Kabito The Star 🌟🤩 don't give up sheikh, you have a bright future ahead. Allah is with you and our prayers with you. You are the next winner 🏆just improve ur self where you went wrong, and the No. 1 is waiting for you........ In shaa Allah.
Ila mimi namkubali sana kabiito .upande wangu nawaamini majaji ila nahisi tunamuhurumia sana kabiito kwa alivyo labda, ukijumlisha na usomaji wake mzuri basi imechangia mara dufu.naamini ushindani ni mkubwa TUWADHANIE MAJAJI VIZURI .
Mashaallah Sheikh Nurdin pamoja na ukhty wetu Najat kwa kumfariji Kabiito wetu kipenz cha watanzania,,,ametusimua kwa kweli cku ile yani siamini ila ni mipango ya Allah,,azid kukaza buti mwakani Inshaallah
Mungu awajaalie wote walioshiriki na waliopa moyo Kabito, God bless you all for the what made, that is the best way to Go to God. Tabaraka ladhy biyadihil mulku wahuwa ghala kuli shay in Gadiru.
Niliumia saanaa mm pamoja na marafiki zangu pale uwanjani tukaondoka kwa hasiraa,, mpaka machozii yalinitoka kwa uchungu yaani ata Top 4,,,..!!!apanaaa apanaa jamaniii 😤🙌
Allah akubariki sister Najat kwa kazi zako nzuri za khairats katika kila kitu, Allah akupe afya nzuri na furaha katika maisha yako ya hapa na kesho siku ya malipo na waisilamu wote.Fajazakumullahu khairan sister 🥀🌹💮🌸🌸💐💐⚘🌷🌷🌻🌻🌺🍁🍁🍀🍀🌱🍀🌿🌾🌾☘🌱🌴🌳🌲🪴🍂⚘🌷🌼🌼🌻🌺🌺🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍈🍈🍉🍊🍊🍊🍋🍋🍍🥭🥭🍎🍎🍏🍐🍑🍑🍒🍓🫐🥝🥝🍎🍎🍏🍏🍎🍎🍇🍇🍇🍇🍇🍈🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍇🍏🍏🍏🍉🍉🍑🍑🍑🍋🍋🍓🍓🍓🍌🍌🍍🫐🫐🫐🫐🥭🥭🥝🍎🍎🍏🍏🍏🍐🍐🍑🍑🍒🍒🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍒🍒🍒🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍎🍎🍏🍐🍐🍑🍒🍓🍓🍓🍒🍒
Mm kwaushauri hao wasklizaji waliokuja kuna watu wana sklz yakutosha wanaijua vzur Quran Kuanzia tahfeedh, hukmu, saut, nasheria nyengine za Quran Lkn kwavile kuna majaj walio chaguliwa Tukubaliane nao Inshaallah
Kabito my younger brother never lose hope come back again next year in shaa Allah for the competition and I do believe that you will make it's better more than this year @Nash005
Well done dear Naj.. wa JazaakUmAllah kheir dunia walAakheera kwa wote yaaRab mashekhe wetu majaji wetu na watoto/ndugu zetu wote mahaafidh wa Quraan.. tunamuomba Allah atujaalie sote min ahal’Quraan na vizazi vyetu 🤲🤲🤲 Amen 🙏
@@salamamohamed5805 Watu hawataki kujifunza Qurani wanavutiwa na ushabiki wa sauti ya mtu badala ya kuzingatia huku na usomaji wa Qurani kwa ujumla wake.
@salama Mohammed turidhike kuwa ni qadar ya Allah hakupata nafasi ambayo baadhi walitarajia..na pia majaji walitenda haki kadri Allah alivyowawezesha Mashallah(Allah awazdishie kheri). Ila ukisema kuna aya aliisahau unaweza ukaulizwa ni aya IPI! ...hebu angalia vzr aya alizoulizwa, ..ya 12:10(Surat Yunus), kisha aya ya 50:27(Surat Nnamli), na Aya ya 17:52(Surat At-tur)...Naomba nisaameh kama nmekukwaza, sio lengo langu...Ramadhan Mubarak
Justice must be done to kabito .Why this he was expecting alots for this musabaqa .does it's means katika hao washindi watano hawakuwa na makosa hta moja ama mbili katika ahkamu tajweed
Sauti ni sawa kapata nahilo ndilo tuliowengi tuna HUKUMU.Majaji wana HUKUMU nyingi zaidi ya Sauti tuu.Mimi naamini sana wenye dhamana yaani majaji.Kwani huyu aliyeshinda sio mtanzania pia:Sasa huwezi changanya HUKUMU na hisia
Nyny hatamkasema alieshinda ndio anae tangazwa nyny mnenogewa na sauti t watu wanaangalia quran inasomwaje hukmu matashi na mengneyo sasa ww hjasoma nyamaza sio utoe ushindi
Nikweli shekhe kishiki uwiislam una sheria zake na Qur ani ina hukumu zake mfano ukikosey herufi 1 tuu kuitamka km ilivyo bc maana ya ile neno inabadilika au ukipunguza herufi 1 maana inabadilika au ukiongeza herufi 1 maana inabadilika haya yote huwez kuyafahamu ww usiyona elimu lazima usome Allah awahifadhi wote waislam na waliyosom
Majaji 4 tu waliomsikia kabito ni zaidi ya 60.000 kwa mkapa tu bado kupitia tv tz nzima. Nawote hao wamempitisha kabito. Nakosa kubwa lilianzia kwa fundi mitambo kupitia kwa jaji yule wa mweusi Ndio waliomkosesha ushindi kabito kwa makisudi. Kishki hakikisha Majaji wanafanyiwa usaili ili kujuwa uwezo wao .
Hayo mashindano ni Ya Al hikma foundation.Na sio ya Kimataifa. Kabito amehifadhi vzr ila Hana Tajweed nzur. Na pia haya Mashindani Ni Hayafai kwani yanaharib Msingi wa Dini
Hawo wenye kulalamika eti wajaji hawatenada haki basi hamjuwi kwakweli.skilizeni kile kisomo ca ule kijana aliye toka wakwanza.Allahu Akbar alistahiki kabisa ila na kabito yuko vizuri saaana lakini haki ilitendeka muace kusema bitu hamna ujuzi nabyo please.Majaji walitenda haki kabisa
Kila 1 kajaaliwa makadiliyo yake km mm Allah kanijaaliy sauti nzury san yausomaj pia na ukalili ila kuhifadhi kwangu mtihani hap bd sijajaaliwa km sehemu za kusimama na kuwanza km alivyosom shekhe kishiki wallah sipat ht %1 hhhhh ila kwa sauti na ukalili km kebito nazan nafaulu tunapaswa kuendeley kusoma dini ya Allah na kuijuwa vizury siyo kuchukuliy juu juu simpo ila alivyosom huyo mganda albino nimependa
MW.MNGU AWAJAALIE NYOTE MLIO MSHIKA MKONO KABIITO
Hatukuona kumkosoa hata maramoja
Mashallah
@@muhsinisihaka7739 yule hakukosolewa sababu hajakosea kilichomkost pumz maskin alipumzika sehem zisizostahil kupumzika
@@mahmoodalghefeili5370 kwl kbsaaaa
Aamin
Kabito The Star 🌟🤩 don't give up sheikh, you have a bright future ahead. Allah is with you and our prayers with you. You are the next winner 🏆just improve ur self where you went wrong, and the No. 1 is waiting for you........ In shaa Allah.
I'm very proud of you my younger brother kabito🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Kabito mungu akujaliye kila lamafanikiy ishaallah🤲🤲🇺🇬
Ila mimi namkubali sana kabiito .upande wangu nawaamini majaji ila nahisi tunamuhurumia sana kabiito kwa alivyo labda, ukijumlisha na usomaji wake mzuri basi imechangia mara dufu.naamini ushindani ni mkubwa TUWADHANIE MAJAJI VIZURI .
Mashaallah Sheikh Nurdin pamoja na ukhty wetu Najat kwa kumfariji Kabiito wetu kipenz cha watanzania,,,ametusimua kwa kweli cku ile yani siamini ila ni mipango ya Allah,,azid kukaza buti mwakani Inshaallah
Mungu awajaalie wote walioshiriki na waliopa moyo Kabito, God bless you all for the what made, that is the best way to Go to God. Tabaraka ladhy biyadihil mulku wahuwa ghala kuli shay in Gadiru.
Mashaallh
MashaALLAH
Nawasihi ndugu zangu turidhike na haki iliotendeka majaji wamejitahidi sana. Kazi hiyo ni ngumu sana hakika wamejitahidi.Mashaallah Allah awahifadhi.
Majaji wako right mashaallah
Tunaomba majaji walio amua washindi wa tano bora na kabito akuema tafadhalini nawaomba Muelezeni mwalimu wa kabito marekebisho mmnayo hitaji kabito ayarekebishe Mwakani InshaaAllah Tunamuhitaji ashirikishwe Katika Msabaka mwakani InsaaAllah panapo Majaliwa .Sheik Kishki Twaomba litimizwe ombi tafadhal. Mallah awabariki nyote
MashaAllah beautiful recitation may Allah protect him
Kabito mdogo wangu mwenyezi mungu akujalie afya njema. Umejitaidi sana
Amiin
Niliumia saanaa mm pamoja na marafiki zangu pale uwanjani tukaondoka kwa hasiraa,, mpaka machozii yalinitoka kwa uchungu yaani ata Top 4,,,..!!!apanaaa apanaa jamaniii 😤🙌
Mashaallah m.mungu amjaalie
Mashaallah tabalakallah
Mashaallah
Exactly Hata mimi Najat nilikuwa natizama nilijua yeye ndio mshindi nilikuwa disappointed sana kuona Kapito hakushinda
Kabiito Masha Allah jazaka Allahul khair
Machaalla
MashaaAllah MashaaAllah
Allah akubariki sister Najat kwa kazi zako nzuri za khairats katika kila kitu, Allah akupe afya nzuri na furaha katika maisha yako ya hapa na kesho siku ya malipo na waisilamu wote.Fajazakumullahu khairan sister 🥀🌹💮🌸🌸💐💐⚘🌷🌷🌻🌻🌺🍁🍁🍀🍀🌱🍀🌿🌾🌾☘🌱🌴🌳🌲🪴🍂⚘🌷🌼🌼🌻🌺🌺🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍈🍈🍉🍊🍊🍊🍋🍋🍍🥭🥭🍎🍎🍏🍐🍑🍑🍒🍓🫐🥝🥝🍎🍎🍏🍏🍎🍎🍇🍇🍇🍇🍇🍈🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍇🍏🍏🍏🍉🍉🍑🍑🍑🍋🍋🍓🍓🍓🍌🍌🍍🫐🫐🫐🫐🥭🥭🥝🍎🍎🍏🍏🍏🍐🍐🍑🍑🍒🍒🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍒🍒🍒🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍎🍎🍏🍐🍐🍑🍒🍓🍓🍓🍒🍒
Mashllaha allah. Amuifadhi kijana huyu
Najat umefanya kazi nzuri sanaa
Allah amfanyie wepec kabito ashiriki tena mwaka ujao
Shukrani sana dada uliye mzawadia mabiito
😭😭😭😭mashaallah mwenyezi mungu atampa maranyingine inshaallah kasoma.vizuri lakini mahali ndio wanajuwa max zaidi
Mashallah 🤲🤲🤲
Love you kabiito Allah is with you mashallah
Ma shaa Allah
Imemuathiri sana naona, mungu ampe nguvu
Mwenyezmungu amuongezee baraka
Inshaallah
Mie nimekosa hata nguvu machozi yanamwagika tu yaani Allah ampe subra inshaallah tupo pamoja Ushindi upo mbele yako usikate TAMAA
😭😭😭😭masikini very sad wallah no fear not fear kabisa
Inshaallah allah atamlipa pepo kwani malipo ya hapa Duniani silolote sichochote nakilakinacho tokea nikadari yake allah
MashAllah JazakAllah 🙏🙏🙏❤
Machaallh
Mashaallah.
Beautiful voice
Wallah nami aliniumiza sana, shauku yangu ashinde sauti tu inavutia niliumia sana😭😭😭😭😭😭
Mm kwaushauri hao wasklizaji waliokuja kuna watu wana sklz yakutosha wanaijua vzur Quran
Kuanzia tahfeedh, hukmu, saut, nasheria nyengine za Quran
Lkn kwavile kuna majaj walio chaguliwa
Tukubaliane nao Inshaallah
Maashallah tabaarakallah
Mashallah mashallah mashallah alhamdulillah
Umeifanya vizuri sana Dada Allah akuzidishie zaidi yaicho mashaallah shekh kishki
Bismillah mashallah❤
Asalam Alaikum, MashaaAllah, Ramadhan Mubarak ✨♥Fajazakumullahu khairan 🌹🥀🥀🌺🌻🌻🌼🌼🌷⚘⚘💐🌸🌸💮🌱🌱🌱🌲🌲🌳🌴🌵🌵🌾🌾🌿🌿☘☘🍀🍁🍁🍂🍃🍃🏵🌹🌹🥀🥀🌺🌺🌻🌼🌷💐🌸🌸💮💮⚘⚘🌷🌷🌻🌳🌴🌵🌾🌿🌿🌿🌱🌱🪴🌲🌳🌳🌴🌴🌵🌵🌱🌱🍀🍀🍀🍁🍂🍃🍃🍃🌹🌹🥀🌺🌺🌺🌹🌹🥀🌼🌼🌼🌷⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘🌷🌺🏵🌹🌹🌹🥀🥀🌺🌺🌻🌻🌼🌼🌷⚘⚘💐💐💐💐💐💐💐💐🌸🌸🌸🌸🌸💮💮💮🌹🌹🌹🥀🌺🌻🌻🌼🌷🌷⚘⚘🌹🥀🥀🥀🌺🌺🌻🌻🌼🌼🌷⚘⚘⚘⚘⚘
Kabito my younger brother never lose hope come back again next year in shaa Allah for the competition and I do believe that you will make it's better more than this year @Nash005
Well done dear Naj.. wa JazaakUmAllah kheir dunia walAakheera kwa wote yaaRab mashekhe wetu majaji wetu na watoto/ndugu zetu wote mahaafidh wa Quraan.. tunamuomba Allah atujaalie sote min ahal’Quraan na vizazi vyetu 🤲🤲🤲 Amen 🙏
MashaAllah Tabarak Llah
Haiwezekani watu wote tuguswe na usomaji wake alaf sio mshindi.....KABIITO NI MSHINDI WA KWELI
Ebuu niambiyee ma Dear
Nikweli ndug zangu qur'an inamipangilio ukisoma vibaya unaleta maana tofauti turidhike na masgehe wetu
@@salamamohamed5805 Watu hawataki kujifunza Qurani wanavutiwa na ushabiki wa sauti ya mtu badala ya kuzingatia huku na usomaji wa Qurani kwa ujumla wake.
Ata kama ndo ata Top 4 apana aisee tuseme ma elf ya watanzania wanaolalamika awaijui vizur qur aan
@salama Mohammed turidhike kuwa ni qadar ya Allah hakupata nafasi ambayo baadhi walitarajia..na pia majaji walitenda haki kadri Allah alivyowawezesha Mashallah(Allah awazdishie kheri). Ila ukisema kuna aya aliisahau unaweza ukaulizwa ni aya IPI! ...hebu angalia vzr aya alizoulizwa, ..ya 12:10(Surat Yunus), kisha aya ya 50:27(Surat Nnamli), na Aya ya 17:52(Surat At-tur)...Naomba nisaameh kama nmekukwaza, sio lengo langu...Ramadhan Mubarak
@@othmanbakari6033 Wala hukunikwazwa tupo kwenye kuelimishana shukran....
@@salamamohamed5805 Shukran sana sana...Allah atujaalie mwema...Aamin Aamin.
Kweli bhana
Huo ndio uislam aisee kila kitu ni kadary akxante kabiito
Huyu kijana katusisimuwa sana ...mashaallah
Yaaani Mimi nililia jamani mtt anasauti maa shaa Allah nilijua atashinda
@@mishigambagamba6302 shida sio sauti kinachozingatiwa ni ahkam
Kusoma Alhamdullah kasoma vizur sana lkn kabitto kasoma Tajwid hayo ni mashindao ya Tartil
Allah akuzidishie najat
Maashaallah
Justice must be done to kabito .Why this he was expecting alots for this musabaqa .does it's means katika hao washindi watano hawakuwa na makosa hta moja ama mbili katika ahkamu tajweed
Sauti ni sawa kapata nahilo ndilo tuliowengi tuna HUKUMU.Majaji wana HUKUMU nyingi zaidi ya Sauti tuu.Mimi naamini sana wenye dhamana yaani majaji.Kwani huyu aliyeshinda sio mtanzania pia:Sasa huwezi changanya HUKUMU na hisia
Assalamu aleikum warahamatu allahi wabarakatu
hamuna la kusema hata mujitetee vp hakika hyo kabiito allah atamlipa pepo zaid ya hyo malipo yenu
MaashaAllah Kabito
Ndo mjue I hk ni ya kapito kbs ndo mana tuna ll mika
hata sisi na familie yangu hapa belgium huyo kijana ndio mshindi masha allah kapito
Nyny hatamkasema alieshinda ndio anae tangazwa nyny mnenogewa na sauti t watu wanaangalia quran inasomwaje hukmu matashi na mengneyo sasa ww hjasoma nyamaza sio utoe ushindi
Mashallah dada hadinalia
@Abubakar Mohammed usiwadhanie vibaya wamejitahidi kiasi chao
Allah knowz best🙂
Nikweli shekhe kishiki uwiislam una sheria zake na Qur ani ina hukumu zake mfano ukikosey herufi 1 tuu kuitamka km ilivyo bc maana ya ile neno inabadilika au ukipunguza herufi 1 maana inabadilika au ukiongeza herufi 1 maana inabadilika haya yote huwez kuyafahamu ww usiyona elimu lazima usome Allah awahifadhi wote waislam na waliyosom
Yani mm cjui kama ntaifuta audio yake tuombe mwakan ashiriki tuuuu
Kabito amisoma vzr cna
👌❤️❤️❤️❤️❤️❤️👌👌
Hivi kwani Uganda 🇺🇬 hawaongei kiswahili jamani mpka huyo Kabito haeleiwi au hawezi zungumza kiswahili ?
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Wabillahi taufiq
Majaji 4 tu waliomsikia kabito ni zaidi ya 60.000 kwa mkapa tu bado kupitia tv tz nzima. Nawote hao wamempitisha kabito. Nakosa kubwa lilianzia kwa fundi mitambo kupitia kwa jaji yule wa mweusi
Ndio waliomkosesha ushindi kabito kwa makisudi. Kishki hakikisha Majaji wanafanyiwa usaili ili kujuwa uwezo wao .
Nyinyi watanzania muna shida ,nyinyi ni madakatari,marefa,leo mmefika mbali mnajifanya majaji wa Quran ,shame on you
Me pia huyu mganda nilimtabiri kushinda but nimeshanga sanaa
Kanito fanya ujuwe kiswahili bwana
KABIITO UMEWEZA AISEE
Kwa mfano engekua ni Tajwid enge pewa ushindi moja kwa 1
👍🏾🙏🏾
Tumchangieni kabito aende umra ishallah
Kabito mashaalh
Hiyo nikweli sheikh kishki angeshinda. Tanzania watu wanngesema.ilishapangwa Bora mashindano huyo wambalii
Yn uyu ndo ilibidi awe wakwanza kbs kapito kasoma vizur kuliko wote
Hapo Kuna Aya ameisahau ndio iliyimuangusha
Hayo mashindano ni Ya Al hikma foundation.Na sio ya Kimataifa.
Kabito amehifadhi vzr ila Hana Tajweed nzur.
Na pia haya Mashindani Ni Hayafai kwani yanaharib Msingi wa Dini
Duh mashindano yanaharibu misingi gani ?? Ebu twambie
Jamani tupeni No tumchangie tuoneshe mapenzi yetu kwake
Namba ipo kwenye Videos tazama kwa Umakini
@@najatsaid2326 asante
Mm inaniumaa mpaka machoz yalinitoka nikasepa zangu pale uwanjanii
Hata mm nilijua kabito ndio mshindi lakini baada ya kurudia kuwasikiliza mmoja mmoja nimeamini majaji walitenda haki ilio sawa kabisa.
Kabiito mashaallh wingi tulitarajia ushindi wako tu lkn cjui ni kaz ya majajaji hatuwez jua undan
Cabito abdullbasti swamadu, nice one🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎧
Cabito cabito cabitoooooooooooooo masha'allah,
Sheikh bado ujaelezea ni kitugani alichokosea cabito ili ajifunze siku nyingine naomba maelezo yakunitosheleza sheikh wangu,,, why cabito has failed?
Sawa kishki wewe nimekuelewa kidogo, next time be careful with the points,
Mie nnavyoona bora wote walioshirik wapewe zawad kwa sababu si mchezo kuhifadh Quran
Hawo wenye kulalamika eti wajaji hawatenada haki basi hamjuwi kwakweli.skilizeni kile kisomo ca ule kijana aliye toka wakwanza.Allahu Akbar alistahiki kabisa ila na kabito yuko vizuri saaana lakini haki ilitendeka muace kusema bitu hamna ujuzi nabyo please.Majaji walitenda haki kabisa
Kila 1 kajaaliwa makadiliyo yake km mm Allah kanijaaliy sauti nzury san yausomaj pia na ukalili ila kuhifadhi kwangu mtihani hap bd sijajaaliwa km sehemu za kusimama na kuwanza km alivyosom shekhe kishiki wallah sipat ht %1 hhhhh ila kwa sauti na ukalili km kebito nazan nafaulu tunapaswa kuendeley kusoma dini ya Allah na kuijuwa vizury siyo kuchukuliy juu juu simpo ila alivyosom huyo mganda albino nimependa
Hii ndo Tanzania
Kwel turidike n majaji wetu walio chaguliwa
❤️❤️❤️❤️😭😭😭
Corruption iko hapo
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭❤️
Mimi naona kasoma vizuri ni lafuzi tuh .
Majaji mushkel
Mafii muskhel
Aiseeee kabito 🥺🥺
Sas jman nyie mnaangalia sauti nzuri kuruan inasheriayake nahukumu yake pia sio kuangalia sauti
Wajumbe mpaka kwenye Quran daaa baalaaa...!!! kuna kitu kinaitwa Lead objective ata uku cc kwenye mahakama ipoo lakini kilichotokea daaa very offend
Mashindano nikhatari
😭😭😭😭we need to do something for him.........his number please
Kabisa boss
Number the number is in this video look good