My brother who is also a powerful false prophet in kenya also hired a big museum snake and wakaenda tutoa na pastor wenzake , hiyo siku huyo nyoka aliruka akiwa kwa bag wakiwa kitchen wakipikiwa mbuzi ndio waende kutoa uchawi, watoto wa hiyo boma karibu wachomekee kwa jiko, the drama ever seen,
Its very true, theu used to do that , at Meru Meseum, hii kitu ilileta kesi mpka somebody lost a job , na itatumia pesa nyingi, my brother alikuwa na church hapo, ilibidi wafunge , aki zile vitu false prophets ufanya , you cant believe
This guyz were my apostles in ruiru,aki vile wamefake miracles acha tu,kwanza ile miracle ya kijana kutoka kwa paa ati ni mchawi acha t akiwa na mayai ya kuku, Wamebrainwash watu sana ruiru hasa wamama t a point ya kuuza vitu zote za nyumba ili kujiunganisha madhabahu
We grew up na uwoga juu cucu yetu used to believe such nabiis. Majina yetu mara imefunganishwa na chupa iko damu, anaambiwa tutakufa. Juu kwetu ni karibu na barabara karatasi ingine imeandikwa mmoja wetu atagongwa na gari.
You are talking the truth,but I have a problem with your dressing cord,,pls vaa tu vizuri kama vile ilikuwa unavaa ukiwa nabiu wa uongo,,ndio Watu waache kufikiria kwamba uko kwa CULT,,
Is it true walipigana na ndugu yake wakapelekana polis juu ya church na alikuwa amefungua church ingine hapo Ruiru ikafail ndio akaingia kwa mtandao kusema haya maneno?
But maybe it was God's plan wakosane so that God may use him to expose there fake ways and to open our eyes on this issue. Everything happens for a reason.
Thank you Mr. Jeff Kuria for hosting us and being a source of enlightenment to our society.
God bless you for opening our eyes especially spiritually🙏
@@LadyS-02 Glory to God am humpled
@@MosesKimothoApostleumetusaidia sana keep preaching this pure gospel ❤❤
Nakushukuru sana Moses kimodho mungu akubariki sana maana umetufunua macho.
Amen
Bravo for your bravery bwana Kimotho.Such an eye opener
Great glad you enjoyed
Aki fake pastors wako na kazi mingi!!!! It's soo exhausting!!!
😢😢😢this is eye 👁🗨 opener walahi..kimotho moses thanks for talking this openly
Glad you enjoyed
Hi Jeff watching from UAE 🇦🇪 leo kiswahili itukuzwe😄😄 very inspiring story and eye opening Apostle akuje tena aki 😄
Thanks for watching
Great you are saving many souls.
There nothing I waited for this channel to get 300k subscribers, congratulations 🎉Munene and on behalf I thank every subscriber thengiu ii💓
Asante san
My brother who is also a powerful false prophet in kenya also hired a big museum snake and wakaenda tutoa na pastor wenzake , hiyo siku huyo nyoka aliruka akiwa kwa bag wakiwa kitchen wakipikiwa mbuzi ndio waende kutoa uchawi, watoto wa hiyo boma karibu wachomekee kwa jiko, the drama ever seen,
@stevepeter5733 😂😂😂😂😂
Its very true, theu used to do that , at Meru Meseum, hii kitu ilileta kesi mpka somebody lost a job , na itatumia pesa nyingi, my brother alikuwa na church hapo, ilibidi wafunge , aki zile vitu false prophets ufanya , you cant believe
Thank you very much Jeff kuria
so inspiring
Yeah
Thanks for bringing him up, am so open up
Any time!
I am a kikuyu with relatives in western (born, educated,worked and married there) they talk exactly like Apostle. Amenikumbusha my dear cousins.
This guyz were my apostles in ruiru,aki vile wamefake miracles acha tu,kwanza ile miracle ya kijana kutoka kwa paa ati ni mchawi acha t akiwa na mayai ya kuku,
Wamebrainwash watu sana ruiru hasa wamama t a point ya kuuza vitu zote za nyumba ili kujiunganisha madhabahu
He said about all this
Karma is about to strike them as they confess. By the way walienda mazishi ya mwenzao🤔 sijamskia akitaja hayo
😂😂😂wako na tools za job🤣🤣
Congratulation Jeff for 300k subscribers
Thank you
Waaaah
🔥🔥🔥
We need him back amalizie izo details anadai
Sawa atakuja soon
Waa may God help His pple
Amen
Only God will help us
That belief in God is the cause of this in the first place
Amen
Waah tricky sana
Sana😂
May God help ud
Does God even exist?
Amen
Kwani hajui kikuyu
Yeah
Acha ni seme congratulations for the 300k subscribers 🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Watching from South Sudan juba ❤❤❤🙏🙏🙏
Hey
Please come again
Sawa sawa
good evening jeff?? watching live in Gatanga Ndakaini
Hey thank you for tuning in
Jeff acha kucheka haki...kichwa ya mtu alafu wenye maiti wanaishi kuitafuta
😂
1 sign of fake prophets
*FEAR...they preach fear & death & witchcraft to you
Reke ngano na thamani ikuranire.
Kibali media bado ako very active
LEO NI MOTO
Sana
Leo jeff umetulia tuli
Sana sana
😂😂😂Jeff you made me Laugh.😂😂
😂😂😂
Kama ni ukweli nimesangaa sana
Jeff what did you do hapo kwa mdomo😂please repeat niwanjohora
Hey Jeff I like your interviews but I think there’s is something wrong with with the sound kidogo other than that I enjoy every interview
We’ll check on that
Hii kitu inaweza fanya usiwai enda church
leo itabindi nitafte kamusi😂😂😂😂
Hehehe sawa
We grew up na uwoga juu cucu yetu used to believe such nabiis.
Majina yetu mara imefunganishwa na chupa iko damu, anaambiwa tutakufa.
Juu kwetu ni karibu na barabara karatasi ingine imeandikwa mmoja wetu atagongwa na gari.
Uweeh..
Jeff note book Ni ya Nini? Do u later refer to the notes,?
It's a shame those who didn't further their education pass primary they expose themselves in social media
Yes
Kanyari witu ri😂
Natukisema most of church wako hapo coz y pesa mnatupiga mawe
I always say God has given us the spirit of discernment....
Read your bible and pray for yourself
That belief in God is the beginning of issues in the first place.
If you ask them to bring them, will you do the DNA? lol because some might take the opportunity to loot. 😅
Haki Jeff unacheka?
😂😂😂😂
No ngai niekire wega nikuhe Jeff nderu na bass tondu hiyo baby face yake bila ndevu aki ya mungu🙆
Ndigithia 😂
@@JEFFKURIA 🤣🤣🤣🤣🤣
About pastor 😂😂 I have testimony wacha niende🏃🏃🏃🏃
Hello! Are the Nyagas fake prophets ? Peter and Isaac Nyaga?
Yes
Looking like trade unionists.
You are talking the truth,but I have a problem with your dressing cord,,pls vaa tu vizuri kama vile ilikuwa unavaa ukiwa nabiu wa uongo,,ndio Watu waache kufikiria kwamba uko kwa CULT,,
Is it true walipigana na ndugu yake wakapelekana polis juu ya church na alikuwa amefungua church ingine hapo Ruiru ikafail ndio akaingia kwa mtandao kusema haya maneno?
But maybe it was God's plan wakosane so that God may use him to expose there fake ways and to open our eyes on this issue. Everything happens for a reason.
First of all Why is he dressed like that?
Na ni ulize mbona feeder iko kwa shingo imeinama?
Feeder?😂😂😂😂
Ile drama iko kwa church is more than comedy
Ariai gikuyu
He can’t speak Kikuyu sorry