevuka mipaka Namibuzi😅😅😅
Jarufu pole kwa kile kinachoenda kukutokea apo mbele.🙏
Mimba ileeeeeeee😅😅😅 jarufu pole yako
Jaluf nipe mm hiyo Hela maan Lisa hajui Cha kifanyia
Mimba iyoo toba
Mimba iyoo😂😂😂😂😂
Ati myhi diha ongeni kiswahili tu wa bongo khaa😂😂
ubaya ubwela Jarufu kazi unayo alooh
Jarufu atalia ninavyo ona akigundua ukweli
Amina mbona una tabia ww basi kidogo heshimu uamuzi wa mwenzio
Munafanya kazi kweri Asante 👑
Jarufu siku atajionea kwa macho atajidharau sana kwa maisha yake yote sikio la kufa haliskii dawa
Nipo ndani na mm nipeni link nawapenda sana 🎉🎉🎉
Hahaha 🤣🤣🤣 lisa unamimba ya mr D daa hii kali
Nimewai japo ninakazi nyingi za mwalabu,Niko saudia nipeni hat lik Moja wandugu
Hapo kwenye kutema karanga kwa bid g ya kuonjeshwa.😂. Alikosea kweli sema wamevunga tu 😂
😂😂😂😂😅😅
Wakwanza jamani naomba like namimi 😂 sa