KAMA SI BWANA - GOODLUCK MWANDOE (Lyrical video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Zaburi 124
    ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
    ¹ Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,
    ² Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.
    ³ Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu
    ⁴ Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu;
    ⁵ Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo.
    ⁶ Na ahimidiwe Bwana; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao.
    ⁷ Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
    ⁸ Msaada wetu u katika jina la Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
    KAMA SI BWANA.. Ni wimbo unaopeana shukrani kwa Mungu kwa yale makuu ameenda. Kama si yeye tungalimezwa na watesi wetu, ni Yeye aliyetunasua kutoka kwa mitego ya adui zetu.
    Shukrani zangu kwa:
    ‪@noelmwandoe‬
    ‪@AnointedrichOfficialmusic‬
    ‪@tumainiworshipcentre‬
    PRODUCER:
    ‪@Proroby254‬
    BACKUP:
    @Princess Joan
    Contact Details & and support:
    Phone no. 0794465650
    Email:goodluckmwandoe@gmail.com
    #HEARTOFWORSHIP
    #nyimbozainjili
    #gospelmusic
    #gospel
    #music

ความคิดเห็น • 10