America is different, ukiwa na mchuma original it can come down to if it was loaded or not. In some areas if you shoot unarmed robber you can go to jail
Cheesos. Kunafaa kuwa na watu few sana jela. Afadhali ufanye punishment nje ya jela, unareport mahali ka every day etc. Juu maisha kaa hiyo ya jela ndio inafanya watu wafyatu zaidi
Huyo mtoi wa MOI ni Gideon. Haku toa dem majengo alimtoa California. Huyo dem alikua ule dema wa advertisment ya Lady Gay. Alikua msupa sana
Rapcha aliamua kiswahili kifukuzwe 😂😂😂🔥
Mwaf : Mkwe ni nani joh
Rapcha : ata Sina rada joh😂😂
Hawa wasee ni moto..
rapture destroying my ribs😂😂😂
Unaweza ishi kama malkia huku dani 😂😂😂😂😂 literally got me dying
Ile ufala mkonayo isiwai Isha....natembea upperhill nikicheka solo
Rapcha your mind is on another level
Rapcha manzee umenimaliza, ati mama mkwe ni nani? Mi sijui lakini inaendana na hii story 😀😃
Niliambiwa na mfungwa aliachiliwa ati ukiskia maombi na praise and worship, ujue kuna mtu anakunjwa nyuma ya hizo kelele.
"Mkwe ni nani joh" "Sina rada you guy, ni kiswahili tunaongea" 😂😂
Funny thing is he was right in his use of the word; mkwe ni in-law 😂😂
Raptcha imitations ziko💯rib cracking😹
The best podcast in the country right now
America is different, ukiwa na mchuma original it can come down to if it was loaded or not. In some areas if you shoot unarmed robber you can go to jail
Mondays always a vibe these days Rapcha akiwa
Iko nini is the best podcast mahn...big up mwaf na rapcha💯💯
Mzee mzima Rapcha The Sayantist😅
Ikikam ni story za jela Rapture kills it!!!iko nini!
Rapcha must be the funniest nigga in 254,👍...Iko Nini the best show
Mumeskia izo za Ian ati a hard nut to crack but an easy nut to burst..anaeza kuwa ghost writer wa so many wack rappers hapa nje 😄
The show is great,Rapture killing it😂😂😂🔥
😂😂😂 Rapture is a Blessing😂😂😂😂
Rapcha can tell a funny story and pictures it like a movie inside your head 😂😂😂
These episodes keep getting better and better #WeekedUpdate #IkoNene
Nimecheka kwa meeting. Shet.
Mwaf:mkwe ni nani?
Rapcha:sina rada you guy😅😅🤣🤣
Iko ninii!! 🔥🔥
Mwaf ameosha Ian na diss na venye alikuwa ametoa zingine hapo.Ati walikuwa wanakula mutura kukeep it real na ni kusota....huku ni wapi joh 😄
Apart from being hilarious 🔥🔥🔥 U guys are always very informative 💯👌
Sina rada you guy 😄
Best episode so far....you guys mmenimaliza
Ya leo nayo imeweza 😂😂😂
the luhya accent,,😂😂
Ian a watch ana tazama 🤣🤣🤣
😂😂noma sana...nichanueni keraya inamaanisha nini
Kerayaa ni Kiraiyaa ni Kama Raiyaa
Am your fan since time ya ghetto radio, doing great job entertaining #RAIYAAAAAAH
Mtaniuwa. 😂😂😂 ‘Ate Roise mgani?’ Hehehe
Enjoying the show while Trading
Haha Westside for Life...iko nini
Imebidi nirudie after long time its the best episode in my opinion😅😅😅😂
Nlikua na baddays lakini Rapcha ameni Bamba saana na malkia hehehhe
Cheesos. Kunafaa kuwa na watu few sana jela. Afadhali ufanye punishment nje ya jela, unareport mahali ka every day etc. Juu maisha kaa hiyo ya jela ndio inafanya watu wafyatu zaidi
Raptcha my guy🔥🔥
Episode 7 innit Ruto must go 🇰🇪🇰🇪
Ndanii kama kawa.
Story za Rasa na jela hua zinanibamba sana 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Raia mingi iko na doo huwa haina game,kutana na Onyi msoto weweee
😂😂😂
Rapcha accents 🤣
A recap of this episodes this raiyas joh😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Iko nini
Ati jela labda upanguze rasa ya msee
45:02😂😂😂😂
Rapcha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mwaf mkwe ni vile unaita matha ya wife😂😂😂
You guy kiraiya 😅😅😅😅 huyo jamaa hawezi kua underground ring pimp ka za akina spartucus coz anamiss important sign of competence.👍👍👎👎
Toilet paper unapewa ukiletewa jela
Hata canteen Ikona toilet paper
Mwaf ni prison pocket rayaa
Hio reference ni kali lakini jo
Apo kwa kufanto na porn aty vile ntaitiwa Mali mmeniguza😂,nitaacha ufala
Iko nn
Rapture you guy😂😂😂
😂😂😂😂
Mwaf anafaa aende jela kiasi Yani ajuwe jela lights ni full blast ......lights ni sale ukifika maxi ni lights on balaaa
Tema hiyo mate
Iko nini