SELFIE ZA GEL (JELLY) KUTENGENEZA HEADBAND WIG
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2020
- Hi darlings hatimae nimewawekea Selfie ya jelly, hopefully itawasaidia wapenzi
For business and sponsorships contacts below 👇
Goldenimagetz@gmail.com
Lets be friends on instagram follow me@vivianatz.official
Facebook : Vivianatz
Hallo hapo unatumiaaa Bunda ngapi kutengenezaaa
Amazing najifunza mengi kupitia ww my lovely sis
, 🙏♥️♥️
Nakuelewaga sana dada viviani kwa mafundisho mazuri ..nlkuw naukiza unaweza pia kutumia nywele ya passion twist kutengeneza handband yako
Asantee, yes dear unaweza tumia
Nakupenda bure jamaniiii
Very nice..uko vizuri sana dear
Asantee dear ♥️
Umwaaaaaaahhhh, Dada Vivi nakupenda bure usichoke kutufundisha mpenz
♥️♥️♥️
Asante sana dada nimependa mafundisho yako natamn sana na mm nifaham kusuka
🙏❤
Mi naomba kuuliza hivi kuna kofia zake special zinauzwa?
Asante sana dada, miye nilitengeza na natural yaki ya Darling na imependeza.
Karibu dearest ♥️
Uko wapi
Wow asante sana dada kwa mafunzo
❤️❤️❤️
na nnavyopenda nywele ambay iko curly na iliyojaa Kam selfie basi hapo I wish hiyo wigi ingekua yangu....kazi nzury da Vivi najifunza vitu vingi sana kupitia wewe
Asantee dear ❤️
Nimejifunza asantee my love namba yangu iyo na mimi nahitaji ivyo vibanio tuagizie wa mikoani
0679976719 Instagram peg
Wooooowwww amazing
Thanks
Nice
Asant nimeelewa 🥰🥰
, ❤️ ❤️
Nice ssna
Waooo nic mdada nimependa ila nilikua nauliza bei ya midoli yenye nywele mpenz
Wanaanzia elf 25 dear kariakoo
Kazi nzuri dada
Asantee dear ❤
Hongera dada
🙏😍😍
Asante
💓💕💕💕
Good🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Tuoneshe na jinsi ya kutengeneza vibanio vya aina tofauti tofauti
Sawa dear
Iko bam bam
Dada naomba tufundishe vitunguu ambavo unaanza nywele yako chini
Video ipo dear, imeandikwa kusuka rasta za mabutu kuanzia chini
😊
Mm nimejaribu Ila mwisho hakijanitosha
Polee dear, usichoke kujaribu, anglia video ufuatishe utaweza tu
Nimeelewa
🙏🙏😍
😋😋😋
👆👌
Love sister
❤❤
Umetumia bunda ngapi za selfie?
Bunda moja dear
😘😘😘
❤
Kwani hvyo vibanio ni lazm mam
Ndio vinashikiza vizuri wig
Hello
Mimi nahitaji ivyo vijitana plz
Kama huna mdor dear
Jitahidi upate mdoli dear
Tumia sufuria geuza chini juu
❤❤❤
❤️❤️
Asante 💖
❤️❤️
Nzuri sana vivian