Amen. Ni hivi mimi niliota jana nilikuwa kwa kazi then kulikuwa hapo na kitu so nilipojaribu kuchukua paka akanifuata anataka kuniuma then mtoto akamfukuza kidogo tu mama mmoja nilikuwa nafanyia kazi halafu wakachana na bwana wake akaanza kunichapa akisema nalimharibia ndoa nikashituka tena kula naota nilikuwa nakula na wenzangu so akaniambia nimfuate then nilikuwa na mfuata na boy mwingine akaniambia mama anataka niende so sikumfuata nikarudi nyuma sikumfuata
Barikiwa Sana baba.Mimi nimepotelewa paka nyumbani kwangu Leo ni siku ya 3 lakini Leo Nimeota paka wangu ametokea ndani ya nyumba yetu kwenye pembe ya nyumba akaanza kuning'ata mkono.Mimi nikamkamata kumtoa lakini akawa ameng'ang'ania mkono.Nikampiga nikamng'oa kichwa akafa.Naomba unisaidie mini maana yake?
Pasta bwana yesu asifiwe milele nimeota kwenye paa la nyumba kuna paka amekaa apo nililipo mkemea akakimbilia pia nikaona tena nguruwe kwenye kuta ya nyumba pamoja na kondoo nikawafukuza akatoka Lakin nguruwe akajificha seblen nikawa namfukuza kondoo nikafunga milango niende nikachukue kitu kizito cha kumpiga nikashuka usingizini
Niombee baba nimeota paka wengi lakini mmoja akang'gata mguu wa kushoto Mara mbili lakini katika hao papa walikuwemo na wadogo mmoja wao nikampiga nikamsukumia ndani ya moto nakufa nawengine wakatawanyika haraka sana
Bwana Yesu asifiwe!! Dady niliota nimerudi shule nafanya mtihani na wenzangu nimeandika vizuri sana lakin karatasi nilijaza majibu inachanika huk mwanzo Niko andika jina lang na baazi ya majibu mengne Sasa najitahid kui unganisha mda umeisha anakusanya tayar. Ina man gan
Mimi, niliota paka saba, 7 , walikuja kuishi na mimi nyumbani kwangu, paka mmoja akanibaka nikawa fukuza paka wote nika funga mlango ili wasirudi, niliota pia paka ameni nyea kwenye mkono wa kushoto,
bwana YESU asifiwe .nimeota nimemkata paka mkia baada ya siku yule paka ahaanza toka matumbo mwishowe akapasuka akiniona anakimbilia chini ya Kiti mwishowe akafa
Niliota paka iko nataKa ingiya ndani ya nyumba niko na dunga mulango iko naingiya tu,Na nyoka iko pembeni Yangu moja inaficha kichwa naingine kubwa IKO naniwinda,mutumishi wa Mungu nisaidiye ku maombi
Me niliota paka animpika mbwa mdogo pahali nafanyia kazi nimeota Leo mchana vile tu nimetoka kazi pia Kuna pahali nimefungua kazi Sasa nikiwa apo kazi ndani ya shop paka ananipanda kwa pega afu paka akiwa kwa pega ubwa ananiuma mguu afu ukachukua rungu nikampiga huyu ubwa mara mbili kwa kichwa mkampasua nini maana yake
Edelea kateka jina ya yesu
And God bless you pastor of good message
@Susana Susi Barikiwa sana
Bwana Yesu asifiwe,,Nimeota namfukuza paka chumbani mwangu,na akaondoka
Amen , barikiwa sana pastor 🙏🙏
Mm niliota paka na nkaota kwa ndoto na kukemea akaenda
Amen. Ni hivi mimi niliota jana nilikuwa kwa kazi then kulikuwa hapo na kitu so nilipojaribu kuchukua paka akanifuata anataka kuniuma then mtoto akamfukuza kidogo tu mama mmoja nilikuwa nafanyia kazi halafu wakachana na bwana wake akaanza kunichapa akisema nalimharibia ndoa nikashituka tena kula naota nilikuwa nakula na wenzangu so akaniambia nimfuate then nilikuwa na mfuata na boy mwingine akaniambia mama anataka niende so sikumfuata nikarudi nyuma sikumfuata
So naomba unisaidie kwa maombi yako
Asifiwe yesu mimi naotapaka abakimbia
Niombee pastor nimeota paka akiniuma vodole za mikono
Pastor Mimi niliota nikiumwa mguu na paka mdogo
Barikiwa Sana baba.Mimi nimepotelewa paka nyumbani kwangu Leo ni siku ya 3 lakini Leo
Nimeota paka wangu ametokea ndani ya nyumba yetu kwenye pembe ya nyumba akaanza kuning'ata mkono.Mimi nikamkamata kumtoa lakini akawa ameng'ang'ania mkono.Nikampiga nikamng'oa kichwa akafa.Naomba unisaidie mini maana yake?
Pasta bwana yesu asifiwe milele nimeota kwenye paa la nyumba kuna paka amekaa apo nililipo mkemea akakimbilia pia nikaona tena nguruwe kwenye kuta ya nyumba pamoja na kondoo nikawafukuza akatoka Lakin nguruwe akajificha seblen nikawa namfukuza kondoo nikafunga milango niende nikachukue kitu kizito cha kumpiga nikashuka usingizini
Mm niota rafiki yangu akijinja paka kwa nyumba yake hiyo inamanisha nn
Niombee baba nimeota paka wengi lakini mmoja akang'gata mguu wa kushoto Mara mbili lakini katika hao papa walikuwemo na wadogo mmoja wao nikampiga nikamsukumia ndani ya moto nakufa nawengine wakatawanyika haraka sana
Bwana Yesu asifiwe!!
Dady niliota nimerudi shule nafanya mtihani na wenzangu nimeandika vizuri sana lakin karatasi nilijaza majibu inachanika huk mwanzo Niko andika jina lang na baazi ya majibu mengne Sasa najitahid kui unganisha mda umeisha anakusanya tayar. Ina man gan
@Hii ni vita wakati wote unapo fika kwenye mafanikio kuna tokea pingamizi, dumu Kwa maombi na kufunga na mungu atakupa ushindi
@@revpeternjihia nashukuru baba ntafanya hivo
Too long your clips are. If possible try to deliver short ones I'm sure you will make more viewers.
Niombee sana maana natafuta kazi 🙏🙏🙏
Pastor nmeota paka wamegandana wanafanya mapenzi nkawabeba bila woga afu nkawatupa
Niliota paka Wangu mweupe Wa nyumbani amefariki nikakuwa Na uzuni , Mtumishi Wa Mungu Hii Ina Maana Gani ?
Pasta niombee kiwanja changu kiuzike
Mimi, niliota paka saba, 7 , walikuja kuishi na mimi nyumbani kwangu, paka mmoja akanibaka nikawa fukuza paka wote nika funga mlango ili wasirudi, niliota pia paka ameni nyea kwenye mkono wa kushoto,
Amekubaka😂😂 si mchezo
Naomba number zako mtumishi
+254706945821
Pastor nmeota paka wanafanya mapenzi nikawabeba bila woga na nkawatupa
Asante
Bwana yesu asifiwe Nini maana ya kuota panya ka ngata mkiya wa paka wanagombana wakiwa juu ila nikama vile paka ana muogopa panya
bwana YESU asifiwe .nimeota nimemkata paka mkia baada ya siku yule paka ahaanza toka matumbo mwishowe akapasuka akiniona anakimbilia chini ya Kiti mwishowe akafa
Niliota paka iko nataKa ingiya ndani ya nyumba niko na dunga mulango iko naingiya tu,Na nyoka iko pembeni Yangu moja inaficha kichwa naingine kubwa IKO naniwinda,mutumishi wa Mungu nisaidiye ku maombi
🙏🙏
Nikiwa mjamzito niliota paka anakuja chukua mtoto wangu but nilipambana na hakuweza kuingia
Nakuomba uniombee Na Mimi kwani nakua namatatizo hayaishi
Barikiweni nyote
Ameen nini mauwa
Mimi janerose nimeota mtoto wa paka anarangi nyeupe na nyeusi anataka kunirukia akiwa kwenye tawi la mti
Mimi niliota paka amekaa kwamvanda ya kuku Na nilipo muona akaaza kunishambulia nilipo pingana nae alini uma mguu wakushoto lakini Sikh yapili alipo rudi nika mkuta alipo jaributena kuniuma nilimuwahi nika mshika Na kumu ua
Mimi nili ota paka akiwa juu ya mlango yangu aki Kaa pale nilipo taka kumu karibiya Aka kimbiya.
Tupo pamoja baba Alex
Nimeota binadamu anasura ya paka alikuwa anakojoa
Kuota paka mweupe ameniketi kichwani
Ni mimi baba niombee
Niliota paka wa yellow hameniuma huso bt nilimshika tukangangana mpaka nikamuuwa Nika mlalua vivande mbili
@Kamene Mulu saa mbili usiku nitakuwa live nitakueleza maana yake
Me niliota paka animpika mbwa mdogo pahali nafanyia kazi nimeota Leo mchana vile tu nimetoka kazi pia Kuna pahali nimefungua kazi Sasa nikiwa apo kazi ndani ya shop paka ananipanda kwa pega afu paka akiwa kwa pega ubwa ananiuma mguu afu ukachukua rungu nikampiga huyu ubwa mara mbili kwa kichwa mkampasua nini maana yake
Niliota kama wamerusha paka enye lmekufa
Mi naota nmeumwa mkono na paka
th-cam.com/users/livemS387K8O5Wo?feature=share
Nimeota paka amezaa nikimpa maziwa
Naitwa Fatma nahisi pazito utosini
Nimimi pasta
Mungu akubariki
Ni mimi kibega kinaniuma
Naona nywele zinasisimuka
Niliota mimerukiwa na paka ananiuma mkono
Mtumishi mim niliota paka kaingiya ndani nikawa nakemeya nikamkemeya adi kaishiwa nguvuu anashindwa kutembeyaa Tena alikuwa kwenye pembe ya nyumba
Niombee
Naotapaka kilawakati alafunaumwe sana nikiotatu
Mimi Huwa naota na paka ameniuma mmguu
Niliona paka anakamata mjusi akamuua nakuondoka nae
Mvua
Niliota paka alikua anazaa akashindwa nikamzalisha
Nimeota paka amenirukia mkono wa kushoto ameniuma