Mungu wa Mbingu za Mbingu , alie chukua sehem ya Roho ya Musa akawapa baadhi ya watumishi wake , ninaomba anipe sehemu ya Roho yako natamani kuhubiri kama wewe Baba ni washe moto amina naamini nimepokea .
Bwana Yesu akupake mafuta mengi mno kuliko maelezo . Bwana Yesu akutunze sana na kukutendea mema . Wewe ni Mtumishi mkubwa sana , tuendelee kumtafuta Bwana Yesu bila kuchoka. Mungu akubariki sana kwa kutuombea na kututia moyo
Amen amen baba
Amin Amin Amin, ubarikiwe sana
I really appreciate this teachings, God bless you Pastor Gregory Daudi
Mungu wa Mbingu za Mbingu , alie chukua sehem ya Roho ya Musa akawapa baadhi ya watumishi wake , ninaomba anipe sehemu ya Roho yako natamani kuhubiri kama wewe Baba ni washe moto amina naamini nimepokea .
Bwana Yesu akupake mafuta mengi mno kuliko maelezo . Bwana Yesu akutunze sana na kukutendea mema .
Wewe ni Mtumishi mkubwa sana , tuendelee kumtafuta Bwana Yesu bila kuchoka.
Mungu akubariki sana kwa kutuombea na kututia moyo
Amen brother ❤❤❤❤❤
Amen,Mchungaji wangu nimepona
Utukufu wote na Heshima tunampa Bwana Yesu.
Mungu akubariki sana na kukutunza
Balikiwa Sana mtumishi
Amen mchunguji wangu
Mungu tusaidie
Barikiwa sana mtumishi
Jamani nikwer kabisa
Amene
Balikiwa sana baba
Ubarikiwe sana.
Amina asante sana.
Amen!
Amen
Amina
🙏🙏
Powerful message sir
Utukufu kwa Bwana Yesu.
Mungu akubariki sana. Tuendelee kuombeana Rafiki
✓