Kwanza kabisa nimefurahi kumuona huyu bibi huku kwa Clam ❤❤❤ Naombeni like za bibi huyu. Namkubali sana huyu bibi anakipaji cha asili. Uigizaji wake unaonesha kabisa anakipaji....❤
HAPA SASA, TUNAANZIA NA TULIPOISHIA BAADA YA I LOVE TEACHER, TEAM CLAM VEVO GONGA LIKE HAPA, MY DAUGHTER SERIES HII NAYO YA MOTO BALAAA TEAM CLAM VEVO HAIJAWAHI KOSEA🎉🎉❤❤😊😊
Kazi nzuri kaka.. Ivi karibuni tuh ulitoa filamu inayohusisha kijana anaetongoza wanawake na kujirekodi video wakati wa kufanya mapenzi kisha kuwaacha, na kuendelea kwa wanawake wengine.... Ili jambo lipo, na karibuni limejitokeza katika barani kwetu Africa... Inamaanisha kazi zako ni zenye Jumbe nzito na pia ni burudani... Keep ut up 👍🏽.
Kwanza kabisa nimefurahi kumuona huyu bibi huku kwa Clam ❤❤❤ Naombeni like za bibi huyu. Namkubali sana huyu bibi anakipaji cha asili. Uigizaji wake unaonesha kabisa anakipaji....❤
🤝
Kikongwe
@@marcbapu9666 dah! Huyu bibi namuelewa sana katika uigizaji
Tunaomkubali clam na kazi zake like hapa
Sudaaa yanga au❤
Kazi nzuri
Safii
Suda Yanga
Ngoja niangalie before wale wa kuomba like wafike😅 much love from kenya 🇰🇪 ❤️
😂😂😃
Aaa mkenya gen z wapo karibu bongo
😂😂😂😂
@@EmmanuelChrispin-bo5xh😂😂😂😂wapo wengi tunawakaribisha na tunawapenda pia❤❤❤
Yaan siwapendag waomba like bas tu badala tumpe like mwandaaji et wao wanaomba like duh za Kaz gan sasa
Dhuuuu,clam vevo, Kwakweli umebarikiwa jicho. Huyo bibi kikongwe wa makumazan doko kipara ingwe, na yeye anajuwa sana. Hebu umpe pingezi zangu.❤
Aliigiza kikongwe nlimpenda huyu bibi
HAPA SASA, TUNAANZIA NA TULIPOISHIA BAADA YA I LOVE TEACHER, TEAM CLAM VEVO GONGA LIKE HAPA, MY DAUGHTER SERIES HII NAYO YA MOTO BALAAA TEAM CLAM VEVO HAIJAWAHI KOSEA🎉🎉❤❤😊😊
Naona ya moto Zaid wanao🎉🎉❤❤ mkubali Zaid weka alam ya upendo apa na kumsapoti ni muimu sana unyama sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@Zebuu-kp kp nakutambua unyamaaa 🥰🥰🥰🔥🔥
@@Zebuu-kp kp nakutambua Sanaa yaaani unyamaaa 🥰🥰
Kp peke yako ndo unachelewesha
Tunangojea plan B KP
kp tuletee plan b..wazingua
Mimi simpendi clam anasifa sana juu anatoa Searson Kali sanaa
Panatoka kitu panaingiya kitu nakubali sana clam vevo ❤
Mm Nimekua wamwisho hdi sijui nikoment nn ak 😢😢
Mapema sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa na vevo world wide
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe utakayebatika kusoma comment hii mungu akupe maisha marefu🤲🖐🤲🖐🖐
Number moja south African, unyama mwing ❤
Wakwanza 🎉🎉🎉
Sijuii nimzur
I don't know if he, she is beautiful 😍😍
🎉❤❤❤❤❤❤❤
We kikongwe bibi wew kikongwee aahh like kwa kikongwe from kipara ogwee family😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Bwana clam mimi wakwanza nipo APA mucongomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Aaa congoman krb bongo
Tuko pamoja ndugu
Director kqkoso vp
This guy is really a good actor keep it up Bru I really enjoy ur movies watching u from Zambia 🇿🇲✌️
Wa kwanza kuizindua film ya MY DAUGHTER like zangu tafadhali👍
Wow new series my daughters
Nampenda sana kalingaliko from tz style serges from burundi nipeni like hata moja
My daughter hii ni nyingine tena ni kali kinoma umetisha sana clam vevo 🔥🔥🔥💪
Kazi nzuri tunaitazama wote
Kazi nzuri ubunifu mkubwa sana kwa director kakoso 🎉🎉🎉🎉 pongezi sana
Sijachelewa sana watching from Kenya 🇰🇪
Na tena nimefurahi kumuona kalingalicho w tiktok kaz nzur xanaa🎉🎉
Clam wa moto jaman kama unakubaliana na mm dondosha like ❤❤❤❤ tukisonga!! Here we goooo😉😉
Yah ndo ni Mimi tena wakwanza ahh kwakweli Mungu si athumani😂😂😂😂😂
Huyu mtu aitwae clam ni wa kuombewa dua sana tuna kipaji kikubwa sana kwa sasa hp Tz na tunafurahia kuwa nae😮❤
Tunakukubal mwamba wewe na team yako🎉
🎉kazi Yako Iko xawa xana bro mungu akubariki
Kitu chakwanza umetuletea kipenzi cha yanga suda ,hongela kwakazi nzur
Pongezi sana clam vevo kwa kazi zuri🎉🎉🎉
Mimi kama msanii mkubwa kutoka 🇰🇪 kenya hii nimeikubali🔥🔥
We kikongwe bibi 😂😂😂😂 mfinanga hayupo mbona😢
Haka katoto kapenzi ka yanga ka Sauda we vevo ulikazaa lini😂😂😂
Claaaaam nakukubali sanaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉
Wow mambo ni moto ...vevo mambo mbaya kaka ,mungu akuongoze🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
More fire😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 harakisheni episode 2 haraka kama iwezekanavyo 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉 congratulations 👏🏿🎉🎉
UYU MWAMBA ANAROGA SANA ADI LEO NIMEKUWA MMOJA WAKWANZA KUTIZAMA, AMA KWELI KIZURI CHA JIUZA AISEE NYINGINE KALI HIIIII GONGA LIKE HAPA MWAMBA
Suda yanga❤
Wow jaman sudaaa🍎❤️❤️❤️
Nakufatilia sana vevo kazi nzuri
Nakubali sana clam pia nakufatilia sanaaa
Wa kwanzaaa from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Kama wee ni mkenya Pinga like tuh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
TM strong 💪🏽 ukiweka tunafungua 🤣
Free WiFi sio shida zetu😅😅
Wakwanza Mimi naombeni likes🎉
Nimefurahi kumuona Suda 👍👍
Sawa kaka kaz nzur sanaa
Agle mshauri ya Baba zitakupoteza fuata maagizo ya mama😂😂bure utapotea mwanangu😅😅
ee nilijua wakwanza
Clam clam clam. Nimekuita Mara 3 wew ni bonge la mtu aiseee UNATISHAAAAA❤
Rukia Nakuona hongera sana....
Wakwanza Leo +254
Clam vevo umtuletea kikongwe wa doko 🌹 🌹.clam vevo ndie baba mpya wa bongo movie pamoja na Madeley na mkojani❤❤
Ooh hivi wewe unamjua manyanya 😂😂
@@peterbody690 manyanya ndio nani, tuletee account yake hapa tumsaport na yeye
Naona hamjui@@peterbody690
Bibi Kigongwe karbu sana na huku,
Kazi nzuri kaka..
Ivi karibuni tuh ulitoa filamu inayohusisha kijana anaetongoza wanawake na kujirekodi video wakati wa kufanya mapenzi kisha kuwaacha, na kuendelea kwa wanawake wengine....
Ili jambo lipo, na karibuni limejitokeza katika barani kwetu Africa...
Inamaanisha kazi zako ni zenye Jumbe nzito na pia ni burudani...
Keep ut up 👍🏽.
Ila CLAM unakata tonge kubwa! 😂😂😂😂😂😂 5:06
From 🇨🇩✌️✌️
Kaz nzur vevo ila dakka zingatia hpo n kidgo mno😢😢Much love from 🇰🇪🇰🇪
Km wakubali clam vevo tujuane kwa like jmn 😂team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪♥️
Clam kikwel umeiteka Tanzania kwa kipaji kinacho onekana🎉🎉🎉
Kikongwe,doko family ❤❤
Hii Kali zaidi mana enjo ndani ya nyumba bibi kikongwe ndani ya nyumba aseee tuwekeni mabando ya kutosha mana clam siyo wa mchezo mchezo🤜🤛
Mshauri bailam aachane mambo yakijinga maigizo gani anafunza watu aangalie miakayake
Yaan matus matupu
Big mtoto kakutoboa jicho 😂😂
bibi chaka ndani ya mjengo🙌🏾❤❤
Watoto wa yanga wachawi sana uyo SI suda yanga uyo
Vichawi huwa na viburi sana
Haswa
Wawooo suda wangu❤❤❤❤❤❤❤ maua yako
Wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wakwanza leo
Umusaidiye kicheche please is jean from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩mbwa yeye
Wooow kazi nzuri Sana clam 🎉❤❤
Très fort mon frère Clam
Naomba iyi iwe🎉🎉🎉🎉🎉kali kuliko🎉🎉🎉🎉 snake boy🎉🎉
Wakwanza leo naomba mauwa yangu
Basi ukute aka katoto kakikua utaskia oooh anatembea na clam ii bongo ii😅😅
Kazi kumlea mtoto wakambo chaujeur😂😂😂😂
Fid sargent apa wakwanz kulike na kuko comment em nipen like zang😅😅
Kikongwe bibi😅😅
Wanaomkubali VEVO Like nyingi
Wa kwanza mm jaman nipeni like zangu wa Tanzania ❤️❤️❤️❤️
Yaani hii ya sasa Kali..moto wa kuotea mbali kazi safi sana💐🇰🇪🇰🇪
Kipara wana man😂😂😂
Mapema sana❤🎉🎉🎉
Another Banger🎉🎉🎉🎉Clam Vevo Never disappointed❤❤❤Team strong gonga like❤❤❤tukisonga
Clam unajua ❤
🎉🎉🎉🎉 CLAM VEVO kweliii KAZI zako ni nzurii sana
Clam hupoi ndo napokukubali kazi zako ziko good ongeza dakika kwenye episode usilisahau hilo respect kwa bi migomba more life
Suda yanga🔥🔥🔥🔥
Leo mim wa kwanza Ila kuomba like sio michongo yangu nishaachaga😢"
Nimecheka Sana Hadi nimeweka like
Aiseeee huu moto mbn WA kuwakia mbali ukiacha move yenyewe inawatu hongereni
Wa kwanza ✌️
Mm namba 1 ,,kazi nzuri vevo
Hii series Ndio inaweza kushinda zote za nyuma,Big Love Clam❤
Clam vevo unajua kuwateka mafundi nakukubali sana bro
Kazi baada ya kazi nzuri ioo
Ni Mimi baltazar Kutokea huko equatorial guinea Naskia Huko Kwenu natrend San
Saidi komba mwenyewe bado sijachelewa
Jaman suda yanga wew Tena saf sana
Suda nakapenda haka katoto❤😂
Clam nafulai xan Kaz Zak xan xan kuwek huy mtot nampend xan tujuan clam geng
Nice 👍 VEVO from Kenya like ❤❤❤❤❤❤
#wa ngap cjui