Kutumia kiingereza sioni tatizo ata sisi tunapaswa kuzimudu lugha zote kwa sababu ata kiswahili si lugha yetu ililetwa tu na mchanganyiko wa waarabu,wabantu,wamvite ndiposa kutokana na hali ya biashara wakaoana na kutoka waswahili
Angalia za Nigeria,, south Africa na kokote wanachanganya lugha zao n kingereza ni wazi wangejua kiswahili pia wangechanganya hivyo n Uhuru wa mawasiliano
Kiswahili ni lugha nzuri sana tena najivunia kuwa tanzania inaongea lugha hiyo ila matatizo siku hizi watu wameona kuongea kiswahili na kuchanganya na kiingereza ndo kitu cha maana huku ni ujinga hivi Afrika haijuwi kwamba wazungu kwanza wanatucheka sana wakituona hivyo kwamba tunadharau lugha zetu na wao wazungu wanathamini sana lugha zao. Na kwa nini mtu usiongee kiswahili tuu au uongee kiingereza tuu ukikichanganya ndiyo nini sasa sijawahi kuona sehemu yeyote au film yeyote inayo changanya kama watz doo balaa aibu kabisa👈🏽👎🏾
Watu tunatoka mbli, Tunu wa jua kali
wanao ponda hii movie, nadhani walizoea movie za kubana suruali. nguo fupi, ambazo hazina maadili . hii ni nzuri sana. english , sio tatizo.
Rest in peace Adam Kuambiana
Ndio Naymah
R.i.p Adam kuambiana
Darasa La 4 enzi za mkoloni.. Hahahaaa
This movie is so awesome but is better to speak English tho
RIP Adam
It’s chocolate Girl
sinema nzuri zaidi hongera sana
Kutumia kiingereza sioni tatizo ata sisi tunapaswa kuzimudu lugha zote kwa sababu ata kiswahili si lugha yetu ililetwa tu na mchanganyiko wa waarabu,wabantu,wamvite ndiposa kutokana na hali ya biashara wakaoana na kutoka waswahili
good movie
Mm sipendi muvi za mchanganyiko kizungu na kiswahini sijui nielewe luga gani
Mim nakushauri usielewe zote dear
kamaw uelewi siyo lazima uangalie w vp
mimi sijawahi ona movie za Nje ya Africa wakatumia lugha mbili au tatu isipokua kwa sababu maalumu
Angalia za Nigeria,, south Africa na kokote wanachanganya lugha zao n kingereza ni wazi wangejua kiswahili pia wangechanganya hivyo n Uhuru wa mawasiliano
good movie actually but a lot of english please Tanzanians let us preserve our culture
Woow viviana tz
She is very creative
Kwani Adam kuambiana alifariki jamaani?RIP mzee wetu
Ndio mwaka 2014
@@rahimaaaaa5682 wallahi sikujua Allah amrehemu
nice movie
Rip kuambiana u was very capable in English
Adamu
nice move
pumbavu nyie kizungu za kazi gani hapa sasa
Amina Suleiman
hahahaha unajua lugha yao hawaiyamini sijui kwann
😂😂😂guys you have to improve your second language. Big up y'all
noma sana
hiyo mimba inaonyesha wazi kua ni yamatambara mimba ina manundu wapi na wapi
angalieni vizuri jamani
Zipo hata za bandia
Hata ya matambara ni sawa lakini angalau aitengeneze vizuri iwe na uhalisia
😁😁😁
Wee acha kua mjinga hii ni movie
Kiswahili ni lugha nzuri sana tena najivunia kuwa tanzania inaongea lugha hiyo ila matatizo siku hizi watu wameona kuongea kiswahili na kuchanganya na kiingereza ndo kitu cha maana huku ni ujinga hivi Afrika haijuwi kwamba wazungu kwanza wanatucheka sana wakituona hivyo kwamba tunadharau lugha zetu na wao wazungu wanathamini sana lugha zao. Na kwa nini mtu usiongee kiswahili tuu au uongee kiingereza tuu ukikichanganya ndiyo nini sasa sijawahi kuona sehemu yeyote au film yeyote inayo changanya kama watz doo balaa aibu kabisa👈🏽👎🏾
Sema tu uwelewi
Watu wasio juwa English wanabweka tu...
Ahahahahha
Sasa nikizungu cha nn hapa
Uwelewi
I would appreciate it if u people just use swahili language kwa hii movie English inaboa
hujalazimishwa kuangalia.
acheni ujinga nyie mabinti mnakuwa na mambo ya kijinga baaada ya kujadil mmbo muhim et mnajadil lugha ilo2mika how cm enh