Mwaf and Co. Consider including timestamps for topics you discuss especially in your long video productions. Sometimes as a viewer I want to just jump into a specific topic of interest, clicking on timestamps would be much more convenient than scrolling blindly .
I can guarantee you treadmill itakuzalia matunda. Nilianza kuchapa treadmill last year (Feb). Nililose 8kgs the 1st month: sikuamini maze! Na nilikua na-run 4 days a week. Anza mossmoss and ji-challenge uongeze kama 30 seconds a day... katajipa! Zidi apo tu!
@stevolul1956 nilianza na 78 nikashuka hadi 70... Then the second month nikaloose zingine mbili hadi 68.... Na nikamaintain by burning fat and gaining muscle at the same time... Another trick naeza recommend ni ubuy smartwatch and make sure steps zako daily ni mob... Aim for 10k-15k steps kila siku... Siku za gym, I always ensure calories nachoma ni 1k and above....and ofcourse, stick to organic foods... Sukari na junk foods tupilia mbali... Try these hacks then check your progress. 💪🏽
56:35 mwaff that's an old clip,, kissing the papal ring is a catholic tradition, a gesture of respect for the Pope's authority as the head of the Catholic Church. pope Francis hudiscourage hii practice juu ya hygiene, it wasn't the first time,, ukirewatch vizuri utacheki other cardinals hawakukiss ring.
Mwaf and Co. Consider including timestamps for topics you discuss especially in your long video productions. Sometimes as a viewer I want to just jump into a specific topic of interest, clicking on timestamps would be much more convenient than scrolling blindly .
Finally nilikua nasema ni mimi tu 😂🤣 please mwaf include timestamps
Well said
Seconded
Good point but, the editorial process to label segments is a quite involving. Considering the upload frequency, it may slow down the content. . .
Very polite way to say aint nobody got time for that!
"unajua atwoli😂😂😂" raptcha jo
Lakini Mwaf ukua idha ya Eve,ile design yeye umfwatilia😊
Walking ni a very underrated exercise
amelegea ni kama ametoka kwa treadmill 😂😂😂Ian ni mchokozi 😅
Rapcha anaenjoy😂😂
Any training program takes21 days to start getting the base progress . Find a training partner.
Ian jo, ati Asanti Ashanti mahali yuko 😂😂
Ian peleka Mwaf polepole. Unambaya mbaya Leo 😅
I can guarantee you treadmill itakuzalia matunda. Nilianza kuchapa treadmill last year (Feb). Nililose 8kgs the 1st month: sikuamini maze! Na nilikua na-run 4 days a week. Anza mossmoss and ji-challenge uongeze kama 30 seconds a day... katajipa! Zidi apo tu!
Buda, kwani ulianza na kilo ngapi? Maybe ni uzito ya jasho uliangusha tu. Tupe updates
@stevolul1956 nilianza na 78 nikashuka hadi 70... Then the second month nikaloose zingine mbili hadi 68.... Na nikamaintain by burning fat and gaining muscle at the same time... Another trick naeza recommend ni ubuy smartwatch and make sure steps zako daily ni mob... Aim for 10k-15k steps kila siku... Siku za gym, I always ensure calories nachoma ni 1k and above....and ofcourse, stick to organic foods... Sukari na junk foods tupilia mbali... Try these hacks then check your progress. 💪🏽
ODI bets ka finya Eve 😂 iko nini
Cku hizi mwaf haezi kosa kutaja eve kwa pod
56:35 mwaff that's an old clip,, kissing the papal ring is a catholic tradition, a gesture of respect for the Pope's authority as the head of the Catholic Church.
pope Francis hudiscourage hii practice juu ya hygiene, it wasn't the first time,, ukirewatch vizuri utacheki other cardinals hawakukiss ring.
no way mwaf anavaa trouser 34, hiyo labda Ian na Rapcha. Niko almost size ya Mwaf na mimi huvaa 36.
Mwaf anakaaa 38😅
@@kabuthakabutha9472 my exact thoughts wallai.
Seti plug wa hio treadmill
Ile siku yule mama wa mia mia ata leak number zenu ndio mtaitana
Zii Mwaf hawezi kuwa 34. Ian is right about the size
I shook hands with the pope in state house in 1995
Ati ako ready kupiga Kona 😂😂😂😂
ni wanyama 😂😂😂
Big up Mwaf kuanza tizi🙌
huyo grand buda wa rapture jooh🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂huyo ni hero
dude of naree❤
Hio riba ya mwaf ya kukosa inheritance ni juu ya simping 😂😂😂
@Mwaf allegedly UON iko literally inachomwa??
Iko nini 😂👊🏽🙏🏽
Lakini mimi T shirt ama hoodie nitanunua ni "dude of nare"
aiii mwaf basi ni 34 extra large🤣🤣🤣🤣
ati raiyaa zinanyonga na lyrics 😂😂😂😂Ian hutoa zingine za ovyo
Hiyo ilinimaliza 😂😂😂! Ati isikuwe reggae 😂
Mwaf that is possible in forex. I can share my acount uone right now as we speak. making that much and losing the same is very possible
Rapchaaa😅😅😅😅
🔥🔥
IKO NINI
God bless you and lomg live you guys you ease my pressure and stress 😅😂🤠💪
Anafanya kuni zipotee 😂
Hii Podcast hunitolea stress bana
Mi hufeel nikama kupiga story kwa base but in a digital Way 😂
@kabuthakabutha9472 mi huwa nacheka mpaka nafeel stress zote Niko nazo zimeisha .God bless them and long live
Nimeuza toja jo na nime meet mwaf😂..HIO TOJA HAIWEZI KUA 34 !...sijui mnapimaje but hio si 34 ya Kenya.
Labda 34 ya west Virginia. Mwaf amejaza sofa.
Dude of Nare
11:10 try swimming if not walking to burn fats, running breaks glycogen and glucose through glycolysis and not fats so you won't loss weight
Running can make you lose weight. Ask me I give you my personal experience of how I got to 67kg from 85Kg
EHEHEHEHEH IKO NINI KAMA KAWA
Iko nene
Iko nini , if anything will get ruto direct win 2027 ni if anaweza make DNA testing free or kwa Shif/SHA. Nuggets of weezdom
BALAA
09.01.2025. Iko Nini