Ila nyie huyu mwijaku anakazi gani ndani ya hii inchi 😂😂😂 yeye mwenyewe analelewa kama kibeteni,buy the way Familia ya kajala inamhusu nini jamanii,Mimi kama katibu wa familia nasemaje Mario Muowe paula 👌🏻😂😂😂
Hiyo sasa chuki kwani wewe si umemuoa mke wako kwa sababu ya kituu mbona hujuja kunioa mimi wacha hasadi na fitina hio kila mwanaume anapenda kizuri na kila kizuri kina gharama zake
Watu mnapenda kumuongelea paula san muwahache wanapndn siku wakiachan basi daaah
Mupe onyo
Ila nyie huyu mwijaku anakazi gani ndani ya hii inchi 😂😂😂 yeye mwenyewe analelewa kama kibeteni,buy the way Familia ya kajala inamhusu nini jamanii,Mimi kama katibu wa familia nasemaje Mario Muowe paula 👌🏻😂😂😂
Mwenyewe ooh Eti kapanga Mara Kanunua gorofa😂😂😂😂😂
Mwijaku unajua kuongea ki2
Marioo anachunwa tuu atabak mtupuu nawaulize wenzie 😂
Nikweli mwijaku hla inazungumza yenyewe.Ukiona mtu anajitangaza hyo nimshamba tu hajitambui.
😂😂😂😂😂kaah
Range ni kampuni ya uingereza wala sio marekani
Mwijaku hapo kwenye chain umekosea kwenye uisilamu mwanaume haruhusiwi kuvaa chain, bangili au here ni. Ni haram
CE N'EST PAS LE MOIS DU RAMADAN ?MWIJAKU ILEST CHRETIEN ?
😂😂😂😂😂mwejaku
Hiyo sasa chuki kwani wewe si umemuoa mke wako kwa sababu ya kituu mbona hujuja kunioa mimi wacha hasadi na fitina hio kila mwanaume anapenda kizuri na kila kizuri kina gharama zake
Nyie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣eti kanunua gorofa ????