ASKARI WADAIWA KUUA VIJANA WAWILI KWA RISASI, VUTA NI KUVUTE NDUGU WAHOJI "WAMETOBOLEWA MACHO”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 331

  • @richytarimo4656
    @richytarimo4656 ปีที่แล้ว +12

    aliepokea miil mochwar si anajua nani aliowaleta,,

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 ปีที่แล้ว +37

    Kuna kipind nlitamanigi kazi ya polisi lakin namshukuru Allah saiz ni mwalimu tu nafundsha watanzania kwa aman kabisa

    • @rashidisaidi8535
      @rashidisaidi8535 ปีที่แล้ว

      Ww mtoto wa kike uwez kuwa polic

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      ​@@rashidisaidi8535polisi wa kike wako wangu na wengi wanaroho mbaya,omba MUNGU usikutane nao

    • @mwapachukikombe2083
      @mwapachukikombe2083 ปีที่แล้ว

      Na unafundisha askari usiowajua😅

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 ปีที่แล้ว

      Askal yoyote anaetenda dhuruma huwa mungu anakata kizaz chake...na mwisho wake unakuwa ni mbaya mno

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 7 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana kwa familia, kumbe Tanzania hakuna nidhamu, serikali inaendeshwa kimabavu sana, nyoko sana binaadamu kufanyiana u mabavu sana, kila mtu ni jizi. Mhhhmmm

  • @Mtazyinstrumental
    @Mtazyinstrumental ปีที่แล้ว

    Mzee anasimulia kirahisi lakn watot bana sio pos

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 ปีที่แล้ว +17

    Huyo mwenyekt anaufaham mchezo!. ataje alompgia cm ilitoka kituo gan cha polis na huyo mhudum wa mochwari lazma abanwe ataje wallet hyo mili mochwari

    • @Octavinaelisa-fn6js
      @Octavinaelisa-fn6js ปีที่แล้ว

      Hao ni porisi maana raia hawezi kuua arafu akabeba miili kuipeleka mwoshwali

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +2

    Katangulia tu huyo wote tutakufa, Ila kama wameuliwa Kwa kudhulumiwa wamekufa kifo kizuri saana , kifo cha kuuliwa na Askari wa Jeshi ambalo Halina Imani ya Mungu, na sote tuliopata habari tutawatolea ushahid mzuri tukisimamishwa Kwa Muumba, ktk matukio haya wote mbele za Mungu wanahusika, Mwenyezi Mungu wote waliohusika , na wote wenye nyadhifa na kukaa kimyaaa Tunamuomba Mwenyezi Mungu wao na familia zao wasiwe na Amani tena wajaalie hofu ktk nyoyo zao, na walio fatua risasi Mwenyezi Mungu tunakuomba wasiweze kufanya tukio lingine kama hili wewe ndio mjuzi na mwenye hekma, angamiza wote na vifo vyao viwe fundisho Kwa wengine, Mwenyezi Mungu wewe ndio mjuzi na bingwa wa kupindua hila za waovu

  • @Benzo_Mkemia
    @Benzo_Mkemia ปีที่แล้ว

    Mzee mbona mnapishana sana maelezo yenu wewe na kijana wako huyo mkubwa (from Jambo TV). Taarifa zenu we na kjana wako zna tuchanganya. Ngoja tusubiri taarifa rasmi. R.I.P

  • @Dantaata
    @Dantaata ปีที่แล้ว +16

    inabidi ifike muda ukija mtaani km huna uniform na kujitambulisha askari,, wananchi tumalizane nao tu tukiwa na sisi kama wao tutaheshimiana tu,, hawa washazulumiwa na hamna watachokipata zaidi ya kumbukumbu na maumivu yasioisha

    • @HansChuma
      @HansChuma ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂dah ndugu ulosawa kabixa serikaliya sasa ya ccm nawengineo hovyo tuuhaya angalia vijana wenzetu bado wadogo nguvukazi ya taifa wameenda lait ningekua mm ndio mmoja wandugu bas hao askar wangefurah inabid tuish hvyo heshima itakua

    • @Ambwene
      @Ambwene ปีที่แล้ว +1

      Points broo

    • @youtube.mwosatv
      @youtube.mwosatv ปีที่แล้ว +1

      Point

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      Point wangu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      Hata xx tunatakiwa tulipize wakiuwa raiya popote akijichanganya tunampoteza nae

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 ปีที่แล้ว +21

    Kumbe saa hizi polis bila kuja na kiongozi wa mtaa hakuna kutoka nje

  • @husseinmtima6106
    @husseinmtima6106 ปีที่แล้ว +10

    Kwa mungu kuna kazi

    • @Zaburi-
      @Zaburi- ปีที่แล้ว

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 ปีที่แล้ว

      ​@@Zaburi-Kwan mungu na MUNGU inatofaut Gani?

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      M'mungu hana kazi kabisa, Malaika pia hawana Kazi ila wao ni utekelezaji tu, ila viumbe Majini na Binaadam kwa kweli ni Balaa kubwa linalotungojea. ALLAH atunusuru inshaAllah.

  • @ImanuelMbandi-lj4tg
    @ImanuelMbandi-lj4tg ปีที่แล้ว +7

    Hao askari ipo siku nitakuja kuondoka nao zaidi ya 1000000

    • @aisharamdan8358
      @aisharamdan8358 ปีที่แล้ว

      Utawaweza?

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 ปีที่แล้ว

      Hamza kafufuka😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      ​@@aisharamdan8358hawa nyumbu si Yuko nao kitaa sema raiya hawajaamua tuu Kisha tunawamaliza bila kujulikana si unajua sifa ndege aina ya tai na inzi ni mmoja? Kupenda mizoga,mapolisi na tani lao mmoja

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony ปีที่แล้ว

      ​@@aisharamdan8358usimvunje moyo awa askra wanaznguwa tpewe slaa alafu ndo utajuwa tnaweza ama atuwez il tuwindane vzr

    • @fefeonlyme5394
      @fefeonlyme5394 ปีที่แล้ว

      Acha mihemko comment yako ipo na hapa wapo watu tofauti jishikilie

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 ปีที่แล้ว +3

    Askari wetu mnafanya kazi vizuri lakini naomba msitumike vibaya hakika mm swala hili limenikuta mwaka jana mwezi wa7 askari wamekuja kwanjia hiyo hiyo walikuja mapema tu maeneo ya mtahani kwetu tena mimi mwenyewe nikiwaona kuanzia saa2 asubhi lakini ilpofika saa5 asubuhi wakavamia nyumba yetu na kuuliza jina langu na kisha kuingia chumban kwangu huku risasi zikipigwa vya kutosha baraa lililotokea hapo Mungu mwenyewe anajua kwa nini mimi mzima hadi leo yani kipigo nlichopitia hadi leo mwili wangu hauko sawa mimi nafahamu wazi police hawakosei wafanyapo kazi bali wenye chuki na wauwaji niwatoa taharifa za uongo pindi wanaripot habari ya mtu hawo ndiyo watu wabaya kwetu na tupo nao mtahani niwape pole ndugu jamaa na marafiki lakini Mungu akawaoneshe adui yenu mapema kabla ya kuwalaumu Police mkamjue aliyeshika kauli ya kuwafanya askari kuja hapo Raisi wetu anashughurika na Vingi lakini kuna aja ya kulifatilia Jeshi la police na mkuu wa jeshi la police kwa uweledi wa hali ya juu kuna askari wengi mno wanachafua kazi ya police kwa kufanya kazi nje na kazi zao kwa mshahara wa mtu binafsi leo mm naona haya ya hawa vijana kufanyiwa hivi akili yangu inasema uwenda siku watanirudia tena nmekosa amani hata sasa niko na butwaa maana niliwekwa mahara tofauti tofauti kwa siku 63 pasipo taharifa zangu kamili na hata sasa sijui kwa nini yalinikuta makubwa yote ambayo kwa kuyaeleza hapa sitoweza na pia sijui kwanini niko hai na tena uraiani pale pale palipotokea sintofahamu bado nasema Tanzania iko mikononi mwa Police na majeshi mengne hvyo jeshi letu likawe mfano mwema kwa sura ya nchi matukio ni mengi na vijana tunapotea kwa maneno furani ya watu kwa mtoto wa furani

  • @JumanneThabiti
    @JumanneThabiti ปีที่แล้ว +17

    Fungeni na kuomba mungu someni yasini sana ndani ya wiki mtapata majibu watapuputika kama kumbikumbi😢😢

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว

      Unajuaje huwezi kuuwawa tu tena hadhalani IPO sababu jamani sio buure nakama Hao marehemu walipanda basi hayo Ni mavuno Yao vijana tuishi Maisha ambayao Mungu anatujalia ili tufike umri ambazo Mungu ametupangia kuishi

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว +2

    Ni mtihani. Sn ss ivi

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 ปีที่แล้ว +1

    We mzeee KUMA LA MAMAAKO,,,,NA WEWE UFE UFIRIKE,,,MZAA LAANA MKUBWA MBWAAA

  • @EdinahLadislaus
    @EdinahLadislaus ปีที่แล้ว

    Poleni sana familia

  • @FatumaWaziri-c8z
    @FatumaWaziri-c8z ปีที่แล้ว

    Kazi

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 ปีที่แล้ว +1

    Apa laia wengi mnaoa kama wameonewa hawa vijana lakini hawo vijana wameshindikana hapo vingunguti wanaiba adharani wanapiga adharani wanajiamini yote kuwa waxazi wao wanajiweza walikujq huku kwetu goba hawo vijana wapo 5 hawo ni hatari sana ni bola walivowauwa hawo waliokimbiq watafutwe

  • @MondyMondy-z2c
    @MondyMondy-z2c ปีที่แล้ว +1

    Lakini mm naamini aliyekua Kwa upanga naye atakufa Kwa upanga

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 ปีที่แล้ว +5

    Aiiiiii jamani jamani nani kafanya ushezi uhu jamani vijana wezetu bado wadogo jamani inatiha uruma sana

    • @stevensosipita
      @stevensosipita ปีที่แล้ว

      SIKU UKIKUTANA NAWO NDO UTAJUWA WADOGO AU WANAHURUMA KAMA HAWATAONDOKA NA KIUNGO CHAKO.

  • @bobcheni
    @bobcheni ปีที่แล้ว

    Mungu ni fundii

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 ปีที่แล้ว +7

    Atakae uwa kwa upanga nae Atauliwa kwa upaga

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 ปีที่แล้ว +1

      Kwel kabisaa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      ​@@awadhally1052tuyamalize huku mtaani si tunakula na kunywa nao? Cku inakuja

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 ปีที่แล้ว +21

    Huwa inakua hivi, kituoni huwa hawajui kwa sababu kituo huwa hakija watuma. Kituo kikiwatuma, lazima anakuwepo askari ktk unifoŕm. Hawa askari huwa ni w ale ambao mtu mwenye "yake" anawapa pesa, gari binafsi hao askari wasio na maadili. Kisha anaetafutwa hufuatwa popote, hasa home. Wakikukuta umeliwa kwani askari ambao hutumiwa sana ni wale wasiovaa magwanda na ambao huwa na bastora muda wote. Wao, kuua kwa pesa kidogo ni kitu cha kawaida. USHAURI: Ili yasikukute, vi-pesa vyako visiwe vya kuharibu ndoa za watu, wizi na dhuruma visiwemo ktk mikono yako, Ujana usikudanganye, maisha utayaaga kwa mateso kama hao vijana.

    • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
      @mariasalomemelchiorkaigaru1974 ปีที่แล้ว +1

      ila kijana wa miaka 21 kweliiii

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 ปีที่แล้ว +1

      Usiwatetee hy kwa Askari si mara ya kwanza

    • @sagulesalehe6203
      @sagulesalehe6203 ปีที่แล้ว +1

      nimekueless

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +4

      Polisi una maelezo meng sana mara nyingi nyinyi ni zulma tu wala hamna maana alafu polis mna tamaa sana pia mnapenda bifu na raia kiujumla ni waonevu sana

    • @newforcejv9721
      @newforcejv9721 ปีที่แล้ว +1

      Kila comment hapa ni ya umuhimu lkn adui yupo mtahani KABLA ya police na adui ni mtoa taharifa uwenda za KWELI au sikweli

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel ปีที่แล้ว

    Jamani jamani, Mngu atawalipia. Au kawakunutieni kumamayo zao...

  • @JumanneThabiti
    @JumanneThabiti ปีที่แล้ว +7

    Kama ndugu yeyoye wa hao watu atasoma comment hii basi someni dua mungu atoe hukumu ata karbadiri someni kabisa waishe kama nzi😢😢😢😢

    • @stevensosipita
      @stevensosipita ปีที่แล้ว

      ALBADIRI WAKATI WATOTO WAO PANYA ROAD?WANAUWA WATU NA KUJERUHI NA MAPANGA?

    • @JumanneThabiti
      @JumanneThabiti ปีที่แล้ว

      @@stevensosipita nani alosema walikua vibaka

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 7 หลายเดือนก่อน

    Hiyo kazi ya kuihangaisha familia sio kazi ndogo, familia zenyewe ni za watu wanyo ge hawamiliki usafiri basi hizo akiba ndogo za kinyonge wazitumie mara nenda hapa mara nenda pale ni uonevu tu hakuna la maana hata moja

  • @elianifammari3212
    @elianifammari3212 ปีที่แล้ว +4

    Hivi police mtaponea wapi naomba ndugu wafunge na kuomba Mungu afanye kazi yake

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 ปีที่แล้ว +3

    Daah so sad jamnii😢

  • @barakangomasi255
    @barakangomasi255 ปีที่แล้ว +1

    Bongo hii mkae mkijua polisi wakikukamata usitegemee sana kuwa salama. Ni heri ushikwe na al shabaab wataitisha noti uachiwe ila tz police hapana aise🙌

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 ปีที่แล้ว

    Lkn itakua kunasababu 2

  • @dominiquemushy895
    @dominiquemushy895 ปีที่แล้ว

    Wamesema ni panya road

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 ปีที่แล้ว

    Niatari kumbe Tanzania iZo hali ya kupiga watu risase km kongo nilizani Amani ipo kumbe akuna kitu ooohh uruma kweli mahana nilivyo kua nasikia eti tanzania Amani ipo niatari

  • @johnsosy3128
    @johnsosy3128 ปีที่แล้ว +10

    Jeshi la Polisi linatakiwa kuundwa upya. Sijui Kwa Nini malaka husika haichukulii Kwa UMUHIMU haya matukio

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 ปีที่แล้ว +4

      Liondolewe tu wabaki JWTZ TU

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      ​@@israelkisaila8401afadhali

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 ปีที่แล้ว

      Kabla hujakoment ujinga tafakar kuna taarifa zao kwenye mitandao mingine

    • @augustinecharles6136
      @augustinecharles6136 ปีที่แล้ว +1

      Kaka hao n panya road tena vbaka walkua wanaasumbua sana uku vingungutii

    • @mwirafundi9577
      @mwirafundi9577 ปีที่แล้ว

      ​@@israelkisaila8401msenge mmoja wewe

  • @PaskalFweda
    @PaskalFweda ปีที่แล้ว

    Sasa iv maisha sio watu hawaiheshim serikal mama askal wako wanakudharau Sana

  • @ImamHassan-v1z
    @ImamHassan-v1z ปีที่แล้ว

    Awa asikali wanambo yakikuma mno maana yakutengeneza kituo nini sasa na mutawauwa wangap sasa kwa staili iyo acheni ujinga ipo siku wanamchi watachoka na ayo matukio yenu nyinyi wazembo inauma ujue

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Samia nchi imemshinda kabisa kwa Nini Mama unaendelea kuwa rais ni uwe mkweli Na Mungu wako hujiuzuru urais? Watanzania watakuheshimu zaidi ukichukua uamuzi wako

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 ปีที่แล้ว

      Wacha ujinga uwoo mtoto wa kike wewe ajizulu kwakukuuwawa vijana wawili

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      ​@@mohdhaji550 kweli wauwaji wako wengi, na hao tuu,au Leo ndo umeanza kuingiza huku

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      ​@@mohdhaji550ndugu yako atampatwa nae,kwani MUNGU sii athumani

  • @shuwanaliloka3816
    @shuwanaliloka3816 ปีที่แล้ว

    Basi uchunguzi huru ufanyike na polisi wasimamishwe kuupisha huo uchunguzi

  • @abuhassan9122
    @abuhassan9122 ปีที่แล้ว

    Kila kituo kina silah zenye namba na idadi ya risasi zinajulikana,kama ni polisi wanakulika tu sema marehem hana hak ktk serikal

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 ปีที่แล้ว +2

    Polen Sana wafiwa 😭😭

  • @isaacopolot2027
    @isaacopolot2027 ปีที่แล้ว

    Majambazi hao. Wakufe tu. Vinasumbua sana

  • @alphoncejuma9652
    @alphoncejuma9652 ปีที่แล้ว +4

    Hivi hii inchi inaenda wapi mheshimiwa rais tunakuomba hili ni tatizo kubwa

  • @reganleonce4731
    @reganleonce4731 ปีที่แล้ว

    Shekhe mkubwa unatetea maalifu wacha yauwawe yanavyokata mapanga watunakuchoma visu😂😂😂

  • @abduliabdallah9197
    @abduliabdallah9197 ปีที่แล้ว

    Panya road hao

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix ปีที่แล้ว +2

    Kwani ukiwa kiongozi wa walinda usalama lazima ujijengee sifa mbaya?

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +1

    Siku moja mijeda km wapagawe tu waingie vituon kwenu wawakung,ute had mkome cdf amlisha jeshi lako muwape adabu kidgo mbwa hawa

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 ปีที่แล้ว

    Mbona taarifa nyingine za Jumanne Muliro, zinasema hao na PANYA ROAD walikua 8 wanapanga kwenda kufanya uhalifu saa mbili usku, na mapanga???

  • @KawangaHamza
    @KawangaHamza ปีที่แล้ว

    malipo ni hapa hapa mungu yupo

  • @BashiriNgarison
    @BashiriNgarison ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli ni askari,mjitafakari ipo siku Hawa raia wakichafuka nyongo zao mtatafuta pakujificha,badilikeni ushauri wangu.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      Nyongo zimejaa Bado kuzitapika nao cku sii nyingi majibu watayapata

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 ปีที่แล้ว

    Nchi hii inapo elekea itakua nivita tuu maana hao askali wenyewe wengi wao hawana maadili

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 ปีที่แล้ว

    Alisema abudu rogo askari wauwa watu sasa,kwa serekali yetu hapo ni sawa na kuupiga konzi mdoli,ilivyo hapo wanataftiwa zegwe lolote tu na wanaendelea na kutafuta wengine na kuwauwa,nchi inatisha snaa hii,kuna watu wapo juu ya sheria

  • @farajisureimani
    @farajisureimani ปีที่แล้ว

    Kudadek ndiomana tumikimbia bongo apo serikari inamfumo mbovu wewatu wanaangika vtuo vyamji mzima walengwa awapatkan

  • @Joshua-oe9pd
    @Joshua-oe9pd ปีที่แล้ว

    Ifike maali police kumbukeni mungu yupo

  • @aishaemanuel1262
    @aishaemanuel1262 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu rogeni hizo kuma zife kama mbuzi Kumamae zao Yan uwen wao na familia zote aise msikubal aise hzo kuma zinatamaa za pesa

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 ปีที่แล้ว

    Mbona nasikia panya road hawa?

  • @mustaphambwana7944
    @mustaphambwana7944 ปีที่แล้ว +3

    Sina Imani na police wetu kwa sasa

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony ปีที่แล้ว

      dawa kla amilk slaa tu dadek il tuwindane vzr

  • @JaphariMwangu
    @JaphariMwangu ปีที่แล้ว

    hawa panya road wanaumiza watu kila cku alaf mnaongea upuuzi kwa vile nyinyi hawawaumizi me naomba polisi washuhulike na hawa wanaowatetea pia mana nao ni tatizo

  • @nadinenishimwe3537
    @nadinenishimwe3537 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢💔💔💔😭😭

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnaillah rajiuun mwenyez Mungu awape kauli thabiti yarabiy
    Polen sanaa familia kwa ujumla Allah awape subra njemaa
    Jozi la mnyonge hulipwa na mwenyez Mungu

    • @SaidChilaza
      @SaidChilaza ปีที่แล้ว

      Jinsi alivyo nimstarabu huyuu kaka halafu wanamuuwa kijingaa loh

  • @janeisrael1003
    @janeisrael1003 ปีที่แล้ว

    Siyo rahisi police kuwapiga risasi Bila kuwa na uhakika wa ukweli wao mpaka wapigwe risasi Bila woga

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 ปีที่แล้ว

    Pingu kazi yake nini?
    Mafunzo wanayo jifunza kwaajili ya nini?
    Kwahivyo siku hizi hawana Uniform.? Hii itachangia ongezeko la ujambazi, Tunawindwa Nasio kulindwa tena😢

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 ปีที่แล้ว

    Yani maaskari kwasasa nimajambazi wanamzarau sana rais samia

  • @mornasaidtindwa3622
    @mornasaidtindwa3622 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnailah rajuun

  • @erickjohn9282
    @erickjohn9282 ปีที่แล้ว +1

    Najua Kama mzazi inauma kweli lakn huenda hujui lakni kwahili jeshi la polisi limefanya kanzi nzuli mana awo vijana walikuwa tishio sana mnao tuhumu polisi hayajawakta

    • @twaybukilongoji1766
      @twaybukilongoji1766 ปีที่แล้ว

      Ww nawe lazima ukamatwe utoe maelezo vizuri huenda unajua kisa chote

  • @Mtazyinstrumental
    @Mtazyinstrumental ปีที่แล้ว

    Mm nilisema waislam wanazaa olela ona panya road wote dini moja

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv ปีที่แล้ว

    Dah

  • @ngogibronxkiwalani2835
    @ngogibronxkiwalani2835 ปีที่แล้ว

    Polisi wampige mtu bunduki alafu mwingne aje kuhoji kuna nini nae apigwe tena bunduki..duuuuh hao sio polisi kuna namna hapo

  • @starjay3052
    @starjay3052 ปีที่แล้ว +2

    apo wasomeeni dua ata kituo kizima nacho kife tu msikubali

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว +1

      Watakuwa tuwaminye hapo ndipo heshima kati ya raiya na police itakuwepo

    • @starjay3052
      @starjay3052 ปีที่แล้ว

      @@MiriamAbdallah amini me mwenyewe nna ndugu yangu walikuja pale kino wamemchukua atujamuona mbaka leo alafu wakija wanasema wao police

  • @nzenzulejoseph22
    @nzenzulejoseph22 ปีที่แล้ว

    Kwa mtazomo wangu polecy wasitumike kwa kuuwa raia mbali wawalinde raia na Mali zao pia waziri wa Mambo ya ndani sikia vilio vya watanzania

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +1

    Tusikurupuke jamani askari mara nyingi sio wajinga Hawa vijana ni panya rodi police hawezi kurupuka kwenya kufanya matukio bila uhakika wa jambo na pia km walikuja na nguo za raia ni mbinu zao za ubunifu Ili wapate kila hisi mana wangekuja na nguo za polisi waharafu si wangekimbia

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wazazi wa vijana hao marehemu.
    Hii issue ni serious,kulisafisha jeshi la Polisi na tuhuma hizi inabidi Mkuu wa Mkoa-IGP-Waziri wa Mambo ya ndani wajitokeze na kutoa kauli zao ili wananchi wapate kujua ni kipi sahihi?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      Watatudanganya tuu kwani wanabebana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢💔

  • @ImamHassan-v1z
    @ImamHassan-v1z ปีที่แล้ว +1

    Asikali wabongo ni waonevu sana ndiomana amza alifanya mamuzi yalio sahihi maana awa wasenge kabisa

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 ปีที่แล้ว

    Kwann Hospitalit wanakubali kupokea miili moja kwa moja bila ya kuandikwa chochote ,ujinga huo na upunbavu ,Polisi ndo kazi yao kulindana wasenge tu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      Si mkono wa dollar umepeleka na mawe yakatembea,mifuko ikishatuna kwisha

  • @michaelsamson4784
    @michaelsamson4784 ปีที่แล้ว

    Panya road hizo piga shaba

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 ปีที่แล้ว +1

    Haina haja ya kuangaika na polisi na serikali yao wewe funga muombe mungu ingia chaka soma halbadili 1 takatifu mshtakie mungu wallah mwezi aufiki itajibu tu wanapukutika wote hao

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 #Mmejaribukulitafta
    #JeshlaPolic

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +1

    Miak

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 ปีที่แล้ว +2

    Watanzani tuwe macho leo wamekufa vijana wetu kesho sisi cos wamewatoboa hadi macho ni unyama huu

  • @tunajaribu
    @tunajaribu ปีที่แล้ว

    Polis watanzania wamekuwaje? Mbona wanajenga chuki kwa wananchi jamani

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba ปีที่แล้ว

    DUU! MBONA POLIS WAMEKUA HIVYO?

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 ปีที่แล้ว +2

    Hawo wanaottuhumiwa watoe maelezo yakina kwa uma wa watanzania

  • @starjay3052
    @starjay3052 ปีที่แล้ว +1

    me ndio mana siwapendi askali na ndoto yangu kubwa ni kumiliki pastola na siku kum* ajichanganye ataelewa kuma make

  • @JonathanIgnatio-z9g
    @JonathanIgnatio-z9g ปีที่แล้ว +1

    Polisi nao wapelekwe nchi zenye vita kama somalia sudani Israel Palestine wakatoe msaada huko kwani wanahamu ya vita.watatumaliza hao.

  • @samhadas788
    @samhadas788 ปีที่แล้ว

    Hawo kweli ni askari au kuna mengine

  • @vickykb8468
    @vickykb8468 ปีที่แล้ว

    Ant robbery hao, ukiwa muhalifu sugu wakakuibukia lazima wakukili

  • @farajaishebabi8089
    @farajaishebabi8089 ปีที่แล้ว

    Siamini kama ni police😢ambao Wana dhamana ya kulinda raia na mali zao

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel ปีที่แล้ว

    Afu mpitie na kwangu wadau

  • @sauda4505
    @sauda4505 ปีที่แล้ว

    Sasa iweje miwili ikutwe amanahospitol na taarifa zao zisiwepo mapokezi hapa Kuna mchezo umechezeka

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 ปีที่แล้ว +13

    Wakati wa magufuli walikua wanafanya kazi vizuri ila sasahv polis wamekua wauaji 😢😢😢

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว +1

      Wala siyo polisi wasingalisema et sisi ni polisi. Polisi syo wajinga hivo

    • @christinainnocent3184
      @christinainnocent3184 ปีที่แล้ว +3

      Wakati wà Magufuli ndio ilikua mbaya sana polisi wakiua na kuonewa watu kwa kauli ya wamepewa amri toka juu. Na wasiojulikana ndio mbaya zaidi labda umesahau???

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +1

      @@emmanuelmlowe-ew7gx sasa difenda ni yakina nani?

    • @ابوذر-د8ك
      @ابوذر-د8ك ปีที่แล้ว +2

      Kwakweli tunamalizwa na wanao sema ni walinzi wa raia na mali zao
      Ila allah yupo atailipa hizo damu za walio uwawa

    • @aisharamdan8358
      @aisharamdan8358 ปีที่แล้ว +1

      Wanamzarau.sana uyu raisi hawamuogopi

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m ปีที่แล้ว +4

    Inna lillah wainna ilayhi rajiuun

  • @exzaudiemanuel7179
    @exzaudiemanuel7179 ปีที่แล้ว

    Duuh sasa ivi watu wanatumia vyeo kuuwa watu

  • @fefeonlyme5394
    @fefeonlyme5394 ปีที่แล้ว

    Watoto zenu wezi panya road washaumiza na kuua sana wakwende uko

  • @evelina9621
    @evelina9621 8 หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi.chagua.kiongozi.bora.sio.chama.mwenye.hekima.ya.munguu

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 ปีที่แล้ว +1

    Katika watu siwapendi wakwanza duniani ni police na Ningekua kiongozi wajuu wa tz kitu cha kwanza muhim ningefanya ni kufuta kitu kinachoitwa police wamekua majambazi badala ya kuwalinda watu mungu atawaadhibu adhab kali sana ndio maana vifo vyao ua vya ajabu sana wanakufa kama ngurue mafilauni hao

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +1

      Kwan ili jesh. Haiwezekan likafutwa

  • @Dipeson700
    @Dipeson700 ปีที่แล้ว

    Wabaneni Amana wanajua vzur tuu

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 ปีที่แล้ว

    hivi na wao wakitendewa ktk familia zao watajisikiaje maana ndo itakwenda huko kwa kizazi hk watu wakichoka yataanza malipizi au visasi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว

      Tayati tusha choka cku utasikia,na yakiwakuta utasikia magaidi yameuwa police wetu,tunayasaka hayo magaidi,kumbe police ndo magaidi ya kwnza

  • @danielmwandenga5369
    @danielmwandenga5369 ปีที่แล้ว

    Mmhhh

  • @MondyMondy-z2c
    @MondyMondy-z2c ปีที่แล้ว

    Yani sasa hivi maasikari hawajui wajibu wao wanacho kiona ni kuuza wananchi

  • @saulikeyamwamseya5721
    @saulikeyamwamseya5721 ปีที่แล้ว

    R.i.p

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 ปีที่แล้ว

    Hii nchi hii sijui inaenda wapi jamanii