ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAUAJI YA OSAMA BIN LADEN, TULIDANGANYWA..!?

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @RatifaHamisi-oe9py
    @RatifaHamisi-oe9py 27 วันที่ผ่านมา +8

    Kama unaamini mungu yupo sema amen

  • @emanuelchidobi8121
    @emanuelchidobi8121 4 ปีที่แล้ว +87

    Kama unaamini hii ni hadithi ya kutengeneza gonga like twende sawa yani wamarekani kwa kupenda sifa wamuue osama bila kubeba mwili wake hiyo haiwezekani

  • @sashah_ace8598
    @sashah_ace8598 2 ปีที่แล้ว +22

    he was so handsome mashallah mungu ampe kauli thabit

    • @muradomar5390
      @muradomar5390 2 ปีที่แล้ว +2

      AMEEN na aturuzuqu SHADDAH kama ya sheikh

  • @sumillohabdallah3259
    @sumillohabdallah3259 4 ปีที่แล้ว +318

    Marekani ni nchi iliyo laaniwa Kama Unaamini Kama Mimi Twende Sawa.

    • @happyndossi3617
      @happyndossi3617 4 ปีที่แล้ว +9

      Marekani imebarikiwa kwa kila aina taifa kubwa na lenye nguvu kama huamini bac

    • @sumillohabdallah3259
      @sumillohabdallah3259 4 ปีที่แล้ว +13

      @@happyndossi3617 Nafikir hujui maana Halisi Ya Baraka Za Mungu, Nchi iliyoruhusu Ushoga, Nchi inayotumia Mabavu Kuiba Mali za nchi zenye unyonge, nchi inayouwa watu wengi duniani kuliko nchi nyingine kwa vita inayopandikiza yenyewe, Kweli Ndo walewale Akili ndogo.

    • @happyndossi3617
      @happyndossi3617 4 ปีที่แล้ว +5

      @@sumillohabdallah3259 wamepewa na mungu uwezo wa kukontol dunia kama hutaki haya

    • @fainnamvungi4364
      @fainnamvungi4364 4 ปีที่แล้ว

      @@happyndossi3617 mama ww Mungu anakupa baraka ww ndio utakaye amua uzifanyie wema ama ubaya Marekan inatenda ubaya kwanchi karibu zote za Dunia.....mpaka siku viongoz wa Taifa lako watangaze hadharan ndio utaamin sio????

    • @amonchamriho3457
      @amonchamriho3457 4 ปีที่แล้ว +1

      Jiulize tajiri na maskini nani amebarikiwa...

  • @mawaidhatv8557
    @mawaidhatv8557 4 ปีที่แล้ว +58

    Kama unaamini serikar ya American haijamuua Hosama gonga like

  • @nicksonmgale4699
    @nicksonmgale4699 4 ปีที่แล้ว +110

    Kipaji kinachokuja juu kwa kasi ya ajabu MTIGA ABDALLAH you are the best mdogo wng gonga like kama na ww umesanuka

  • @soudybrain5074
    @soudybrain5074 4 ปีที่แล้ว +48

    Nimekua mtu wa7 leo kutazama hii likes zenu tafadhar...bt jamaaa anajua balaaa salute

  • @rebecasanya8910
    @rebecasanya8910 3 ปีที่แล้ว +9

    ivi like ni shibe au ni utajiri sana maana sielewi kila mtu ohooo naombeni like zenu

  • @triplea_pilot9938
    @triplea_pilot9938 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

  • @mangitv7203
    @mangitv7203 4 ปีที่แล้ว +22

    Ata hii makala bado ya uwongo ukweli Ni kwamba alifia mikononi mwa mke wake na aliumwa na kichwa pia hizo bangi na picha za x no uzushi ili kumchafua Osama alikuwa mumin mzuri Sana polen kwa uwongo msiamini''' innalilah wa innahilahi rajuhun

  • @selemanimchana3598
    @selemanimchana3598 4 ปีที่แล้ว +13

    Wangemuua wenyewe si wangemuonyesha maiti yake hata kwa mwezi mzima maana wapenda sifa hao!

  • @estonmahali9863
    @estonmahali9863 3 ปีที่แล้ว +9

    Napenda sana story zako mungu akubaliki maana tunajifuza mengi

  • @kefaluminas286
    @kefaluminas286 ปีที่แล้ว +20

    This voice makes everything a reality, beyond explanations...we lov u jamal april, from meru kenya.

    • @Colliens
      @Colliens 4 หลายเดือนก่อน

      Hadi wewe baite uko huku😂😂

    • @safarsafari68
      @safarsafari68 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu sio jamal ni Mtiga anasauti kuliko jamal

  • @emmamarko2517
    @emmamarko2517 4 ปีที่แล้ว +40

    daaaaah!!! huyu jamaa huwa namuelewaga sana anasimulia vzr sana

    • @haikalaizer9154
      @haikalaizer9154 4 ปีที่แล้ว +1

      Emma Marl

    • @simockboyallymakanza4987
      @simockboyallymakanza4987 3 ปีที่แล้ว

      Nikweli jamaa waga anasimulia vzur

    • @alakhhassanomar6077
      @alakhhassanomar6077 3 ปีที่แล้ว

      Hawa jamaa wanatudanganya bhn kama kweli wamempata kwann wasimuoneshe huu ni uongo wa dhahir

    • @alakhhassanomar6077
      @alakhhassanomar6077 3 ปีที่แล้ว

      Kwa ninavo wajua wamarekani kwa sifa ...kama kweli wamempata osama wangemtembeza hadi Zanzibar ....osama kafariki kwa ahadi yake na sio kuuwawa

  • @patelneonrawfuns3742
    @patelneonrawfuns3742 ปีที่แล้ว +31

    Something in my mind is telling me that Osama is still alive

  • @kimpyonglee7552
    @kimpyonglee7552 4 ปีที่แล้ว +48

    Jamaa alikua handsome sana, na anaoneka he was a very polite man

    • @samamanrubama4213
      @samamanrubama4213 4 ปีที่แล้ว +2

      Ogopa sana wapole na watartibu

    • @shancyskitchen3044
      @shancyskitchen3044 4 ปีที่แล้ว +3

      Yaaani Alikuwa handsome Sanaa huyu baba

    • @shakilarashid2588
      @shakilarashid2588 4 ปีที่แล้ว +1

      So true ,very polite very kind ,so loved by his people

    • @victorboston4635
      @victorboston4635 4 ปีที่แล้ว

      @@shakilarashid2588 🙄

    • @surym2pc.938
      @surym2pc.938 4 ปีที่แล้ว +1

      Co handsome tu na alikuwa mstaarabu atari

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 3 ปีที่แล้ว +27

    Thank you my brother am from in Tanzania African my brother thank for your job continue to do it well God bless you all the time all of you my brother from another mother 🙏❤️

    • @clustermqsir9840
      @clustermqsir9840 หลายเดือนก่อน

      Sasa isome tena comment yako na kwa utulivu uone vile uko mzungu

    • @seffsamwel5649
      @seffsamwel5649 หลายเดือนก่อน

      @@clustermqsir9840 vp ase

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 ปีที่แล้ว +4

    naikubal san kazi ya wasaf media wcb for life

  • @djspinstarrocas8417
    @djspinstarrocas8417 4 ปีที่แล้ว +27

    Hadithi tamu saaanaa nakubali hongera bwanamdogo

  • @dullahtach6858
    @dullahtach6858 ปีที่แล้ว +7

    Hawa marekani ni washenzi sana mtu akitetea haki yake na nchi yake wanamgeuzia kibao wanamuita gaid r.I.p osama mwanaharakat wa ukweli

    • @user-wr6uz1rx1o
      @user-wr6uz1rx1o ปีที่แล้ว

      Inaumaa sana niwashenzi Hawa wamemuua kwasababu nimwislam ndio maana wakafanya hivyoo

  • @godfreyruto9589
    @godfreyruto9589 2 ปีที่แล้ว +4

    Soo proud of wasafi for letting all world to wat is hidden thank u soon much keep it up

  • @goodluckpotta7934
    @goodluckpotta7934 3 ปีที่แล้ว +5

    Respect k!ongoz! Xema Fanya mpango story ya Fernando Torres

  • @hatibuathuman1178
    @hatibuathuman1178 4 ปีที่แล้ว +24

    Daaaah yani unavutia jinsi unavyo simulia kwa ufasah

    • @ndekocity9589
      @ndekocity9589 3 ปีที่แล้ว

      Daaaaaah 😰😰😰😰😰

  • @lukasmsowalukasmsowa7094
    @lukasmsowalukasmsowa7094 4 ปีที่แล้ว +14

    Nimependa

  • @alhajimamu2861
    @alhajimamu2861 3 ปีที่แล้ว +37

    Kama nimekutangulia kuangalia nipe like

  • @melissalablonde9580
    @melissalablonde9580 4 ปีที่แล้ว +34

    Ndoma sipend wamarekani mimi wanyam watupu😢😢

  • @yaumirakateni9927
    @yaumirakateni9927 4 ปีที่แล้ว +13

    Hao ni waongo hawakuweza kumuuwa osama wazembe ao

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 4 ปีที่แล้ว +6

    Wamarekani laanatullah

  • @joemadinda2000
    @joemadinda2000 4 ปีที่แล้ว +39

    Hv kuna tofauti Kati ya mtiga abdalah na Ananias edgar
    Manake naona sauti ndo ileile ila majina ni tofauti

  • @ramadhanboi6485
    @ramadhanboi6485 4 ปีที่แล้ว +7

    Osamaaa ni legend kawajambisha wazungu kwakua alikua akidhihirisha uovu wao na unyanyasaji wao jamani wote tunajua maovu ya marekani sindio sasa ukiwa muislamu uko kwao af ukadhihirisha maovu yao basi utapigwa vita mbaka uione dunia chungu

    • @marymchomvu937
      @marymchomvu937 4 ปีที่แล้ว

      kweli kaka marekani ni wanafiki kazi yao nikuchonganisha watu wagombane wao wawapole mali zao

    • @msinziahmed5796
      @msinziahmed5796 4 ปีที่แล้ว

      Tunaomba historia ya vita ya veitamu

    • @dullahtach6858
      @dullahtach6858 ปีที่แล้ว

      Tumepoteza duniani mwanaharakat wa ukweli asiyewasujudia wazungu

  • @lucyjosephat1709
    @lucyjosephat1709 4 ปีที่แล้ว +23

    Hello ,me nimfuatiliaji mkubwa wa the story book lakini kwa mda kidogo Sasa nimekuwa nikijaribu kuangalia if there are any new videos sipati,, napenda Sana unavyosimulia ,, naomba uongeze new videoa and stories to keep it consistent, najua so kazi rahisi but keep it up!💪...hongera sana you have a great voice compared to other story tellers I have known😘...in short I love the story book..
    On top of that kuna documentary nyingi Sana za history all over the world that some people can't watch or listen due to language barrier, unaeza pia kuzitafsiri for the benefit of the fellow Tanzanians just an advice coz napenda Sana this program..
    Asante 😊

  • @husseinmustapha8071
    @husseinmustapha8071 4 ปีที่แล้ว +32

    Upo fresh kueleza.. I appreciate your historic

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence6234 4 ปีที่แล้ว +7

    Mimi siwezi amini vile walikua wanamtafuta wangemuua wangemueka kwa jumba la kumbukumbu

  • @alijuma4
    @alijuma4 4 ปีที่แล้ว +349

    jaman naomben like cjawahi kufiksha angalau like 18

    • @dominikishilali1377
      @dominikishilali1377 4 ปีที่แล้ว +2

      Laiki za nn sasa kama sio ushoga

    • @kimwanaworld6954
      @kimwanaworld6954 4 ปีที่แล้ว +3

      Jamani Naomba mnicheki na mie mpate kunisubscribe kwenye hiichaneli yangu. Nafanya youtube videos pia.nitashukuru sana

    • @fatmaabdallah3765
      @fatmaabdallah3765 4 ปีที่แล้ว +1

      Izo like zitakusaidia nn

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 4 ปีที่แล้ว +1

      Inasaidiaga nini kupata hizo likes za kuomba?

    • @vistusrobert8397
      @vistusrobert8397 4 ปีที่แล้ว +1

      Mamb

  • @Mapyatv
    @Mapyatv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uwongouwooooooo

  • @salimshalifu9293
    @salimshalifu9293 4 ปีที่แล้ว +9

    Dah kweli tulidanganywa mana story ingine inaanzia kwenye milima ya torabora pia wakati wanaenda ilikuwa ni usiku kingine ilikuwa ni afganstan

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 ปีที่แล้ว +7

    Ni uongo Osama wangemkamata lazima2 wangemuonyesha kwenye Television Sasa mnatuletea(marekani)Stori za Sungura na Fisi

  • @mototv1599
    @mototv1599 4 ปีที่แล้ว +415

    *Maana ya comment ni maoni na si kuomba like pumbavu nyie, mnashindwa kujadili ili kujua mengi zaidi nyie mmekazana oooh "mie wakwanza naomba like" shenzi kabisa nyie mnakera mno wapuuzi nyie.*

    • @demboyzdelamboza4143
      @demboyzdelamboza4143 4 ปีที่แล้ว +5

      Moto tv wanakeraa badala wachangie mjadala

    • @mototv1599
      @mototv1599 4 ปีที่แล้ว +5

      @@demboyzdelamboza4143 sijui wananufaika na nini wakipata hizo likes

    • @ibrahimgamba8053
      @ibrahimgamba8053 4 ปีที่แล้ว +7

      Wape vidonge vyao

    • @abdulihassani7644
      @abdulihassani7644 4 ปีที่แล้ว +3

      Wambie kk

    • @patrickngenzi3404
      @patrickngenzi3404 4 ปีที่แล้ว +3

      Moto tv nimekubali bro watu wajinga sanaa

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 ปีที่แล้ว +9

    WANGAPI TUNAUNGANA NA MWANDISHI WA HABAR
    ↔↔ Hersh ↔↔
    kma marekani waongoo

  • @christianmuzaliwa5143
    @christianmuzaliwa5143 2 ปีที่แล้ว +9

    Malgré la souffrance du monde ,mais Jésus est le tout puissant.

  • @waynecalipha4226
    @waynecalipha4226 2 ปีที่แล้ว +7

    perfectly executed and interpreted

  • @hamzaasili6540
    @hamzaasili6540 4 ปีที่แล้ว +44

    Namfuatilia sana uyu jamaa ila nakerwa na waomba like

  • @juliusjulius2080
    @juliusjulius2080 4 ปีที่แล้ว +236

    Mm nnashida na like5 tuu usiulize za kaz gani ila zikizidi mm ni nani mpaka nikatae bhn

    • @kimwanaworld6954
      @kimwanaworld6954 4 ปีที่แล้ว +1

      Haha nimekupa like pia. Naomba mnicheki na mie mpate kunisubscribe kwenye hiichaneli yangu. Nafanya youtube videos pia.nitashukuru sana

    • @simoncosmas9128
      @simoncosmas9128 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaa

    • @maiissamuhammad5204
      @maiissamuhammad5204 4 ปีที่แล้ว

      Akumhuwa Osama wangemhuuwa wanavyopenda sif lazima wangemonyesha mbona gdfi warimuonyesha waong

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 4 ปีที่แล้ว +47

    Wamalekan niwaongo yan waingie kwa osama mpaka ndan bila hata kukutana na ulinz nje ya nyumba ya osama

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 4 ปีที่แล้ว +1

      Mussa Taliye kuwa labuda hujajua,alijificha sasa Ulinzi tena?. Walinzi wakionekana majiran wangehoji anae Lind was halafu inakuwa siyomaficho tena.ebu fikiria tena kama alihitaji ulinzi alipojificha

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni wamaRekani sio wamaLekani

    • @amranahmedy2019
      @amranahmedy2019 4 ปีที่แล้ว +1

      Kulikuwa na walinzi ambao ni ndugu wa kalibu na awakutaka kuweka walinzi wengi ili wasijue anapoishi na wamarekani walipanga nyumba kalibu na anapoishi ili wapate uwakiki walikaaa mwaka moja na nusu walifanikiwa kumuona mala moja tu

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 3 ปีที่แล้ว

      @@amranahmedy2019 mmmmmh

    • @samwelsengati1369
      @samwelsengati1369 3 ปีที่แล้ว

      Wachambuz wa mamb wanasema marekani ilijilipua yenyew ili kupata uhalal wa kushambulia nchi za kiarabu.

  • @upendomollel5661
    @upendomollel5661 3 ปีที่แล้ว +5

    Imerudishwa 🙏🏼

  • @amriharuna4236
    @amriharuna4236 4 ปีที่แล้ว +99

    Huu nao umekuwa ni Ugonjwa wa taifa,naombeni LIKE.hii nayo ni aina mpya ya OMBA OMBA

    • @arexmerck2324
      @arexmerck2324 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @sayijoseph7642
      @sayijoseph7642 4 ปีที่แล้ว

      Amri Haruna atari kabisa wewe kwamba dalili mpya ya omba omba

    • @josephwilliam7348
      @josephwilliam7348 4 ปีที่แล้ว

      Amri Haruna wapuuzi kabisaa watu wanamna hiii

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 ujinga kabisa

    • @zuhuraidrisa5927
      @zuhuraidrisa5927 4 ปีที่แล้ว

      Mpka wanakel mfyuuuuu

  • @nanahseyf5392
    @nanahseyf5392 4 ปีที่แล้ว +166

    me.kila.siku nakoment ila amlike jmn leo naomben like ata 10😥

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 ปีที่แล้ว +9

    Leta haraka maisha yake kabisa nakuamini sana

  • @shabanisalehe5717
    @shabanisalehe5717 4 ปีที่แล้ว +5

    Subhanallah mungu anawaona mliemuua Osama mtapata tabu

    • @marymchomvu937
      @marymchomvu937 4 ปีที่แล้ว +2

      hakuna alie muuua osama kaka marekani waongo hawana ubavu wa kumuua osama wangekuwa na ubavu huo wasinge tangaza dau kwa atakaye mpata

    • @Joycenangonga
      @Joycenangonga 2 หลายเดือนก่อน

      Watapata taabu ya nini ??na alivyokuwa anawasaidia magaidi kule somali??

  • @kiberitonline2448
    @kiberitonline2448 4 ปีที่แล้ว +36

    Kama unakubali wasaf media embu like apa kwa pamoja

    • @jacquelinejohn7821
      @jacquelinejohn7821 4 ปีที่แล้ว

      Kiberit online we ni fala kweli..sasa tukulike ww ndo unahadithia

    • @pendochami2540
      @pendochami2540 2 ปีที่แล้ว

      Please my have you content

  • @bernardmbatha9368
    @bernardmbatha9368 2 ปีที่แล้ว +3

    Best ahead, everyone must know his/her value

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 ปีที่แล้ว +11

    ALLAH AWALANI MAKAFIRI

  • @juliusjulius2080
    @juliusjulius2080 4 ปีที่แล้ว +159

    Mazee sa5:43
    No view
    No comments
    Nlkuwa naisubir hii mda wote
    Kwann msinibless jaman sjawah fikisha ata like10

    • @kimwanaworld6954
      @kimwanaworld6954 4 ปีที่แล้ว

      Naomba mnicheki na mie mpate kunisubscribe kwenye hiichaneli yangu. Nafanya youtube videos pia.nitashukuru sana

    • @mohammedduba4834
      @mohammedduba4834 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeomba like 10 umepata like 130 zikusaidia na nini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @gudgud5665
      @gudgud5665 3 ปีที่แล้ว

      Haaaaaa

    • @mateonjanga8994
      @mateonjanga8994 3 ปีที่แล้ว

      kama umeiku bali like bc

  • @salamihorance528
    @salamihorance528 4 ปีที่แล้ว +34

    Walituzingua hawakumuua.. Wamerakani wanapenda Sifa sana

    • @samiramadenge953
      @samiramadenge953 4 ปีที่แล้ว

      🤝🤝🤝🤝🤝🤝ni kweli kabisa

  • @tysonmike8042
    @tysonmike8042 4 ปีที่แล้ว +10

    Jameni Wasafi tungependa video ya sayari Mars... Na kila shughuli ya NASA katika sayari hiyo

    • @hancbaro3407
      @hancbaro3407 2 ปีที่แล้ว

      download ISS Kila kitu kipo humo.

  • @dicksonbaraka7639
    @dicksonbaraka7639 4 ปีที่แล้ว +19

    Upo makini sana, congrats

    • @haidarymligo2447
      @haidarymligo2447 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna ushahidi wa kuuawa kwa osama bin ladeni

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 4 ปีที่แล้ว +3

    Movie ya shozniger. Aisee Marekani na Ibilisi hawana tofauti.

  • @aimanabwedu7047
    @aimanabwedu7047 4 ปีที่แล้ว +11

    Hii story umeipata full kwenye documentary... Nakukubali sana lkn ile ya tupac ndio ulitudanganya

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri

  • @tysonmike8042
    @tysonmike8042 4 ปีที่แล้ว +5

    I wish kama action yenyewe ingepatikana... Amerika sio nchi ya kuaminika kwa lolote

  • @HABIBULLAH-nd9ft
    @HABIBULLAH-nd9ft 4 ปีที่แล้ว +33

    Sio Kweli Osama alikutwa ameshakufa mwenyewe na sio nyumbani kwake kwenye mapango au mahandaki.

    • @noordinrashidi4692
      @noordinrashidi4692 4 ปีที่แล้ว +1

      Uwooongo mmmh

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว

      @@noordinrashidi4692 kweli hata mm nilifuatilia vzr tena alizeeka sana,

    • @susankariuki449
      @susankariuki449 4 ปีที่แล้ว

      Hapana hiyo story ya Osama kukufa unayosema ndo ilikuwa uongo - ili wadanganye waamerika na watu eti Osama sha kufa. Osama alikufa Pakistan kwa kuuawa na waamerika

    • @susankariuki449
      @susankariuki449 4 ปีที่แล้ว

      @@salmaalimusa547 hapana ulidanganywa, Osama alikufia pakistan

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว

      Kweli walikuta kashakufa sema tu wamarekan ni watu wa kiki

  • @dullahkanbishoomambo7905
    @dullahkanbishoomambo7905 4 ปีที่แล้ว +4

    Kaka yangu nakukubali snaaaa yani upo vzr snaaa kka yangu

  • @queengee988
    @queengee988 4 ปีที่แล้ว +3

    osama ndio alifariki ila sio na wamarekan🙌🙌🙌USA walivo wapenda sifa wasingemzika kimya kimya wangetangaza dunia nzima🙌🙌

  • @principlekenya9209
    @principlekenya9209 4 ปีที่แล้ว +9

    Wasafi 2ngependa pia mlete wasaani

  • @nasrisadeeqnsm4780
    @nasrisadeeqnsm4780 4 ปีที่แล้ว +10

    cwapendi wamarekani kam nn,,,,,magaidi wakubwa wanawaua watu,,wanawadhalilisha

    • @Nchiji
      @Nchiji 3 ปีที่แล้ว

      We nae kwenda huko

  • @dastanpanataleo9949
    @dastanpanataleo9949 4 ปีที่แล้ว +11

    Daaah endeleza Basi stori book kumuhusu Osama bin laden maaana inaonekana nitam

  • @polyglot053
    @polyglot053 3 ปีที่แล้ว +13

    The story book is bringing good news, asante sana

  • @burundiansweetmoses6659
    @burundiansweetmoses6659 4 ปีที่แล้ว +122

    tunasubiri historia yake mpaka aanze kuwindwa nawa USA ilikuaje!!?

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว +6

    Mmmmh!! Kwahiii mmetudanganya,Osama alijifia kwakuumwa tu wala hawakumuua.

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 4 ปีที่แล้ว +23

    Mtiga uko vizur kk

    • @erastokajogoo1819
      @erastokajogoo1819 3 ปีที่แล้ว

      Nafurah sana naposikiliza utafsili wako wa stery big up

  • @stevejacob6083
    @stevejacob6083 4 ปีที่แล้ว +11

    Good job
    Voice 💪💪

  • @meddymadin7933
    @meddymadin7933 4 ปีที่แล้ว +26

    Kama unaamin waamerca wametudanganya like APA

  • @juniorlute9520
    @juniorlute9520 4 ปีที่แล้ว +20

    huyo soldier anavyoeleza iyo habari waweza dhani Osama alikuwa mwizi tu wa kuku kwani anauliwa kwa urahisi sana😡😡

    • @walivyojuma7095
      @walivyojuma7095 4 ปีที่แล้ว

      Ata mimi nashangaa waliwezaje kuvamia kilaisi ivyo ngome iyo nawakati palikuwa na ulinzi mkubwa naosoma hawawezi kuumua kilaisi kiivyo osama alikuwa mchawi alikuwa namajini wakuupa taarifa mbaya yoyote sasa iweje wamvamie kilaisi ivyo iyo si kweli

  • @abdkhalidi6625
    @abdkhalidi6625 4 ปีที่แล้ว +7

    Daaaah isay iii inauma SNA bt mungu yu pamoja na si

  • @sousmyuno6429
    @sousmyuno6429 4 ปีที่แล้ว +3

    thanks bro

  • @Reinhardbonnke688
    @Reinhardbonnke688 4 ปีที่แล้ว +22

    Tueeleze kisasi cha osama na america yaani bifu yao.....bonyeze like kama pia wewe wataka kusikiza

  • @kassimumshamu5788
    @kassimumshamu5788 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimeyelewa

  • @mirajikinuke9849
    @mirajikinuke9849 4 ปีที่แล้ว +23

    Wamarekani waongo sana, sababu alivyouwawa Gaddafi

    • @mickcharles2756
      @mickcharles2756 4 ปีที่แล้ว +1

      Me binafs siwapendi wamarekani

  • @fabigeniustz976
    @fabigeniustz976 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaz nzur

  • @ramadhanmchomvu8921
    @ramadhanmchomvu8921 4 ปีที่แล้ว +3

    Aaaah mzee unajua so powa

  • @drmaky3159
    @drmaky3159 4 ปีที่แล้ว +49

    Tuletee na ya Sadam Husein

  • @officialxizzah1264
    @officialxizzah1264 4 ปีที่แล้ว +21

    Respect mtigaaa🤚🏻🤚🏻

  • @paulorichard8579
    @paulorichard8579 3 ปีที่แล้ว +1

    Mlikosea sana kuuwa

  • @benito_2544
    @benito_2544 3 ปีที่แล้ว +6

    What a story teller!Kudos 🙌

  • @mohammedkajile3058
    @mohammedkajile3058 4 ปีที่แล้ว +5

    napenda kazi yako

  • @nskmultimedia3662
    @nskmultimedia3662 3 ปีที่แล้ว +2

    Interesting story 🤝🤝🤝

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +15

    Story nzuri.

  • @rahimtactic1544
    @rahimtactic1544 4 ปีที่แล้ว +6

    anaesikiliza tena hii hadithi ya Mtiga Abdallah tujuane kwa like

  • @malijanihamadi8310
    @malijanihamadi8310 4 ปีที่แล้ว +5

    🙌

  • @giftwilzone9090
    @giftwilzone9090 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajua saana broo kaza buti once day utakua great man broo hungs up

  • @meshackjumai364
    @meshackjumai364 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanaomba like humu nimashoga

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 4 ปีที่แล้ว +49

    Siezi kubali hapo eti video zisionyeshwe mbona saddam husein waliinyesha kifo chake muamerica anavyopenda sifa huu ni uongo tu

    • @ahmedyasin5347
      @ahmedyasin5347 4 ปีที่แล้ว +5

      @Aboujan Omarion hapo nkweli,Niko sure wangeweka mpaka holiday hio siku.
      Hawa wa America wanafki tu mbona.

    • @aboujanomarion6121
      @aboujanomarion6121 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ahmedyasin5347 wajifanya kutuchezea akili but uongo haudumu lazima utagundulika tu

    • @ahmedyasin5347
      @ahmedyasin5347 4 ปีที่แล้ว +1

      Vile wanapenda masifa,na hii wakose kuionyesha?!!! Ajabu kweli!!!

    • @shayopaterini8678
      @shayopaterini8678 4 ปีที่แล้ว +2

      Sasa mpka leo mbona hajaonekana akiongea kwenye tv kama zaman

    • @ahmedyasin5347
      @ahmedyasin5347 4 ปีที่แล้ว +1

      @@shayopaterini8678 media ndo ilikuwa inacheza na akili zetu hizo za hapo awali.....

  • @blatterboy7898
    @blatterboy7898 4 ปีที่แล้ว +17

    mm naisubili story ya harmorapa tu tena kwa hamu kubwaaa

  • @vedastomasige2186
    @vedastomasige2186 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajua mtiga abdallah big up na kazi yako

  • @Michoarbah
    @Michoarbah 4 ปีที่แล้ว +35

    kwann osama na obama majina yao yana fanana tofauti ni S na B au osama alikua ni fake kapandikizwa!!

  • @harmonicatz2837
    @harmonicatz2837 4 ปีที่แล้ว +14

    OSAMA ALIKUFA KITAMBO SO TULIDANGANYWA

  • @japhalimahwa5675
    @japhalimahwa5675 4 ปีที่แล้ว +9

    nimeipenda hii mb zangu hazijapotea

  • @farajadanford5958
    @farajadanford5958 4 ปีที่แล้ว +8

    Hatar

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 4 ปีที่แล้ว +13

    Tulidanywa maana maiti hatukuiona!

  • @singelimorogoro
    @singelimorogoro 4 ปีที่แล้ว +17

    mbona watu wanaomba like znakazi gani humu like na mimi nione