Huu ni wimbo Bora wa muda wote katika nyinbo za vikundi. Ila hii version ya pili inaweza ufanya wimbo huu uonekane wa kawaida, ili hali sio wa kawaida kabisa. Version ya Kwanza ina viwango vya juu sana tofauti na hii.
I haven't seen the previous version, but I honestly appreciating this version. This is my masterpiece from you guys! YOU DESERVE MY SUBSCRIPTION!.. May you please upload another masterpiece this soon, I can't wait to hear your nice voice!
Huu ni wimbo Bora wa muda wote katika nyinbo za vikundi.
Ila hii version ya pili inaweza ufanya wimbo huu uonekane wa kawaida, ili hali sio wa kawaida kabisa.
Version ya Kwanza ina viwango vya juu sana tofauti na hii.
Nawapenda sana WAVUNAJI plz release more songs
Wimbo mzuri bt version ya kwanza n Kali zaid..mzidi kumtumikia Bwana
msingebadilisha jamani😢 the first melody was best❤.... ila mbarikiwe sana wavunaji❤
Mbarikiwe sana Kwa version mpya mmependeza nawafatilia saa ....❤❤mjitahidi kupunguza kucheza............all in all nawapenda MUNGU awabariki
Aseeee acheni utani mnaacha tunawasahau rudini tunawaitaji mturudishe Calvary tunabarikiwa sana na nyimbo zenu❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mbarikiwe..congr.
Nakuona docter Aliii kama kawaida yako 🎉
I haven't seen the previous version, but I honestly appreciating this version. This is my masterpiece from you guys!
YOU DESERVE MY SUBSCRIPTION!.. May you please upload another masterpiece this soon, I can't wait to hear your nice voice!
My family, good song guys Mungu awabariki Nawapenda sanaaaa
Wooww just waww nasikiliza huku natabasamu 🥰
Wow barikiwen kwa version twoo
Ujumbe nimeelewa, KAZ nzur ila mletege nyimbo zingine mpya, tunawamiss. Mpaka tunawasahau jaman, mjitahid jaman
Mbarikiwe sana Wavunaji. Siku zote mmekuwa mbaraka kwa wengi. By Mgomba Ng'hwagi
Barikiweni wapendwa ,,,,hatimae dada sweet na mwanafunzi wakee Jennifer ❤❤
Kwakwel Old version bado iko hot🙌
Undisputed 👏 👏 👏
Mbarikiwe na Bwana 😊
Wooow nabarikiwa saaana
Wow wimbo mzur Mungu awabariki sana
My chuon mate Yusuph kilinda Nimebarikiwa Sana na wimbo huu
Hongereni kwa nyimbo nzuri Mungu azidi kuwatumia katika kazi yake
Wow nabarikiwa
Mbarikiwe sana 🔥
Jaman nawakubali saana, nakuwapenda saana lakini Ile ya kwanza niunyama saana , japo mnatubariki
One of my all time favorite singing family, but the old version of the song was much amaizing.
UBUNIFU WA HALI YA JUU SANAA BE BLESSED MORE
Wa kwanza jamn🎉❤❤
Mbalikiwe kwa version nzuri 😍😍😍
You guys your amazing alot of talent are endowed within you. God be glorified 🙏🏾👏 but please msipotee Sana kazi zenu zinatubariki
Bwana awabariki sanaaaaa❤️🥰
Mungu atukuzwe❤
Good work in the video...though the initial audio remains to be a matchless vibe!
Barkiwen Kwa kuwalejesh wavunaji tena
🙏barikiweni sana
Nyieee ❤❤❤❤❤
Different version from what I know but it's nice
Ile ya kwanza ndo kali sana nawapenda tuuu
ameen ubunifu mkubwa wavunaji mbarikiwe
Huuwimbo mumeuhalibu japokuwa mlidhaniakwamba mnabolesha ilasijaonakitu
Haleluya 🎉
wonderful song
Good Job Congratulations❤
What a good melody
version zote mbili kali mbarikiwe🤭❤
Good people 😍😊BWANA awabariki🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤sauti sasa
My precious people ❤
Jamaniii new version nzuri ila siyo kama yenye lyric anyway DODOMA nayo Ina vitu vikali... barikiweni
Ile ya kwanza nzuri kuliko hii,
hii ipo slow sana ila mbarikiwe kwa ubunifu ❤❤
Aya mbarikwe wapendwa
Be blessed
God bless you abundantly
Amakweli mapishi mengi huharibu mchuzi yaan huu Wimbo mmeuharibu Kwa kudhani mnauboresha😏😏😏
Ya kwanza ndio Bomba 🎉
For now wavunaji Tz with new version of this song, wimbo mkubwa sana
Sahivi umetulia powa sana umekuwa wa kiadventista kweli kweli ❤❤❤❤
Heko, the message is nice
Hallelujah 💥🙌🙌🙌
Blessings blessings blessings 🙏
Hongeren kwa design ya uimbaj but ya 1 nilii appreciate!!
Amen🎉
Just woow❤️🥰
🔥🔥..revised version
New version, hongeren saana na Mungu awainue zaidi. 🙏🙏
Nb. Tai, tai haikai hivo bana sawa, kilinda na Dav 😂
Jamani Ile melody ya kwanza ya ule wimbo ndio Iko poaaaaa sasahiv mmeuharbu Bora mngeimba wimbo mpyaaaa 😅
My good people🥰🥰🔥🔥
Mmmmh first version Kali bhanaaa tuacheni tu unafiki 😂😂😂
Kweli kabsaaaa
Mimi. Nimeikubali lakin bwembewe zisiwe nyingi zinahalibu mvuto
Bless you
Mbalikiwe but mme nitoa kwenye reli ule uimbaji wa kwanza mlikuwa mna tubaliki zaidi kuliko huu mlio kuja nao mna asilimia 40%
😂😂😂😂😂😂 hapa mmetucheza,,, hii ndio ilifaa kuwa old version..
Anyway wadada na wakaka wamependeza
Sawa
Hii imekuwa tamu sana❤❤❤
Melody 🎉
Amazing
Amen
Ameen
Bro yuzoo micng uuu
🎉 amen
❤❤❤
❤
Mmmmh mbarikiwe lakini vipi mbona kurudia tena nyimbo
kawaida kwaya kubwa ndo huwa zinafanya version 1 to 2
@@RosemarryMwitta 😁🤣
Where is the old time wavunaji?
so what's this again,mmeboronga sana
Hii ipo slow sana, ile ya kwanza mlitisha, hii sijaielewa kiukweli🙆😢
Sasa mkuu ulitakata zifanane nn maana ya version mbili tofauti😅
hii ina ufundi mwingi mzuri zaid ya ile ya kwanza kama wacha kbsa
Id prefer previous tythm tho😢
Hii kwaya ya mtaa Gani?
Habari Frank, Wavunaji Gospel choir Wanapatikana Mkoa wa dodoma, Mtaa wa Ipagala, Kanisa la Ipagala, Karibu.
Naombeni namba za kwaya hii ya wavunaji
Wasiliana nasi kupitia namba hizi...+255744244777.
Amen
Be blessed
❤❤❤
Amina
Amina