Jamani huyu uto anateseka, huu mwaka ntamaliza bando zangu kwa jinsi wanavoteseka. Hamuwezi kufikia nafasi ya 5 ndani ya miaka 3 hata muende robo 3 kwa points zenu 30 hizo.
Mzee Mpili alisema Yananga wanatuzidi wana Simba kwenye sekta ya Uchawi..leo mmepeleka wapi uchawi wenu? Mnapenda sana kujiinua na Mungu humshusha anaejiinua na kumpandisha anaejishusha...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kamudomo kamudomo kamudomo😂😂😂😂Mnyoeni huyo mchawi
UFALME WA SIMBA HAUTAANGUKA KAMWEE🙏💪
Hamjasema mpaka mseme na mtasema aaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Semeni ukweli utopolo hamkupata nafasi ya kuchomana sindano na uchawiwao azam waliuchoma moto. Simba nguvu Moja.
Jaman mgelinda uwanja kamati hamna
Sasa kama hauna hizo Imani upuuzi unaoungongea niwann sasa ACHA mambo izo
Wamecheza na Mc Alger au wamecheza na Simba 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 Mwili Yanga Akili Iko simba😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 sindano
Huna hujaa!
YAANI NASIKIA RAHA NIKIONA UTOPOLO WANATESEKA KAMA IVI😂😂😂😂😂😂
WANATESEKA HAO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Manara alisema hamtoboi. Swali je Manara nae ni Simba?😂😂😂
We fala kweli kuna wachawi kama nyinyi
😁😁🐸kubalini kushindwa mbona nyie mnatufungaga hapo hapo kwa mkapa au mganga wenu kafa😁😁😁😁mwakakundi
Huyu mwehu kweli,ngamia 7!!! Tatizo la yanga mnaabudu sana uchawi, huyo mmbwaduke kawadanganya hata km yanga wangeingia robo bc wasingeifika simba
Waliweka maneno mengi zaidi ya vitendo
Gusa achia tubaki bongo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢😅😅
Acha uongo; nawewe ni mchawi
Na nyinnyi mngeenda unguja kuroga😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaa hii ni maajabu
Huyo jamaa wa Simba mashavu
Sawa nanyie nendeni Tanga 😢😢😢
sasa kama simba walileta mganga si niili wapone iweje mganga awepo alafu wafe
Mnatumia muda mwingi sana kuiwazia Simba na kuisahau timu yenu..kwisaa habari yenu
Kadata jamani
Ngebeee zinawaponza yanga et gusa achia kikowap robo kwishine
Hueleweki banana ; umetolewa tu
Anawazalilisha wenye miili mikubwa kwa maneno anayoongea maan anaonekana hamnazo
Umenifuragisha ulivyosema simba akifa wanyama wote wanashangaa😂😂😂
Point 8magoli
Tuseme ukweli tu yanga huko sio kwenu
Achen mambo ya shilik jmn
MDOMO. NA KUJIINUA NDO VINAWAANGUSHA, HIYO MICHUANO KWANI SIMBA HAJAICCHEZA? YEYE NDO ALIEWABEBA MGONGONI MPAKA MKAINGIA HUKO🤣🤣
Kubali tu kunyolewa acha mwe mwe mwe
Acha ushamba wew madevu. Yani simba waache kuwazia mechiyao. Waangaike na nyie nyuma mwikoo.? Simba siowashamba km nyie mlioacha kupambana na halizenu. Mkawa mnafrahia simba
Kufungiwa kuingiza mashabiki. Ubaya ubwela itawauwaa.😁😁😁
Huyu jamaa anajua thamani ya ngamia na uchache wao mpaka useme ngamia saba
Mmmmm!
Hersi alikuwa Dodoma sindano hakuleta.
Ila hii yanga bhana yaan kumuotea simba gori tano imeesha jiaminisha kuwa nitimu kubwa ndo maana wanateseka sanaa😂😂😂😂😂
Ubaya ubwela
Kumbe mnamini uchawi kama mnamini uchawi kwann msingenda kuroga na nyie
Sawa gorofa..ila ndio limeanguka!!
Wachawi nyiee
Simba ni mdogo kuliko tembo. Wewe tembo sisi simba
Pemba mnakujua si mlienda na nyinyi
Anazungumzia ukubwa upi huyu😂😂😂😂
Lazima unynoe
Unaukubwa gani umetorewa
Bro tumetolewa ndio mpira
Limedondoka gorofa lakini limeua watu wengi
Wale waganga mliowaalika hawakufua dafu
Toa uchafu uliahidi
Jamani huyu uto anateseka, huu mwaka ntamaliza bando zangu kwa jinsi wanavoteseka.
Hamuwezi kufikia nafasi ya 5 ndani ya miaka 3 hata muende robo 3 kwa points zenu 30 hizo.
Mimi nipo pemba hakuna ngamia alo chinjwa
Hahahaha ndo zao wakipoteza tu mchaw ni simba
Ukifungwa hukosi sababu
Ulivyo ahidi hukujua utofauti huna mpira acha uchawi
Acha ushirikina wewe 😂😂😂😂
Huyu jama akili imeluka
Hahaha mpaka mashabiki wenzake wa Nyuma Mwiko wanamcheka
😂😂😂 mwiko umechomolewa
@AgnesJohn-f1r hahaha 🤣🤣🤣🤣
Mwacheni ana kiwewe anacho kisema akijui
Sio masihara 😂😂😂😂
Huku kwetu ngamia 7 unawapata wap muongo mkubwa anajitetea maneno ya mkosaji
Wacha uongo myweeni
TATIZO LA HAO KAMDOMO KAMEWAPONZA
Wewe ulicheza na Simba wewe uchebe? Hayo ni matokeo tu
Munyowe uyo fala kwani wewe ulikuwa wapi Simba hawajui waganga kama wanayanga
HAYO NI MANENO YA MKOSAJI ACHA UJINGA SIMBA HATA AKIFUNGIWA WEWE INAKUHUSU NINI?SIMBA HADI KOMBE. MMETOKA KIUME WAWAPI?ACHA UONGO.
KM UNA TAARIFA ZA MAKOLO ULIKUWA WAPI KUZIONGELEA?WEWE KWENDA ZANZIBAR ULIONA NINI?MMESHINDWA ACHA KELELE ZAKO
Hana jipya maneno kibao,anapaswa kunyolewa hizo ndevu
Kiume vipi unaongea sana nie mwana
Mzee Mpili alisema Yananga wanatuzidi wana Simba kwenye sekta ya Uchawi..leo mmepeleka wapi uchawi wenu? Mnapenda sana kujiinua na Mungu humshusha anaejiinua na kumpandisha anaejishusha...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kamudomo kamudomo kamudomo😂😂😂😂Mnyoeni huyo mchawi
sasa kama simba walileta mganga si niili wapone iweje mganga awepo alafu wafe