Kushinda na kushindana, INATEGEMEA Na hupo kwenye "HAKI" Kwa Kiwango gani, na Kiwango cha "HAKI" ndicho kinatangulia kuwa mbele ya ushindi wako, au ushindi uwo.
Nimependa ulivyo sema kwamba watu wanasema hawatakufa bali wataishi(je wenyewe ni wakina nani mpaka wasife) Asante Kwa kutoa elimu vizuri mchungaji watu wanajisahau sana
❤MUNGU AZIDI KUKUPA SIKU NYINGI KATIKA DUNIA. KUNA MENGI ZAIDI WANADAMU WANAHITAJI KUSIKIA KILA SIKU KADRI MUNGU ATAKAVYO KUONGOZA KUNENA NASI. 👉🏽Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.❤
Usihangaike juu ya Hilo ushindi una aina 2 Kuna ushindi waduniani na ushindi wa mbinguni ushindi waduniani nikupata fedha au cheo au kufikia. Hatuwa uliokua unaitaka yahapa duniani lakini ushindi wa mbinguni nikua mtakatifu mpaka kufa au kunyakuliwa au kufikia mwisho wadunia kwahio Martha atashinda na amesha shinda fedha ndio ushindi wake
ZABURI YA 1 = NJIA MBILI: =NJIA YA MKOSAJI =ATAKUWA KAMA MAKAPI YAPEPERUSHWAYO NA UPEPO (HELL). NJIA YA MWENYE HAKI = ATAKUWA KAMA MTI ULIOPANDWA KANDOKANDO YA KIJITO CHA MAJI NA KILA ALITENDALO LITAFANIKIWA((PARADISE) . MARTHA CHAGUA NJIA YA UZIMA UKAISHI.(UTASHINDA).
Amina. Hakika kushinda sio kwamba umekariri maandiko gani na kwa kiwango gani,
Bali ni huko kwenye msingi gani; naam hakika.
Kushinda na kushindana,
INATEGEMEA
Na hupo kwenye "HAKI" Kwa
Kiwango gani, na Kiwango cha
"HAKI" ndicho kinatangulia kuwa
mbele ya ushindi wako, au
ushindi uwo.
Nimependa ulivyo sema kwamba watu wanasema hawatakufa bali wataishi(je wenyewe ni wakina nani mpaka wasife) Asante Kwa kutoa elimu vizuri mchungaji watu wanajisahau sana
❤MUNGU AZIDI KUKUPA SIKU NYINGI KATIKA DUNIA. KUNA MENGI ZAIDI WANADAMU WANAHITAJI KUSIKIA KILA SIKU KADRI MUNGU ATAKAVYO KUONGOZA KUNENA NASI. 👉🏽Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.❤
NaaaM NaaaM.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti kwenye visacosi mnavyo viita makanisa😂😂😂😅😂🎉🎉
Ameen
Tuhuma za usodoma na gomora😂😂
Kweli mchungaji dhambi Haina kurukaruka lazma utubu kwanza up ndo ushind namba MOJA
Usihangaike juu ya Hilo ushindi una aina 2 Kuna ushindi waduniani na ushindi wa mbinguni ushindi waduniani nikupata fedha au cheo au kufikia. Hatuwa uliokua unaitaka yahapa duniani lakini ushindi wa mbinguni nikua mtakatifu mpaka kufa au kunyakuliwa au kufikia mwisho wadunia kwahio Martha atashinda na amesha shinda fedha ndio ushindi wake
Kwa kweli ushindi ni kanuni.
Huyu martha.anajipa moyo tu..ndio maana anasema kushinda ni Radhima..anaradhisha vitu..
Matha umeaibika. Sana. Unajambo la Siri na Joan mwenyeakili amefaham
Taarabuu
Kushinda ni lazima
Kweli kabisa mchungaji Kwa kuongea ukweli na kufafanua huu wimbo
ZABURI YA 1 = NJIA MBILI: =NJIA YA MKOSAJI =ATAKUWA KAMA MAKAPI YAPEPERUSHWAYO NA UPEPO (HELL).
NJIA YA MWENYE HAKI = ATAKUWA KAMA MTI ULIOPANDWA KANDOKANDO YA KIJITO CHA MAJI NA KILA ALITENDALO LITAFANIKIWA((PARADISE) . MARTHA CHAGUA NJIA YA UZIMA UKAISHI.(UTASHINDA).
Ametoa video audio ni ya mda mrefu
Naam na asikie ujumbe mahususi huu
Sisi tunaimba tusichokijua baba!!
visakosi vimakanisa
Kweli baba Lak ni mpe dawa ya mwishoapone
False teaching. Tubu wewe😢