UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN KUANZA RASMI KUPOKEA FOMU ZA MAOMBI YA PASIPOTI ZA KIELETRONIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 174

  • @ashaharuna6963
    @ashaharuna6963 4 ปีที่แล้ว +2

    Balozi Babalaooo 😎😎😎naluelewa sanaaa babayetuu much love from Al khuwer

    • @bernaberna8135
      @bernaberna8135 4 ปีที่แล้ว

      @Asha haruna upo maeneo gani huku omn

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 4 ปีที่แล้ว +5

    me ngachoka ta sielewi kama kuna mtu kama mm ajafanya chochote mpaka ss like zenu

  • @dhalkarneinabdullahkhamis6537
    @dhalkarneinabdullahkhamis6537 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sikuwa najua malengo ya Paspoti mpya ila nimegundua kwamba kupitia paspoti mpya mutakua mumepiga ndege kumi kwa jiwe moko kumradhi nitarudia jiwe moja yaani big up sana jitahidini ndugu zangu hakika kila penye uzito nipamoja na wepesi

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 ปีที่แล้ว +2

    Sijaelewa hata moja, lkn mie passport yangu ya blue nimekuja 2018 vip natakiwa kubalisha

    • @pendomangalili7501
      @pendomangalili7501 3 ปีที่แล้ว

      Ndio unatakiwa kubadilisha

    • @aishakopose26
      @aishakopose26 3 ปีที่แล้ว

      Dada naomba kuongea naww plees 0769088395 nicheki

    • @pendomangalili7501
      @pendomangalili7501 3 ปีที่แล้ว

      @@aishakopose26 we nani ndugu

    • @aishakopose26
      @aishakopose26 3 ปีที่แล้ว

      @@pendomangalili7501 mm Aisha dada

    • @pendomangalili7501
      @pendomangalili7501 3 ปีที่แล้ว

      @@aishakopose26 ulikuwa unasemaje? Sikufaham sorry

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana barozi wetu kwa maelekezo yako mazuli je ukijaza fomu hapo utaipata mwezi gani Maana wengine tuna kalibia kuondoka

    • @zammaulidi7507
      @zammaulidi7507 5 ปีที่แล้ว

      Balozi asant tumeelewa

    • @zammaulidi7507
      @zammaulidi7507 5 ปีที่แล้ว

      Lakini tunaombi la mkataba kwanini mkataba Kwa mfanyakazi akiwa anatakiwa kurudi tena lazima akate mkataba asiendelee na ule ule maana anarudi nyumba Ile Ile na Ile peaa ya kukata mkataba angalau tukaongeazewa na Sisi mshahara tunakosa kuonh
      Kuongezwa mshahara Kwa hii mikataba ya kila siku

    • @rahemarahema333
      @rahemarahema333 4 ปีที่แล้ว

      Daa mm hapa hata sielew nahata hyo mambo ya mtandao naona nikirud nyumban mwakan inshallha mambo yenyew meng mm nalea watt hata sikariri chochote

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj ปีที่แล้ว +1

    Mlezi wetu❤

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 4 ปีที่แล้ว +2

    Mm nimejaza fom na kulipia kila kitu toka mwenzi wa nane mpk sasa mwenzi wa 10 nalud mwenzi wa 12 sijapigiwa sm kwenda kuplindi kuweka alama za vidole mpk sasa afu izo namba tukipiga azipatikani jmn kwann mwafanya ivyo na mm naishi shinas huku mbali ila nilikuja huko kujaza fom na malipo kila kitu maana bos wangu yupo makin kweri ila mnazingua bwana

  • @ashurahassani8220
    @ashurahassani8220 5 ปีที่แล้ว +5

    Utaratibu una mambo mengi jamani wengine mabosi hawaelewi kabisa

  • @sahamoman6958
    @sahamoman6958 4 ปีที่แล้ว +3

    Ila huku wanachukua pesa nyingi rial55 zote hizo bora nikabadirishe tz laki moja na nusu

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 4 ปีที่แล้ว

      Saham Oman tz laki1 kakwambia nani?

    • @faridaiddi104
      @faridaiddi104 4 ปีที่แล้ว

      @@tatuyussuf7574
      Tanzania laki na hamsini

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 4 ปีที่แล้ว

      Farida Iddi ww umefanya kwa ss au

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 5 ปีที่แล้ว +4

    Hapo cha msingi ni kusafili tu tnz

  • @mohammedlatifa3005
    @mohammedlatifa3005 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm naitwa latifa nipo dubai kikaz ila nilikua naomba muoeshimiwa utusaidie uku dubai yani kuna ofisi moja ambayo wasichana tunafika apo inaitwa lewa ipo dubai iiii ofisi kwakwel sio mzur kabixa mm nimefanya kaz miez 4 ela wamechukua zote wakidai wanakata viza viza iyo viza gan

    • @hawamashaka7235
      @hawamashaka7235 4 ปีที่แล้ว

      Ww wamechukua yote miez4 na mbaka sasa unamiez mingap

  • @christinasamson4136
    @christinasamson4136 4 ปีที่แล้ว +2

    Tena nimetoa ri 60 ila paspoti sijapewa huu ni mwezi wa 4 sasa ukipiga simu haipokelewi kabisa na mimi mkataba wangu uisha na hii paspoti ya zamani haitumiki tena barozi naomba msaada 😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      Nenda ofcn kwao

    • @faidhahamis1794
      @faidhahamis1794 ปีที่แล้ว

      Unatakiwa utume msj siku zakaz jumapil mpk alahmsi unatuma msj usipg hawapokeii sim hao mpk uwe na miadi hvy

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว

    Bass

  • @user-mc1fk1xo9k
    @user-mc1fk1xo9k ปีที่แล้ว

    Naomba no za ubalozin

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kama nikiondoka April 2020 bila ya kulinew passport je inakuwaje, inawezekana?

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 ปีที่แล้ว

    Samahani ila mngeweka namba zaa simu hapo chini namba za balozi ncnhini Tanzania Omani saanyingine mtuu anatatizo akiona namba anapiga sio maongezi tuu weejeni na namba zaa simu

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว

    Swaumu Yahay Hussein Fakih naomben mnitizamie kama iyo pasport ishatoka mana mwezi wa 3 sasa hu nasubir cm naona kimya naomben msada wenu tafadhali

  • @zammaulidi7507
    @zammaulidi7507 5 ปีที่แล้ว +3

    Mpange taratibu za mikataba au kila ikibadilika miaka 2 uwe mkataba tofautu so huohuo wa ro80 ndio mnafanya maisha tunasomewa ro80 Tu mana haubadiliki nyumba zinabadilika watoto wanakuwa na kuzaliwa Ila ro80 haibadiliki

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Utaratibu wa Mikataba upo na hivi karibuni Ubalozi umetoa toleo jipya la mikataba mishahara ikiwa imeongezwa. Wasiliana na Ubalozi utafahamishwa zaidi.

    • @pendomakeula8333
      @pendomakeula8333 5 ปีที่แล้ว

      Zam maulidi nakuunga mguu yaani maboss wengine kwakweli mmh

    • @happyabdallah8379
      @happyabdallah8379 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda naomba nipatie namba ya ubalozini

    • @naimanurdin2846
      @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kamtunda Tunaomba no ya ubalozi plz

    • @mwanaisha522
      @mwanaisha522 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kamtunda yaan mm Nashindwa ht kuelewa ht ukiwa umekuja Mara ngap mshahara hauongezek na maboss hawaisom hnyoo mikatab wanajuwa kuilipia t
      a

  • @diahemed9471
    @diahemed9471 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm changu wametafuta mpk wamechoka tatizo watangaziwe na mabosi wetu

  • @omanibra5867
    @omanibra5867 4 ปีที่แล้ว

    Mm niliwafoce hadi wamenipeleka Alhamdulillah nimefanikiwa kuipata

  • @kazamoyo7631
    @kazamoyo7631 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuu nakumbuka walikuja mashaghala nyomiiii😀😀😀

  • @allybomba6038
    @allybomba6038 5 ปีที่แล้ว

    Shukrani.kwa maelezo jee nimesha.omba.maombi.jee.nikaondoka.kwa.dharura.itakuwaje.naikiwa.nimesha.toa maomb

    • @mwajumahadidi4963
      @mwajumahadidi4963 5 ปีที่แล้ว

      Shukurani kaka ila mbona kunasafari sana maanakutafuta maelezo nimarafu jamani

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Utafuatilia kama Pasipoti imetoka, ikishatoka na kama hutarudi tena, Pasipoti yako itarejeshwa Uhamiaji Dar au Zanzibar

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 4 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba namba zako toka mwenzi wa nane nimefika ubalozini kulipa pesa na kila kitu mpk leo sijaitwa kufunga prindi wala nn na mda umeisha wa mm kukaa omani mnacherewesha sana jmn mkumbuke huku twaishi kwa mikataba mtu analeta pesa kila kitu ila pasipoti inacherewa km tupi tz mda wa kukaa huku umeisha sijui twafanyaje

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 4 ปีที่แล้ว

    Asante mzee wetu,lkn Wengine hata mambo ya kupekuwa kwenye cm hatunayo kabisa

  • @kuruthumomary3533
    @kuruthumomary3533 5 ปีที่แล้ว

    Je kmnimerud Tanzania Dec na nikaenda kubadilishia migration ya tz je itawezekana ama ndo bc ten,, Mana c wengn maboc zetu vichwa vigumu kutuelewa hebu nisaidie hili baba angu nijue km itawezekana shukrani

    • @twariatiomary486
      @twariatiomary486 4 ปีที่แล้ว

      Mwisho ni meaka huu kama utaondoka kabka ya desemba mwakani aina shida

  • @mwazaninalapa8852
    @mwazaninalapa8852 3 ปีที่แล้ว

    Kikweli mnaboa sana watu wa ubaroz mm nimeomba passport mwaka jana 2020 kila kitu nimemaliza lkn kuitwa kuchukua passport napigwa karenda mpk leo mnaboa sana

  • @saumouramadan4588
    @saumouramadan4588 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunakushukuru sana ila maboss wengine hawaelewi wanasema et utabadilisha kwenu sasa hii tufanyeje wengine

  • @saudismailbkri1894
    @saudismailbkri1894 4 ปีที่แล้ว

    Mm nimelipia kwanzia mwezi wa pili lkn mpk leo bado cjapewa miad mpk leo na cjapigiwa cm kama kuna tatizo au laaa

  • @ashahally9347
    @ashahally9347 4 ปีที่แล้ว

    Barozi utufikilie namshahara watanzania baba kazi ninyingi Omani wenzetu waindonesia wanalipwa pesa nyingi riel 100 mpaka 200 sisi 60 mpaka 70 kweli Barozi tunaonewa

    • @bernaberna8135
      @bernaberna8135 4 ปีที่แล้ว

      Asha ally kweli my we uko maeneo gani

  • @hellenmsophe5180
    @hellenmsophe5180 5 ปีที่แล้ว

    Asante Sana ubalozi lkn hii kazi mliotupa ya kujaza fomu mitandaoni wengine hatutaweza kwa upande wa fikra zangu me naona mngeturahisishia tu tuje hapo ubalozini kujaza fomu utaratibu mwingine tukawa tunafuata. Me naomba mturahisishie 😣Alf hii pesa mbona mingi Sana jaman
    Swali langu
    Je kwa mtu ambaye hajabahatika kutoa passport mpya Alf ule muda ukawa umesha pita je ataruhusiwa kurudi Tanzania?na passport ya zamani?

  • @benajra3374
    @benajra3374 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamni mimi leo nimekuja Lakin hawajanambia kitu Zaid ya chet cha kuzaliwa na chamzazi hawajanambia kuhusu huko mtandaon me sijui Ata pakuanzia jamani

    • @ashuraashura296
      @ashuraashura296 5 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀Kumbe ni wengi

    • @halimasulaimani9085
      @halimasulaimani9085 4 ปีที่แล้ว

      Mwanzo ni cheti chako na mzazi mmoja na ria15! baadae ndio hizo zilizobaki unalipa kw card ya bank! Kisha utaitwa kupiga pic na dole gumba! Then utaitwa tena kuchukua passport yako

    • @hawaynatimam982
      @hawaynatimam982 3 ปีที่แล้ว

      @@halimasulaimani9085 kwani passport gani jaman sijaelewa

  • @kamtunda
    @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

    Tunaendelea kupokea maoni yenu hapa lakini mwenye nafasi atembelee Ubalozini kwa maelezo zaidi. Na wale wasioweza kujaza fomu kwenye mtandao watembelee au kupiga simu Ubalozini watapatiwa usaidizi.

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 4 ปีที่แล้ว

    Mungu anawaona balozi wa oman huna uadilifu

  • @newmuscat1698
    @newmuscat1698 4 ปีที่แล้ว +1

    Mi wangu wamenikatalia kubadili apa omani

  • @floranahashon1485
    @floranahashon1485 5 ปีที่แล้ว +2

    Yan mtihan uko kwenye hivyo vyeti vya kuzaliwa na vya wazazi

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Kama mzazi hana cheti, kiapo kinaweza kutumika. Kiapo (Affidavit) kinatengenezwa Mahakamani au kwa Mwanasheria

    • @mwanaidiramadhani5617
      @mwanaidiramadhani5617 4 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda nyie watu wa ubalozi mnazingua tena haswa ww seif unawatetea waarabu kama ndugu zako vile

  • @aminasaidi6742
    @aminasaidi6742 4 ปีที่แล้ว

    Mimi sina cheti cha kuzaliwa kimepotea muda sana wala sina chochote niponipo tu nimewaambia mabosi wanisafirishe Tanzania nifatilie passport mpya hawataki na hii yangu ya zamani imeshaisha matumizi yani aitumiki mpaka ipatikane hio mpya

    • @ameenasur656
      @ameenasur656 4 ปีที่แล้ว

      Wangu wamechoka kufatilia tangia mwez 1 mwaka huu sasaiv wamenikasilikia et nitoe hela yamafuta

    • @ameenasur656
      @ameenasur656 4 ปีที่แล้ว

      Jn ulikua niende embassy wakasema km sitoi hl yamafuta nawao hawatoi hl yapasipot nikamwambia niludishe tz akakubal maana mkataba wamgu bado miez2 uishe leo tena kasema yy atanitengenezea kwa hela yake

    • @ameenasur656
      @ameenasur656 4 ปีที่แล้ว

      Shida yaawa watu walishasema miaka 2 ndio wananiongeza lial 10 na mm nimegoma nataka nilud wanipe 100 sijui itakuaje nawalivyo wakolof

    • @bernaberna8135
      @bernaberna8135 4 ปีที่แล้ว

      @@ameenasur656 uku maeneo gan huku omn

    • @ameenasur656
      @ameenasur656 4 ปีที่แล้ว

      @@bernaberna8135 nipo sur

  • @happyeusebius3407
    @happyeusebius3407 2 ปีที่แล้ว

    Mbona wafanyakazi kazi bdo hawaingii au ndotumefungiwa kimoja

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 ปีที่แล้ว

    Maneno kuntu shukran

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna lolote nyie mungu anawaona. Wengine mnapokea AFFIDAVIT .bila.cheti cha kuzaliwa, wengine.mnatukatalia Rushwa tupu. Kwenda zenu

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli huwezi kumtuma mtu alama zavidole hahaha utaniuwa balozi

  • @halimarajabu6964
    @halimarajabu6964 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan

  • @mwanaidiramadhani5617
    @mwanaidiramadhani5617 4 ปีที่แล้ว

    Haa

  • @christinasamson4136
    @christinasamson4136 4 ปีที่แล้ว

    Mbona mimi nilikuja hapo mwezi wa kumi talehe 9 nikaambiwa baada ya siku 60 paspoti mpya itapata hadi leo sijapata wezutu wa mwezi 10 talehe 26 paspoti mpya wamepata sasa

  • @jamilahsaid7115
    @jamilahsaid7115 5 ปีที่แล้ว

    Asant Baba kilima swali hangu je km cna Chet chakuzaliwa napata VP passport mpiy

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว

    Ivi pasport yako ikiwa tayari imetoka unapigiwa cm kujulishwa kwenda kuifata au inakuwaje? naomben jibu wahusika

    • @naimanurdin8984
      @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว

      Nipo Oman nilishamaliza utaratibu wote wa kufatilia pasport mpya toka mwezi wa 10 tarehe tisa ndo nilikuja ubalozi kuweka alama ya vidole sasa kama ikishatoka nitajuaje ndo hapo nataka kujua

  • @fatmamohammed473
    @fatmamohammed473 5 ปีที่แล้ว

    Dada yangu aliunguliwa na nyumba yake vyeti vyoote viliungua anajaribu kuijaza form lakini majibu hayakamiliki kwa sababu ya vyeti vilivo teketea afanyeje

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Mwambie dada yako atengeneze kiapo ambacho ni mbadala wa cheti. Kiapo kinatengenezwa kwa kuapa kwa mwanasheria au mahakamani nchini Tanzania

    • @happyabdallah8379
      @happyabdallah8379 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda mm kimepotea yaan nanipo oman sijui nifanyeje😭😭😭😭

  • @azrawah7838
    @azrawah7838 5 ปีที่แล้ว

    vp mtu anaweza kusafiri oct_2019 bila kurinew paspoti?

    • @zainarashid1024
      @zainarashid1024 4 ปีที่แล้ว

      Kuomba passport mpya tanzania

    • @sahamoman6958
      @sahamoman6958 4 ปีที่แล้ว

      Inawezekana

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 4 ปีที่แล้ว

      Unasafiri mpaka 2022 ila ukifika kule tz huwezi kusafir tena bila paspot mpya..

  • @lelasalum555
    @lelasalum555 4 ปีที่แล้ว

    Mim sina chet na nimetumia afdavit sas kimy mpk leo sin ht taarifa yeyote kama omb lang limekubalik naomb nijibu

  • @faridawelbak5129
    @faridawelbak5129 5 ปีที่แล้ว

    Jaman.mm.sina.cheti.za.kuzaliwa.ata.cha.baba.sina.na.mtu.wa.kufatilia.hivyo.vitu.sipati.sasa.hapo.itakuaje.itabidi.nisafiri.ni.kifatilie.mwenyewe.au.itakuaje.naombeni.mnifahamishe.jaman

  • @user-pp7gm9yd4c
    @user-pp7gm9yd4c 4 ปีที่แล้ว

    Jmn mnatuchanganya ndio mamb gn ss ayo ss wengne tunatk kuindoka

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 4 ปีที่แล้ว

    huyu mama si muigizaji au macho yangu

  • @Lizzah_Media
    @Lizzah_Media 4 ปีที่แล้ว

    Jee kwasisi ambao tupo nje na vyeti vyetu vya kuzaliwa vilipotelea uhamiaji. Tunatakiwa tufanye nini

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 4 ปีที่แล้ว

      Lisa Lassek utaendakutengenezea nyumban my..usiwaze..

  • @benajra3374
    @benajra3374 5 ปีที่แล้ว +1

    Nitakae teseka nimimi apa😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @aisha.a.j2707
      @aisha.a.j2707 4 ปีที่แล้ว

      Utateseka kwanini?

    • @user-wv5fq1bm5x
      @user-wv5fq1bm5x 4 ปีที่แล้ว

      @@aisha.a.j2707 mi ndio kabisa wamekataa sijui nitaenda kukamatwa Eaport

    • @faridaiddi104
      @faridaiddi104 4 ปีที่แล้ว

      Tupo wengi
      Me nipo alkher apa Muscat lkini boss wangu kichefuchefu hatariii

  • @khadijamussa552
    @khadijamussa552 5 ปีที่แล้ว

    Sawa kbs

  • @diahemed9471
    @diahemed9471 4 ปีที่แล้ว

    Yani mlolongo mrefu atariii

  • @madolovetanzani248
    @madolovetanzani248 5 ปีที่แล้ว

    Jamani uko kuko kujaza fom kwa mtandao mm sijui alafu chet cha kuzaliwa mm sina

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 4 ปีที่แล้ว

    Mbon mm nilifika kujaza fom apo ubalozini na ulipa pesa zote apo ubaozini

    • @umnooralriyami9552
      @umnooralriyami9552 4 ปีที่แล้ว

      Umefanya kila kitu ubalozini na umelipa kiac gan na umechukua cku ngap mpaka umepata passport pls nijibu mana mie nipo oman nahisi urahusi bora niende ubalozini moja kwa moja

  • @naimanurdin2846
    @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

    Jamani mnatuchanganya na ayo mambo yenu ya mtandao mtambue tulokuwa uku wengi wao siyo wasomi sasa ayo mambo yenu naona mnayaendesha kisomi zaidi kwa kusuadia sisi wengine tuambieni tu wapi tuje na vitu gani vinahitajika ili twende sawa

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Piga simu Ubalozini namba 2460 3373 utapata maelezo zaidi

    • @naimanurdin2846
      @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda Asnte sana ndugu yangu

    • @Lizzah_Media
      @Lizzah_Media 5 ปีที่แล้ว

      Tumekuelewa barozi wetu ahsante kwa maelezo...Mimi Nina shida naomba msaada wenu nipo huku kuanzia 6.11.2015 nipo jaalan ban bu Ali Nina shida na mabosi zangu na sielewi cha kufanya..tokea nije nalipwa 70rial sijawahi kuongezewa na Sim siruhusiwi kutumia napewa kwa mwezi mara1 napewa rial Najiunga mb24 hrs ikiisha sim anachukua madam wangu anafungia kwenye kabati lake hadi mwezi utakaofuatia... Kwakweli nipo kwenye wakati mgumu Sana sina mawasiliano na agenti wangu wa omani hata wa tz nilipofika miezi3 walifuta namba za agent kwenye Sim na kuniambia nisiwasiliane nao... Bado napenda kazi bado nahitaji nikimalia mkataba niongeze tena mkataba mpya..Ila kwa hii nyumba kwakweli nashindwa naomba msaada wenu tafadhali sina cha kufanya nahitaji nipatiwe agent niweze kupatiwa nyumba nyingine na kuendelea kufanya Kazi... Natumaini ombi langu litasikilizwa. Ahasante wenu mtiifu shamila mohamedi juma. Namba yangu ni +96894990864

  • @anysaanysaa3824
    @anysaanysaa3824 5 ปีที่แล้ว

    Kwanza mitandaoni jaman wengine hatujui kabsa sijuk itakuaje

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      Nenda ubalozini kila kitu kitaenda sawa

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 ปีที่แล้ว

    Shuklani nimekuelewa ilanaombau nielekaze jisiya yakuwandika hiyo barua

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว

    naomb nifundishwe jins ya kuomb paspot hiz barua tunaandiaj

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      Ukienda ubalozin unaelekezwa pia ukipewa ukisoma kila kitu unaelewa bila shida haina kazi

  • @fatimamamlo8041
    @fatimamamlo8041 4 ปีที่แล้ว

    Sisi tumeomba maombi tumekamilisha kilakitu lakin passport zinachekewa kutoka huu sasa mwezi wa sita hatujapewa usumbufu mtupu unalipa pesa nyingi lial sitini sawa na lakitat naa lakin chamaana hakuna bora kwenda tengeneza nyumban inakua galama ndog nakupat haraka sana baada ya siku tatu unaichukua

    • @naimasaid7763
      @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว

      Naomba nikuulize ndugu, kwa mfano mm paspoti yangu inaisha 2022, je naweza kuondoka bila ya wasi wasi kuanzia mwezi wa pili na kuendelea? Au haitawezekana?

    • @fatmahmaulidy804
      @fatmahmaulidy804 4 ปีที่แล้ว

      @@naimasaid7763utaondoka

    • @naimasaid7763
      @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว

      @@fatmahmaulidy804 Shukurani

    • @alimakame2460
      @alimakame2460 4 ปีที่แล้ว

      @@fatmahmaulidy804 mh

  • @immaalex5825
    @immaalex5825 5 ปีที่แล้ว

    Ebu mnyongen na huyu... Wanalipwa hela kuficha vifo huko.... Tukitangaza waliofiwa na watoto wao wajitokeze utashangaa

  • @mtoromtoro3338
    @mtoromtoro3338 5 ปีที่แล้ว

    sasa sisi wengine tunajuaje huo mtandao ikisha kuna wengune cm hawana sio wote wenye cm

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Piga simu Ubalozini utapewa maelezo zaidi 2460 1174

    • @naimanurdin2846
      @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda naomba nijibu kaka ukituma maombi na ukishalipa iyo pesa inachukua mda gani kupigiwa cm kuja Ubalozi kwa ajili pic na iyo alama za vidole

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      @@naimanurdin2846 jitahidi ufike ubalozin upate maelezo vizuri

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 ปีที่แล้ว

    Tafadhali jamani barozi wetu nimemuelewa ila sijafahamu je kuna hitajika nini anae jua anifahamishe nijue

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว +1

      1. Copy ya cheti chako cha kuzaliwa, 2. Copy ya cheti cha kuzaliwa mzazi mmoja 3. Picha passport size 4. Malipo ya Dola 90. Kama hawana vyeti watafute kiapo (affidavit)

    • @pendomakeula8333
      @pendomakeula8333 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda kama sina cheti chakuzaliwa inakuwaje au ndo basi

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda umesahau bataka pia

  • @UmmyilhamUmmyilham
    @UmmyilhamUmmyilham 5 ปีที่แล้ว

    Mie cheti changu znz wamekipoteza magresheni sjui itakuwaje🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @Lizzah_Media
      @Lizzah_Media 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu hapo shda vp ww umefankisha maana hata mm klpotea huko..na mwsho wa mwez huu ndio mwsho wa kutimia passport ya zaman...tutaish tu uku daima

    • @Lizzah_Media
      @Lizzah_Media 4 ปีที่แล้ว

      Jee kwasisi ambao tuko nje na vyetu vyetu vlpotelea uhamiaji na hatuna vyambulisho vya taifa tunatakiwa tufanye nini

  • @Amneamne-qi2du
    @Amneamne-qi2du 3 ปีที่แล้ว

    Nime kufaham barozi wetu tupo pa1

  • @naimanurdin2846
    @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nishatuma maombi wk hii sasa lakini naona bado sijapigiwa cm nilopata ya kulipa pesa tu lakin iyo ya kuja kutia saini bado..naomba nijue ukituma maombi inachukua mda gani kuitwa uko Embasi Nipo Oman baombeni jibu jamani

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Unamaanisha miadi ya awamu ya kwanza ya kupewa control number?

    • @naimanurdin2846
      @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda ndio he ndo kwanza naanza

    • @naimanurdin2846
      @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda kwani kuna vipengele vingapi adi uitwe uko ubalozi,,Mana bosi wangu kashaenda uko maktaba akaingiziwa hayo maombi kwa njia hiyo msemayo kesho yake akasema kuna hela kaambiwa alipie sasa kanambia tunangoja cm kutoka ubalozi naona kimya

    • @naimanurdin2846
      @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

      @@kamtunda Seif plz naomba namba yako ya whtsp ili unifahamishe vizuri samahani lakini mana naona hata sielewi mie haya mambo

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      NAIMA NURDIN 2460 1174/2460 3373

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 5 ปีที่แล้ว

    Tunaomba maelekezo jinsi ya kuingia mtandaoni, kwa kifupi tu

    • @saudambinga3832
      @saudambinga3832 5 ปีที่แล้ว

      Kuingia mtandaoni kujaza fomu tueleweshe

    • @zurekhaasmaeel417
      @zurekhaasmaeel417 5 ปีที่แล้ว

      Mimi sina kitambulisho wala cheti cha kuzaliwa

    • @salehfarsy802
      @salehfarsy802 5 ปีที่แล้ว

      Naomba namba ya ofisi ya Jumuiya ya Watanzanzia wanaoishi Oman na Mahala ofisi ilipo ikiwezekana location
      Namba yangu 95986405

    • @saudambinga3832
      @saudambinga3832 5 ปีที่แล้ว

      @@salehfarsy802 habari yako, ukipata namba nami naomba unitumie pls, namba yangu 79477393

    • @mohamedkikale7241
      @mohamedkikale7241 3 ปีที่แล้ว

      @@salehfarsy802 habari Bro kwema huko uliko, mm huwa natamani sana kufanya kazi Oman, ni mtaalam - operator mitambo ya mining & construction tupeane michakato wandugu.

  • @halimasulaimani9085
    @halimasulaimani9085 5 ปีที่แล้ว

    Balozi wetu tufahamishe vinavyohitajika ili kupata passport mpya !kabla ya kufanya maombi!!maana kuna maneno chet cha kuzaliwa kinahitajika!km ni kwel vp ikiwa kikoTanzania kikachelewashwa kutumwa na cku za miadi imefika !pesa uliyolipa bado itahesabika au ndio imepotea!

    • @lailaabdul5375
      @lailaabdul5375 5 ปีที่แล้ว +1

      fomu ikitoka insjieleza kill kit wala usijal

    • @halimasulaimani9085
      @halimasulaimani9085 5 ปีที่แล้ว

      @@lailaabdul5375 INSHAALLAH

    • @alimakame2460
      @alimakame2460 4 ปีที่แล้ว

      @@halimasulaimani9085 mtihani

    • @halimasulaimani9085
      @halimasulaimani9085 4 ปีที่แล้ว

      @@alimakame2460 mi nashukuru now nishaanza bado pic na dole gumba

  • @ayshajuma2034
    @ayshajuma2034 5 ปีที่แล้ว

    Jekutahitajika kitambulisho tunataka kujua nisije nikalipa halafu nikaambiwa sina kitambulisho ile ikaenda

    • @kamtunda
      @kamtunda 5 ปีที่แล้ว

      Watanzania wanaoombea Pasipoti nje ya nchi, suala la kitambulisho cha uraia wa Tanzania sio lazima. Kinatakiwa kitambulisho chako cha ukaazi (labour card)

    • @JPrime-tu3ux
      @JPrime-tu3ux 4 ปีที่แล้ว

      safia nimekusoma mh balozi