Mashallah sichoki kuisikiliza kwasababu mie ni maridhia kwa mume wangu basi kila nikiisikiliza naji proud my self. Nampenda mume wangu. Alahmdulillahi. Kasida zenu nzuri zinafundisha mambo mazuri.
Mashairiyenu nisawa ,, ila nawauliza mashekhe nyie hamjui yakuwa hizo biti za mziki hazikubaliki kwa mujibu wa kur ani na Sunna ,,, au nyie mnafuata sheriagani iloruhusu kuingiza hizo biti kwenye mashairi yenu .
Masheikh kama mmesoma ifanyieni kazi elimu yenu sivyo itawapeleka motoni ndo maana yake, Halali iko wazi na Haramu iko wazi na hawakupelekwa watu motoni ispokuwa kwa kuyafanya matendo kwa mujibu wa matamanio yao.
Subhanaallah.tena kuna watu wa na comments kuwa masha Allah.hawa sio wa ku comments masha Allah.hizi ningoma kama ngoma za zengine.bali wanapoteza watu wanaume mukasome Quran wacheni kupotea
To marry one day a woman that fears Allah , will be the biggest blessing ever .
Mashallah sichoki kuisikiliza kwasababu mie ni maridhia kwa mume wangu basi kila nikiisikiliza naji proud my self. Nampenda mume wangu. Alahmdulillahi. Kasida zenu nzuri zinafundisha mambo mazuri.
maa shaaa Allah ,nyimbo yenu inapita mule mule ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
wakuibeza hawakosekani ila ukweli ndio haya maneno ya kwenye hiii nyimbo .maa shaa Allah .
Mashaallah! Yani nimeirudia kuisikiliza Mara 900 kweli na rahaaaaaa! Mtanifanya nisfanye kazi leo
Wenye raha ya ndoa wanatiririka na coment mashallah alah awazidishie na si wengine atujaalie
wakikutana majeshi basi lazima mashambulizi yawe mazito KATIKA #Vittaaaaaah🔥🔥
Khabari huwa nzito
Kabisa
Vp
Thsnk u brother nassir
Allah atujaalie tuw wake wema
Hi ni bongo fleva au nni me hata sijaelwa....namuelewa Sana Yahya bihaki
Tarab iyo haina tofauti na vitu vya mzee yusuf
Daaaaahhh daaaahhhhhh daaahhh sawa
Ukamilifu ni wa Mwezimungu pekee, wachani kutia ila.
Big up san ma bro Bob shack
Raha ya dunia
Ila kunawanaume wengin hawajui
Wajuzen jamaniii
Rahaaaaaa ya duniaaaaa
Mashaallah kweli raha ya dunia ni mkee mwema kabisaaaa aksanti sana kabisa kwaiyi ALLAH awazidishiye kila la kheri 🙏🙏
Maàaa shaaa ALLAH Maaa shaaa ALLAH Maaa shaaa ALLAH ahsantum ndugu zangu
Masha allah aloo Allah awaongoze
Asnt bihak💥💥💥💥
Mashallah Wallah kweli Raha ya dunia hatari kubwa😍
Asalam alykum
Maa shaa Allah
Kaz nzur
Majungu y waja yasiwarudish nyuma
Hawajui watendalo
Mashallah mashaalaah raha ya dunia kuoa ama kuolewa yaallah jalia kher inshaallah aje mwenye kher na mm nipate raha ya dunia
mashaallah😅 weeeeuweyyyweeeuuweyyyyyyy.
Mke mwema raha ya dunia
Wallahi Ninawapenda kwa ajili ya Allah ...can't get tired on it...such good voice 👌 😍
I'm From Saudi arabia
Mashaallah..swadaqta👌👌❤
Hurayraaa Maasha allah
Anajua mashallah
Mashallah big up to you bab deo uko vizur sana
Wallaahi Raaahaaa 👍👍👍
Sawa Ila tuache kibri kupuuza maneno na Hadithi za Allah na mtume
Maashaallah keep on mooooooveee brotherss
Shekh mnaupiga mwingi
Mashallah raha hasaa
Mashallah nzuri sanaa kazi nzuri
Yahya kidogo kaimba mahadhi ya qasida Ila huraira na na mwenzake wametoka katk mahadhi,
Kweli kabisa naona ni nyimbo kabisa wamevaa kanzu tu
Yahya bihaki 👌👌👌
Mashaallh ❤❤❤
Mashallah nimeipenda
Affan aleiiiiik🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱🌱💯✔
Maa Shaa Allah 🌹🌹
Yasalaaam
Mashsllah
mashaallah kweli raha❤❤❤❤
Alhabiib Maa shaa Allah 🍣
Hii kazi nairudia 5 times Now....
Kama mie
duuuuuu kaswid the big song
Bihakiiiiii
mash allah
Bob shack umewafunika nimependa kipande ulichoimba wewe
Masha ALLAH BOB DEO KAZ KUBWA
Shukran sana
Ssaaanna wallah
@@BABDEOMILADU hagy kasaliti jeshi
Raha ya dunia ni ibada
Ndoa ni moja wapo ya Ibada pia
Yahya hii khabari kubwa hii
YAASALAAAM
mashalah
duuu qaswida mzikii sasa ivii
Soma tajwed tuuu
@@yahyahusseinbihaki8075 Hahahaha
Mashallah nice 👏👏hivi vita 🔥🔥🔥kazi nzuri
J33o3e3joi44i5jt
L
L1j
Mashaalah
Swaga za Yahya haziendan na Kaswida Mtazame Hurairah na BobShack nmn walivoendan na maudhui... CameraMan Ttz hloooo!!!!!yte kW yte tumestafiyd
mashallah
Raha raha raha raha
Raha raha raha raha
Raha raha raha raha
Raha raha raha raha
Raha raha raha raha
VITTTTTTAAAAAAAA!!!
Imetulia
Mashallah
Ajjab
Wallahi
Yahya bihaki jambia halimtosh
Hahahaha
Naam
mashallah dooh
🔥🔥🔥🔥💪💪💪🙏🙏🙏🙏💛💚👍
Mashairiyenu nisawa ,, ila nawauliza mashekhe nyie hamjui yakuwa hizo biti za mziki hazikubaliki kwa mujibu wa kur ani na Sunna ,,, au nyie mnafuata sheriagani iloruhusu kuingiza hizo biti kwenye mashairi yenu .
@@ahmadabdulrahman7675 hamjapata adhabu ndo mka ropokwa hivyo
Masheikh kama mmesoma ifanyieni kazi elimu yenu sivyo itawapeleka motoni ndo maana yake, Halali iko wazi na Haramu iko wazi na hawakupelekwa watu motoni ispokuwa kwa kuyafanya matendo kwa mujibu wa matamanio yao.
MASHAALLAH NIZURI..FROM:🇰🇪
😍😍😍
Unapotoka nyumbani akkmbushe Rahmani
Raha ya dunia
👏🇹🇿🇹🇿❤❤❤
RnB
Subhanaallah.tena kuna watu wa na comments kuwa masha Allah.hawa sio wa ku comments masha Allah.hizi ningoma kama ngoma za zengine.bali wanapoteza watu wanaume mukasome Quran wacheni kupotea
Swadakta
Ni majanga tu
Bob shak umewafunika nimependa uimbaji wako
Mashaallah l really love this qaswida..mke mwema.ndio raha ya mume kabisaa
Aaah hmna k2 apo 😡😡
Ni nyimbo Kama nyimbo nyingine
Mwanaume hajilegezi hivyo bro na hilo domo na mikogo sio bwana na mbona si nasheed hii ni nyimbo bro
E
R freeware 3jkljhnkloijkpoijřeasarrairTj 806951268QQA11