Diamond ako na media zake wasafi fm wasafi tv na willy anategemea kazi zake zionekane uko so kwa hii drama anategemea kazi zake zionekane uko sisemi sana shauri yake
Shooo nzuriiii hiyo na uku bongo genge ton, otile brown, sauti soul, khaligh na uyu will paul nyimbo Yake ilikua Ina pigwa stendi ya magufuli piga chini nzurii
Fanyeni music 🎵🎶 mzuli acheni kujitenga sisi hote nikitu kimoja acheni ubaguzi hii Dunia Tunapita Tusiadaike navitu vya kidunia Tukajisaau sisi ote wakupita 2
Diamondz should cancel all shows in Kenya until we get a statement from his team. If he feels too big for Africa, he can go to France and other European countries. Also, the event managers just showed what happens in our elections. Jamaa anarusha pesa kidogo, and you betray your own. This is why things never change.
I honestly do think willy could funika diamond jukwaani...diamond is a big star both in kenya and Africa also known in the Caribbean and America. They would had just let willy perform before Diamond. Afterall the whole show must have much more attention on Diamond. Lets just be honest as kenyans
Hata mseme nini Willy hukua na utoto flani. Hiyo show was marketed on diamond's name. Kama organizers wanataka aperform angeacha tu aperform but yeye aliingia social media kuincite watu. Very immature and unprofessional behavior from Willy Paul
We n mjinga sana shoga akuje kuleta ujinga nchi yetu...Hao wako n bahati ckuwa hio show tungenyoroshana n hio security hatuwezi pangwa n fala bana...Diamond hapeleka hio ujinga yake TZ.Adinywe huko n kina diddy
There was a timetable for every performer,it was pozze,rayvanny then diamond,it's time for our artistes to be respected and not treated as curtain raisers.
Acha ujinga show iliandaliwa na willy was the first artist to perform,kwani diamond ndo nani wa ku perform wa kwanza??????wewe mzenge sana.......kwanza wewe nani? Choko 😅
Mm ni mtz haikutakiwa wabadirishe ghafla hivyo na kiusanii wanakuwa wamekutoa ki perfomance lakini willy paul kumfunika simba la masimba sio kazi ndogo ilo jini la makata ni hatari juu ya jukwaa ni dunia wanamjua huyo sio east africa tu
@@willydasilver69 ushamba ndio inakusumbua kijana, people pay for good music not patriotism.. Siezi lipa show ya willy Paul ata ya Bure Siwezi enda but diamond ata kama ni majuu nitalipa niende show yake.. Pesa ni yangu na I want to see the value of my money ndio maana unasikia machokoraa ndio wanasupport hii upuzi ya Willy Paul on social media na ata they can't afford show ya simple boy
Ila wa kenya ,_diamond platinum na will poul how come,Yani diamond ata awe wa 100 kwenye show atawafunika wote, he's international bro,wake up,we love u kenya❤❤, though in this situation poul might be on right side
We are the host kueni wapole mkaribishwe bana tena mondi was to wait for the welcoming part n atkeast "smaller" artist perfom to give a warm environment for the "bigger" ones kueni Real
Kenyans should blame their own😅. Nyi mmeona mTz gani hapo amekataza Willy Paul kupanda stage if not your cheap organizers & walinzi. This is also a sign that Willy should pull up his socks coz he ain’t all that hehe.
Management ndio ya kulaumu acheni ugombanishi kwa wasanii.kila kitu kilipangwa hapo watanzania wamekosea wapi na Zuchu ni mgeni kafata utaratibu.kuna pumbu limetukana watanzania kuwa ni mavi kuweni na hofu ya Mungu basi ,kama matusi Tz ndio yamezaliwa
Acheni upuuzi 😂 Diamond ana mahari mangapi??? tuanzie hapo!!! Willy Paul na Diamond nani ana subs wengi TH-cam??? Kati ya Willy na Diamond na ana fan base kubwa??? 😂😂😂 Mnajaribu tu kutafuta kiki na Simba wetu 😂 acheni upuuzi kama mmeishiwa kiki Si mngeunda basi festival yenu 😂
Stop spreading hate...you should deal with your organisers not the visitors. Diamond was a guest and you know guests don't choose. So please remember east africa we don't need hate......
Mim ni mtanzania lkn hii sio poa kabisa willy yupo home alipaswa kupewa respect
Mm ni mkenya diamond was to be respect too
Yeah lakn kweny ratiba walifeli wenyew wenyew ila Mond hana neno
Apo sasa
Diamond ako na media zake wasafi fm wasafi tv na willy anategemea kazi zake zionekane uko so kwa hii drama anategemea kazi zake zionekane uko sisemi sana shauri yake
ww ni mtanzania kuma kabisa ww unamuona mondi apo
The pozee chants were crazy 🇰🇪🇰🇪
Kenyans for Kenyans first hapo pozee alikuwa very Right
Kenya should learn to prioritise our own and respect kenyan artist
This is so sad kunyimwa nafasi kwa nchi yako ....these artists go through a lot of pain ...this is not fair
msishobokee na wasanii wa tanzania mmeon mmedharauliwa kwenu na sio vizur
wakenye kumbe bado msanii anagombania kama shabiki
watanzani hatuwawezi
Watanzinia ni viboko nivenye wanaujua mzki
Respect willy Paul banaaa
Cheza na Diddy
Willy paul is the best artist in kenya 🇰🇪 now 💯
Nonsense
Madness meaning kenya your that poor in music i prefer bien to all kenyan artist
Unajipaa moyooo tuu💀😂😂
Huezi kung’ang’ania hivo kupanda stage kama we ni mkalii😂😂😂😂
but diamond is the Best artist in east and Africa in general
Kenyans for kenyans, let's support our own
Then let your organizers nt invite any other country's artists to waste their time 😏😏
Be Blessed for that😢😢😢
Wakenya mnaspirit ya ubinafsi mnashindana na watu wasioshindanana nyie
We support talent,, we're east africans,... tanzanians got the best artists,kina willypol ni kelele ru
I don't listen to Kenyan Music to me it is a hell NO
Upcoming TH-camrs, tupitianeni hapa pia sisi tugrow pamoja ❤❤❤
Let's go
Pitiaa piaa
Done
@PrincessLilian-ew9qp let's go
@@Rehemaliz-lb5tz let's go
Kama wewe sio msanii Huwezi elewa maumivu haya🙏😭So sorry Paul C.E.O...
Willy Paul Achana na Ya Dunia imba Gospel usishindane na Nguvu za giza . YESU anakupenda
Let's stand with Willy Paul
Kenya for kenya buana
Pozze 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ulikill ata kama kulikua venye kulikua you showed the world 🌎 what you are 👌👌👌
Hakuna vile a Tanzanian tourist can come to Kenya and try to fight our own no way justice for Kenyan artists manze❤
Good hakuna kuonyeshwa unyonge na mgeni
Sasa na wewe watanzania wanakuwa wageni tena? Wakija wazungu inakuwaje?
Shooo nzuriiii hiyo na uku bongo genge ton, otile brown, sauti soul, khaligh na uyu will paul nyimbo Yake ilikua Ina pigwa stendi ya magufuli piga chini nzurii
Willy Paul blew the roof with his performance and left Diamond with no roof under which to perfomance, Kudos Kenya for Kenyans, Alimfunika Chiwawa
Mnajidanganya. Pozee ni kama panya mbele ya Simba. Pozee ataishia kwenye mitaa ya Nairobi, Kisumu na Nakuru tuu. Hakuna atakayemtaka nje ya Kenya
Kondoo weww😅@@rutihindakiuyajibu2918
Round hiii tunawafinikia vumbi watanzania Kenya igweeee😍😍
Wenye wameona venye 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumemkataa diamond kwenye furaha city npe likes hapa
Wife wa p Diddy aache shida.......willy pual 4ever🤘
Pozze ni wetuu🎉🎉....kenyanns first ala🎉🎉🎉
Let's support our brother pozze ata kama.nyimbo zake hazibambi sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Fanyeni music 🎵🎶 mzuli acheni kujitenga sisi hote nikitu kimoja acheni ubaguzi hii Dunia Tunapita Tusiadaike navitu vya kidunia Tukajisaau sisi ote wakupita 2
This is soo bad..we need to embrace our own😢go go good pozze...it is sad how they have not realised how pozze is good in this industry 😢
This not showing love or respect this game needs love and unity 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Kenyan first, respect
Watatutambiaje na kwetu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Imagine aki this is not good
Pozze bado atafunika tuu,nipeni likes kama 200 watu wangu😢
Niliwaambia nipeeni likes 😚
atafunika Chakula ila sio kumfunika mtoto wa tandale
Hawezi simba mwenyewe haku perfom after the disrespect🫵🏾
Yaani utakuja aje kwa nchi ya mtu alafu ubalishe Hadi mlango ama gate ya kiingilio 😅😅 anyway like za pozee hapa
The organisers didn't even respect okonkwo.
Pozee you nailed it
RESPECT KENYAN ARTISTS
So sad but y anyway greetings from uganda 🇺🇬 one love one Africa ❤️ 🇺🇬
Diamond has to be in Paris @4:30 A.M
For real then aende Morocco
None of our business 😂😂he has to follow the protocol
Pozee was supposed to be in New York aka stop coz of the love of his country
So
Sawa managers wa diamond
Guys Kwa nin Kenya Hatupendan.Hatuez support Our own
The big person performs last ,, ata President speaks last , simba afuate ratiba tu kama wengine , I love you Simba ❤❤
Ukweli kabisa
True
Pozee uko nyumbani na wanamukataza waa this so bad
Very sad wallah
Pozee Sasa unawabishia walioandaa show niyakwako😂😂
Willy Paul should have been the first....Hatutaki huyo shoga wa P.Diddy
😂😂😂 tena
Poze alijua diamond akitangulia stage mafans wataenda😂
Very true 😂😂😂😂😂
Mbona we hauna akili
@BarbaraPatience-qt9cc si unaona pia we unatumia matercore kufikiria
very true
That's the truth na ndio maana alifàa kuanza but not diamond this is a matter of using comom sense
Pozee amewaosha wote kwa performance 🇰🇪🇰🇪
Diamondz should cancel all shows in Kenya until we get a statement from his team. If he feels too big for Africa, he can go to France and other European countries. Also, the event managers just showed what happens in our elections. Jamaa anarusha pesa kidogo, and you betray your own. This is why things never change.
Willy ni msani wetu🤝🏾🤝🏾🤝🏾
Let's do justice to diamond .kenya capital of affrica
Respect to all we are good neighbors no need of hatred ❤❤
Ni SIMBA La MASIMBA 🦁,Dangoteee..🇹🇿🔥
Acheni uwongo pozee hawez kumufunika mondi, Simba ni shetani
Aaai wapi not in our Kenyan grounds
Wenye mnasuilia willy paul nyinyi ni nugu,wily paul anafaa kupewa the first respect,kwani diamond ndiyo nini??
Respect Kenyan artists.
Kwani waandaaji wa iyo event wanasemaje?
It's Kenya where we do love our own things ,i believe pia mm ningekuwa mtanzania apa kenya ngoma zangu ziingefanya vizuri kbsa
If huyo simba ama ng'ombe ni mkali kushinda 👑Pozze mbona basi haku perform afterwards. Kasheshe tu!
I honestly do think willy could funika diamond jukwaani...diamond is a big star both in kenya and Africa also known in the Caribbean and America. They would had just let willy perform before Diamond. Afterall the whole show must have much more attention on Diamond. Lets just be honest as kenyans
Hivi ndio vita imeanza very soon tuna occupy Tanzania 🔥🔥🔥💯
Pumbavu,
😂😂😂😂😂😂 nonsense
Baaaaaas😂
😂😂😂
Tz wenyewe walitaka drm za wakenya akuna msani atakuja Kenya wtz atoke poa this is kenya
This is so sad we should support our own
😂😂😂 uyo will atakuja lini tz ama ana nyimbo mpya
Mtangazaji Muongo sanaaaa😂😂😂
Diamond amemwaga pesa hehehe pozee hajui game
Hata mseme nini Willy hukua na utoto flani. Hiyo show was marketed on diamond's name. Kama organizers wanataka aperform angeacha tu aperform but yeye aliingia social media kuincite watu. Very immature and unprofessional behavior from Willy Paul
tumia akili vizuri..kulikua na ratiba ya kufuatwa
We n mjinga sana shoga akuje kuleta ujinga nchi yetu...Hao wako n bahati ckuwa hio show tungenyoroshana n hio security hatuwezi pangwa n fala bana...Diamond hapeleka hio ujinga yake TZ.Adinywe huko n kina diddy
Kummmaaa
There was a timetable for every performer,it was pozze,rayvanny then diamond,it's time for our artistes to be respected and not treated as curtain raisers.
Acha ujinga show iliandaliwa na willy was the first artist to perform,kwani diamond ndo nani wa ku perform wa kwanza??????wewe mzenge sana.......kwanza wewe nani? Choko 😅
😂😂😂😂 huyo Pozee hana manager? How he involved directly
But if dey want Mond being the first to perform, then let them. He owns it ofcause. Lazima ujue kutenganisha maji na mafuta 😅
This is propaganda brother
Kuma yako!
Kama Tanzania Harmonize ni mgori kumliko stage performance 😂😂sasa Kenya ndio atakua mnoma kushinda POZEEE😂😂😂😂
Neeeeenda uko
.........kama wewe sio msaniii uwezi kuelew
Mm ni mtz haikutakiwa wabadirishe ghafla hivyo na kiusanii wanakuwa wamekutoa ki perfomance lakini willy paul kumfunika simba la masimba sio kazi ndogo ilo jini la makata ni hatari juu ya jukwaa ni dunia wanamjua huyo sio east africa tu
Willy Paul 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️
Aibu tupu willy anakaa kijana ya ushago mwani ndio wabongo watazidi kuwafunika tu hivo..
Ushago kwa kina mamako ama
Wewe ata mtu ataeza kukudharau kwenu mbele ya mzazi wako😮
Akuna mtu amewathalau kwenyu nyinyi ndio mnajithalilishaa , ampendi kuambiwa ukweli.@@willydasilver69
@@willydasilver69 ushamba ndio inakusumbua kijana, people pay for good music not patriotism.. Siezi lipa show ya willy Paul ata ya Bure Siwezi enda but diamond ata kama ni majuu nitalipa niende show yake.. Pesa ni yangu na I want to see the value of my money ndio maana unasikia machokoraa ndio wanasupport hii upuzi ya Willy Paul on social media na ata they can't afford show ya simple boy
Wakenya mnautoto mwingi.
Who is diamond to Kenyans...we priorities our own before the other
Umbwa
And finally diamond didnt perform respect ke artist
Kama mondi ni mkali si basi angeperform nyuma ya wily paul 😂😂
Exactly 😂😂😂 alifunikwa
😅😅 hata aibu huon
Hii maisha vile must go anatupeleka na bado watu wako na utoi......
Was Ericko present?
Kijana mdogo sana paul anatafuta ligi tu
True
Kojoa ulale sasa
Sasa pozze anatoa wapi nguvu za kumfunika Diamond platinumz super star 🌟✨ Africa
Unacompare jamaa wa playback with Pozze wa live performer hauna aibu
P Diddy Kula MTU rasa
Weueh pozze yuko nyumbani bana lazima apewe respect na wageni wametoka nje
Umbwa wewe
Wewe ni kuma fala wewe
Ndio maaana nashinda nikisema Respect Kenyans and Kenyan music. Hakuna vile mutaweka event alafu 95% ni bongo artists. Ni ufala kabisa
😂😂 aca wivu ww , wivu ni kitu mbaya sana, umemskia pose akisema ati toa io takataka 😂😂.
@@vangiftshine hiyo pia ni makosa venye poze alifanya vibaya, acted unprofessional
Wahh willy poul kubali tu mnipitie pia
@@JflyEndy acha nipitie but hakuna mazeh
@ToshThesayantis thanks
Eti rehearsal inaonekana atamfunika 😂😂😂😂😂😂Kenya's stop joking about the king
Wape habari wakenya Wenzio
@mudibojaffar9269 diamond ndio king wa east Africa will Paul anatafuta kiki kilazima
Mbona hayo mambo ni madogo sana kwani si angepanda tu muda mbona mwingii
Ila wa kenya ,_diamond platinum na will poul how come,Yani diamond ata awe wa 100 kwenye show atawafunika wote, he's international bro,wake up,we love u kenya❤❤, though in this situation poul might be on right side
Diamond akwende, hapa ni kenya hio ujinga hatutaki
Onesmo piga kofi mbwa hii😂😂😂
Wakenya kweli bado washamba Siyo siri..
We are the host kueni wapole mkaribishwe bana tena mondi was to wait for the welcoming part n atkeast "smaller" artist perfom to give a warm environment for the "bigger" ones kueni Real
Listen to Dudu Baya he has it all❤❤
Hata wewe diamond akitàngulia si ameshawafunika😂😂
Pozee to the world 🌍🌍🌍🌍
Mchezo wa nyumbani hutunzwa Willy Paul is right teddy katalunya ziwani buru emba
Kwani hana wake wapambane?
Kwani nyinyi wakenya mnavuta bangi gani mna ubaguzi
Kenyans should blame their own😅. Nyi mmeona mTz gani hapo amekataza Willy Paul kupanda stage if not your cheap organizers & walinzi. This is also a sign that Willy should pull up his socks coz he ain’t all that hehe.
Wakenya waliogopa kuwa simba nimeona 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wakenya washenzi kweli wakenya kichwa mbovu Simba simba Simba simba Simba simba angeua🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤫🤫🇹🇿🤫🤫
Management ndio ya kulaumu acheni ugombanishi kwa wasanii.kila kitu kilipangwa hapo watanzania wamekosea wapi na Zuchu ni mgeni kafata utaratibu.kuna pumbu limetukana watanzania kuwa ni mavi kuweni na hofu ya Mungu basi ,kama matusi Tz ndio yamezaliwa
TZ is not scums Kenyans are
Nice Movie 🎬
Willy Paul is a good boy who knows and fights for his rights at home.
Ndo mana Kenya inaenda ikiisha.
Mapangalee 😢😅
Acheni upuuzi 😂 Diamond ana mahari mangapi??? tuanzie hapo!!! Willy Paul na Diamond nani ana subs wengi TH-cam??? Kati ya Willy na Diamond na ana fan base kubwa??? 😂😂😂 Mnajaribu tu kutafuta kiki na Simba wetu 😂 acheni upuuzi kama mmeishiwa kiki Si mngeunda basi festival yenu 😂
Wewe ungea ikutoke lakini hatutishwi sisi
@msmwiko siwatishi ila jiheshimuni, kama ruto wenu mwenyewe hamjamuweza bado basi msifungue midomo eti hamtishwi.....mtoeni basi pale juu 😂
Sisi hatutambui mashoga
@@ruthnjogu5863 ulimfira ukajua ni shoga?
Acha kuwa mjinga huku ni kwa poze diamond alikuwa mgeni Ana deserves ku perform after wenyeji sio before....guok
Stop spreading hate...you should deal with your organisers not the visitors. Diamond was a guest and you know guests don't choose. So please remember east africa we don't need hate......
Sad indeed Tanzania this can never happen their own first,vile kila saa kwa basi to Tanzania wanaka wakitisha passport saa yote.
Willy Paul anafaa awe wakwanza coz willy uku ni kwao na kiukweli mgeni anafaa akaribishwe na wenyeji willy uko right apo nakupongeza
Pozee hwezani na mondi ndugu ,, wewe Bado katoto kadogo kwa diamond
Sawa bro bt hashima ya pozz tuko Kenya sio tz nbdo
This is bad why should platnumz perform before our own pozee..respect our artists
Msaanii anakaa bouncer
Hakunaaa, Pozeee na ma attitudes akwendee na huko. I’m Kenyan and I’m not sorry.