When she talks I see ministry in her yani she was supposed to be a pastor.. That is exactly what she was called to be.. Anyway to be absent in the body is to be present with the Lord.. RIP Martha! From Uganda
Yani its like Tanzania media hufanya sana biashara mtu akifa coz the all media right now wanarusha kazi za huyu marehemu its really not gd mjirekebishe
Wangapi mmekuja kutizama baada ya kifo chake tujuane binafsi nimemfaham baada ya kifo. RIP boss martha.
nimemjua kwa nyimbonya whozu tu na not impressed by her works as a comedian but RIP.
Ukweli nimemjuwa baada ya kufa
@@pambasr2345 ata mm kwenye ile nyimbo lkn sikung'amua kama ni yy
Hata Mimi pia nimemfahamu baada ya kufark R,I,P
I'm here ...just the first time nimesikia mtajo wa Martha
Jaman mm nimemujua boss Martha baada ya kifo chake jaman du inalilaah wainalilah Rajuuuni
Dua! kweli kifo akina uluma rip dada matha 😭😭
Ee Mwenyezi mungu mpokee mpendwa wetu Rip Martha tutakukumbuka daima
Mmmh nakosa cha kusema boss Martha pumzika kwa amani
Mimi boss Martha nimemjua nilimjua kitambo kidogo hata nimewahi piga picha yake hapa Kenya akiwa Churchill show Lakini haikutokea dah rip Martha
Jesus Christ, rest in peace my lovely sister.am from kenya.
Nekesa upo eeeh dadangu jina lake
Innalillah wainaillaih rajioun 😭 😭
May our good God rest her soul in eternal peace
Innalillah wainna illayhi raajiun....pumzika kwa amani boss Martha 😥😥😥
When she talks I see ministry in her yani she was supposed to be a pastor.. That is exactly what she was called to be.. Anyway to be absent in the body is to be present with the Lord.. RIP Martha! From Uganda
Upo vizur Martha pambana
Jaman alkua mcute.mungu amsamehe MADHAMBI yke.
Tangulia Martha mpendwa wetu.nikija huko lazima nikutafute km itawezekana.buriani Martha.
Martha upo juu sana .wengine ata kuchekesha kuku hawawezi
Kifo hakina tarehe Wala siku pumzika kwa amani mdada😭😭😭😫😫😫😫
Mzuri huyu Dada jaman pmzika kwa amani
Wakenya wenzangu..hii talanta mbona tunaiona kama ishaenda???? 1M$ talent
Martha unajuwa watu muache wivu nyoooo
Pumzika kwa amani yniii nimekuelewa vzr somo la dandandaza
Jmn matha dah mungu akulaze malipema amen
marehemu alikuwa MTU wa aina gani....!!?
is the reason I'm here...
Space&Time Md akiii
Kwa Mara ya kwanza Cheka tu imaharibu mb zangu
Xana brow_
Yani its like Tanzania media hufanya sana biashara mtu akifa coz the all media right now wanarusha kazi za huyu marehemu its really not gd mjirekebishe
Its true
Kweli
Ee mungu wangu mlaze malehemu mahali pema peponi amina
Sema kuna wadada wakibongo watamu jmn dah r.i.p mtoto mzuri
Imgn kama sio kifo chake cheka tu singeijua mm..
Hyo nyimbo ya kwanza nzuri sana
Let’s respect her she did good job
Innalillah wahiinaillah rajjiun we will remember u boss Martha
Dah kifo hakina huruma
Mungu akurehemu
Kutuchekesha ni kazi
Roho inaniuma sana nmekijua baada ya kifo chako puumzka mahali pema pepon
Alikua mrembo sanaaa rip
Hua zinafanyika lini izi live comedy i wish nione live
Huwez kuomba mkopo wa kwenda kujenga barabara😂😂😂😂
Saut mashaallah....pumzka kwa amani mama
KIUKWELI MARTHA HUJUI KUCHEKESHA, NAJUTA MB ZANGU qummaniner zako😏😏
Alivyonyowa hapo kabadilika
Mko chini sanaa mbna hakuna mtu anacheka!!!!
Mmefeli kwa hili ebu jaribuni kuangalia Churchill za Kenya ndio mtajua watu na vipaji vyao
kila kitu kinaanza pole pole. msiwe negative sana. makosa ni moja ya kujifunza
Ila wakenya hataliiiiiii
lov u martha umenifanya nifatilie hiki kipindi
Kuchekesha haujui tuwe wakweli
anajua
Alikuwa hana mbegu asee daah
lop u Martha rest in paradise
Jamanii nahisi unapoteza mda tu hapo nibora ungetafuta kazi hata yakufulia wa2😀😀😄😄😀ukalipwa
Yaan miujiza ilikuwa enz za Musa wew unapanda jukwaan kuchekesha au kuhutubia
umenipotezea am zangu ..we changudoa
RIP girl from kenya
Jaman Martha 😭😭😭
Naona
Anasimulia tu km hadith
Safiri salama dada
jaman Huyo matha si mlokole mbona anavaa hivyo kah
Kaz na dawa
😂😂😂😂 Leo umejitaidi shoga angu
Kuna watu hawajui mpaka hata kuwaangalia unaona aibu
😂😂😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁 fact
Yaaan😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😯😯😃😃
Wengi walio mtusi ndio wanaandika RIP na labda ndio wakampa depressions kwa haya matusi Yao
Haswa hao ndo watanzani wanao mlilia leo ndio walio mtukana jana binaamdam mtihani saana
unaweza sana dada
Yani unafundisha watu wakadange kwenye nyumba za ibada we kweli koloo
The closing though 👏... (She needs work more on her story line)
Naomben kujua locatin ni wapi
Jmn kifoooooooooooooooooooooooooooooo e why lkn you 😭😭😭
Sja cheka
God loves you ...Rest eternal peace byee
Cooooy,,,nouma sana
Hapo kwenye "ka" wasukuma wanazingua sana
Wewe
Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu
why ? Why? Why? Why? inauma sana tena sana
R.I.P
Dada kafuge kuku unaweza pata faida kuchekesha hujui kufundisha hujui MB zangu zimesepa
ujui kitu bola uache tuu kuchekesha
Pumzika kwa Amani kurthum
Unajichetua wew mm nimecheka lkn
Jamani uyi dada imeniuma sana
Najifunza kudandaza
Huchekeshi shoga yaani mpaka naona aibu mimi
😂😂😂😮😮hata mimi mpaka nasikia aibu
Hajui kuchekesha anaongea tyuu
iv cjaelewa ndo yule mlokole .kawa. kafyatuka iv .au
Really?? RiP boss Martha
pumxika kwa amani matha😢😢
Sio kaelf kumi "kaelufu kumi"
Rest in peace beautiful
😏😏 hata mm nakushinda japo siigizi
👏👏👏👏👏👏👏👏
Daaa kifo
iok
Kauze nyanya tu
good Nice
R .I.P daaah
Hakuna Kitu!...
Kweli kabisa
R.I.P Boss matha
Sijacheka
R I P Martha
Pumzika
Kifo hiki
Wajehuku chuga liteni ambolo halina mawazo
R.I.P boss Martha
May she rest in peace
Martha😥😥😥
So sad rip
Ulokole ni gharama
RIP Martha
Rest in peace
R. I. P matha jamn
kavae nguo kwanza
Jitahid bdo cjachekaaa
R .I.P
R I P dada
Kuongea waongea ww utumbo aibu tunaona ss
@rasi mabuku maneno yako yalimua