Dada samahani nilikuwa nahitaji kujua ni documents zipi muhimu hasa zinahitajika ili kuruhusiwa kuingia dubai ukitoa visa na passport, lakin pia hizo bedspace unaweza kulipia ukiwa huku Tanzania au mpaka ufike uko, na vp ukifika airport ya dubai kutokea Tz wanauliza bank statement na hotel reservation, yangu ni hayo nijiaandaa kwa safar lakin sina taarifa za kutosha kuhusiana na requirements za dubai immigration
Dubai airport awataki chochote zaid ya visa na passport yako tu kuahakiki basi,, bedspace unalipia ukifika unalipa unakaa apo apo karibu ukiwa tayari ushakata visa nitafute inshallah Facebook Amina kunja au Instagram minasbussnesstores
Thanks alot., we learn from you sister.. Ila mie naomba kufahamu.. Je, nikija Dubai na visa yangu binafsi ya miez miwili kisha nikapata kazi.. je ntakuwa na--renew viza kila baada ya mwezi kwa muda wote ntakaokuwepo dubai.. Au huwa ikoje hapo
Mungu akubariki sister mi sina mengi ila nahis yajayo yanafurahisha
Asante sana dadaake
Mmmmh pita kushoto. Nilikwambia tuongeee ukakataaa
Sasa nimekufuata????
Haupatikani kwenye mitandao ya kijamii
Nichek Facebook Amina kunja Instagram minasbussnesstores
Dada samahani nilikuwa nahitaji kujua ni documents zipi muhimu hasa zinahitajika ili kuruhusiwa kuingia dubai ukitoa visa na passport, lakin pia hizo bedspace unaweza kulipia ukiwa huku Tanzania au mpaka ufike uko, na vp ukifika airport ya dubai kutokea Tz wanauliza bank statement na hotel reservation, yangu ni hayo nijiaandaa kwa safar lakin sina taarifa za kutosha kuhusiana na requirements za dubai immigration
Dubai airport awataki chochote zaid ya visa na passport yako tu kuahakiki basi,, bedspace unalipia ukifika unalipa unakaa apo apo karibu ukiwa tayari ushakata visa nitafute inshallah Facebook Amina kunja au Instagram minasbussnesstores
dada nashida na kaz naomba unisaidie ila cjuwi kingeleza
Dada me mbona skuon Instagram
Nipe jina lako la Instagram
Minasbussnessstores
@@OfficialMinasvlog-xz7en silipat dada nmetafuta mpaka
Facebook Amina kunja
Thanks alot., we learn from you sister.. Ila mie naomba kufahamu.. Je, nikija Dubai na visa yangu binafsi ya miez miwili kisha nikapata kazi.. je ntakuwa na--renew viza kila baada ya mwezi kwa muda wote ntakaokuwepo dubai.. Au huwa ikoje hapo
Jitaidi kuangalia video ziko chini nyingi nimeelezea.
@@OfficialMinasvlog-xz7en okay sawa sister... Tuko pamoja....
Mimi nauliza unavyosema ndege inageuza ikiwa inatoka uko nchi karibu wewe unaisubir siku iyo iyo unarudi na iyo ndege Au inakuaje?
Unarudi nayo iyo iyo
@@OfficialMinasvlog-xz7en aushiki kwenye ndege?
Makaazi kwa mtu anaekuja kwa ajili ya biashara kukaa wiki tu na kurudi
Yeah ninayo na kwa bahati mzurii sana nimeamua kufungua kwaiyo karibu sana ukija nicheki
Unatupa elimu kidogo kidogo.. tunashukuru🙏🏿🙏🏿