Webisode 52: Pata Kipato - Bidii Inalipa | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024
  • Jifunze kuhusu njia za kutengeneza hela na kupata kipato kupitia episode nzima ya msimu wa nne wa Ubongo Kids!
    Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!
    Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
    Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi!
    Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
    Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: www.ubongokids.com
    / ubongokids
    Imewezeshwa na Spring Accelerator/Data for Local Innovation.

ความคิดเห็น •