Hyu mwamba saiz angekua comedian mzuri Tu sababu hata mondi alianza mkubali zaman .....alicho haribu huyu msenge nikushilikishwa kwenye Ngoma ya harmonize kuekwa kipande kama mondi nakumkashifu ndio maana hata wsffm hawana muda nahawa jamaa kbs
Sasa baba levo unategemea mwana ume mwenzio hapana kaka sema mondi munajifanya kuwakaribu na mondi kwasababu ana uwezo kesho ikitokea akakosa aricho nacho kwasasa mta mukimbia nakusahau wema wake hivyo ushauri usidharau kazi yamwenzako yeye mwenye kazi hujuwa umuhim wake ila munanifurahisha mpaka bas
Steve endelea kuwa creative kama hivyo........unafurahisha sanaa jamii........
KEEP DOING WHAT YOU DO!!
Kwa kweli STEVE huyo jamaa amefanana sana na MONDI.........umempatia sanaa usimuache 👏
Steve alivomchamba mlinz nmecheka had nimelia 🤣🙌🏾 eti unapigwa na kiza had umefanana nacho 🤣🤣🤣
Kipaji kutoka lgb sec......alianza kama utan lkn sahv umekuwa hatari bob 👏🏿👏🏿👏🏿✊🏿
Sasa Steve yeye Tim nan mana anampinga sana mondi Steve bhn 🤗🤗
Daimond plantumz 🦁 Simba
Move cinéma c'est magnifique 🎞️🎬📽️🌃👋👋👋👋🎸⭐⭐⭐⭐⭐⭐👌👌cera manifique 🔥🔥🔥
Jamaa anafanana na daimond platnamz
Swagga za Diamond jamaa kaua Tatzo diamond aongei anafeli Wap aifanyie mazoez saut ya Diamond
Mimi nilikuwa nafikiria ni diamond 😂😂
mzee baba kauwa,,tatizo haongei
Babalevo bwana ki ukweli ume ni ongezeya Siku kama 10 kwenye Siku zangu za ku ishi nime cheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Steve bg up nakukubali sanaa kaza usiachie una baya
Yufu mlele mwenyewe sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Im I'm GoRoZ Platmuz umeowaaaaa kakak
Baba Levo bwana........eti na wewe sasa unataka kunizidi UCHAWA 😂😢😂😅
Mwambieni levo ajieshimu na ajue kutafuta x kufugwa🇰🇪
Baba Levo asitutukane bongo movie hajui kama samia nae yupo upande wetu wa bongo movie au hajui movie ya mama ROYAL TOUR
Si ndiyoooo
Huyu ni yule jamaa, anaefanana na Diamond Platinum .
Dah nilijua mond kweli
Nakubali San ma mwamba
Huyo Diamondplatnumz mwenyewe huwaga haongei anarambaramba midomo tu kama mjusi
Kama shoga sio mjusi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwaka uu kaz ipo muniache kwanza
Nahisi ndio video yenye views wengi zaidiii hongera mzeee
Kali joh🙆🙆
Jamaa wame fanana ni vile tuu yeye Hana watoto East Africa MZIMA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wa bongo iz njaaa jaman
Mbona daimondi aongei banaaaaaa😄
Anaongelewa si anapesa
Aza boy kaka baba levo exactly 😂😂😂
Nakubaliana nanyie wasanii we2 nawakubal kinoma
Nzuri lakini uyo Daymond unamuchokesha nakumutembenza lamunguu sana
Hahahaha kwan si wanatmbea wte
Nobody is talking about this great work. Nifikisheni 1k subs nitashukuru 🙏
Thank you so much 😀
All in all mmeuaaa 💯😂😂😂😂✅
Nifikisheni 1k subs plz
Aahauahaaa dah! Hii kali jamaa amezidiwa mazungumzo sasa anasema we unatafutwa kurogwa duuu
Baba levo mwenyewe nakukubali
Simba nikufinya sim tu aaahhh
Daaah mmetishaa sanaaaah wazeee baba
Huyu apa sio daimond plntnumz kinamujuwa
We aza Kwan tukuyu mnanini😂😂😂
Harari sana big up
Oyaaa baba levo umetisha
Kwani platnumz haongeagi au🤣🤣🤣🤣
Baba levo wake sasa😂😂😂
Daah stvn wewe 🤣🤣🤣🤣 by the way good fri
🤣😂lol babalevo original
Yan Steve mwaka huu nahuyo mond wenu wa mchongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔
Hahaha Baba Levo Unanifurahisha Sana
eti we mwehu good
Tisha sanaaah💥💥💥
Baba levo wa mchongo ana mpatia hasaaa kama ndo mwenyewe
Ssteve nikweli❤❤❤❤
Nifikisheni 1k subs nitashukuru 🙏
Sasa huku ni wapi simba anaenda 😂😂😂😂 ebu mnijibu tafadhari 😂😂
Ila kaka'😂🙌🙌
Kali
Platinum haongei VP?
Bwana platinum🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmetixhaaa 🤣🤣
Hyu mwamba saiz angekua comedian mzuri Tu sababu hata mondi alianza mkubali zaman .....alicho haribu huyu msenge nikushilikishwa kwenye Ngoma ya harmonize kuekwa kipande kama mondi nakumkashifu ndio maana hata wsffm hawana muda nahawa jamaa kbs
Machiz kwel nmerudia mara 9😂🤣😂🤣et unakaa kweny giza mpk unafnn nalo
Hahh nomaaaa
Kaka mumeuwa kinyama 😅
Kkkkk, iyo Noma🇲🇿
Kwa nn mnakashifiyana
Chawa wa mchongo atali sana nawakukubali sana wazee siwapingi
Baba Levo Tisha Sana
Xaf Sana kaka
Sasa baba levo unategemea mwana ume mwenzio hapana kaka sema mondi munajifanya kuwakaribu na mondi kwasababu ana uwezo kesho ikitokea akakosa aricho nacho kwasasa mta mukimbia nakusahau wema wake hivyo ushauri usidharau kazi yamwenzako yeye mwenye kazi hujuwa umuhim wake ila munanifurahisha mpaka bas
Simba wenu mziki umemshinda sahii ywaakti bongo movie 😂😂😂🤣🤣🤣
Nifikisheni 1k subs nitashukuru 🙏
Cyo Simba uyo naww mbna upo kama zwazwa
@@josephevaristi8923 nifikisheni 1 k subscribers
AzaBoi the Trash Cleaner.. Go Young👑👑
Uko na ubwaking ww levo
Wa mchongo diamond sijui ajui kuongea bubu
Au sio bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakqbl Mzee 🤣
Neno simba limetamkwa mara 2763
Nukuu
Baba levo noma Sana🔥🔥🔥🔥
Munajua sana
Hahahaaa.yaan nie mafalakweli yan😂😂
Bongo movie wame wa zoweha sasa 🤣
Good
Sema diamond wa mchongo kama wanafanana vile😂😂😂
Kabisa huyu diamond wa mchongo anataka kufanana fanana kabisa na mondi 🤣🤣🤣
Yan ni hatali
Tembeza mta mzimaaaa
Poa and kayla is a good thing for you and you can you are the best for me to do this one 💖 💕 💗 ❤ ♥ ✨ 💖 💕 💗 ❤ I have a few things I want me
duuuu🤣🤣🤣🤣
No a Dana baba levo
Huyu ni diamond ama mimi naona vibaya
Anafanana nae lkn sio yeye
sio
achen kuingizia saut makuma nyinyi
mpaka nimegaihil kuangalia
Diqmond wa mchongo au
Hahaha hahaha ni hatari
Babalevo🤣🤣😂🤣🤣
Kicheko ss 🤣🤣🤣🤣
Hiyi kali 😁😁
Diamond anachat na nan🤣🤣
Na Zuchu 😂😂😂
Na zuchu 🤣🤣🤣🤣
Nimecheka 😂😂
Hahahah
Mondi wa mchongo 🤣🤣
Huu jama anafanana na mond kabisa
Nimecheka kama mjinga
Diamond wa mchongo🤔🤣🤣🤣
Simba anatembea Kwa miguu
Duh kafanana na diamond hatar utadhan yy kbc
Ila Steve huwaga yuko poa
Alaf km diamond kwel
Diamond anatembea kwa miguu hivyo
Anaungana na wananchi
Sahihi
🔥🔥🔥🔥
Yani kuna watu Hawana akili kabisa sasa Diamond na baba levo wako wapi apa😁😁😁
Low budget diamond 🤭🤣