Mkasi | S11E04 With Wakazi - Extended Version

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • WAKAZI, mmoja wa manguli wa Muziki wa Hip Hop Tanzania, sio tu ametokea kufana ndani, lakini pia amepata nafasi za kuonyesha umahiri nje ya mipaka yetu! Jina halisi Webiro Wasira, mashabiki wake hupenda kumuita "Beberu" na yeye hupenda kujifananisha na "The Beast" (Mnyama)!
    Toka Kwa Obama ambapo alifanya kazi zake nyingi za awali, hadi kurudi nyumbani na kuendeleza fani, na hatimae kupata nafasi kufanya onesho katika jukwaa la kimataifa ikiwemo katika Moja ya "Eviction Shows" za Big Brother Africa huko Afrika Kusini.
    Kama ilivo kwa wasanii wengi, safari yao sio rahisi, na kufika kivulini bado mwendo mrefu....je yeye Wakazi ana lipi la kusema?
    Ungana nasi Mkasi TV tunapokuletea ana na The Beast akitueleza kinaugaubaga! Kwa hisani kubwa ya Tusker Lager (TZ), Airtel Tanzania na Coca Cola.
    Follow MkasiTV on
    Facebook : / mkasitv
    Twitter : @MkasiTV

ความคิดเห็น • 9

  • @AmonJohn
    @AmonJohn 9 ปีที่แล้ว +2

    Mkasi sijawahi kukosa kuangalia episode yoyote online ... Kipindi safi sana ! Jamaa Wakazi nimekuwa nikimsikia tu ... Nimemkubali sana ... ana uwezo mkubwa sana wa kiakili and he is very humble ... Big up kwako Wakazi... Limit are nothing but illusion ... Utapasua anga hatari ...

  • @stormingfoh
    @stormingfoh 9 ปีที่แล้ว +2

    Big up Wakazi....u r good! Uko poa sana na una vision safi! Salama...always admire u ....keep it up! With lots of love!

  • @malikiamariam2980
    @malikiamariam2980 3 ปีที่แล้ว +1

    Beberu

  • @danielmakamba4024
    @danielmakamba4024 8 ปีที่แล้ว +3

    nakukubali Sana home boy

    • @danielmakamba4024
      @danielmakamba4024 8 ปีที่แล้ว +1

      big up wakazi unawakilisaha mara aka musoma

  • @richardmandia-ni1rp
    @richardmandia-ni1rp ปีที่แล้ว

    Noma 255 to the world 🌎

  • @feisaljuma6828
    @feisaljuma6828 9 ปีที่แล้ว +1

    am officially your fan Wakazi

  • @cdemido5608
    @cdemido5608 7 ปีที่แล้ว

    Well expression..wakazi swagga bovu

  • @edsonnchimbi3595
    @edsonnchimbi3595 5 ปีที่แล้ว

    Wakazii