Kilichomkuta Mwanasheria Aliyebishana na RC Makonda Utashangaa, Ona Aki..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Weh! Mwanasheria Aliyebishana na RC Makonda Hadharani Akipata Alichokitafuta Hadi Aka..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #rcmakondaarumeru
    #ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu #MABISHANOMAKALI #mwanasheriavsmakonda

ความคิดเห็น • 45

  • @monicamtei5397
    @monicamtei5397 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Mheshimu Makonda.Naomba Haki ya Wananchi itendeke Mtumishi wa Bwana. Ubariki Tz❤

  • @malakisilas6523
    @malakisilas6523 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri mkuu wa mkoa Makonda.

  • @Bettylaizery
    @Bettylaizery 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Paul Mungu akulinde mji mdogo ni ni shida tu maji imeme barabara hakuna kitu kinachofanyika Bora kabisa

  • @SarahKherdin
    @SarahKherdin 2 หลายเดือนก่อน

    From UK makonda may god bless you

  • @AmadeMbezy
    @AmadeMbezy 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ndio mzee baba sheria ukizijua Tamu na tunafurai raia wako

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimekukubali Makonda.Unafanya kazi openly bila woga.Upewe Uwaziri Mkuu.

  • @JenniferJenny-wg6ki
    @JenniferJenny-wg6ki 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka Kenya makonda napenda kazi yako

  • @WillySikorei
    @WillySikorei 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana mweshimiwa ubarikiwe

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mh Makonda 👏👏

  • @oskakayombo9335
    @oskakayombo9335 3 หลายเดือนก่อน +1

    hongera mh paulo mungu akulinde

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani watendaji wote wa serikali wangekuwa na uthubutu kama huu wa Mh Makonda ,nchi hii ingekuwa mbali sana.

  • @harunarashid6404
    @harunarashid6404 3 หลายเดือนก่อน

    😂😅😂😅😂😂😂😂😂Yan mkuu makonda ingekuwa voice not ningecheka kwa sauti San lkn pia hongera sn 🙏🏿

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda mtu wa principles. Mungu akuweke tunakumiss Dar.

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 3 หลายเดือนก่อน

    Mh Rais watumishi wengi hawajui ulichowatuma ila makonda ninyota yaa asubui

  • @elfacekabuta
    @elfacekabuta 3 หลายเดือนก่อน

    Good job makonda

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 3 หลายเดือนก่อน

    halmashauri inspangisha tu ,,hawezi kua Mali yake kwakua wamenjenga ktk eneo lao ,wangenenga wenyewe ,shule ichukue Kodi tu la ardhi ,maeneo mengi halmashauri wanataka kuchukua maduka maeneo mengi ,waje ge maduka wapangishe napenda kazi yako mkuu wangu ,mwenyezimungu akulinde na watu WABAYA

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 3 หลายเดือนก่อน

    Vivi kuna faida gani kuwa na watendaji wa Mji Mdogo na watu wanajenga barabarani na hawaingii kwa wananchi waone walivyokaa.

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada ( ambaye ndiye mtendaji mkuu wa huo mji mdogo ) zero brain hata hajui anazungumzia Nini!! Hebu fikiria huyo ndiye kiongozi mkuu katika hiyo mamlaka anajikanyakanyaga tu 😢😢 tutafika tumechoka sana hatoshi kwenye hicho kiti aise ,Bora hiyo mamlaka ivunje tu.

  • @WilisonMphunami
    @WilisonMphunami 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda, unafaa kuwa Raisi wakati wako ukifika

  • @winfredmgindo3268
    @winfredmgindo3268 3 หลายเดือนก่อน

    Badala ya kufuta tatueni matatizo! Miji ni maendeleo! Hao viongozi wa mji waelekezwe na wasimamie! Malengo ya mji yatakuwa yanaeleweka

  • @FrolahRimo-cm3tu
    @FrolahRimo-cm3tu 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda oyeeeee

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 หลายเดือนก่อน

    Wakora walifanya kula pesa za serikali. Washenzi kweli kweli.

  • @SaimoAbusei
    @SaimoAbusei 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @brunidamadege3747
    @brunidamadege3747 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo tayari bila usomi picha tu imeinama hiiiyooo.

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa MAKONDA Mpige Nusu kaputi huyoo

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 3 หลายเดือนก่อน

    Imagine huyo kaimu mwanasheria anajibu kwa jeuri hivyo kwa mkuu wa mkoa ,
    je kwa wananchi si anawatemea mate? Hii mijitu mingine bwana.

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna kutosha a tena hapa jamani 😮😮😮

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 3 หลายเดือนก่อน

    halmashauri inspangisha tu ,,hawezi kua Mali yake kwakua wamenjenga ktk eneo lao ,wangenenga wenyewe ,shule ichukue Kodi tu la ardhi ,maeneo mengi halmashauri wanataka kuchukua maduka maeneo mengi ,waje ge maduka wapangishe

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 หลายเดือนก่อน

    Mnywa GOngo kabisaaa mtoe nje kabisa Tena akalale Sero Mbafuu Sanaa

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anamaswali dada anatetemeka.

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 3 หลายเดือนก่อน

      Wana madudu Mengiii ndio ujasiri wa kuongea hawana

  • @brunidamadege3747
    @brunidamadege3747 3 หลายเดือนก่อน

    Natafakari uchaguzi ujao nitajikuta nimeandika Makonda sijui utagombea baba?

  • @JosephLymo-j8x
    @JosephLymo-j8x 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli manangu huyo akili yake imelaa hafai aidha anakula pombe akili yake ni yapombe huyo hafai mwanngu makonda timuua wanafanya mdhaha

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanasheria mbabaishaji sana huyoo

  • @shukurumbwana2295
    @shukurumbwana2295 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 3 หลายเดือนก่อน

    😀😀😀

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamba una akili sana genius

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 3 หลายเดือนก่อน

    Wanyooshe mkuu

  • @ochuustudio1920
    @ochuustudio1920 3 หลายเดือนก่อน

    Spana

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 3 หลายเดือนก่อน

    Uozo mtupu nchi hii.😵😵😵.

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 3 หลายเดือนก่อน

    Samahani jamani kama tulivyoongea juzi tukasema kuwa shule na Manispaa ya Arusha ni Watoto wa mtu mmoja.
    Kwenye shida ni upande wa Wananchi ambapo zoezi lilifanyika Nchi nzima la kuwapora Wananchi na zoezi liliongozwa na Rais JPM mwenyewe ambapo ni dhulma kubwa sana ikifanyika.
    Kwa sasa kinachotakiwa ni kurudisha tu upangaji kwa waliovijenga Mhe RC Makonda jamani.

  • @browrinah9357
    @browrinah9357 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 3 หลายเดือนก่อน

    Na hizo dhulma kubwa sana zilichochewa na hilo neno third party ambapo mtu anatakiwa kutokukodishia mtu mwingine ambapo huo huwa ni sawa na upuuzi kwakuwa haiwezekani mtu kuganda mahali pamoja Mkuu.