Inabidi Yanga wachukue tahadhali kwa sababu sio kwamba Hoja zooote za Magoma hazina mashiko, hayo yaliyo na mashiko ndio wanayotakiwa wayashughulikie na asije kwenda FIFA
WeweGoerge Job unataka kutuaminisha kwamba kama mtu akifanya kosa akiwa hana pesa kwamba anatakiwa asamehewe? Halaf mwanasheria ni sehemu ya benchi la ufundi?
Ili kukomesha utahaira na uhuni kama wa mzee Magoma, wacha alipe tu hiyo fidia ili wote tujifunze. Lakini kwa upande mwingine ndugu mtangazaji, tunahitaji constructive challenges and criticisms, siyo kama uhuni wa mzee Magoma wa hadi kugushi sahihi za watu. Lets be objective
Magoma ule wimbo wa lucky dube wa if you stand in the truth you will stand alone pambana mzee wametoa kitu hapo mbona wao walihukumiwa hawakutoka ofisini 😂😂 ndo tz ingekuwa kwetu kenya hakihaki
Ataenda jela taperi mze uyo
Jua kuwa kuna na Hiyo ya Jinai ....wewe jikaange tuu... Umeyakanyaga mzee wetu.... utakonda hivi karibuni watu wa pembeni watakumbia wote 😢😢
Ajipe moyo kama mgonjwa wa ukimwi
Utauza kibanda chako mzee we lete jeuri
George anachambua kishabiki,mahakama haiangalii uwezo wa mtu bali sheria
Hawez kuachwa huyo mzee ana domo sana.viongoz tunaomba mkomeshen ili iwe funzo.
Funzo funzo kwa mataharira
Inabidi Yanga wachukue tahadhali kwa sababu sio kwamba Hoja zooote za Magoma hazina mashiko, hayo yaliyo na mashiko ndio wanayotakiwa wayashughulikie na asije kwenda FIFA
WeweGoerge Job unataka kutuaminisha kwamba kama mtu akifanya kosa akiwa hana pesa kwamba anatakiwa asamehewe?
Halaf mwanasheria ni sehemu ya benchi la ufundi?
Ili kukomesha utahaira na uhuni kama wa mzee Magoma, wacha alipe tu hiyo fidia ili wote tujifunze. Lakini kwa upande mwingine ndugu mtangazaji, tunahitaji constructive challenges and criticisms, siyo kama uhuni wa mzee Magoma wa hadi kugushi sahihi za watu. Lets be objective
Kataka. Mwenyewe alipe tuuuu
Yanga wametumia uwezo wa kifeza inamana rushwa ndo inayofanya kazi na inchiyetu tunavo ijua kuusu rushwa aliwezi likashangaza.
Kwani kesi mwisho wakukata rufaa ni siku ngapi wanasheria mtuambie
Kinacho mponza mzee magoma ni ubishi na kutaka kushindana wakati anajua kua hawezi
Hakunaga jeshi la mtu mmoja mzee hata siku moja.Yanga sio mama yako unaweza kuachananayo
Lazima adaiwe ili iwe funzo
Mbona hamueleweki?..mi naona kama mnazunguka mbuyu tu,yaani mnaonekana mnajadili kitu ambachi hamkijui.Hivi mbajua kesi ya msingi ni nini?
Jeshi la mtu mmoja😂😂😂😂
Mbona fidiA ndogo
Magoma kaungane na naniliii pale Udundukani.......... Kwa wazee wa SANDA nyekundu mpeni kampani moamed 🤣🤣🤣
Magoma ule wimbo wa lucky dube wa if you stand in the truth you will stand alone pambana mzee wametoa kitu hapo mbona wao walihukumiwa hawakutoka ofisini 😂😂 ndo tz ingekuwa kwetu kenya hakihaki