Pole kwa changamoto mkuu na hongera kwa uthubutu wa ufugaji Kama wanaingia joto na unawapandisha ila hupati matokeo yawezekana kizazi kina shida ni cha kusafisha Ila kabla hujachukua hatua yoyote jaribu kuwasiliana na Daktari anaeaminika alie karibu yako aje acheki na akupe sababu za kitaalamu zaidi Ila ukikosa kabisa msaada Tafadhali wasiliana nasi kwa ushauri na msaada zaidi 0654484175
Je nawezapata ngombe wa kununua
Naitaji ng'ombe wa maziwa aina ya freshian mwenye uwezo 85% kuendelea naitaji jike na Dume bora zaidi, nipataje
Karibu unaweza kutupigia simu 0654484175.
Nina changamoto ya ng,'ombe wangu kutoingia joto licha ya kuwapa virutubisho lakini hawiingii joto,nifanyeje?
Umewapa madin ya joto lick?
Ndio wanaingia joto na wanapandishwa baada ya miezi mitatu unakuja kupima hakuna kitu
Pole kwa changamoto mkuu na hongera kwa uthubutu wa ufugaji
Kama wanaingia joto na unawapandisha ila hupati matokeo yawezekana kizazi kina shida ni cha kusafisha
Ila kabla hujachukua hatua yoyote jaribu kuwasiliana na Daktari anaeaminika alie karibu yako aje acheki na akupe sababu za kitaalamu zaidi
Ila ukikosa kabisa msaada Tafadhali wasiliana nasi kwa ushauri na msaada zaidi 0654484175
Yawezekana kuna shida kwenye mfumo wao wa kizazi
Jaribu kupata Daktari wa mifugo aliekaribu nawe au Tupigie simu kwa ushauri zaidi 0654484175