Nayahisi maumivu ya medick kiukweli mapenzi yanauwa mama na yy kama moto si ungekuwa na huruma kidogo angalau siku moja acheke na mkewe na mama pamoja kwa mama vituko kwa majirani chugu aki inauma saana😢😢 hongera saana kijjana kwa kazi nzuri maumivu yako iko siku yataisha tu kua na moyo huo huo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
JARIBU MCHEZO WAKO KUEKA WIMBO MMOJA TUU. NA UFITI KILA KIPANDE. MANA NYIMBO IKISOMEKA PIA ITAHITAJIKA KWA JAMII YAKO. PIA KAZI IYO KAKA. HONGERA KWA KUPAMBANA
Lkn hyu mpaka medick nmhandsome mashallah kma apo mwengine anaona kma mm gonga like twende mbele
Pole sanaa mama yake tete nimependa uchezaji wako nimekupendaa
😊😊😊wallah huyu kijana ana acti kwa hisia sana hongera yako kwanzia leo mm ni shabiki yako Rasmi❤❤❤
Nikwl kwl
Da kaka uko vizuri sana
Nayahisi maumivu ya medick kiukweli mapenzi yanauwa mama na yy kama moto si ungekuwa na huruma kidogo angalau siku moja acheke na mkewe na mama pamoja kwa mama vituko kwa majirani chugu aki inauma saana😢😢 hongera saana kijjana kwa kazi nzuri maumivu yako iko siku yataisha tu kua na moyo huo huo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kaz nzuri Merck kuwa na msima❤❤❤❤❤❤mo wako mpende sana mkeo
Mashallah mungu abaliki sana kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤
Daaa mwamba unajua mungu akujalie me shabiki no 1 kk
Dada wa kazi anapenda umbea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lingala uyu mdada mkongo ❤❤❤
Medick pongezi sanaaaaaaaa Kwa kazi nzuri usife moyo binadamu hawakosi kasoro🎉🎉🎉 sau yaliopita chenga yajayo na usimwache Tete ❤❤
Eeh mungu naomba nipee mume kama medick please Ameen😂😂
Mimi nipo
Safi sana njoji mahitaji nomb yko Wang pole ep 4
Dar mama tete siku akajuwa hayo anayopitia mwanae kwamkwe wake ataumia ukizingatia nae nikipofu hongeren. Kaz nzurii❤
Med bhana Ukitoa mov nyengine uwe na furaha Unaniumiza😭
wanaume kama huyu ni wachache, Mwanaume anao uwezo mkubwa sana wa kumfanya mwanamke abadilike
Ten mungu ambrik san wallah
Sana yaani ninaushuhuda
NYOKA WA SNAKE BOY NAKUBALI KAZI KAZI NGINJA NGINJA
Hongera kazi nzur
Wanaume wa hiv walishapoteaga zaman jmn.
Wallah wapo
Acha zarau dada sisi tunaoment apa unatuonaje...tupo au tumepotea😂😂😂😂😂
@@MwalimIdrissa😂😂😂😂😂😂😂 tena wapoo mwambie aende musoma kwa wakulya atawakuta😂😂😂😂
Au aje chuga😂😂😂😂
jamani Hawa watu watatuulia medick wetu mwenyewe Hana nyama tuachieni😂😂😂😂
Napenda luga ya lingala DRC 🇨🇩
Medick ww ninoma sana ❤❤❤
Kama mm mke wangu nikama hiii move dah😢😢😢😢
Dah kama mke wako ni kama hiyo muv....pole sana mkojan vumilia😂
Nawapenda sana mnamove zur san ♥️♥️♥️
Niliwahi kupata mwanaume kama hyu mbwa umeolewa lenyewe nilikukomalia Kam kuroga kila siku Kam yake linafanya kaz hela zote kwa waganga kula nina
Medck wewe fundi nimekukubali upo sawa katika uhalisia wa uhusika wako
Kazi safi Sana hongereni 🎉🎉 ❤❤
Safii sana kaka kwa kaz Yako nzuri
Mchawi pesa kwan haiendelei au,,,, vitu nusu nusu kwann sas
Medy ana machozi jamani❤
Pongezi kaka derick unajua kukwepa maneno ya watu.. ila inauma but unamoyo wa uvumilivu
Xema bimkubwa wke medick anajua kuchagua
😂😂😂
Kazi mzuri sn mpende mke wako
Nice work medick
Kazi nzuri medi🎉
Ila uyu mamamkwe wa baba ni mmnafik daa
Movie Iko poa sn ❤❤
😢😢😢 ni nzuri ila hii nyimbo imezidi kwa kweli inaboa
Medick kulia tuuu muda wote
Janaume😮 zima lina lia lia mikazo sifuri❤😂😂😂😂
Unyama mwingi jaman
Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Much love from saudi ❤❤❤❤
JARIBU MCHEZO WAKO KUEKA WIMBO MMOJA TUU. NA UFITI KILA KIPANDE.
MANA NYIMBO IKISOMEKA PIA ITAHITAJIKA KWA JAMII YAKO. PIA KAZI IYO KAKA. HONGERA KWA KUPAMBANA
Bora umesema we maana Nish kereka na vivyo vinyimbo
Wa tanzania munatuzoea vipi ule mama aongee ki kongo ?
❤❤much love from Burundi
Unyama damu yangu❤❤❤❤
Me wakuanza naomba like zangu kutokueya 20:04 🇲🇿
kazi nzuri❤❤❤❤❤❤
Medick usimuache Tete amebadilik tayar huyo kuwa na msimamo wa moyo wako
❤❤❤🎉🎉🎉
Merci seigneur
Good work ❤❤❤❤
Medick 👌👌👌👌
🎉🎉🎉🎉🎉
Sou o primeiro
Tujitahidi kumsapot hebu kila m2 a subscribe❤
4 iko wapi
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😢
Nice lydia merykyor
❤❤❤❤
Nice
🎉🎉🎉
❤
𝐌̰𝐞̰𝐝̰𝐢̰𝐜̰𝐤̰ 𝐧̰𝐚̰𝐩̰𝐞̰𝐧̰𝐝̰ 𝐤̰𝐳̰ 𝐳̰𝐤̰𝐨̰
Nice
❤
❤❤❤❤