ÚMA WOTHE WA MAMA STELLA WA URIRU WA WENDO 😲😲

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • #mczaku #goviral #kikuyucelebrity #youtube #trending #truthwatchdog #mugithi #dont_forget_to_like_and_subscribe #updats

ความคิดเห็น • 198

  • @marywaithera3916
    @marywaithera3916 2 หลายเดือนก่อน +19

    Nimewatch interview zote mbili and let me say roho ya mtu nikamsitu.winnie's facial expressions when interviewed sayed it all.Kuna kuti alikua anaficha.she was just after sympathy so that people can help her.huyu makena nayeye anakaa mtoxic that is why the husband left for peace of mind.Huyo mbaba ni mature akiskika but arudishie wangui pesa yake ata kama ni ten bob.Hawa ni watu watatu wazima who should solve their issues off camera.Ingekua ni gen z tungeelewa.mutige ubuthi,funda

  • @millywangui3808
    @millywangui3808 2 หลายเดือนก่อน +13

    Tiga gukena na guthirikia wangui ni ciana..
    Ngai niwe mugai

  • @user-tb4lv4ut8s
    @user-tb4lv4ut8s 2 หลายเดือนก่อน +7

    Going straight to the point is making the show fantastic

  • @streamlabskenya349
    @streamlabskenya349 2 หลายเดือนก่อน +25

    I may not be your supporter 100% but one thing I like about this guy, he doesn't do veeery long boring interviews. Story is straight to the point and clear. Short and to the point. Kuna wengine wangeanza hii interview with questions like, tuambie ulizaliwa wapi na ulisomea wapi.

    • @muthonimureithi3665
      @muthonimureithi3665 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ata mimi izo hunibore.najipatanga nikiziskip tu....hii iko very straight ata mtu haboeki

    • @catherinenjeri4980
      @catherinenjeri4980 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ati oire muthuri wakwa... nonsense.

    • @hannahrhodah2018
      @hannahrhodah2018 หลายเดือนก่อน

      Very true unapatanga video ni one hour but main issue ni ya only 20minutes , so boring, we don't always have time tunatakanga kitu ya haraka tukiendanga 😂😂

  • @peninakiuna2939
    @peninakiuna2939 2 หลายเดือนก่อน +12

    Kwa nn siamini huyu mama?anakaa muongo na porojo mingi😡😞

  • @salomenjuki6912
    @salomenjuki6912 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yes! That is true, it's time for wangui to cry now.

  • @melodysaitoti3773
    @melodysaitoti3773 2 หลายเดือนก่อน +6

    The interview was so good...bt vyenye anafight huyu mwingine akitumia watoto was so wrong.. Sio mtu hujipea

  • @whatscookingwithRegina
    @whatscookingwithRegina 2 หลายเดือนก่อน +17

    Andu mathimwo matuku maya tikwega😂 , Ama wangui alikuwa anataka kuchangiwa😜 unajua hawa maceleb wamezoea pesa ya haraka🤣🤣

  • @sarahmburu3092
    @sarahmburu3092 2 หลายเดือนก่อน +20

    Niwagitunyirwo muthuri nandirege no umenye ciana iheyanagwo ni NGAI

    • @alexkabiru9275
      @alexkabiru9275 หลายเดือนก่อน

      Hiyo tunakuja,alafu?

  • @damariswangari1806
    @damariswangari1806 2 หลายเดือนก่อน +7

    Weeeh ogopa mbwana ya wenyewe,juu ni sumu

  • @gracegithinji7717
    @gracegithinji7717 2 หลายเดือนก่อน +8

    Muthuri wene ni ta ngari ya thirikari lazima itarundi kwa serikari

  • @mwaneducommunications
    @mwaneducommunications 2 หลายเดือนก่อน +4

    Usifurahi ata kidogo kesho ni ya Mungu

  • @mosesngugi3505
    @mosesngugi3505 2 หลายเดือนก่อน +5

    Zaku kaende kaende my favorite Chanel

  • @dorcaskiragu4306
    @dorcaskiragu4306 2 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂wathî urîhagîruo thî wangui naihida riaku ria kabisa

  • @user-vt2st8ct9e
    @user-vt2st8ct9e 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hakuna Mungu anaeza kukupea bwana ya wenyewe! Fullstop

    • @marywakariuki3492
      @marywakariuki3492 2 หลายเดือนก่อน +1

      Truth,hakuna hata hayo.maombi Mungu hawezi skia coz God is not a respecter of persons

  • @susanikenga2486
    @susanikenga2486 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nigukunyitana muno guku kana muthuri wene akuhuthira ndakoraguwo na bata nawe ringi achokagirira muka 😊😊😊😊😊

  • @noven254
    @noven254 2 หลายเดือนก่อน +5

    Bwana ya wenyewe ni sumu😂😂😂

  • @nonnygracy9162
    @nonnygracy9162 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wueeh mzee very mature,ocio ni muthuri wa kiama👏

  • @janetwachira7206
    @janetwachira7206 หลายเดือนก่อน

    Zaku keep it up 👏👏👏

  • @user-md6ym7mq8i
    @user-md6ym7mq8i 2 หลายเดือนก่อน +5

    Week na wamutuite mwana faith

  • @monicamwas3458
    @monicamwas3458 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wathii urihagirwo thii... Karma is real

  • @annkingau2156
    @annkingau2156 2 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu mama Ako na kiburi,,kumbe ata haishi na uyo bwana bdo😂😂😂

    • @eunicenjoki719
      @eunicenjoki719 2 หลายเดือนก่อน

      Akii tuachane na yy tu pia yy hakuwa mzuri akiachwa

    • @leahmuthoni9576
      @leahmuthoni9576 2 หลายเดือนก่อน

      Lakini ako msupuu sana...

    • @njokindungu1370
      @njokindungu1370 2 หลายเดือนก่อน

      Ata huyo bwana amesema hakufukuza wangui kwake,meaning alikuwa anamtaka tu.

  • @AliceWawira-q5e
    @AliceWawira-q5e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wonders will never end

  • @estherwamucii-kq4ts
    @estherwamucii-kq4ts 2 หลายเดือนก่อน +4

    Zaku nataka unioe😅😅

  • @user-vt2st8ct9e
    @user-vt2st8ct9e 2 หลายเดือนก่อน +3

    It's Karma! Lazima Mungu akulipishie mama.

  • @naomikamau2544
    @naomikamau2544 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oooooiii kindly eheria uhoro wa ciana tondu gutiri ungienda kwaga

  • @susanwagura5686
    @susanwagura5686 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama hii ndio attitude,bwana hatakaa ,hata hakutaki😂

  • @rachaelkabro7893
    @rachaelkabro7893 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ndingihoka miario ya mundurume watigire muka Ena mwana wa wiki agithii githukia maisha ma mindu ungi it's a no.

    • @monicanjogu770
      @monicanjogu770 2 หลายเดือนก่อน

      Nyothee ni mikoraa hatiri mwegaa

  • @waitheraemma7573
    @waitheraemma7573 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hizi ni story za Jamba huyu mwanamke anaharibu jina ya mwingine adui ya mwanamke ni mwanamke

  • @user-bp1rc1gi3x
    @user-bp1rc1gi3x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baaas twede nalo wangui alikua dem ya auncle yangu enzi fulani nkiwa class 8 n alikua anapiga simu kutusi bibi ya my auncle bila sababu,,

    • @user-rz8xz3gg5z
      @user-rz8xz3gg5z 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ulijua aje mambo ya watu wazima ww mtoto

    • @user-bp1rc1gi3x
      @user-bp1rc1gi3x 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-rz8xz3gg5z mm nkiwa 8 nlikua najua kila kitu,,izo Enzi Hadi nlikua nsha jua kuni kwn unacheza

  • @user-vt2st8ct9e
    @user-vt2st8ct9e 2 หลายเดือนก่อน +3

    True! Nipee number ya huyu mama . Tutiane nguvu

  • @marryno
    @marryno 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mc Zaku wendaga oguo 😂😂😂😂ati aikaraga ya mafati oaki actaga😂

  • @lilianndungu6576
    @lilianndungu6576 2 หลายเดือนก่อน

    Wisdom is very important....

  • @BethKiarie-lu8zh
    @BethKiarie-lu8zh 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wacha nikae single God ni mwema nko na amani ninunue na jinjenge kwangu wee wendo ni unyamaranio

  • @rahabmukuhiwaithaka3439
    @rahabmukuhiwaithaka3439 2 หลายเดือนก่อน +1

    260k haiwezi njenga hao. Wangui plz solve the issue with this lady

  • @rosanganga4319
    @rosanganga4319 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waaaaah hii nayo ni kali

  • @Agnes-mu8qc
    @Agnes-mu8qc หลายเดือนก่อน

    Ms. Makena is truthful and she deserves respect. Wangui is a spoiler and cheap. Thank you MC Zaku.

  • @estherwamucii-kq4ts
    @estherwamucii-kq4ts 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mama ako na sauti kama ya Wangari wakabera

  • @carolshii8023
    @carolshii8023 2 หลายเดือนก่อน +2

    Na wangui ndaiguire auga ati muka wa muthuri ucio niakuire

  • @beatricewambui591
    @beatricewambui591 2 หลายเดือนก่อน +2

    N hakuna ndingituira mutumia tondu angikoruo mundurume niakuendete ndangiaumire athiia angiaria wangui noagacoka gwake niari amuria gitumi giake giagukinya kuoya murigo athii mingi tiga gukena tondu uria ungia ndaraciara tondu niathire n muthuri waku ririkana ino nithii n winakana kamuiriti ungingenda mundu aherithike wega eheria ruo ngoroini n Ngai niaingagirira mc zaku tumira mutumia uyu text ino yakwa

  • @carolshii8023
    @carolshii8023 2 หลายเดือนก่อน +2

    Na bytheway tondu nindonire mbica yake e lagata prison what happened to her

  • @eliudjomo7968
    @eliudjomo7968 หลายเดือนก่อน

    Zaku uko sawa. watoe kutoanisha black and white.

  • @Annbellitah
    @Annbellitah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zaku nduri itheru wee 😅😅😅wauga gi24 kimenyeke

  • @winniesarahwambui7149
    @winniesarahwambui7149 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mũtumia ũciaraga 😂😂😂😂 sorry kucheka but imebidi kucheka 😂 celeb wa ciana 😂

  • @milkahwakamukunji
    @milkahwakamukunji หลายเดือนก่อน

    Makena nindaririkana hindi iyo ma wi muciairi uria gwathire

  • @monniepaul4826
    @monniepaul4826 2 หลายเดือนก่อน +4

    Woman don't you ever again mock somebody else with children,,money,,etc..hizi vitu ni Kwa Neema ya God tumeweza kuzipata...just solve your issues amicably muache ujinga ya kuharibia a majina Kwa social media.

  • @user-xn1uu7od9z
    @user-xn1uu7od9z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ciana ciheanagwo ni ngai.ona icio winacio nocikuwe utigwo utari ona umwe. Koguwo niwega gucunga miario yaku.

  • @kawangige-official7629
    @kawangige-official7629 2 หลายเดือนก่อน +5

    Sina maoni

  • @jackiejk7658
    @jackiejk7658 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni mutumia mukigu, watoto Mungu ndiye hupeana,

  • @LeshaniaPelo-yi1xp
    @LeshaniaPelo-yi1xp 2 หลายเดือนก่อน +2

    madam kindly dnt be happy sana ,anza kushukuru mungu kwa yote amekutendea

  • @njambiann7870
    @njambiann7870 หลายเดือนก่อน

    Sad sorry

  • @perismuturi8772
    @perismuturi8772 2 หลายเดือนก่อน +1

    So huyu mzee hawezi pata pesa no ' niethukumagira'?? Ati hajui which year they met but they have been together for two years? Wangui will raise again and they house will ever haunt you people if it's true it's hers.

  • @MaryMaina-sz5sf
    @MaryMaina-sz5sf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Macio nimaheni nyumba ya mahiga nowake na ngiri magana meri

  • @texasgirl7532
    @texasgirl7532 2 หลายเดือนก่อน +1

    umemerekia murihire😮😮
    she paid to come and mock wangui sababu hana watoto😢😢

  • @susanngugi2489
    @susanngugi2489 2 หลายเดือนก่อน +2

    Please pay her 60k

  • @wanguimary1121
    @wanguimary1121 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice interview

  • @johnndunguMbugua
    @johnndunguMbugua 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wangui nìagìre makùnia na mathufuria maake,wathì urìhagìrwo othììno😅

  • @user-tj1uv8oy2v
    @user-tj1uv8oy2v 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ugefuga mujulus ubaki nyo kubaf

  • @annkangethe2194
    @annkangethe2194 2 หลายเดือนก่อน +6

    😭😭😭 so you mean you're more important because you have kids😭😭😭.sijui yeyote kwa hii story, I just listened to both stories na the past interview sikuskia amekutaja na izi maneno mbaya unaongea, Ngai akuone na akuherithie, ama kama ni wewe inapeananga watoto umpee🥲 shame on you

  • @ayabongabanjwa7718
    @ayabongabanjwa7718 2 หลายเดือนก่อน +4

    Muthuri noahikie ona atumia ikumi onawe tutigithie na mumucokerie ngiri ciake 60000

    • @keziahnjeri4815
      @keziahnjeri4815 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      mbona ahame kwake basi, bibi ndiye angekam

  • @MirriamMuthoni-jf1hr
    @MirriamMuthoni-jf1hr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyumba ni 200k ilijenga sioni ukweli hapo ya huyu mama kuhusu pesa lazima wangui alitumia doo zake

    • @user-rz8xz3gg5z
      @user-rz8xz3gg5z 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama ni bule sana

  • @ephtinetke
    @ephtinetke 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngiri 60 nicio iratuma mundu atinde akirira

  • @julianjambi212
    @julianjambi212 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waaah

  • @marywachira9475
    @marywachira9475 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mama anaishi mwiki na anakuaga na kiherehere sana . I can't believe her

    • @ephtinetke
      @ephtinetke 2 หลายเดือนก่อน

      Wamama wako tu hivyo... Wangui alie na aendelee kabisa ni time yake

    • @aliciahnyoroh6226
      @aliciahnyoroh6226 2 หลายเดือนก่อน

      True,mdomo alipewa.

    • @DorothyBundi
      @DorothyBundi 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@aliciahnyoroh6226😂😂😂😂😂

    • @DorothyBundi
      @DorothyBundi 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ephtinetke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KateShie-ze6vc
    @KateShie-ze6vc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana ya wenyewe sumu

  • @Jane-em5lx
    @Jane-em5lx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ciana iheyagwo ni Ngai

  • @MaggyDavid0727
    @MaggyDavid0727 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba ya 200k ya mawe???weee tiga gututhima ngoma

  • @annkangethe2194
    @annkangethe2194 2 หลายเดือนก่อน +9

    Lakini 200k haiwezi maliza nyumba ya mawe😢😢😢

    • @musicolcash
      @musicolcash 2 หลายเดือนก่อน

      Ata 260k sidhani

  • @annkangethe2194
    @annkangethe2194 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mbona hii interview inakaa ya kuharibiana majina ama clout chasing

  • @user-rz8xz3gg5z
    @user-rz8xz3gg5z 2 หลายเดือนก่อน

    Korwo muthuri ucio niakwendete ndangiagutigire wi muciairi ,ningi niakirie mucene ucio muthuri nitumui ningi oiga ndamuingatire niwe wathire

  • @terryannmatu198
    @terryannmatu198 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi I believe Wangui

  • @Favored_Sheqaw
    @Favored_Sheqaw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Never mock someone for being childless. Ngai ucio ukuhete niwe umumite

  • @liliesmwandaga4923
    @liliesmwandaga4923 2 หลายเดือนก่อน +1

    The 'muthuri wakwa' thing is annoying 😢wisdom not detected

  • @suzyben9643
    @suzyben9643 2 หลายเดือนก่อน

    Mutumia uyu ni njambanio enacio😂😂😂😂😂ati no makuo mekùu😂😂😂😂

  • @MaryGachunga
    @MaryGachunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    this lady wameplan na huyu mzee

  • @Justuswagakuja-lj8wt
    @Justuswagakuja-lj8wt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good job ❤

  • @AgnesWaithira-rk4eh
    @AgnesWaithira-rk4eh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ni ukweli hii stori... wangui niwekarangire na maku tondu....niwagithukirie mucie wene

  • @blessednjoki5450
    @blessednjoki5450 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @esthergatoto9316
    @esthergatoto9316 2 หลายเดือนก่อน

    Karma haikawii

  • @teresiawaruingi5566
    @teresiawaruingi5566 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama haheshimu inlaws,anasema hawangepelekwa Inoro na Wangui kuongea huko.Sasa hao wanakujia wapi jameni?

  • @user-yv6bo6zn2k
    @user-yv6bo6zn2k 2 หลายเดือนก่อน

    Mc zaku ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-vn4hg2df3m
    @user-vn4hg2df3m 2 หลายเดือนก่อน

    Beautiful mama

  • @user-vt2st8ct9e
    @user-vt2st8ct9e 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mama ni mrembo.

  • @ruthmwaura9604
    @ruthmwaura9604 2 หลายเดือนก่อน +2

    Weeuh mabo ni mengi masaa dio hakuna..the only man that speak the truth..mc zaku

    • @marryno
      @marryno 2 หลายเดือนก่อน

      Napia hua haongopi

  • @leahnjoki5177
    @leahnjoki5177 2 หลายเดือนก่อน

    Hena ūhotekeku Wangui niwe wakire nyumba iyo tondu 200k haziwezi Jenga nyumba.tena bwana nikama hakutaki Makena.onawe wacoka kūu ugekwo madharau TU ciana ni Ngai uheanaga.

  • @carlyportia6358
    @carlyportia6358 2 หลายเดือนก่อน

    Mwathani nisikawai fika hapa...''múthuri wa kwa" 😂😂
    Can never fight for a man

  • @susanngugi2489
    @susanngugi2489 2 หลายเดือนก่อน +1

    Return her properties and 60k young man

  • @marymwangi3180
    @marymwangi3180 2 หลายเดือนก่อน

    We reke ciumburane,umemerekia murihire,Muniu wanjiru cokia indo ciene kuma wakuithia mutumia wa mbere waremetwo ni gwaka niki? Cibu gatungu atuire akuingataga haria watigiirwo ni nyina anjiru,wakirwo ni wangui nitui ta andu aitura noreke cira ugatuithanio ni ngai...
    ....

  • @teresamuthoni4188
    @teresamuthoni4188 2 หลายเดือนก่อน +1

    Some men are scam when they know you are desperate of something they will suck even the last drop of your blood na baadae wasema they never forced you to help them

  • @leahnjoki5177
    @leahnjoki5177 2 หลายเดือนก่อน

    Ndikwaria mūno no rīrī ūyū mūtumia ndararia maa ahana gūthūkīria Wangui rītwa na atige kūmūthirīkia,na amenye mūthuri watunyanirwo rimwe no atunyanwo rīngī na rīngī angikorwo nīmatunyanagwo.haha atumia Aya erī nīmarakuo Wana ni mūthuri ucio

  • @lilianwangui6403
    @lilianwangui6403 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂 niciauma na ene

  • @mercywanjiru540
    @mercywanjiru540 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mwanaume ni evil

  • @susanngugi2489
    @susanngugi2489 2 หลายเดือนก่อน +2

    Return the 60k

  • @Mggiecharleskui
    @Mggiecharleskui 2 หลายเดือนก่อน

    Zaku witu Nipitie

  • @monicahnjenga9005
    @monicahnjenga9005 2 หลายเดือนก่อน

    Waaah hakuna kitu mbaya kama kutesa mtoto mdogo karma is real weeeh

    • @cynthianganga3568
      @cynthianganga3568 2 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢weee naelewa kenye uyuu mama anasema, cuzo yangu aliachwa na mtoi wa two week

  • @rahabmwaura1990
    @rahabmwaura1990 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko busy maadamano

  • @rosendegi8278
    @rosendegi8278 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makena...

  • @susanwagura5686
    @susanwagura5686 2 หลายเดือนก่อน +2

    The mighty one ameitwa ex - wife 😂😂😂

  • @maggiegathoni5571
    @maggiegathoni5571 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ni stori za jaba, huyu mama ata kitamuka Dimkes ana inta dimket

  • @chegepaul2731
    @chegepaul2731 2 หลายเดือนก่อน

    ATI ngutunywo Muthuri, Muthuri aikaranga haria ainganira na thayu