NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kila tatizo unalokutana nalo kwenye maisha yako huwa lina chanzo chake,hakuna shida inayoinuka tu bila kuwa na mzizi.Ukitaka tatizo hili liishe hakikisha umeenda kuondoa chanzo chake na hii ndio njia ya kuliondoa kabisa kwenye maisha yako.
    Karibu ujifunze kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando namna ya kujua chanzo cha tatizo lako na namna ya kuliondoa.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our TH-cam: www.youtube.co....
    Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

ความคิดเห็น • 7