Hebugwa umeongea kweli 😢na inauma sana,mimi baba yangu hakuwahipo kunipenda miaka 25 utoto wangu leo hii namsaidia posho akijiskia tu anasema nampa hakuna rafik yangu km yeye sasaivi,😂❤na kaka yangu aliona bora shemegiyake wamaana sababu anapesa kuliko mimi mdogo wake ktk kesi alikua upande wa shemeg yake,lakin leo ninakipato changu anaona aibu kwa alichokifanya,ila hapo nisendekua na maisha yangu nawategemea wao angenisimanga na kunisema kilasiku umeacha mume mwenye pesa unafanya umalaya tu hapo hata km hio tabia sina ila ikishakuwa huna pesa balaa na masimango yote unatupiwa ww😢😢jaman tubadilikeni sasaivi damu sio nzito tena kuliko pesa.
😂😂😂😂😂😂wanawake walewale kumbe
Kazi kali sana
Hongeren sana ❤❤🎉🎉
Jamanieee kazi hiyooo
Alaf wee Qad acha ufara kututusi wanawake ukome pichwa kama pweza 😂😂😂
Safi kazikazi
Hebugwa umeongea kweli 😢na inauma sana,mimi baba yangu hakuwahipo kunipenda miaka 25 utoto wangu leo hii namsaidia posho akijiskia tu anasema nampa hakuna rafik yangu km yeye sasaivi,😂❤na kaka yangu aliona bora shemegiyake wamaana sababu anapesa kuliko mimi mdogo wake ktk kesi alikua upande wa shemeg yake,lakin leo ninakipato changu anaona aibu kwa alichokifanya,ila hapo nisendekua na maisha yangu nawategemea wao angenisimanga na kunisema kilasiku umeacha mume mwenye pesa unafanya umalaya tu hapo hata km hio tabia sina ila ikishakuwa huna pesa balaa na masimango yote unatupiwa ww😢😢jaman tubadilikeni sasaivi damu sio nzito tena kuliko pesa.
Nawapenda sana
🔥🔥🔥🔥
🎉🎉❤😂😂