Asalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu, hii so ndimu bali ni limau au malimau ya manjano, zinapatikana nchi mbalimbali na kwa kweli huku ughaibuni malimau hayo ndiyo yanatumika na sijaona malimau ya kijani ambayo ndiyo tuliyoyazowea hapo nyumbani. Malimau haya ya manjano yana maji mengi sana.
Kuna matatizo mengi ya kijamii na uonevu kwa binaadamu na hata uchafuzi wa mazingira na wanyama tunao watumia kutupstis rizki kama Punda, ngombe wanateswa na kupigwa lkn hao watsngazaji hawayasemei hayo
Asalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu, hii so ndimu bali ni limau au malimau ya manjano, zinapatikana nchi mbalimbali na kwa kweli huku ughaibuni malimau hayo ndiyo yanatumika na sijaona malimau ya kijani ambayo ndiyo tuliyoyazowea hapo nyumbani. Malimau haya ya manjano yana maji mengi sana.
Subhanaallah mbona ziko nyingi sana huko afrika jamani
Mashaallah
Zinzibar tv sasa mmeishiwa na habari, hebu jaribuni kabla ya kutoa habari kuchunguza ukweli wa habar zenu
Nataka mbegu jaman na mm mashallah
Zinjibar tv mumeishiwa
Iyo si ndimu ya ajabu zipo teleee ndimu izo
Duh,mmekosa cha kupost
Mmmm mutembee mitandaoni. Hiyo sio ya ajabu. Jamani mmmm
Hiy0 ci0 ndimu ni limau mush2shulishe☺️
Kumbe hamna jipya kazi kutunga vichwa vya habar visito
Allah akbar mashallah
Ndimu au limau
Hiyo si ndimu, hilo ni limau/limao.
Hamna kazi maxim Tele ayo hamna Habari ama ujinga tu
Hahaaaa umeuwa
Limao jmn
Mashallah lkn jamani ndugu zangu hio sio ndimu ya maajabu ni ndimu kabila ya ki spanish na hutumia mbolea
Hio si limao
jamani limau hilo
Iyo ndimu au limau
Naomba mche wa huo Mdimu.
Mhhh watoto wa kiponda na majumba mporomoko hao...maana limao imekuwa ndimu Leo
🤣🤣🤣
😂😂😂
Hahaaaaa balaa
Sio Kwa kuona maajabu Kwa ndimu hiyo ,mbona wengine tushaziona
NJONI PEMBA
Mwataka
Inaonekana hamjatembea nihpohpo tu zenjy
Tujifunze kutembea tembe Ili tuwe watandawazi tusikae sehem moja tu ahg!
wazanzibar muna visa hizo ndimu zipo tele nchi za wenzentu wacheni upumbav
Hahaaaa umeuwa hahaaaa
Ndimu za juwis hizo na pia unaweza kupikia kwa kwetu ni maajabu lkn nchi za nje ndo ndim zao
Aaah wanahashuo tu zimejaa tele izo hazina soko kiivo maaan hazina ukali wa sana
NAONA HAMNA TENA HABARI NAONA HILO NJONI PEMBA KUNA HABARI NYINGI SAN.
Ndim zakawaiza izo zinatumika kama matumizi yakawaida hazina shida chochote alicho kibariki Allah ni nemah
huku omani ndizo tunatumia
Nyie s malimao hayo hahahaha
Cjaona chaajabu hapo mm
Nyie kama hamjui ulizen hilo limao makubwa yele sio ajabu kabisa hamna usemi
midocre
Mumenitisha mbona ziko tele sie wa bara tunaita malimao
Kuna matatizo mengi ya kijamii na uonevu kwa binaadamu na hata uchafuzi wa mazingira na wanyama tunao watumia kutupstis rizki kama Punda, ngombe wanateswa na kupigwa lkn hao watsngazaji hawayasemei hayo
HIY SI MAAJABU MANDIMU HAYO YAPO TELE, DAH ZANZIBAR TUKO NYUMA SANA, SASA NDIMU HIY YA KUSTAAJABU
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Namie ndonaona hapana laa jabu hapo
Sio wazanzibar wote kaka Sema wachache hawa watangazaji mabishoo
Pl
Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu ndimu hizo ni nzuri kutengezwa juice huwa ni tamu Sana
Hiyo sio ndimu limau mbona huku yapo mengi tu tushayaona na tunayatumia
Jamani mbona zimejaa sema labda huko hakuna nilimau hizo zikotele bara tabora shinyanga ndiotunazotumia siokitu cha ajabu nikitu chakawaida
Ndimu kiskari izo zinaitwa ukitaka unakula kama chungwa ama chenza
chunguzeni kabla ya kusema
Km malimau au
Mbona kawaida hakuna ajabu yoyote
Kama hamna habari basi bora msitoe
Wameishiwa alimradi nao wamo tu
Limau 2 kawaida na waandishi wetu hawajui ndimu zinatumika kwa nini hamujatulia
Sasa iyo ndim ama limao Ina maajabu gn
Imekuwa ndimu ajabu, jee ile minazi mifupi siajabu?
🤣🤣🤣🤣
Chaajabu ni nini hapo wakati hili nilimao yale makubwa. Mmelegea midomo. Ovyoooo🤔
Huo niushamba zpo kibao
Mandimu ayo yapo tele supermarket oman tele
Tafuteni kz mufanye hk
hawa waandishi hawana kazi . hizo ni ndimu chanzo inakuwa mbegu zimebiganishwa km wanavyokuwa wanyama mixed DNA .
Kutaka kufanyiwa hasad tuvutu vyengine sio vyakuweka kwenye media.
Mbon hizo ndimu zipo nying jama wala siyo ajabu tafuten habar nyengin
HAWANA habar hawa labda za kutoa majini
Sio ndimu wewe limao hilo
Sasa hapo ajabu ipo wapi kama kubwa mbona ndimu zipo hizo kitu cha ajabu nikitu rabda ina sura ya MTU au mnya au kitu chengine
Wajınga tuu hılo nı lımaauu bana uzı nıkwetu mımı pıa nı vıtu vyakawaıda tuu
TATIZO kutafakar na kutafuta vipind mitaani kuna matokeo tele .ya mana acheni upumbav na ndio mana watu wengi wanatizama media za bongo
Wambie haji
MAJUHA KALULU WAKYBWA, WATU WANAJIULIZA MAAJABU YA MUSSA, KARNE YA SASA. MNASTAAJABIA NDIMU?? IHI MKIONA KINYESI CHA PUNDA SI MTASHANGAA ZAIDI!🙄🙄🙄
Hahaaaaaa