Jinsi ya Kusajiri jina la Biashara Mwenyewe "Brela" nakupata Cheti: Ndani ya Dakika 15 Tu..!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 25

  • @chingalawatv4577
    @chingalawatv4577 3 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuriiii Sana bwana Rubaba .. Binafsi naomba uzidi kuishi sanaa ili jamii inufaike na Juhudi zako..

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 ปีที่แล้ว

      I appreciate Kaka 🤝🤝🤝

  • @Kingsamwima
    @Kingsamwima 9 หลายเดือนก่อน

    Nataka kujua pale kwenye business activities kama ni duka la vipodoz ni category gan maan sijafanikiwa kupaona msaada please

  • @FurahaKalunde
    @FurahaKalunde 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA KILIPOTEA,LESENI ILIEXPIRE MIAKA 3 ILIYOPITA,NIDA SIJAJISAJILI JE NASAJILI VIP?

  • @barakajullius324
    @barakajullius324 3 ปีที่แล้ว +3

    Moja ya topic muhumu sana ,hongera rubaba TV.

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kua nasi

    • @buchanagandirwabahenga2950
      @buchanagandirwabahenga2950 2 ปีที่แล้ว

      Vp kuhusu kusajili kampuni ukipata desa tuwekee humu

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  2 ปีที่แล้ว

      Sawa
      Tutaendelea kutoa elimu zaidi

  • @ModernFlicks
    @ModernFlicks 2 ปีที่แล้ว

    This video is very helpful

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  2 ปีที่แล้ว

      Thanks alot

  • @eliajacson2729
    @eliajacson2729 3 ปีที่แล้ว

    Form maombi

  • @alifoum6236
    @alifoum6236 ปีที่แล้ว

    Mm nashindwa kujaza namba ya nida hii nafasi ni ndogo sana nikijaza aziandikiki namba

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  ปีที่แล้ว +1

      Wasiliana nasi tukusaidie 0764 148 221

    • @alifoum6236
      @alifoum6236 ปีที่แล้ว

      Sawa, asnt

  • @egatony
    @egatony 3 ปีที่แล้ว

    Daah nmeelewa sanaa lkn hapo haujatutajia ni kias gan cha pesa kinachotakiwa ili kukamilisha applications

  • @arique5962
    @arique5962 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mkuu,,lakini kudisplay namba ya NIDA kwenye video kiusalama haijakaa sawa,,ungewekea brul kweny sensitive info😇

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  2 ปีที่แล้ว

      Asante kwa ushauri wako mzuri, 👊 tutafanyia kazi

  • @aboumwanyika898
    @aboumwanyika898 3 ปีที่แล้ว

    Ni kwa mda gan? Inakuwa kulipa ada hyo

  • @estherchavula1281
    @estherchavula1281 3 ปีที่แล้ว +1

    sijaelewa jinsi ya kupata hiyo fomu

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Tunaweza kuwasiliana 0764148221

  • @jofreusimon8514
    @jofreusimon8514 2 ปีที่แล้ว

    Brela na tra ni aina moja? na je? Ofisi ya brela mbeya ipo wapi.

  • @allanbasinda8826
    @allanbasinda8826 2 ปีที่แล้ว

    Changamoto yangu nimejaza nikafanikiwa ku download form ili ni print then ni sign na nimesha scan tena kwaajili ya ku upload next day natak namna ya kuipload nika kwama system ina ni direct kuanza upya
    Msaaada mwenyewe uelewa zaidi.

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Wasiliana nasi 0764148221