🛑FRIJI BOVU, SIMBA WASIKATE TAMAA BADO WANAUWEZO WAKUBEBA UBINGWA UMAKINI TU , CHASAMBI ALIKOSEA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- SIMBA WASIKATE TAMAA BADO WANAUWEZO WAKUBEBA UBINGWA UMAKINI TU , CHASAMBI ALIKOSEA#azamfc #football #footballclub #globaltvonline #live #millardayo #simbasc #wasafi #simba #yanga
Frigi bovu Mimi nakukubali sana una macho makali sana unaona Kila kitu ahsante
Mimi frigi bovu nakukubali sana
Friji bovu simba ikifungwa unapotea!
Wachezaji wa Simba malingo mwengi viongozi tuanglie hii kocha nae kamaliza kiwango chake anaendekeza wachezaji wachezaji awachezi Bado anawaacha kuwatoa hii sio sawa
AHUWA anakiburi naomba Viongozi na. Banch Mtazameni sana anatabia mbaya Nidham ni ndogo
Friji Bovu umechemsha kuhusu Foul angalia tena video Kwani Refa alinjoosha mkono mpira upigwe. Usiharibu Brand yako.
Sio Azam pekee Simba tulipata goli kwa Nkana fc kwenye caf champion au mmesahau
Umesema ukweri kocha anawalea wachezaji ata kuludisha mipira nyuma kocha awasemi
Achana na ishu za chama Babu chama ndo alituleta shirikisho ni msenge tu uyo
Friji bovu . Thamani yako inashuka kumataja Chama . Acha kabisa.
Mwl kwa nini Char / AHUWA Anakosea sana Uwanjani
Mimi Kila siku kama sijasikiriza frijo bovu sioni raha wangine wote chanel na wachanguzi wazushi tu lazima nimsikilize frigi bovu ndio mkweli
Kocha ndio sababu ya goli la chasambi wachezaji wanarudisha mpira nyuma Kila wakati mnamuonea tu chasambi Sasa hivi Kila mpira lazima apewe kipa mmeona wapi ndomana wanafanya misteki tunajifunga au wanafungwa acha ligi kuu hata FA kocha huyu hataku kukaa Simba Tena FAR BAT si wanamtaka labda ndio anatafuta sababu umtakuja kuona pesa balaa dau kubwa hapa kaja kutafuta njia tu
Wewe unamjua kocha mzuri atakae ifundisha simba nakuifikisha mbali? Au unaongea tuu kama unaliwa! Tulia maana hujui lolote unaropoka tuu
Fala xna