BINTI MJAMZITO ALIYETAKA KUNYWA SUMU AWASHUKURU WATANZANIA WOTE WALIOJITOLEA KUMSAIDIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @aishajeshemtengea9884
    @aishajeshemtengea9884 5 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante mwenyezi mungu kwa kutenda muujiza. Mungu wabariki waliochangia.

  • @saaedarama.1rama251
    @saaedarama.1rama251 6 ปีที่แล้ว +3

    wazo zuri musa wakununuliwa sm allah amjalie kher binti huyu

  • @erastitesha943
    @erastitesha943 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana binti Mungu akujalie uvumilivu

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana clouse media dada geha habibu na group lako allah atawalipa mema Amin nawapenda sana tena zaidi ya sana sio kwa mchango mnaotoa kwenye jamii mungu awaweke na awalinde na awazidishie mnapo punguza Amin
    Geha habibu
    Mussa hussein
    Da husna
    Josee
    Kiukweli nawapenda mno

  • @AminaAmine-v4m
    @AminaAmine-v4m 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallh asantee kaka kwa moyo wako

  • @manalibaby4192
    @manalibaby4192 6 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah..mwenyezi mungu aendeleee kumtangulia kwa kila khatu..dada geah allah awalipe kheri.

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana kwa wote mliomchangia huyo binti Mungu awaongezee mara dufu

  • @yaaishbaybe7477
    @yaaishbaybe7477 6 ปีที่แล้ว +1

    Dadangu mdogo wangu sina chakukupa ila Dua Yangu Nakuombea Inshaallah upone maumivu yako,uwe na utulivu wa moyo Inshaallah ujifungue salama Inshaallah pamoja kidua dadaetu na Ramadhan hii Allah Akufanyie wepesi kwa.kila hatua uipitiayo😢😢😢Amin YaaRabillah Allahmin☝nkiwa Dubai from Kenya

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 6 ปีที่แล้ว +6

    Binti nakuombea afya njema ujifungue Salama na mama uliomsaidia nakuombea Salama na family yako mungu akujalie huo huo moyo wako waimani akustili na ww na wanao na mitihani. Dada Geah na ww na grp lako nakuombeeni mungu awastilieni nyinyi na vizazi venu nimitihani haina mtt wala kizee ina kila mtu. Niwatakieni Ramadhani njema

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awajaalie wote mliochangia kwa hali na mali mungu awalipe maradufu asanteni sana

  • @happykipeya8516
    @happykipeya8516 6 ปีที่แล้ว +2

    Masikini paka nimeliya😭 san ahsanteni sana watanzania kuwa na moyo wa upendo kwa mtu anaye kuwa na matatizo 😍

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 6 ปีที่แล้ว +14

    Hy tajiri wake atafutwe ili huyo dereva apatikane kiurahisi n sheria ifuate mkondo

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki nyote wa tz🙏🙏🙏

  • @najma3268
    @najma3268 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah,allah awajaalie mlioweza kuchangia , awaongezee mlipopunguza

  • @fibimshongo4758
    @fibimshongo4758 6 ปีที่แล้ว +8

    mungu mkubwa watanzania niwatu sana wana moyo huyo mtoto anunuliwe simu pesa yake ingine ihifadhiwe

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 ปีที่แล้ว

    UBALIKIWE. MBALIKIWE SANA WAFANYAKAZI WOTE MUNGU AWABARIKI

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 6 ปีที่แล้ว

    Asante kaka kwa ushauri pia kina dada wa gear tv mola awalipe kheri

  • @martinashemaghembe4206
    @martinashemaghembe4206 6 ปีที่แล้ว

    Ni Jambo la hisia sana,,Hali ngumu ila watanzania kwakwel Mungu anajua mioyo yet...na atutangulie na atujalie upendo huu huu daima

  • @jaqlinedamiani277
    @jaqlinedamiani277 5 ปีที่แล้ว +1

    hadi boss akamatwe maana hakuna sheria ya kumfukuza

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 6 ปีที่แล้ว +3

    Maskin mungu mkubwa mungu awazidishie mliotoa jaman

  • @queenramadhan2293
    @queenramadhan2293 6 ปีที่แล้ว +7

    Kwa nini acmuhoji vzr anamfukuza aso haya kamkumbatia muhalifu anampa mateso mtoto wa mwenzie angefanya hayo kwa mwanae angemfukuza?tuwe na huruma wanawake

  • @alialhabsi4080
    @alialhabsi4080 4 ปีที่แล้ว

    Jamani ile nyumba kimara hata majirani hawawezi Kujuw no za yule mama dereva atafutwe sio haki hii

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 ปีที่แล้ว +2

    jamani wanaume bwana mitihani lakini sio makosa yake tusimlaumu wakumlaumu ni huyo boss wake yy alipojuwa ana mimba kwanini asimrudishe kwa shangazi yake aisee watanzania nawapa gingera waliposikia Masada haraka wanasaidia mungu awabariki watanzania

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 6 ปีที่แล้ว +1

    Aenda kwa mwihishimiwa paul makonda atampata tuu huyo aliyo mpa mimba Adui saana huyu baba mungu atamlipa...

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 ปีที่แล้ว

    Lakini angetafutwa huyo mama na dereva wake wachukuliwe hatua, maana uyo mama kafanya u nyama sana tena mkubwa.

  • @maryamsinganomaryamsingano7938
    @maryamsinganomaryamsingano7938 6 ปีที่แล้ว +4

    kutoa ni moyo sio utajili mungu atawalipa

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 ปีที่แล้ว

    Mtafuteni dereva asiachiwe nahuyo bos

  • @tatimafahad9376
    @tatimafahad9376 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah atawalipa wote waliomsaidia huyo dada jmn

  • @lameesrashdi1298
    @lameesrashdi1298 6 ปีที่แล้ว

    Inshaallhh😘😘😘😘

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 ปีที่แล้ว +2

    twataka video tumuone mbona mwatuwekea audio?

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 6 ปีที่แล้ว +1

    Lakini bora mama leila angempeleka kwa mama yake vile kizazi cha kwanza maskini na mtoto mdogo wanaume jamani kuweni waungwana hamchoki kuitwa mko sawa na wanyama ila si wote kaka zangu sory

  • @sadiaabeid7552
    @sadiaabeid7552 6 ปีที่แล้ว +1

    na nawahusia wadada yakitokea hayo muripoti kabla yatokee haya na huyo Dada namwanbia wacha huyo alie kudanganya hilo liwe funzo dadangu ningekuwa Tanzania mm ningekuchukuwa ukaishi name mm

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyo dereva atafutwe sheria ifate mkondo wake huo ni ubakaji

  • @a.856
    @a.856 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awazidishie wote walomsaidia dada huyu

  • @alinefayida9907
    @alinefayida9907 5 ปีที่แล้ว

    Nahuo shangazi yake angetafutwa ashikwe aojiwe

  • @ashooraashoora5415
    @ashooraashoora5415 6 ปีที่แล้ว

    Wakwanza kutaftwa nimwajiri wake huyo ndio chanzo cha yote

  • @khadijaaziza7586
    @khadijaaziza7586 6 ปีที่แล้ว

    Jaman mtihani

  • @khadijaaziza7586
    @khadijaaziza7586 6 ปีที่แล้ว

    Nikweri simu muhimu

  • @neemaedward6843
    @neemaedward6843 6 ปีที่แล้ว

    tena atafuuuuutwe jamani

  • @queenramadhan2293
    @queenramadhan2293 6 ปีที่แล้ว

    Huyo tajiri yake mchawi tena anaroho ya kigumba kumfanyia ivyo mtoto w mwenzie hana hata uruma ni shetani kabisa

  • @khadijaaziza7586
    @khadijaaziza7586 6 ปีที่แล้ว

    Akisfili mupate mawasiliano