Yaan watanzania wenzangu mimi niko zimbabwe ila tu nashauli haki ya mungu kwa mtanzania mwenye akili lazima ataungana na hoja za chadema huo ndo ukweli
TATIZO. HIYO. BANDARI KACHUWA. MWARABU ANGEKUWA MZUNGU. HIZO HOJA. USINGESIKA. BANDARI YA ZANZIBAR. MWEKEZAJI WAKE. MZUNGU MFARASA HAWAGUSI KWA. SABABU NI. MASHOGA WENZAKE HILO MULIELEWE SANA. NYIE WADANGANYIKA
Tumia muda kuwaelimisha watu kama lisu alivyoelimisha kuhusu muungano,kuna mambo ya kutazamwa upya ili kuleta usawa,si kusifia kila jambo hata kama lina mapungufu kiongoz wa namna hii hafai kuwakilisha wananchi
Tanzania ni jamhuri ya muungano wa nchi mbili. Sasa cha ajabu ilotakiwa katiba iwe moja au kuwe na katiba tatu,kuwe na katiba ya Zanzibar, Tanganyika na kuwe na katiba ya jamhuri ya muungano wa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.unaswa kuelewa kijana.😎😎
@@SelemanMohamedi-l8l Kwa sasa hakuna Tanganyika Tanganyika elewa hili neno,, ukiskia kelele katiba Mpya ujue nini kinaendelea,, Kuna Zanzibar na dola yao na Tanzania tu,, Kuna Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania
Mm, FAHAD ABDULLA OMAR NI MZANZIBAR NASHAURI MUUNGANO UVUNJWE KWASABABU HAKUNA UBALOZI WA ZANZIBAR NA RAIS WA TANGANYIKA ANAVAA KOTI LA MUUNGANO HIVYO BORA TUWE MAJIRANI WEMA MM NACHUKIA SANA MUUNGANO ILA NASHANGAA KWANINI RAIS SAMIA ANASHINDWA KUVUNJA MUUNGANO
Pima hoja vzr , Mbaguzi Ni Nani Sasa ?. Pima hizo hoja ndugu. Usifikili kiduchu. KAMA Serekali hawana ubaguzi, Bandari zote zingewekezwa sio za Bara tuuuu.
Yaan watanzania wenzangu mimi niko zimbabwe ila tu nashauli haki ya mungu kwa mtanzania mwenye akili lazima ataungana na hoja za chadema huo ndo ukweli
TATIZO. HIYO. BANDARI KACHUWA. MWARABU ANGEKUWA MZUNGU. HIZO HOJA. USINGESIKA. BANDARI YA ZANZIBAR. MWEKEZAJI WAKE. MZUNGU MFARASA HAWAGUSI KWA. SABABU NI. MASHOGA WENZAKE HILO MULIELEWE SANA. NYIE WADANGANYIKA
Hakuna atakao waumga mkono hao chadema,chuki ubaguzi wameudhihirishia.hawawezi kupewa mamlaka kubwa za uongozi hao,bado sanaa
Labda waje waongoze kondoo au bata.
@@nassercurtis9579 😄😄😄😄😄😄
IGA NDIYO INA SHIDA NA SIYO WAARABU
Nape na Samiya ndiye wanapaswa kukataliwa, asiye mwelewa lissu ni K' chafu yenye mixa fangasi sungu na UTI isiyotibika
Duh sawa mkuu
Pumbavu
Nawaunga mkono chadema chapeni kazi
Strong leader
Straight to the point,
Hapo ssm hawawezi kujibu zaidi ya kuzuia watu kujua nini kinaendelea na vitisho ili kuzuia watu kujua ukweli
Mimi mzamzibari ila hapo nakunga mkono nape kakosea lisu yupo sahihi
Mishahara Ya Wabunge 80 kutoka zanzibar askari police na wanajeshi wote kutoka zanzkbar wanalipwa mishahara kwa jasho la Watanganyika 😂😂😂
Tumia muda kuwaelimisha watu kama lisu alivyoelimisha kuhusu muungano,kuna mambo ya kutazamwa upya ili kuleta usawa,si kusifia kila jambo hata kama lina mapungufu kiongoz wa namna hii hafai kuwakilisha wananchi
Ccm hakuna kitu
Lisu hakosei hata siku moja msomi nape nyamaza wakati ni ukuta
Zanzibar ina katiba yake,, Zanzibar ina mamlaka yake, jadilini kuhusu Tanzania na katiba yake inavyosema
Tanzania ni jamhuri ya muungano wa nchi mbili.
Sasa cha ajabu ilotakiwa katiba iwe moja au kuwe na katiba tatu,kuwe na katiba ya Zanzibar, Tanganyika na kuwe na katiba ya jamhuri ya muungano wa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.unaswa kuelewa kijana.😎😎
@@SelemanMohamedi-l8l Kwa sasa hakuna Tanganyika Tanganyika elewa hili neno,, ukiskia kelele katiba Mpya ujue nini kinaendelea,, Kuna Zanzibar na dola yao na Tanzania tu,, Kuna Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania
Mm, FAHAD ABDULLA OMAR NI MZANZIBAR NASHAURI MUUNGANO UVUNJWE KWASABABU HAKUNA UBALOZI WA ZANZIBAR NA RAIS WA TANGANYIKA ANAVAA KOTI LA MUUNGANO HIVYO BORA TUWE MAJIRANI WEMA MM NACHUKIA SANA MUUNGANO ILA NASHANGAA KWANINI RAIS SAMIA ANASHINDWA KUVUNJA MUUNGANO
Nape ni mpumbavu
Mimi kama nna uhakika chadema itaingia madarakani na itavunja muungano basi ntaipigia kura.
Muungano haupaswi kuvunjwa bali kuimarishwa kwa kurekebisha kero na tofauti zilizoanishwa na tume ya Warioba
Wachane mdude yagali waambie wapunguze uchawa
Elimu Elimu Elimu,, eti kataifisha
Tumsamehe, kwa sababu mpambanaji😁
Jihadharin na Chadema chama la wachaga, mapadri na maaskofu vibaraka wa mashoga ulaya
Hujitambui kumbe, kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Yaani watu walio haki wewe unawaona wabaya, jifunze kuijua kweli.
Nyie chadema wabaguzi mbwa nyie
Wewe kibaka unayefaidi uharamu inaita watu mbwa.wewe ndie nyang'au mkubwa mbaguzi mkubwa.tafakari kwanza kabla ya kusema kitu.
Nenda znz ukatake kununua aridh kama utaipata
Mbwa mwenyewe usiejitambua
Wewe ni kondo la nyuma SUBIRI mtu Azae Ili utoke!
Pima hoja vzr , Mbaguzi Ni Nani Sasa ?. Pima hizo hoja ndugu. Usifikili kiduchu. KAMA Serekali hawana ubaguzi, Bandari zote zingewekezwa sio za Bara tuuuu.
Mm mdude acha ujinga mbwa ww acha kumsumbua Raisi wetu
Mmmh ettty Raisi anasumbuliwa.
Akili zako matakoni
We Kuma
Matusi hayatatui toeni mawazo mbadala kupingana ni kuzuri lakini kwa hoja na lugha nzuri matusi yanadhalilisha na kuondoa maana ya uchangiaji